Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

    Report Post
    Page 6 of 9 FirstFirst ... 45678 ... LastLast
    Results 101 to 120 of 172
    1. #1
      Vancomycin's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Posts : 168
      Rep Power : 465
      Likes Received
      108
      Likes Given
      22

      Default Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Taarifa ambazo zimethibitishwa zinatabanaisha kuwa madaktari walio katika uzoefu kazini, INTERN doctors wameanza kufukuzwa katika hospitali mbalimbali ambapo katika hospitali ya DODOMA madaktari 11 kati ya 33 wamefukuzwa na madaktari wote 70 waliokuwepo hospitali ya rufaa mbeya chini ya ulinzi mkali wa polisi wameambiwa waondoke kufikia saa 11 jioni ya leo wakati huo huo mkurugenzi wa hospitali ya BUGANDO amewafukuza madaktari wote 44 na kuwataka warudi wizarani wakati madaktari waliosajiriwa wameamuriwa kufika kesho wawe kazini au la wanafukuzwa.

      Wakati huo huo madaktari wakazi waliitwa na senate ya BUGANDO na kulazimishwa kurudi kazini lakini walikataa mbele ya senate hiyo hivyo wakaambiwa watafutiwa udahili wao na wote kwa pamoja wakapiga makofi wakisema wako tayari kwa hilo.

      Habari zaidi zinazidi kupasha kuwa hospitali ya Mwananyamala wameletewa fomu za kujaza kama wako tayari kuendelea na kazi au la,ila madaktari wamesimamia msimamo wao huo kuwa mgomo uko pale pale.

      Katika hatua nyingine CHUO CHA TIBA BUGANDO NA KILE CHA MUHIMBILI VIKO MBIONI KUFUNGWA kutoka na walimu wao ambao ni madaktari kugoma na mazingira kutokuwa rafiki kwa kujifunzia.

      Wakati hayo yakiendelea taarifa zinasema hsopitali ya Tanga BOMBO imeingia rasmi kwenye mgomo na ile ya MOUNT MERU

      Habari zaidi madaktari wanajiandaa kwa mass resignation muda wowote

      BAK, Papizo, Bantugbro and 14 others like this.
      'Kuuza Ardhi ni kuuza uhuru wetu na haki zetu kwa sababu tu viongozi wamechoka kufikiri' Said A. Arfi,CDM 22/11/'11

    2. #101
      mzamifu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2010
      Location : IN SPACE
      Posts : 947
      Rep Power : 660
      Likes Received
      213
      Likes Given
      182

      Default Re: Madaktari wafukuzwa mbeya,bugando na dodoma......mwananyamala walazimishwa kusaini,vyuo vya udak

      Quote By kadoda11 View Post
      kama hizi taarifa ni kweli basi sasa naanza kuamini tahrir square yetu haiko mbali.
      Mimi nachalea huu ubabe mawazo yako yanaashiria kitu hata kama siTahrir

    3. #102
      Indume Yene's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Chumbani
      Posts : 2,165
      Rep Power : 4961
      Likes Received
      339
      Likes Given
      322

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Hivi viza za kazi Botswana na Rwanda zinapatikanaje? Kwa nini hawa madaktari wasumbuliwe na wanasiasa ambao wana muda mchache tu kuwepo madarakani? Tena wengine ni wagonjwa wanatembea huku wakiwa wameshachomoka?

    4. #103
      TITAN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2010
      Posts : 261
      Rep Power : 484
      Likes Received
      32
      Likes Given
      46

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Nduguzangu Watanzani, Naomba tu nieleze wazi Mwaka huu autapita bila historia mpya kuandikwa apa Tanzania,
      Nasema iyo kwani huu ni muda muafaka sana wa sisi Watanzania kuonyesha kwa thati kwamba serekali yetu imetudharau na kuwadhalilisha madaktari ambao ni nguzo muhimu apaduniani.
      Sasa nimuda wa kuangalia jinsi ya ku organise maandamano amboyo yatatusaidi kushinikiza serekali dhaifu ituachi majengo yetu na warudi kwao. atutakubali kutawaliwa na watu wasiojua umuhimu wa binadamu wengine. kaziyao ni kuiba mpaka wanafikia mahala pa kuona watuwengini ni wadudu.
      A house divided against itself cannot stand.

    5. #104
      TITAN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2010
      Posts : 261
      Rep Power : 484
      Likes Received
      32
      Likes Given
      46

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Nchi izo zote awaitaji visa mkuu, ww unafika pale na kugongewa muhuri, mpaka sasa hivi hizo nchi zinafurai na ziko tayari kuwapokea Madaktari na kuwapa mishaara minono na full allowance.
      A house divided against itself cannot stand.

