speacilists at MNH -TOTAL TOOLS DOWN,Watamtibu mgonjwa mmoja tu-jemedari ulimboka stephen.
speacilists at MNH -TOTAL TOOLS DOWN,Watamtibu mgonjwa mmoja tu-jemedari ulimboka stephen.
Nawaunga mkono madaktari! kwani haliza wodi zetu hazifai ukiingia wodini wagonjwa hadi sakafuni wamelala sasa hebu fikiria daktari anafanya kuruka watu na wakati mwingine amkanyage mtu kwa bahati mbaya ndipo amfikie mgonjwa, kumbuka mgonjwa amelala sakafuni anataka atibiwe daktari anamtibuje mgonjwa.
Ukiingia wodi za kina mama wanaotaka kujifungua hali ni ileile wanalala chini daktari anamuangaliaje huyu mama sakafuni kumpima kujua njia imefunguka kiasi gani ili aweze kumuungiza chumba cha kujifungulia???
Ulimboka na wenzake wanadai mazingira mazuri ya kufanyia kazi ila serikali yetu dhaifu inaingiza huu mgomo wa kuwa ni posho za madaktari haitaki kusema ukweli na haitaki kuwa wazi, Serikali inapotosha ukweli hapo ndipo inapowakera madaktari.
Mimi binafsi natibiwa muhimbili najua hali halisi ya pale, nimehsatibiwa mwananyamala hivyo serikali iwe wazi iseme kweli
"DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"
http://www.dullonet.com/dullonet-live/
Mkuu hii link ina radio za Ki-tz ambazo unaweza kupata matangazo ya bunge. Kuna Kiss FM cum RFA naamini kati yake inamatangazo ya bunge.
THanks
"Tanzania has every Thing in Nature, Except Valid Technology and Politics"
running from the problem does not solve the problem tukubali selekali yetu inalikimbia tatizo
bila kulisolve kesho itakuaje ukikimbia tatizo kesho linarudi ukilimaliza kesho utasolve lingine
Get well soon kamanda Ulimboka mapambano yanaendelea mpaka mabadiliko ya kweli yaonekane.
"Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
"Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"
Mnyonge mnyongeni haki zake mpeni. Doctors wanastahili stahiki zao kwa kiwango kizuri kama mwananchi mwingine. Lakini woote ni mashaidi, ni nadra sana kupata huduma nzuri katika hospitali za serikali ambazo ma Dr hawa wanafanya kazi. Sababu ni nyingi sana, lakini mojawapo ni kuwa, wana fanya kazi sehemu nyingi sana wao wanaita VIOSKI. Muda mwingi (sana sana ma -specialist) wanatumia katika shughuli zao na serikali binafsi, na mara nyingi sana watakuhudumia vizuri sana wakiwa katika hospitali za binafsi. Hili nalo ni tatizo kubwa sana! serikali ilichemka toka mwanzo. Kwa hiyo, hawa Ma doctor kwa hiyo hawana uzalendo wa kweli kiviiiilleee! Ni njaa tu kama tulivyo wengine. Kwa maoni yangu, serikali boresha Maslahi yao, piga marufuku kufanya kazi Hospitali za binafsi labda kama ni week end ambapo hayupo zamu, wakifanya hivyo complians nyingi sana zitapungua!
Hii nimeipenda sana!
Ngoja tumsikilize huyu pinda atasemaje!
Serikali ililijua hili na imefanya hivo raia wafe, maana Serikali dhaifu imebaki kuharibu 2 sasa
Wapi we aseme nini. Huyu jamaa huwa anakurupuka tuu ooooooooh liwalo na liwe! Yaani ka vile ana awezalo kulifanya! Kamshindwa katibu wa wizara mwizi akabaki kulialia tu! Hana kauli huyo! Kaambiwa akae chini. Yaani hata ukimwona leo bungeni anatia huruma! Wallah ka mimi Mizengo naachia ngazi! Last time alipoenda kuongea na madaktari aliwaomba wampigie makofi! This time ataomba WAMPIGE sindano! Shem on you Pinda!
Follow Us Here