Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Report Post
    Page 5 of 40 FirstFirst ... 3456715 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 791
    1. #1
      Fred Katulanda's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st April 2011
      Location : Mwanza, Tanzania
      Posts : 209
      Rep Power : 461
      Likes Received
      213
      Likes Given
      67

      Default Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      "Ndugu zangu,

      Najaribu kutuliza mawazo ili angalau niweze kuwapa kidogo tulipofikia na tunakoelekea juu ya suala hili. Kwa kweli haivumiliki ukimwona ulimboka kwa jinsi alivyotendewa na hali aliyonayo; kwa wale wanaojua hali za kitabibu, "this is a very unstable condition that demands permanent watch 24/7".

      Kwa taarifa tulizokusanya, ulimboka na mwenzake waliitwa na Afisa mmoja (Jina linahifadhiwa) ili kuzungumza mambo (fulani) na wakiwa wanaendelea na mazungumzo bila kuwa na mwelekeo wa muafaka, jamaa akawasiliana na watu (fulani) kwa simu. Ghafla wakajitokeza "ASKARI" wakawataka yule (Afisa) na Dr (aliyeongozana na Ulimboka) waendelee na shughuli zao na kuwambia "Tunamtaka huyu". Wakatumia nguvu, wakamburuta na kumtia kwenye gari jeusi na kuondoka naye wakidai wanampeleka Polisi.

      Huku wakiwa wanamtesa, walimlazimisha mambo kadhaa (kwa sasa tusiyataje) wakaenda naye asikokujua, wakampiga sana kwa ngumi, mateke na magongo na wakati mwengine wakitumia Bunduki zao. Wakiwa wanampiga pia walikuwa wakisema kuwa amewatesa/wasumbua sana na kuwa anajifanya mjanja mbele ya (Srk) na hivyo wanamalizana naye; akapoteza fahamu...

      Wakamtupa eneo la mapori huko Tegeta hadi alipookotwa na wananchi asubuhi na kukabidhiwa mikononi mwa Wanaharakati waliompeleka Hospitali Muhimbili.

      Wakati akipokelewa MOI tayari baadhi ya wanaharakati walishafika eneo lile, kumbe kati ya walimpokea alikuwamo kijana anayesadikiwa kuwa ni "Askari". Huyu aligundulika baada ya mda mfupi akiwa amejificha chooni akiwasiliana kwa simu na watu aliokuwa akiwaambia " Hajafa. Bado anahema.... na maneno mengine yaliyoashiria kuwa waliofanya 'kazi' ile hawakukamilisha 'maagizo'. Vijana wakamfundisha adabu kwa hasira na kumkuta akiwa na Redio Call, ambayo baada ya muda mfupi Polisi FFU walifika na gari na vifaa vya vurugu wakiisaka ile Radio.


      Nashindwa kuendelea....."
      NB: Haya ni maelezo ya mwanaharakati Albanie Marcossy wa LHRC
      Quote By Mupirocin View Post
      Katika taarifa ya habari mtu aliyekuwa akimtafuta mfululizo kwa siku tatu ni mtu wa Ikulu aitwaye kwa jina moja David na baadaye aliondoka kumfuata huyu David na baadaye akatekwa infront of him. Kwa mwenye akili anajua tu hii ni plan from somewhere
      Quote By Azimio Jipya View Post
      Mbona hili wala sio siri tena ... Jamaa alimpigia simu wakamalize maongezi LEADERS CLUB!!! Ulimboka akaondoka na Rafiki yake mmoja! Wakati wanongea na huyo Jamaa hakueelwana ...

      Jamaa akapiga simu kwa hao wanjeshi walikuja kumburuza na kumchukua ... wakamuacha Rafiki wa ulimboka na huyo jamaa mwingine kwa kusema hatuwahitaji nyie tunamuhitaji Dr Ulimboka ....!

      Rafiki wa Ulimboka ... Akapiga simu kwa waaharakati wa Haki za Binadamu ..Hellen Kijo Bisimba at al .. na usiku huo wakaanza kumtafuta na kuripoti vituoa mbalimbali vya Polisi ...lakini Kila kituo wakidai ... hamjui huyo mtu .... labda waje asubuni .... na subuhi? Wapata habari toka kituo cha polisi tegata .... kaokotwa mtu ....blabalahhhh!!

      Source. Hellen Kijo Bisimba!!
      Lyimo, BAK, Ibambasi and 63 others like this.


