wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.
wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.
SOURCE plz
hiyo iko wapi mkuu?????????mbona mambo yanatisha!
Hata kama ni speculation lakini ni logical. Madaktari ni watu wenye ufahamu mkubwa fani yoyote watakayoingia watafanikiwa. Wakiamua kuingia bungeni kama Kigwangala patakuwa hapatoshi. Kama ni biashara si lazima kufanya biashara ya hospitali. Wanaweza kufanikiwa katika enterprise yoyote kuliko kudhalilishwa na kuishi kwa hofu!!!
unabii lazima utimie hata kama sterling atakufa kwenye trailer
Not possible
"Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
"Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"
hiki ni kichekesho
Moola's the motive
source plz
"Na liwalo na liwe" Mtoto wa Mkulima lol
Kama ni kweli basi itatisha zaidi.
"Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"
Ee! Mungu nchi yangu Tanzania imekukosea nini?
Hata wa private.... Sidhani aisee hapa umeweka kachumvi kidogo ila Liwalo na liwe..
Bora waSignOff tutashukuru ni bora tubaki na ma Medical, Medical Ass, Manesi hata waganga wa muuti Shamba kuliko hawa wanaotumika kisiasa kuiita Serikali dhaifu eti iwalipe 3.5m
Ukwaju bwana ?
Follow Us Here