Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

    Report Post
    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 41 to 60 of 77
    1. #1
      Don Draper's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Posts : 138
      Rep Power : 379
      Likes Received
      62
      Likes Given
      25

      Default Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
      Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

      Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

      Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka

    2. Miaka 50

    3. #41
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,056
      Rep Power : 14521
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5006

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Quote By nyabhingi
      i can conclude wewe sio mtanzania...
      nimeolewa kwao, muache aseme! Wanaona jinsi serikali yetu ni dhaifu, acha waseme!
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    4. #42
      Felixonfellix's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2010
      Posts : 1,673
      Rep Power : 805
      Likes Received
      165
      Likes Given
      95

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Kufikiri cha kuandika ni kazi jamani
      Tushirikiane Tutafika Tuendako

    5. #43
      Codon's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th December 2011
      Posts : 553
      Rep Power : 486
      Likes Received
      75
      Likes Given
      20

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Naondoka kwenye hii thread maana naona kweli ban hiyooo!

    6. #44
      mansakankanmusa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2012
      Posts : 885
      Rep Power : 533
      Likes Received
      172
      Likes Given
      162

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Quote By Blessing
      Naomba kuuliza kwani kwa nini JENGO KUBWA YA BUNGE ???? THIS IS ABUSE OF TANZANIANS RESOURCES. Hiyo Bunge kuna watu wangapi mpaka ijengwe kubwa kiasi hisho ??? Tunaona Wabunge awajii kwenye Bunge haasa mchana kwani wanaenda wapi ??? Na kama wanalipua POSHO hiyo POSHO ya nini wakati awakae Bungeni kutetea WATANZANIA ??? Tunaomba kujua kwa nini wamechenga Bunge Kubwa kiasi hicho ?? na imegaramia Shilingi ngapi wakati inakaa wazi na mtupu mpaka tena Bunge... Watanzania wanakufa na njaa kazi yao CCM nikupiga meza tuu. Tumechoka jamani ni aibu... Angalia Kenya Bunge yao ni kidogo kwani hawa VIOGOZI WETU WA CCM wana matatizo gani ? 10% inatuowa jamani.
      asubuhi wanasahihi na kutoka, waligoma siku nyingi sana, ndiyo maana hata walimu waligoma siku nyingii leo watoto wanahitimu ignorance, wanaimba flava
      I only offer an opinion someone don't f**k with me . It's important to be a good listener, and that means you shut your mouth and let other jf member talk.

    7. #45
      Ozzie's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 9th October 2007
      Location : Jo'burg
      Posts : 1,010
      Rep Power : 796
      Likes Received
      271
      Likes Given
      74

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Quote By Don Draper
      wapo wanatafuta kazi mitaani
      Don Draper hakuna daktari MD (wa degree) ambaye yupo mtaani bila kazi. Ila wapo 'madaktari wa 'UPE'' kama Clinical Officers (Diploma) kwa wingi na Assistant Medical Officers (Advanced Diploma) kwa uchache sana ambao ndio hawana kazi.
      "It's not the votes that count. It's who counts the votes" - Josef Stalin

    8. #46
      Eng. Y. Bihagaze's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 8th September 2011
      Location : Czech(but now in DAR)
      Posts : 769
      Rep Power : 5117
      Likes Received
      584
      Likes Given
      111

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Kuna Hoja mbili hapa. Akita mpya Kwa Dr Na kipigo cha Ulimboka.. Sijui Mtoa maada analenda nini..
      Pathologically.."women must bear all loves" ..Atheisms .

    9. #47
      Ndibalema's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Location : Mbagala
      Posts : 6,638
      Rep Power : 2009
      Likes Received
      1656
      Likes Given
      1634

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Quote By Ozzie
      Don Draper hakuna daktari MD (wa degree) ambaye yupo mtaani bila kazi. Ila wapo 'madaktari wa 'UPE'' kama Clinical Officers (Diploma) kwa wingi na Assistant Medical Officers (Advanced Diploma) kwa uchache sana ambao ndio hawana kazi.
      Mkuu hata hao kwenye red hakuna ambaye yupo mtaani(jobless)
      "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

    10. #48
      Africa_Spring's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2012
      Posts : 421
      Rep Power : 403
      Likes Received
      106
      Likes Given
      64

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Quote By big niga
      ....asikutishe bwana,hawa madakitari wanaojifanya wajanja ni wajinga sana wanajifikilia wao tu,waulize kama wanaweza fanya kazi bila nesi au mtu wa usingizi au driver wa kuwapeleka kazini,waache ubinafsi,wapo wengine ni majina tu kila akiingia theatre anatoka na maetrnal death,wengine wana vyeti feki tunawajua akifika hospital anataka uongozi tu uwezi muona anatibu mtu, hapa kitakachofuata ni kuwataja majina...ndugu yangu usibabaike na hawa wanaokutisha ndo wale wale
      Napenda kukusahihisha mwana JF...mtu wa usingizi pia ni Doctor...hii ni migawanyiko ya kazi tu. Pia hakuna kitu kinacho itwa maetrnal death. May be this is the new medical term...kama huna fact usiandike kitu usicho kijua...internet unayo bado unaonyesha hujui matumizi ya internet.....

