wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.
wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.
Mtatibiwa na mr dhaifu
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
[email protected]
Wabunge watfurahi sana, hasa wa CCM.
Simple life is healthier than egoism.
Sina shaka nchi kama Tz iko tayari kupoteza professionals na kukumbati politicians ambaye kimasilahi wako 100 times better than doctors ambao ni ndio machineries na engineers wa miili yetu. Kwanza ya kusomeshnsive a dr pale moi is too expensive. Lakini sina shaka we have sick Pm ambaye hana sifa mtt wa mkulima.
Mleta uzi anaumwa apelekwe mirembe
serikali inapaswa kuangalia kwa umakini zaidi, maana hapa mr dr nayeye asimamie drs.
Ngoja nitafute ilipon kadi yangu ya kupigia kura kabisaa.
Changudoa mwenye wivu a.k.a Jambazi lenye huruma
Unaunga mkono huu UHUNI? Kwani nchi hii wafanyakazi ni Madaktari tu? Kwani wengine hawahitaji mishahara mikubwa? Nani ataweza kulipa mishahara mikubwa hiyo ya milioni 3? Ni uhuni huo. Serikali yoyote ile lazima iende kwa awamu. Tunajua kwa sasa night call zimeongezwa na zinalipwa sasa hizo nyingine si wasubiri? Ni datari gani huyo ambaye hajui hata kama nchi hii inaendeshwa na bajeti? Hawajui hata kama amri ya mahakama ni kauli ya mwilsho? Ni udaktari gani hauzingati hata taaluma yao wenyewe? Ni uhuni huo. Unataka uanze kazi leo na kesho uwe milionea? Acheni kusapoti mambo ya yasiyo na maana.
madaktari wabwage manyanga.. Ayaokote mhe.
Bila ya shaka mawazo haya yanatoka kichwani kwa mgonjwa. Ni kweli kada zote zinahittaji mishahara mizuri, kwahiyo unategemea madaktari wawaombee hao wengine nyongeza ya mishahara?. Hao wameonyesha mfano na sisi wengine tukiona kuwa salary zetu zipo chini tutafute njia ya kudai pia na sio kuleta ujinga ujinga, upuuzi na udhaifu wa ki-ccm.
hahahah nini bwana mkuu wa nchi keshasema liwalo na liwe ... sie wananchi wa kawaida tukalale viwanja vya ndege ili wasikimbilie kwenda kutibiwa nje na walivyo na ma deal mengi ya wizi yanayopandisha mijipressure yao ni sooo
Waki resign wote nitawaona wapo serious kuliko kutugomea kila siku.
Wacha wa resign ili tutafute plan B
Follow Us Here