    6. BAK is offline
      BAK
      #105
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,827
      Rep Power : 45014
      Likes Received
      8684
      Likes Given
      8666

      Default Re: Madaktari wafukuzwa mbeya,bugando na dodoma......mwananyamala walazimishwa kusaini,vyuo vya udak

      Quote By MwanajamiiOne View Post
      Hivi kwa mwendo huu miaka ijayo mbeleni wenetu watasomea udaktari kweli? Labda kama watakukuwa na uhakika wa ajira za Botswana

      Wanaweza kabisa kusomea udaktari maana kuna nchi nyingi tu za jirani ambazo zinawathamini sana madaktari na pia huwalipa vizuri na kuwapa vitendea kazi.
      MwanajamiiOne likes this.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    7. #106
      Lenja's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 66
      Rep Power : 377
      Likes Received
      6
      Likes Given
      54

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Quote By 50thebe View Post
      hawa madokta hawa yaani we acha tu..wanachojivunia ni kuwa sio kila mwanasiasa anaweza kuwa dokta, ingawa madokta wote wanaweza kuwa wanasiasa..
      Hii comment naipa saluteeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!! !!!!

    8. #107
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,341
      Rep Power : 13772
      Likes Received
      5164
      Likes Given
      4565

      Default Re: Madaktari wafukuzwa mbeya,bugando na dodoma......mwananyamala walazimishwa kusaini,vyuo vya udak

      Quote By gango2 View Post
      sasa kitu gani cha ajabu hapo nawe!! si hawataki kufanya kazi waendeleee kukaa wanafanya nini?? walipwe mishahara bila kazi??
      Si ndio hapo sasa, hata mie mwenyewe najishangaa ninastaajabishwa na nini hapo. !

      Kwa hiyo nasi tugome kukatwa kodi kwa kuwa hatupati huduma za afya kutokana na mgomo!
      BAK likes this.
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    9. #108
      Lenja's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 66
      Rep Power : 377
      Likes Received
      6
      Likes Given
      54

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Quote By christine ibrahim View Post
      Kweli ww hamnazo'eti kuanza upya c ujinga'..unajua elimu ya ma drs ni miaka 5 ww?unapoanza upya hao wagonjwa watatibiwa na nani?.do u think drs wakifukuzwa wanashida?kwa taarifa yako wanauwezo hata wa kuwa wafanyabiashara wazuri sana,...think b4 u write!
      Mpe vidonge vyake huyo Kilaza...big up Christine

    10. #109
      simplemind's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2009
      Posts : 2,951
      Rep Power : 1180
      Likes Received
      531
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By spartacus View Post
      seriously, serikali na madaktari watatuua...................
      serikali imetuua siku nyingi tu, madaktari are simply trying to make the best of a bad situation.

    11. BAK is offline
      BAK
      #110
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,827
      Rep Power : 45014
      Likes Received
      8684
      Likes Given
      8666

      Default Re: Madaktari wafukuzwa mbeya,bugando na dodoma......mwananyamala walazimishwa kusaini,vyuo vya udak

      Quote By MwanajamiiOne View Post
      Si ndio hapo sasa, hata mie mwenyewe najishangaa ninastaajabishwa na nini hapo. !

      Kwa hiyo nasi tugome kukatwa kodi kwa kuwa hatupati huduma za afya kutokana na mgomo!
      Hili la kugomea kukatwa kodi lingekuwa linawezekana mbona ingekuwa poa sana, maana lingeimaliza Serikali hii fisadi/dhalimu mara moja...tutaambiwa turudi kwenye miti shamba wakati Serikali inatafuta Madaktari toka nchi za nje ambao wataingia nchini kama maTX na kulipwa mishahara mikubwa sana na marupurupu manono na kupewa vitendea kazi vya kileo kisha hii Serikali dhalimu kujipiga kifua kwamba imewakomoa madaktari Wazalendo.
      MwanajamiiOne likes this.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    12. #111
      johnrobbie's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 31st January 2012
      Posts : 8
      Rep Power : 374
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Quote By Vancomycin View Post
      Taarifa ambazo zimethibitishwa zinatabanaisha kuwa madaktari walio katika uzoefu kazini,INTERN doctors wameanza kufukuzwa katika hospitali mbalimbali ambapo katika hospitali ya DODOMA madaktari 11 kati ya 33 wamefukuzwa na madaktari wote 70 waliokuwepo hospitali ya rufaa mbeya chini ya ulinzi mkali wa polisi wameambiwa waondoke kufikia saa 11 jioni ya leo wakati huo huo mkurugenzi wa hospitali ya BUGANDO amewafukuza madaktari wote 44 na kuwataka warudi wizarani wakati madaktari waliosajiriwa wameamuriwa kufika kesho wawe kazini au la wanafukuzwa.

      Wakati huo huo madaktari wakazi waliitwa na senate ya BUGANDO na kulazimishwa kurudi kazini lakini walikataa mbele ya senate hiyo hivyo wakaambiwa watafutiwa udahili wao na wote kwa pamoja wakapiga makofi wakisema wako tayari kwa hilo.

      Habari zaidi zinazidi kupasha kuwa hospitali ya Mwananyamala wameletewa fomu za kujaza kama wako tayari kuendelea na kazi au la,ila madaktari wamesimamia msimamo wao huo kuwa mgomo uko pale pale.

