speacilists at MNH -TOTAL TOOLS DOWN,Watamtibu mgonjwa mmoja tu-jemedari ulimboka stephen.
speacilists at MNH -TOTAL TOOLS DOWN,Watamtibu mgonjwa mmoja tu-jemedari ulimboka stephen.
Hivi serikali iliwezaje kulipa shilingi milioni 152 kila siku kipindi cha richmond?hivi pesa za rada zimeliwa kiasi gani tukiachia zile zilizogundulika na zikabatizwa jina la chenji ya rada,kana kwamba tulilipa kiasi kadhaa na kisaha muuzaji akawa hana chenji,je zile za rada alizokula chenge naye akazibatiza vijisenti,pesa zililiwa kwenye sakata ya EPA,kumbuka zilizoliwa na kina kagoda,meremeta nk,juzi tu tumeambiwa zingine ziko Swiss bank zaidi ya billion 300,na ufisadi mwingine mwingi tu.je ni kweli haiwezekani kulipa mishahara mizuri kwa madaktari wetu?hata kama si kwa kiwango cha mil 3 walivyoomba madaktari je offer ya serikali walitoa ngapi?maana serikali hawakutoa offer,leo unawalaumu si upuuzi huo.wote mnashabikia ujinga na kuwakatisha tamaa madaktari juu ya kutetea maslahi yao,maslahi ya wananchi na kuleta mapinduzi yenye tija katika sector ya afya mlaaniwe kabisa.
nipo mbele yenu wataalamu!
Mkirua una matatizo, hivi serikali inapofanya maamuzi ya kijinga wangapi wanaatirika na kwa kiwango kipi? unaweza kueleza, na kwa nini unashindwa kujua kila mtu above 18 ana wajibu kwa kila jambo linalomzunguka, raia asipopiga kura atawajibika kwa hilo be it kwa mazuri au kwa mabaya, watu gn hao unaowatetea ambao hawawajibiki kwa haya yanayotokea, either kwa kukaa kimya kwao, au uchaguzi mbovu wa wanaotoa maamuzi au uzembe mwingine wowote ulioleta hali hii.., hebu eleza bwana, sioni maana kila wakati kuelezea madhara ya matokeo ya hali hii bila kueleza chanzo na vilivyosababisha, utapataje suluhisho..!
Madaktari wamechoka kushuhudia watanzania wakipoteza msia kwa kukosekana kwa sindano za kuwatundikia dripu, akina mama wakipoteza wato to wachanga kwa kukosekana kwa pmpu za kuwanyonya maji machafu vichanga hivyo vilivyomeza wakai wa kujifumgua ambazo huuzwa si zaidi ya Shilingi elfu 20,000/= n.k
"Hatuwezi kutatua matatizo kwa akili ile ile ambayo ilisababisha yawepo"..Mch. Peter Msigwa
Tulio mikoani tunaona mazingira mabpvu ya kazi ambayo madaktari wanalazimishwa kufanyia kazi kitu ambacho kina ulimboka kinawapa nguvu kufanya mgomo, si kuttea maslahi yao bnafsi tu bali ya watanzania. Nyie mnaotukana madaktari ndio ninyininyi mnao lalamika huduma mbofu kisa mkienda hospitai mkiambiwa mnunue vifaa wakati vinatakiwa kutolewa bure ila gov haitimilizi, wao wanaenda nje! Hospitali moja kubwa wakati fulani ilikua haina hata syringe...these are the issues mgomo huu una adress, na ndio maana utaendelea.
Inaction is a weapon of mass destruction!
Hizi ni propaganda za kisiasa zinazosambazwa na kushabikiwa na wahuni, wachochezi na walafi wa madaraka; kwa ufupi hali katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa leo ipo shwari Madaktari wameshatii order ya Mahakama na wanachapa kazi kama huamini pita ujionee mwenyewe hali inavyokwenda; Aidha kuna upungu mdogo wa Resident Docka ambao huwa ni wanafunzi wa Chuo cha Muhimbili kwa masamo ya Udaktari Bingwa ambao kwasasa wapo katika likizo ya wiki Mbili kujiandaa na mitihani ya UE ambayo itaanza tarehe 9/7/2012; hivyo pengo lililo achwa na Resident Doctor ambao hufanya kazi za mabingwa ndio kunafanya watu wasiofatilia mambo kwa kina kufikiri kuwa kuna Mgomo wama daktari Bingwa kumbe sivyo.
Wananchi msipotoshwe na kikundi cha watu wachache wakiwemo viongozi wa Jumuia ya madaktari ambao wanalazimisha mgomo kuwepo sivyo kwa maslahi ya wanasiasa wachache wanaowatumia bila kujali uhai wa Mtanzania
Uhuru wa kweli wa Taifa utaletwa na Mapinduzi ya kweli ya Fikra ndani ya Wanachama na wapenzi wa CCM!@
Madktari komaeni mpaka kieleweke.Namtakia afya njema Dr. Ulimboka.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Follow Us Here