Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

    Report Post
    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 21 to 40 of 66
    1. #1
      SirBonge's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th July 2010
      Posts : 167
      Rep Power : 582
      Likes Received
      91
      Likes Given
      32

      Default Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

      My take:
      -Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
      -Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi!
      Avanti likes this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      mwarain's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Posts : 56
      Rep Power : 378
      Likes Received
      17
      Likes Given
      70

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Quote By Angel Msoffe
      hatutekelezi dai lolote, mkuu wenu tumempiga na mkigoma tunawatimua kazi LIWALO NA LIWE sisi tunatibiwa nje ya nchi bana! Ala!
      Haya watz wote wakiumwa wanaenda huko au ndo WALANCHI wenye BILIONI 300 Uswizi? Ama kweli mwenye nacho huongezwa!!!!!!
      Chenge alilijua hili ndo maana kale kKABILIONI 1 kule Visiwa vya Jersey ni VIJISENTI!!!

    4. #22
      KakaJambazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2009
      Posts : 4,281
      Rep Power : 2735
      Likes Received
      1078
      Likes Given
      935

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Waweke na sheria ya wakiumwa wasitibiwe katika hospital za tz. Liwalo na liwe.

    5. #23
      Kimbito nyama's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th April 2012
      Posts : 156
      Rep Power : 390
      Likes Received
      38
      Likes Given
      19

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      [QUOTE=Avanti;4135567]
      Quote By SirBonge
      SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

      My take:
      -Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
      -Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi![/QUOTE

      Safi sana! Mgomo wa madktari uliua ndugu yangu, timua tu, ni bora tujue hatuna madaktari nchi hii ili tumwombe mungu atuponeshe kwa magonjwa yatayotujia, kwanza watu wenyewe wanapeleka madawa ya serikali kenye dispensari zao.
      Unaweza kuleta ushahidi kuwa mgomo ulimwua ndugu yako? na ndugu yako ni nani? Je ukosefu wa huduma bora unaweza sababisha kifo pia? tumia ubongo wako vizuri

    6. #24
      SirBonge's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th July 2010
      Posts : 167
      Rep Power : 582
      Likes Received
      91
      Likes Given
      32

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Quote By Mrimi
      Source mkuu!!!
      Isije ikawa trick ya kuwavunja nguvu madocs.
      Source ni daktari aliyetimuliwa mkuu!

    7. #25
      Lyimo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 1,799
      Rep Power : 1526
      Likes Received
      796
      Likes Given
      450

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Bado hilo siyo suluhu. Hivi kweli Tz hakuna viongozi wenye BUSARA?
      "Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Imany John's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th July 2011
      Posts : 1,970
      Rep Power : 2977
      Likes Received
      471
      Likes Given
      4

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Kweli kisomo cha pm kimeishia kwenye LIWALO NA LIWE?

    10. #27
      jigoku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 1,425
      Rep Power : 998
      Likes Received
      359
      Likes Given
      536

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Haiwezi kuwa katika misingi hiyo,taarifa rasmi za kuwafukuza zitatolewa na viongozi wa juu,tusubiri tamko la serikali na hata hivyo taarifa nilizo nazo wako zaidi ya 11 na wote waligoma iweje watimuliwe wachache?hii ni some sort of frightening trick.wao wako tayari kwa lolote,na walilijua hili kabla,lakini mwisho wa siku sio kuwa ndio wanatatua tatizo,bado tatizo litabaki palepale,ni veme wakatafuta suluhu kwa kuangalia mzizi wa tatizo sio matokeo ya matatizo.

    11. #28
      Mzalendo JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Posts : 902
      Rep Power : 530
      Likes Received
      277
      Likes Given
      213

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Quote By zomba
      Hii safi sana, wakagome majumbani kwao.

      Hakuna daktari anaetafuta kazi waende Private wakale bata huku serikali ikiua wananchi wake

    12. #29
      Kima Mchanga's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 3rd October 2011
      Location : Dynamic
      Posts : 4,495
      Rep Power : 11225
      Likes Received
      603
      Likes Given
      446

      Default

      Quote By SirBonge
      SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

      My take:
      -Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
      -Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi!
      Hivi kwanini serikali haitaki kujifunza?
      Hii inaipotezea uhalali wa kutawala,kwani ina dhamana ya kujali na kutunza afya za watanzania!
      Ee Mungu tusaidie sisi watanzania!
      Mungu ibariki Tanzania.

