wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda..
source sunrise fm
wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda..
source sunrise fm
Yule mtoto wake wa kambo atafikisha taarifa!
vampare mwarevukaa
wapi mama Anna Kilango?
Eee nethika dime!
Ule mshipa wa kuongea yule mama lazima uchomoke!safi sana
viva cdm.
Kiurio ndiyo home kwake kabisa mama lazima achizi
Peopleeeeeeeeeeees pooooooooooooooooooooooooooooo ooooooooweeeeeeeeeeeeeeeeeeerr rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr rrrrrrrrrrrrrrrrrrr
wanahusika na uharibifu wa mazingira katika msitu wa shengena wamechukia mama kilango kuwaletea noma na wenzao saba kukamatwa sasa wanakimbilia katika chaka la wezi huko cdm
Kwa maana hiyo mkuu Mungi kuna uchaguzi wa serikali za mtaa kwenye mitaa walikotoka hao viongozi. Mkuu Crashwise nawe umeshindwa kuwa specific manake kuna wenyeviti wa CCM wa kichama na wenyeviti wa serikali za mitaa kupitia tiketi ya CCM. Wenyeviti wa CCM wakiondoka inakuwa ni uchaguzi ndani ya chama ila wakiondoka wa serikali za mitaa basi unakuwa uchaguzi unaowahusu wakazi wote wa mitaa husika; najua unajua ila nataka ujue zaidi. Kuwa basi specific, ni wapu kati ya hao?
Follow Us Here