Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

    Report Post
    Page 5 of 9 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 172
    1. #1
      Vancomycin's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Posts : 168
      Rep Power : 461
      Likes Received
      108
      Likes Given
      22

      Default Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Taarifa ambazo zimethibitishwa zinatabanaisha kuwa madaktari walio katika uzoefu kazini, INTERN doctors wameanza kufukuzwa katika hospitali mbalimbali ambapo katika hospitali ya DODOMA madaktari 11 kati ya 33 wamefukuzwa na madaktari wote 70 waliokuwepo hospitali ya rufaa mbeya chini ya ulinzi mkali wa polisi wameambiwa waondoke kufikia saa 11 jioni ya leo wakati huo huo mkurugenzi wa hospitali ya BUGANDO amewafukuza madaktari wote 44 na kuwataka warudi wizarani wakati madaktari waliosajiriwa wameamuriwa kufika kesho wawe kazini au la wanafukuzwa.

      Wakati huo huo madaktari wakazi waliitwa na senate ya BUGANDO na kulazimishwa kurudi kazini lakini walikataa mbele ya senate hiyo hivyo wakaambiwa watafutiwa udahili wao na wote kwa pamoja wakapiga makofi wakisema wako tayari kwa hilo.

      Habari zaidi zinazidi kupasha kuwa hospitali ya Mwananyamala wameletewa fomu za kujaza kama wako tayari kuendelea na kazi au la,ila madaktari wamesimamia msimamo wao huo kuwa mgomo uko pale pale.

      Katika hatua nyingine CHUO CHA TIBA BUGANDO NA KILE CHA MUHIMBILI VIKO MBIONI KUFUNGWA kutoka na walimu wao ambao ni madaktari kugoma na mazingira kutokuwa rafiki kwa kujifunzia.

      Wakati hayo yakiendelea taarifa zinasema hsopitali ya Tanga BOMBO imeingia rasmi kwenye mgomo na ile ya MOUNT MERU

      Habari zaidi madaktari wanajiandaa kwa mass resignation muda wowote


      BAK, Papizo, Bantugbro and 14 others like this.
      'Kuuza Ardhi ni kuuza uhuru wetu na haki zetu kwa sababu tu viongozi wamechoka kufikiri' Said A. Arfi,CDM 22/11/'11


    2. Study Abroad

    3. #81
      Ruppy karenston's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2011
      Posts : 396
      Rep Power : 481
      Likes Received
      69
      Likes Given
      26

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Mambo ya Liwalo na Liwe,ndo yashaanza kupamba moto. Aisee,serikali dhaifu inayaona haya?

    4. #82
      ndyoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 4,505
      Rep Power : 1705
      Likes Received
      1199
      Likes Given
      1916

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Haka kaserikali kalishakuwaga kwenye 'auto pilot' long time kitambo.
      “If you can not get what you love, then love what you have”

    5. #83
      Black Bat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Abbottabad
      Posts : 2,479
      Rep Power : 9580
      Likes Received
      682
      Likes Given
      575

      Default

      Quote By Kapeleka
      Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.

      Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.
      Sitashangaa ukiniambia kuwa wewe unafanya kazi sehemu nyeti kama ikulu au mshauri wa rais. Hongera kwa kazi njema mnayoifanya

    6. #84
      Laurence's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th June 2011
      Location : ULIMWENGUNI
      Posts : 2,042
      Rep Power : 1394
      Likes Received
      175
      Likes Given
      39

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Hapa ndipo CcM inataka waTz tuishi kwa style hii

    7. #85
      mpepalilambo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th June 2012
      Posts : 72
      Rep Power : 361
      Likes Received
      8
      Likes Given
      3

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Quote By Elizabeth Dominic
      Nilishasema na naendelea kusema Watanzania/Tanganyika tusipoelekeza hasira zetu pahala sahihi tutaendelea kuumizwa, hii ndio nafasi ya ku vent hasira zetu na concern zote tulizonazo. Jamani time is now, Dr Ulimboka katuonyesha jinsi ya kudai haki na maslahi ya madaktari na Watanzania kwa ujumla.....lets follow suit
      Mimi naamini ukombozi wa Mtanzania/Tanganyika utapatikana kwa roho za ujasiri watu kama Dr Ulimboka Kamanda Godbless Lema na wengine wote waliopoteza maisha au wanaoweka maisha yao hatarini ili tupate kushuhudia na kuikomboa nchi yetu
      Mnawadanganya sana madaktari wasioujua mchezo wenu. Mob psychology is very very dangerous but I am sure they will regret

    8. FemaTV & Radio

    9. #86
      abdy76's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th May 2012
      Posts : 11
      Rep Power : 353
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      mkuu dhaifuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu uuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!

    10. #87
      GHANI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th February 2011
      Posts : 432
      Rep Power : 504
      Likes Received
      20
      Likes Given
      4

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Mkuu wa kaya Dr.JK atawatibu wagonjwa wote kwani yeye si Dr. pia.

