wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda..
source sunrise fm
wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda..
source sunrise fm
Watamuuwa yule mama kwa pressure,maaana anajua lile jimbo nilake mpaka baada ya 2015.
Ni wenyeviti wa ngazi zipi? Fafanua mkuu
Wenyeviti wa ngazi ipi?
Hizo rasharasha2,mvua 2015.
Namsubiri Mama Anne Kilango abwatuke povu mjengoni halafu aunge mkono hoja!!!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda
Mama Anne Kilango upo?? Au hapatikani humu JF? Labda faza Samuel Malecela atajibu maana yeye yupo humu JF.
safi sana....
m4c forever and alwaysssssssss
Kwa mujibu wa Crashwise, wenyeviti waliojivua gamba ni viongozi wa serikali za mitaa kutoka vitongoji vitatu kata anayotoka Mama Kilango.
Crashwise pia ametuarifu kuwa mwenyekiti wa serikali za mitaa kata ya Mateves jiji la Arusha amejivua gamba na kujiunga chadema.
viva cdm
Follow Us Here