Kazi ya kuhudumia wananchi ni ya serikali sio ya madaktari, sasa kila mtu na lwake hakuna kulalama . Leo nimeangalia Television ya ATN yule mtume wao anaombea migomo Tazania ikome kabla ya maombi anasema hivi " haya tupande mbegu ya maombi mwenye shilingi elfu 10, 20 , 30 au tuma kwa m-pesa leta ,leta panda mbegu panda " pesa zikamiminwa sijui kapata maelfu mangapi , sasa unaweza kuona nchi yetu ilipofikishwa kwa kutawaliwa na watu wachache wenye akili finyu soote tumekuwa mazoba , mpaka wajanja wanatumia uzoba wetukutengeneza pesa
Follow Us Here