    2. #81
      jigoku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 1,505
      Rep Power : 1018
      Likes Received
      377
      Likes Given
      537

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By Mwea View Post
      siyo ulihifadhi anaitwa Abeid
      wakuu hapa JF naomba tusifanye propaganda kama kweli tunachukizwa na kitendo cha serikali kufanya ufisadi wa kupindukia,kufuja mali za umma kwa kufuru,serikali kutokushughulikia mambo ya msingi na kusababisha migomo isiyoisha kwa muda mrefu,kutoka kwa wafanyakazi na wanafunzi na hatimae leo tuko kwenye mgomo unaogusa moja kwa moja uhai wa watanzania hasa wenye kipato cha kati na cha chini,ni vema basi tusikae tunaficha ficha mambo hapa.
      NAOMBA TUWATAJE HADHARANI WALE WOTE WALIOHUSIKA KUMTEKA DR ULIMBOKA,HAKUNA SABABU YA KUFICHA WATAJENI WOTE TUWAJUE KWA UWAZI,HATA PICHA ZAO WEKENI HAPA TUWAJUE.
      Kuficha ni sawa na kuutetea unyama huo uliofanywa na huenda ukawa endelevu kwa siku zijazo.watajeni,wekeni na picha zao tuwajue hawa wauaji,na hata kale kapolisi mlikokashika Mhimbili wekeni hapa picha yake.mtu mwenye taarifa sahihi za tukio zima alilofanyiwa dr Ulimboka naomba mtuwekee hapa,msiwafiche hawa,tuwaanike walishazoea kuuwa.
      Niwakumbushe wale wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge mpaka leo haijulikani nani aliwauwa na hii ni kutokana na tabia ya kuficha mambo.kwa mwenye taarifa nawaomba tuweke hadharani.

    3. #82
      Zion Daughter's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th July 2009
      Location : Mlimani
      Posts : 7,670
      Rep Power : 13904
      Likes Received
      3307
      Likes Given
      1782

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By Zanta View Post
      Jibu likuwapi mpendwa
      hulioni?

      The POWER of LOVE !!!!

      Its true that we don't know what we have got until we lose it and we don't know what we have been missing until it arrive.

    4. #83
      Rogie's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Location : Darul Islamia
      Posts : 1,958
      Rep Power : 1158
      Likes Received
      495
      Likes Given
      340

      Default Re: RAIS JAKAYA KUWA MUUNGWANA JIUZULU MARA MOJA. Chance for You.

      mmmh chezeya magamba wewee
      "One day your eyes will open and your mind will learn,with pain and laughter,you will know what you are."
      [email protected]

    5. #84
      tanira1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2011
      Posts : 667
      Rep Power : 516
      Likes Received
      114
      Likes Given
      102

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      uenda kapewa adhabu kubwa hivyo wakidhani anawakilisha chadema leo bungeni kiwia kalisema la ulimboka akuna aliyeomba muongozo adhibitishe ndugai alitaka kumueleza kiwia adhibitishe akabonyezwa asiendelee kumuuliza la ulimboka ikaishia hewani cdm makao makuu mnakauli gani juu ya hili na kama chama nini kifanyike?

      ''MIAKA HAMSINI(51) YA UVUMILIVU''​

    6. #85
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,588
      Rep Power : 1813
      Likes Received
      666
      Likes Given
      0

      Default Re: RAIS JAKAYA KUWA MUUNGWANA JIUZULU MARA MOJA. Chance for You.

      Serikali imeshindwa hoja...inatumia mabavu mtaweza?mtaua wangapi??mbona wabunge mnawapa tu mamilioni kila kukicha?


    7. #86
      OSOKONI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th October 2011
      Posts : 3,913
      Rep Power : 1169
      Likes Received
      1056
      Likes Given
      804

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By English Learner View Post
      My beloved country Tanzania. Why HAIFU is destructing you? Where is peace said you are an Island of?
      This is official announciment of War Iam going frontline follow me I will be the first person to die !!!
      Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!

    8. #87
      KABALE's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 94
      Rep Power : 604
      Likes Received
      15
      Likes Given
      4

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By ruttashobolwa View Post
      Yan haya ni mauaji kbisa na tunahitaji tamko la serikali kwa hili.

