Kuna taarifa kuwa katibu wa Medical Association of Tanganyika (MAT) ameanza kupigiwa simu na watu wasioeleweka kama ilivyomtokea Dr. Ulimboka.
Madaktari wameshapeana taarifa na wameahidi kumlinda kwa gharama yoyote. Hii inamaanisha ni vita dhahiri kati ya wahudumu wa afya na serikali.
Tuendelee kuona mwisho wa sakata hili tete!
GET WELL SOON DR STEPHEN ULIMBOKA!

Reply With Quote



Follow Us Here