Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 99
    1. #1
      anophelesi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 25th May 2012
      Posts : 37
      Rep Power : 359
      Likes Received
      15
      Likes Given
      0

      Default NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Bunge letu limeendelea kuwa la VITUKO kila uchao! Leo tena Mbunge wa Chama tawala Mh. Martha Mlata kaja na mpya kuwa Mgomo unaoendelea wa madaktari unadhaminiwa na kundi fulani. Hili hakika ni TUSI kubwa kwa madaktari wetu na ni vema AOMBE RADHI. Hivi kweli tumefikia kiwango cha kuwa-underrate madaktari wetu kwa kiwango hiki kwa kuwahusisha na malpractise ya aina hii. Anataka kutuaminisha kuwa wanachodai Madktari sio cha kweli bali wako influenced?

      Tunakumbuka jinsi wabunge walivyozua tafrani wakati serikali hii inaingia madarakani wakidai POSHO ZAIDI NA KUPIGIWA SALUTI, hivi kipindi hicho walilipwa na nani? Wao hivi sasa wamepandishiwa stahili zao kwa 100% hadi 10,000,000/= hili kwao limewezekanaje? Kwa nini kwa madktari, na watumishi wengine, iwe nongwa?

      Au ndio ule msemo wa ''Kunya anakunya kuku, bata anaharisha?''

      IT IS MORE THAN PAIN
      mzamifu likes this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      Matobolwa's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 8th June 2012
      Posts : 6
      Rep Power : 351
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Jamani hayo ni maswli ambayo huwa magamba wanayatengeza kisha wanapewa wale vimbelembele kama huyo martha mlata kuyauliza kwa ajiri ya kutaka kujiosha, na kama mmekuwa mkifuatilia waziri MIZENGWE PINDA amekuwa akiyatunia sana ktk maswala magumu ambayo pengine ingempasa awajibike, angalia ktk mngogoro wa ARUSHA walitengeza swali kama la leo na akajibu upuuzi kama wa leo. GODBLESE LEME akasimama na kusema amedanganya BUNGE na UMA WA WATZ na kumtaka awajibike kwa hilo MIZENGWE PINDA choo kikubwa kikamwijia. Kwa hiyo mambo kama haya ni kawaida kwao, wakizan watafanikisha. Mgogoro huu wa madaktari wetu anayeukuza ni MIZENGWE PINDA na serikali yake kutaka kujinufaisha wao.

    4. #42
      majorbuyoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 663
      Rep Power : 2613
      Likes Received
      183
      Likes Given
      238

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Mlata maneno na matusi yako madaktari wameyasikia na uombee usiumwe hata ukiumwa labda upelekwe India, vinginevyo sindano ya kupooza ubongo zinakusubiria.........

    5. #43
      Mujumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Location : Soweto
      Posts : 847
      Rep Power : 591
      Likes Received
      266
      Likes Given
      118

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Wako kwa maslahi ya watu na sio taifa

    6. #44
      Optimisticforchange's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Posts : 40
      Rep Power : 364
      Likes Received
      2
      Likes Given
      2

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      From what I see here, CCM should set aside special fund for the USELESS MLATA and her family to get all their medical service abroad. Madaktari tangazeni vita hiyo familia iking'aa tu hospitali yoyote hapa nchini.... LIWALO na LIWE.... Mpuuzi mkubwa huyo. Au ndo hizo milioni 10?

    7. #45
      dguyana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2011
      Posts : 426
      Rep Power : 507
      Likes Received
      109
      Likes Given
      66

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Quote By wakuziba
      mlata ni mtu mwenye akili zake. hawezi kusema neno from air. anajua analolisema. madaktari wanatumwa. si bure! she is right!

      Hata Lusinde ana akili zake yale matusi were not from air.
      Changudoa mwenye wivu a.k.a Jambazi lenye huruma

    8. Miaka 50

    9. #46
      mtendakazi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th March 2012
      Posts : 26
      Rep Power : 367
      Likes Received
      6
      Likes Given
      3

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      ukweli ni kwamba mlita mfumo wa kufikri kwake umepooza hana tofauti na kindergaten reasoning capacity. anaitaji kupewa brain wash out coz mtazamo wake hauna mashiko.

    10. #47
      Micro E coli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 552
      Rep Power : 492
      Likes Received
      103
      Likes Given
      88

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      watu kama hawa ni kuwa tia alama then wakija hospital wao au ndugu zao tunawatia adabu.

    11. #48
      junior2008's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th April 2009
      Posts : 512
      Rep Power : 614
      Likes Received
      38
      Likes Given
      1

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Quote By wakuziba
      mlata ni mtu mwenye akili zake. hawezi kusema neno from air. anajua analolisema. madaktari wanatumwa. si bure! she is right!
      Hao ndio wabunge wa CCM kazi yao ni kutumia masaburi kufikiri badala ya ubongo. Kinachotakiwa hapo ni serikali kutueleza katika makubaliano ya awali na madaktari wametekeleza yapi na bado yapi na kwanini (kama hayajatekelezwa) na ina mpango gani na kama madaktari wamekiuka makubadiliano waeleze ni wapi sio kuja na njia za vitisho za liwalo na liwe na kuteka na kuwajeruhi vibaya madaktari. Kuna haja pia katika katiba mpya kuondoa kabisa viti maalum kwa kuwa havina tija zaidi ya kutuongezea mzigo walipa kodi. Mlata inatakiwa pia athibitishe kauli yake!!