    11. #88
      Xuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Location : Local Site
      Posts : 550
      Rep Power : 652
      Likes Received
      102
      Likes Given
      169

      Default Re: Madaktari wafukuzwa mbeya,bugando na dodoma......mwananyamala walazimishwa kusaini,vyuo vya udak

      Quote By dosama
      Ndio hayo alipanga kuyasema bungeni ila la Olimboka likaingilia mikakati

      Na bado tutashuhudia mengi msimu huu!!
      "None but ourselves can free our minds"
      -Bob Marley

    12. #89
      Ngoso's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Posts : 100
      Rep Power : 372
      Likes Received
      11
      Likes Given
      10

      Default

      Quote By MwanajamiiOne
      Hivi kwa mwendo huu miaka ijayo mbeleni wenetu watasomea udaktari kweli? Labda kama watakukuwa na uhakika wa ajira za Botswana
      Hili ni moja ya udhaifu katika Muungano. Tunahitaji kuwa na Serikali ya Tanganyikana waziri wa afya atakaye shughulikia matatizo ya madaktari wa Tanganyika ndio maana unaona migomo hii ni Tanzania Bara(Tanganyika)

    13. #90
      Mtandu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th April 2011
      Location : dar es salaam
      Posts : 59
      Rep Power : 419
      Likes Received
      12
      Likes Given
      8

      Default

      Quote By kitero
      Hivi mwisho wa haya yote nini jamani? sasa inahitajika kufanya maombi na mafungo kwajili ya Taifa letu tunakokwenda ni kubaya hali inazidi kuwa ngumu tuu kwa mlala hoi na inazidi kuwa nzuri kwawalio nacho.
      Tunakokwenda au tulikofika?
      nyumba kubwa likes this.

    14. #91
      ndinga's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 95
      Rep Power : 378
      Likes Received
      12
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mr. President
      Acha uendeleeeee nani aliwapa KURA....!!??? mnashangaaa nini!!??
      big like mkuu

    15. #92
      PMNBuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th December 2010
      Posts : 907
      Rep Power : 606
      Likes Received
      120
      Likes Given
      28

      Default

      [QUOTE=Vancomycin;4138226][SIZE=4]Taarifa ambazo zimethibitishwa zinatabanaisha kuwa madaktari wanaandaa mass resignation.

      Mass resignation ni nzuri sana. Nashauri madaktari wajiuzuru kabla hawajafukuzwa wote ili waende jangwani tufanye uwanja wa tahariri ili serikali ione hasira yetu watanzania.

    16. #93
      nyumba kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 4,047
      Rep Power : 2305
      Likes Received
      2874
      Likes Given
      3969

      Default Re: Madaktari wafukuzwa mbeya,bugando na dodoma......mwananyamala walazimishwa kusaini,vyuo vya udak

      Umenifanya nikumbuke mwarobaini; maana ndio mti shamba pekee ninaosikia unatibu magonjwa mengi. Na ilivyoota hovyo these days; mbona itakosa majani very soon.

      Quote By OSOKONI
      sasa hv tujifunze zaidi tiba asili na dawa za kienyeji kwa mwendo huu twafa woteee maskini!!
      OSOKONI likes this.

    17. #94
      MpendaTz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th May 2009
      Posts : 1,069
      Rep Power : 723
      Likes Received
      146
      Likes Given
      533

      Default Re: Madaktari wafukuzwa mbeya,bugando na dodoma......mwananyamala walazimishwa kusaini,vyuo vya udak

      Quote By Kapeleka
      Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.

      Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.
      Mkuu naomba kufahamu umesomea nini ambacho unakimudu katika maisha yako. Yaani mchango wako mkubwa kwa Taifa ni nini?
      Hivi unadhani serikali kujipanga kuleta hao madaktari kutoka huko ulikosema itawagharimu kiasi gani? Na ukilinganisha na madai ya madaktari sasa hivi kipi ni rahisi?
      Ukiweza kutujibu maswali hayo kwa ufasaha basi tutajua kama kuna ulazima wa kuendelea na mazungumzo haya.
      Asante.

    18. #95
      William wa Ukweli's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th June 2012
      Posts : 59
      Rep Power : 359
      Likes Received
      7
      Likes Given
      2

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      If this saga gets out of control, all Tanzanians will suffer a great deal.

      May God bless our country, and all noble citizens of this beautiful land, once used 2b known as the heaven of peace!! 2gather as one, united we stand!!!

    19. #96
      franksarry's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 9th November 2009
      Posts : 167
      Rep Power : 517
      Likes Received
      42
      Likes Given
      216

      Post Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Mwenyezi Mungu yupo pamoja nasi Watanzania wote,
      Dr S Ulimboka kapona toka mikono dhalimu...!, ndiyo mwanzo wa kuanza upya majadiliano, hiyo tisha toto ya kufuka au kuwarudisha Wizara ya Afya nk, ni njia zisizo na tija ktk kulimaliza tatizo,
      Govt Officials huwa hawapendi hoja, huvutiwa sana ubabe kwa kuwatumia Police Force, wanausalama...,
      Watanzania tushikamane kuliombea Taifa.

