Hawa siyo DHAIFU wanahitaji neno jingine kali zaidi ya Udhaifu
Hawa siyo DHAIFU wanahitaji neno jingine kali zaidi ya Udhaifu
Hivi wewe bado unaangalia ile television? hamia airtel! utajua na mengine usiyoyajua
Nikiangalia tbc habari zinakuwa zimechacha zinanisababishia kiungulia kwenye akili yangu pia zinakuwa ni kiporo sana hii ni hatari kwa afya ya akili yako.
Inakubidi uwe na akili ya 'maiti' ili kuangalia tbc
Duh! Haya nimekatiza hapa!
Ile ni tv ccm na si tbc, ipo pale kimaslai ya chama na si maslahi ya taifa
Wandugu,
Tangu Mzee Mzima Tido Mhando aondoke TBC naona mambo yameparanganyika. Zile hisia zilizoanza kujengeka na kuaminika kuwa TBC ni taasisi ya kitaifa, naona inazidi kutoweka. TBC sasa kimekuwa kituo cha propaganda za chama tawala.
Fungueni TV yenu sio hapa JF wako Bias
Nimeamini ninyi ni waongo saa hizi TBC 1 wanajadili Sheria ya migomo yupo Dr Mmbando Kabunduguru Dr Lugakingira Kamishna wa Kazi
Wanapiga propaganda balaa hawa wazee.
Mbuzi kabisa!
Kwani habari ni mgomo wa madaktari tu? We unataka habari unazopenda wewe! Katafute habari usingoje za kuletewa!
Ni kweli mtu mzuri hatakiwi na serikali ya ccm wanapenda watu
'DHAIFU!'
Mkurugenzi wa sasa hivi bure kabisa!
acheni wafu wazike wafu wenzao
Tutamkumbuka Mzee wetu Tido Mhando,
je hakuna private Radio / TV stations nzuri wakampa Ajira..?
ofcoz sasa gazeti la Mwananchi limebadilika sana chini yake, but kwenye TV au Radio ndiyo pake panamfaa sana Mzee wetu Tido..!
Tido angeifikisha TBC mbali.
TBC hawafai shenzi kabisa! kwao habari ya Dr ulimboka siyo habari!!?, Bora mumrudishe Tido kama mmeshindwa fungeni kituo tubaki na TV Binafsi tu!
Unajua nimeshangaa sana hata BBC SWAHILI leo jioni hawakuzungumuza kabisa juu ya mwendo mzima wa mgomo wa madaktari, nilazima tujiulize kunanini kinaendelea?? Au ndo washazibwa midomo?? Daah hii ndio TZ chini ya Baba liz!
Follow Us Here