    12. #49
      Nyahende Thomas's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th November 2010
      Location : Chabugheche
      Posts : 187
      Rep Power : 470
      Likes Received
      83
      Likes Given
      28

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Quote By MwanajamiiOne
      Mheshimiwa Mlata ahujiwe na Police kwani inaonyesha anajua mengi so ni shahidi muhimu hahahahah!
      Polisi wa kumhoji ndio kama yule aliyekutwa chooni anapiga simu kwamba Dr. Ulimboka hajafa? Labda baade sana, kwa sasahivi integrity ya jeshi la polisi iko kwenye hatihati.
      It has come a time when Silence becomes a betrayal - Martin Luther King Jr.

    13. #50
      Mr.Busta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th March 2011
      Posts : 572
      Rep Power : 527
      Likes Received
      85
      Likes Given
      1

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      viti maalum vifutwe

    14. #51
      Kigogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,171
      Rep Power : 2089
      Likes Received
      1228
      Likes Given
      313

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      mtu anayepata ubunge kwa ajili ya kukata viuno majukwaani wakati wa kampeni unategemea ataongea nini cha maana...!!!.. ihate Viti Maalum....
      ______________________________ _
      Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

    15. #52
      georgeallen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Location : Seattle, WA, USA
      Posts : 2,050
      Rep Power : 0
      Likes Received
      516
      Likes Given
      259

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Quote By Rogi
      daah so sad..ulivyosema MIL 10 nimeumia sana kwakweli..huku sisi wengine tunatoil mbaya na bado hakuna posho..
      Huna Posho? Wewe lazima utakuwa mwalimu.
      Rogie likes this.

    16. #53
      mpepalilambo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th June 2012
      Posts : 72
      Rep Power : 361
      Likes Received
      8
      Likes Given
      3

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Quote By segwanga
      naogopa ban lakin ww ndg yangu masaburi yako yanawasha na unahitaji mkunaji toka kwa camerun
      Toa hoja matusi ni dalili za kuishiwa hoja.

    17. #54
      Nduka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd December 2008
      Posts : 5,568
      Rep Power : 1630
      Likes Received
      379
      Likes Given
      552

      Default

      Quote By Kigogo
      mtu anayepata ubunge kwa ajili ya kukata viuno majukwaani wakati wa kampeni unategemea ataongea nini cha maana...!!!.. ihate Viti Maalum....
      Mbona mnatoka povu kama sio kweli? Mnaipa nguvu hii dhana.

    18. #55
      MKALIKENYA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 703
      Rep Power : 500
      Likes Received
      281
      Likes Given
      405

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Huyu mama usiku wa kuamkia leo alikuwa amelala chumba kimoja na WASSIRA hapa ST GASPER kwa unaweza pata picha ya alichotapika leo na alichofanyiwa jana usiku na mzee wa GOMBE.

    19. #56
      harnsnass's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 7th November 2011
      Location : kinyampanda
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default

      hakuna anaejua ukweli juu ya hili zaidi ya hao waliolifanya,na jeshi la polisi hawawezi kuibua ukweli juu ya hili maana na wao ni binaadam na wanakosew so cha msingi ni kutafuta njia rahisi ya kuvumbua ukweli maana hata mimi siliamini hili jeshi la polisi

    20. #57
      Curriculum Specialist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2007
      Posts : 1,888
      Rep Power : 1597
      Likes Received
      559
      Likes Given
      183

      Default

      Quote By Rogi
      Hii huwa haiwalengi wabunge wa magamba ni upinzani tu..
      Hailengi wapinzani, inalenga CHADEMA! Ni bora tuwe tunaitenga chadema na wapinzani wengine!
      Rogie likes this.

    21. #58
      blackpearl's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th May 2011
      Posts : 47
      Rep Power : 413
      Likes Received
      0
      Likes Given
      2

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Huyu anafkiri kila mtu anahongeka kama tabia yao ya kuhonga kofia na khanga za yanga!

    22. #59
      Rogie's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Location : Darul Islamia
      Posts : 1,913
      Rep Power : 1144
      Likes Received
      480
      Likes Given
      334

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Quote By georgeallen
      Huna Posho? Wewe lazima utakuwa mwalimu.
      Hahaha...sio kile nilichoandika kinadepict kazi yangu..naongelea watanzania wengi kwa ujumla wetu..
      "You have your people,and I have mine"
      [email protected]

    23. #60
      Rogie's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Location : Darul Islamia
      Posts : 1,913
      Rep Power : 1144
      Likes Received
      480
      Likes Given
      334

      Default re: NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

      Quote By Curriculum Specialist
      Hailengi wapinzani, inalenga CHADEMA! Ni bora tuwe tunaitenga chadema na wapinzani wengine!
      Kwanini tuitenge......
      "You have your people,and I have mine"
      [email protected]

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...