    11. #49
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,187
      Rep Power : 24275
      Likes Received
      4682
      Likes Given
      2300

      Default

      Quote By Don Draper
      Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
      Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

      Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

      Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
      Madaktari ambao wapo intern ndo waanzilishi wa kudai haki za madaktari. Labda waajiri madaktari kutoka china au india

    12. #50
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,766
      Rep Power : 918
      Likes Received
      444
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By Don Draper
      wapo wanatafuta kazi mitaani
      Wako wapi?au unafananisha na watu waliosoma caurse nyingine na wanahangaika mtaani na baasha?..naona huijui vzr hii fani ya dr.....hivi unajua hao madaktari hata 10 elf tu hawafiki kwa nchi nzima!...

    13. #51
      watu8's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th February 2010
      Location : Juu ya Tukutuku
      Posts : 15,305
      Rep Power : 31335
      Likes Received
      7571
      Likes Given
      7615

      Default

      Quote By sweetlady
      Haya ni maneno yako au ya Dr. Ulimboka ? Sijaelewa
      Huyu jamaa hata uwezo wa kuandika hana halafu analilia udaktari, eti yupo mtaani
      sweetlady likes this.

    14. #52
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,766
      Rep Power : 918
      Likes Received
      444
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By Ozzie
      Don Draper hakuna daktari MD (wa degree) ambaye yupo mtaani bila kazi. Ila wapo 'madaktari wa 'UPE'' kama Clinical Officers (Diploma) kwa wingi na Assistant Medical Officers (Advanced Diploma) kwa uchache sana ambao ndio hawana kazi.
      Unaota ww,hakuna md hata hao wenye diloma na certificate waliopo mtaani..unafikiri hii ni km hkl hizi?

    15. #53
      segwanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th March 2011
      Posts : 1,351
      Rep Power : 685
      Likes Received
      344
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Don Draper
      wapo wanatafuta kazi mitaani
      you kidding man! Wangekuwepo mtaani serikal ya magamba ingekuwa inaunyaunya kama bata mzinga

    16. #54
      franksarry's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 9th November 2009
      Posts : 167
      Rep Power : 518
      Likes Received
      42
      Likes Given
      216

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Quote By big niga
      ....asikutishe bwana,hawa madakitari wanaojifanya wajanja ni wajinga sana wanajifikilia wao tu,waulize kama wanaweza fanya kazi bila nesi au mtu wa usingizi au driver wa kuwapeleka kazini,waache ubinafsi,wapo wengine ni majina tu kila akiingia theatre anatoka na maetrnal death,wengine wana vyeti feki tunawajua akifika hospital anataka uongozi tu uwezi muona anatibu mtu, hapa kitakachofuata ni kuwataja majina...ndugu yangu usibabaike na hawa wanaokutisha ndo wale wale
      Tatizo la kuajiri mtu mwenye fake certificates ni la system..., wataalam wa vetting wapo, wanaweza kutumika..!
      inakuwaje proper Govt inadanganywa?
      aaaahah unakumbusha taarifa ya NIDA...!

    17. #55
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 589
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Quote By Edson
      hao madaktari wapya wa kuajiliwa wako wapi?
      Kumbe kwasababu hakuna mbadala wa watu eh!!!

    18. #56
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 589
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Quote By Don Draper
      wapo wanatafuta kazi mitaani
      Tena wengine wako wilaya za mbali huko ambako hakuna hata Dispensari ya kufanya kazi kwa muda wa ziada ambao walioko hapa mjini wana nafasi hiyo.

    19. #57
      Mtandu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th April 2011
      Location : dar es salaam
      Posts : 59
      Rep Power : 420
      Likes Received
      12
      Likes Given
      8

      Default

      Quote By Don Draper
      wapo wanatafuta kazi mitaani
      Hao wapya ndo watakuja na vifaa na madawa ambayo sio feki? Kwa nini tunajifanya hatuelewi madai ya madaktari? Mbona hali ya hospitali zetu iko wazi kwz kila mmoja kuona? Kupotosha huku kwa wazi kunatusaidia nini?

    20. #58
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,335
      Rep Power : 36534
      Likes Received
      7487
      Likes Given
      4604

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Quote By watu8
      Huyu jamaa hata uwezo wa kuandika hana halafu analilia udaktari, eti yupo mtaani
      Achana na vilaza ndugu yangu!
      Life without problems never make a strong and good person!

    21. #59
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,520
      Rep Power : 19793
      Likes Received
      4318
      Likes Given
      1306

      Default Re: Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

      Huyu mleta mada ana taka kupoteza lengo, naona anataka kuchafua hali ya hewa sasa.

      Naomba mods wawe waangalifu sana na hizi thread, hii kauli ni lini imetolewa na ulimboka!

      Huyu mtoa mada anatumiwa tunajua na siyo yeye ni wengi tu.

    22. #60
      Kailanga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th June 2012
      Posts : 147
      Rep Power : 377
      Likes Received
      32
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Don Draper
      Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
      Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

      Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

      Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
      hao walio standby watafanya kazi kwenye mazingira gani?

    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...