    13. #30
      nyabhingi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Posts : 3,221
      Rep Power : 1291
      Likes Received
      1356
      Likes Given
      2646

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      madokta wana soko kubwa la ajira dunia nzima...watapata kazi soon
      Every nation in every region now has a decision to make: Either you are with us, or you are with the terrorists.George W. Bush

    14. #31
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Liwalo na LIWE

    15. #32
      Chakaza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2007
      Location : everywhere
      Posts : 3,538
      Rep Power : 1473
      Likes Received
      880
      Likes Given
      521

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Quote By Likwanda
      Timua wote maana wanacheza na maisha ya watu, kama mshahara hautoshi si unaacha kazi tu.
      Tatizo watu mmeaminishwa na CCM kuwa madaktari wanagoma kwa vile mishahara haitoshi. Hilo la maslahi yao ni dogo sana ndani ya madai yao,wao wanakupigania wewe na wengine ili huduma ya afya iwe bora. Kuna sababu gani ya kuwa na daktari wakati hakuna dawa wala vifaa vya kutibia?
      whitehorse and yatima like this.
      Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi

    16. #33
      sosoliso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2009
      Location : Mwembekiuno
      Posts : 2,796
      Rep Power : 17954
      Likes Received
      1586
      Likes Given
      1515

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Quote By Inkoskaz
      Hao wanajeshi wao wako wapi? Madaktari wasioweza hata kuwasha mashine ya xray...hakika watz mmezoea kudanganywa
      Mkuu hii avatar yako inaniacha hoi hapa.. Ni mazoezi au jamaa anawashwa na ndio anajikuna kwa dizaini hiyo..?

    17. #34
      Mzee wa Rula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Posts : 6,365
      Rep Power : 12709
      Likes Received
      2189
      Likes Given
      1819

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Quote By Bajabiri
      Eh,haya LIWALO NA LIWE..........
      Nguvu haitasaidia katika suala hili la mgomo wa maDR.

    18. #35
      Madela Wa- Madilu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th March 2007
      Location : NORTH WEST USA
      Posts : 2,524
      Rep Power : 2441
      Likes Received
      278
      Likes Given
      286

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      MMmh Kwa nini hukumwomba Mungu awali ili ndugu yako apone?
      Au kwa vile ni matatizo ya yajayo unajifariji?

      Kuna vita ambazo siku zote zinashindwa hata kabla ya kuanza.
      Hakuna hekima yeyote kushangilia Ma Dr kutimuliwa wakati hatujaingia mkataba na maradhi ili yasitushambulie.
      Sualala mgogolo wa Ma Dr linahitaji busara si UDAHIFU wa Liwalo na liwe.
      Mwenzenu Pinda na Genge lake waana Sibitali yao huko India kwa wajomba zao inaitwa Appolo

      Labda kwa vile kitakuwa kifo cha wengi umeamua kufanya harusi?
      [QUOTE=Avanti;4135567]
      Quote By SirBonge
      SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

      My take:
      -Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
      -Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi![/QUOTE

      Safi sana! Mgomo wa madktari uliua ndugu yangu, timua tu, ni bora tujue hatuna madaktari nchi hii ili tumwombe mungu atuponeshe kwa magonjwa yatayotujia, kwanza watu wenyewe wanapeleka madawa ya serikali kenye dispensari zao.
      MYPEOPLE PERISH FOR LACK OF KNOWLEDGE. HOSEA 4:6

    19. #36
      Leodgard's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd June 2012
      Posts : 33
      Rep Power : 354
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default

      Kama mtaendelea kufa au mtapona Watanzania mtajijua""LIWALO NA Liwe ""so mkwara hausaidii karne hii !! PindA a some alama za nyakati.. Asikurupuke kwenye kutimua NA kudhuru baadhi yA madoctor!!

    20. #37
      Ndallo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2010
      Location : LaRusa
      Posts : 4,116
      Rep Power : 6361
      Likes Received
      1478
      Likes Given
      409

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Yangu macho!
      '' Mtu ni Utu sio Kitu''

    21. #38
      samora10's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st July 2010
      Location : Kwa-Gude
      Posts : 3,252
      Rep Power : 1102
      Likes Received
      729
      Likes Given
      1163

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Liwalo na Liwe! wenzenu tunatibiwa India
      ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

    22. #39
      yatima's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2011
      Location : small room
      Posts : 352
      Rep Power : 486
      Likes Received
      106
      Likes Given
      121

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      LIWALO NA LIWE - maneno yaliyojaa CHUKI KWA WATU MASKINI WA KITANZANIA - WALIOFANYWA MASKINI NA VIONGOZI MAFISADI - WADHULUMAJI

      Sawa Liwalo na Liwe - lakini iko siku - maneno yatamrudia mwenyewe.

      JAMANI SASA WATANZANIA TUFANYEJE???? DEMOKRASIA YA HII NCHI IKO WAPI??? WENGINE WAJILIMBIKIZIE MALI BILA KUJALI HAKI ZA MSINGI ZA WANANCHI! HIVI pm WETU AMESHAINGIA WODI ZA MUHIMBILI???????AMESHAONA WAGONJWA WANAVYOLALA CHINI??? AMESHAONA MADAKTARI NA WAUGUZI WANAVYOFANYA KAZI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU??????

      DONT BE A WEAPON TO INFLICT PAIN IN OTHER PEOPLE HEARTS

    23. #40
      Wachovu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th June 2012
      Posts : 222
      Rep Power : 1112
      Likes Received
      44
      Likes Given
      0

      Default Re: Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

      Liwalo a Liwe ni kauli ya mwendawazimu , Je baada ya hapo iweje

    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...