      Katika hatua nyingine CHUO CHA TIBA BUGANDO NA KILE CHA MUHIMBILI VIKO MBIONI KUFUNGWA kutoka na walimu wao ambao ni madaktari kugoma na mazingira kutokuwa rafiki kwa kujifunzia.

      Wakati hayo yakiendelea taarifa zinasema hsopitali ya Tanga BOMBO imeingia rasmi kwenye mgomo na ile ya MOUNT MERU

      Habari zaidi madaktari wanajiandaa kwa mass resignation muda wowote
      \

      FOR EVERYTHING BE CAREFULL tunaomba chanzo chanzo cha habari kwa uhakika kuhusu hapo nilipo highlight red(MUHAS)

    13. #112
      2mbaku's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st October 2010
      Location : Msituni
      Posts : 229
      Rep Power : 594
      Likes Received
      41
      Likes Given
      32

      Default

      Quote By Kapeleka View Post
      Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.

      Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.
      Mk***u wako

    14. #113
      abou's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 4th March 2011
      Posts : 5
      Rep Power : 421
      Likes Received
      1
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By BAK View Post

      Wanaweza kabisa kusomea udaktari maana kuna nchi nyingi tu za jirani ambazo zinawathamini sana madaktari na pia huwalipa vizuri na kuwapa vitendea kazi.
      wakati tunasheherekea mgomo wa madaktar tusisahau kua wamegoma kututibu sisi watanzania wa kawaida kbs ambao apollo tunaisoma kwenye magazeti tu....kwa hali hii tuombe na magonjwa nayo yagome

    15. BAK is offline
      BAK
      #114
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,827
      Rep Power : 45014
      Likes Received
      8684
      Likes Given
      8666

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Quote By abou View Post
      wakati tunasheherekea mgomo wa madaktar tusisahau kua wamegoma kututibu sisi watanzania wa kawaida kbs ambao apollo tunaisoma kwenye magazeti tu....kwa hali hii tuombe na magonjwa nayo yagome
      Nani amekwambia kuna watu tunasheherekea mgomo wa madaktari? Madaktari wanaomba kulipwa mishahara ambayo inaendana na taaluma yao ili waweze kukidhi gharama za maisha na pia kupewa vitendea kazi na kuboresha hospitali zetu ambazo zote ziko katika hali ya kutisha...Iweje Mbunge ambaye hajaenda shule apate mshahara mkubwa kuliko daktari aliyesota vyuoni miaka chungu nzima ili kuhitimu katika taaluma yake?

      Hakuna hata Mtanzania mmoja anayesherehekea mgomo wa madaktari bali tunawaunga mkono kwa vile tunayaona madai yao yote yana umuhimu mkubwa katika kuboresha sekta ya afya nchini.
      Last edited by BAK; 29th June 2012 at 04:20.
      jouneGwalu likes this.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    16. #115
      Indume Yene's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Chumbani
      Posts : 2,165
      Rep Power : 4961
      Likes Received
      339
      Likes Given
      322

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Haya ndo mambo ya Bugando, hapo chini ni barua ya madaktari kutimuliwa.
      Attached Files

    17. #116
      josefast's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th December 2011
      Location : Mtaa wa chini
      Posts : 86
      Rep Power : 398
      Likes Received
      5
      Likes Given
      32

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      drz mambo mazur yako mbele kwa mbele-mbele kwa mbeleeee, msikate tamaaa songa mbele mpaka kieleweke

    18. #117
      kichwat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2010
      Posts : 1,110
      Rep Power : 709
      Likes Received
      227
      Likes Given
      26

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      unaweza kufukuza wabunge wote, au mawaziri wote, na taifa likawa 'a better place'. Lakini huwezi kufukuza madaktari. Ngoja uone.

    19. #118
      roby2006's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2011
      Posts : 315
      Rep Power : 453
      Likes Received
      45
      Likes Given
      12

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Ee Mungu iangalie familia yetu sisi walala hoi asije akaugua mtu kwenye hiki kipindi cha mpito

    20. #119
      roby2006's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2011
      Posts : 315
      Rep Power : 453
      Likes Received
      45
      Likes Given
      12

      Default

      ndinga lazima wawepo watu kama kina ulimboka wanaokubali kuweka maisha yao rehani kwa ajili ya kizazi kijacho
      Quote By ndinga View Post
      big like mkuu

    21. #120
      Nteko Vano's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2012
      Location : Dar es salaam
      Posts : 428
      Rep Power : 454
      Likes Received
      90
      Likes Given
      26

      Default Re: Madaktari wafukuzwa mbeya,bugando na dodoma......mwananyamala walazimishwa kusaini,vyuo vya udak

      Quote By Kapeleka View Post
      Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.

      Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.

      Kichwani mwako mna mavi ya kuku.

      Kama serikali ina hiyo hela kwanini asianze kuboresha mahitaji muhimu ya mahospitalini? Usije ukawaza madaktari wa msaada, ujue hakuna kitu cha bure katika mashirikiano. Usije ukalia utakapouzwa.

    Page 6 of 9 FirstFirst ... 45678 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...