      Safari hii, tunaiona Govt imeshikwa pabaya sana..., Hon Speaker kasema leo bungeni suala lipo Mahakamani, Govt haiwezi kutoa Tamko, jana PM kwa mbwembwe za kibabe alisema leo Govt ingetoa tamko..., je ina maana PM na wasaidizi wake jana hawakujua suala lipo Mahakamani, na Bunge halitaweza kutumika kuzungumzia filled case?
      Je Hon PM huwa ni mvivu wa kufikiria, yupo mbali kikazi na wasaidizi wake au huwa hana tabia ya kujitayarisha kabla ya kuzungumza...?
      Was very serious kama Hon Speaker anaweza kumsahisha Hon PM tena ktk Bunge ambaye yeye ni Mkuu Govt bungeni, ktk suala nyeti kwa Taifa kama hili la Mgomo.
      Uweledi wa Hon PM upo wapi ktk hili Tatizo? yawezekana Office yake inaipotosha Govt at all....!
      JK yupo Dodoma, hoping labda kesho Govt itakuja na jipya ktk kulitafutia ufumbuzi wa kudumu ktk hili sakata.
      TANZANIA TUNAKUPENDA...!

    20. #97
      PMNBuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th December 2010
      Posts : 907
      Rep Power : 606
      Likes Received
      120
      Likes Given
      28

      Default

      Quote By Genecius Kaiza
      Bado tunahitaji kujifunza namna ya kutatua migogoro!!!! Nchi hii inakoelekea ni kubaya!!!!!!
      Sawa Baba wa Kiroho. Tuanzishie uzi wa maombi kuiombea nchi hii ili tukiingia Tahariri ya Jangwani tuiangushe salama srkali hii ya kidhuruma. Amina

    21. #98
      Mandingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd September 2011
      Posts : 927
      Rep Power : 572
      Likes Received
      186
      Likes Given
      52

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Habari nzuri sana hii,walimu nao wangefanya hivi katikati wazee wa kazi TUCTA nao wakichezesha
      kama kiungo, Vasco Da Gama safari zingepungua!

    22. #99
      KIBE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd November 2010
      Posts : 674
      Rep Power : 570
      Likes Received
      101
      Likes Given
      8

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Quote By vancomycin
      taarifa ambazo zimethibitishwa zinatabanaisha kuwa madaktari walio katika uzoefu kazini,intern doctors wameanza kufukuzwa katika hospitali mbalimbali ambapo katika hospitali ya dodoma madaktari 11 kati ya 33 wamefukuzwa na madaktari wote 70 waliokuwepo hospitali ya rufaa mbeya chini ya ulinzi mkali wa polisi wameambiwa waondoke kufikia saa 11 jioni ya leo wakati huo huo mkurugenzi wa hospitali ya bugando amewafukuza madaktari wote 44 na kuwataka warudi wizarani wakati madaktari waliosajiriwa wameamuriwa kufika kesho wawe kazini au la wanafukuzwa.

      Wakati huo huo madaktari wakazi waliitwa na senate ya bugando na kulazimishwa kurudi kazini lakini walikataa mbele ya senate hiyo hivyo wakaambiwa watafutiwa udahili wao na wote kwa pamoja wakapiga makofi wakisema wako tayari kwa hilo.

      Habari zaidi zinazidi kupasha kuwa hospitali ya mwananyamala wameletewa fomu za kujaza kama wako tayari kuendelea na kazi au la,ila madaktari wamesimamia msimamo wao huo kuwa mgomo uko pale pale.

      Katika hatua nyingine chuo cha tiba bugando na kile cha muhimbili viko mbioni kufungwa kutoka na walimu wao ambao ni madaktari kugoma na mazingira kutokuwa rafiki kwa kujifunzia.

      Wakati hayo yakiendelea taarifa zinasema hsopitali ya tanga bombo imeingia rasmi kwenye mgomo na ile ya mount meru

      habari zaidi madaktari wanajiandaa kwa mass resignation muda wowote
      \


      fukuza tu hawa wauaji bora tujue hatuna drs...kuanza upya hakuna shida

    23. #100
      Bantugbro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2009
      Posts : 2,409
      Rep Power : 1002
      Likes Received
      487
      Likes Given
      1490

      Default Re: Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

      Quote By Mlachake
      Wenzetu wakipata mafua Breki ya kwanza Airport.
      Mkuu Mlachake,
      Hivi watakimbilia wapi kama na wafanyakazi wa Airpot nao wakianza kugoma??? ama ndio tutaokota mizoga yao pale Uwanja wa ndege?
      Just because presidents screws around, it doesn't make a president for screwing around..

    24. Miaka 50
    Page 5 of 9 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...