      Kumbe ndio maana ya msemo wa liwalo na liwe.
      Kumbe wewe ulikuwa ujui .....? That shinyiem govt.. watesaji hawa wamepata specialised training kuwashughulikia wabaya wa sirikali. wako wengi wa kutosha hawan kazi... Lazaidi mjue this party has to go... acheni kuwachekea.. Silaha yenu iko mikononi mwenu,.. kudai haki zenu mpaka kieleweke..

      wanasema pesa hazipo..! za epa, za meremeta za uswiss...je..

    9. #88
      stroke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th February 2012
      Posts : 1,583
      Rep Power : 686
      Likes Received
      175
      Likes Given
      5

      Default Re: RAIS JAKAYA KUWA MUUNGWANA JIUZULU MARA MOJA. Chance for You.

      I think there is a better way to solve this than to resort to use of power

    10. #89
      Nivea's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,989
      Rep Power : 16312
      Likes Received
      3403
      Likes Given
      4352

      Default Re: RAIS JAKAYA KUWA MUUNGWANA JIUZULU MARA MOJA. Chance for You.

      Quote By Maundumula View Post
      Sasa rais ajiuzulu kwa kipi hasa?

      Mimi nadhani ingekuwa busara mheshimiwa kiongozi wa madaktari Dr Ulimboka ajiuzulu mara moja kwa sababu wakati anafanya mazungumzo na hao jamaa kama alizungumza nao kama mwakilishi wa madaktari bila kupata idhini ya chama cha madaktari ni makosa makubwa!!
      kwenda zako huna jipya wewe usilete siasa zako za kijijini huku
      Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha.

    11. #90
      ngam's Avatar
      Member Array
      Join Date : 25th June 2012
      Posts : 46
      Rep Power : 361
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Ushetani hauwezi kusimama mahali ambapo pana nguvu ya Mungu. Pamoja na uaskari wao walishindwa kujua kama wamemuua Uli au la. Mungu ametaka kuwaumbua. Huo ni mwanzo wa ushindi. Ninawaambia ndugu zangu, na hao maaskari waliotumika ama mtasikia wamekufa au wamehamishwa kwenda mbali kama ilivyotokea kwa Marehem Imran Kombe. Sasa serikali itaua wangapi? mwisho wa yote ni kufa yenyewe na hapo ndipo kibao kitakapogeukia waliojifanya Miungu watu. Sasa hivi hapatawaliki lakini itafikia wakati ambapo patakuwa hapakaliki, na hao miungu watu hawawezi kukimbia na ukoo mzima. Na Mungu atawafunga wasiweze kukimbia ili waonje chungu ya mateso ambayo wengine waliyapata na wanaendelea kuyapata. Serikali fisadi isiyo na haina huruma kwa wananchi wake yenyewe. Mwaka 2015 wataomba kura, toka kwa nani? Tabu ya Askari wanafanya kazi kama 'robot' vichwa vyao sijui vikoje? utafikiri hawajawahi kuenda hata shule za awali (chekechea) Kwani katika moja ya kazi zao (job description ni kuua? Kama ni hivyo basi kazi mbili haziwezi kukaa pamoja - Kulinda usalama na haki za raia na mali zao na ile ya kuua raia. Kama ya kuua siyo moja ya kazi zao, how comes wanatumwa kuua wanakubali? ndiyo maana nasema wako kama hawajahudhuria hata shule ya chekechea. Busara ya kawaida tu na uwepo wa Mungu mioyoni mwao usingewatuma kufanya hivyo, sasa wamepata nini? mwisho wa ubaya ni aibu.
      Lakini nadhani askari wengi naturally ni majambazi, hivyo kuua kwao ni sawa tu.

    12. #91
      MKALIKENYA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 747
      Rep Power : 513
      Likes Received
      288
      Likes Given
      428

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By Jakubumba View Post
      Hivi kwani ni lazima jk amalize mda wake? Katiba inasemaje pale kiongozi wa nchi anaposhindwa kuongoza?
      Hatuna katiba ndo tunatunga katiba sasa hivi kwa hivyo nadhani umenielewa ok ndoja nikunong'oneze....ata rais hatuna!
      Jasusi likes this.

    13. #92
      Yo Yo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 31st May 2008
      Posts : 10,895
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1356
      Likes Given
      2594

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      aiseeeeeeeeeeeeeee

    14. #93
      Ng'wanambula's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 85
      Rep Power : 407
      Likes Received
      22
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By brazilian View Post
      Comando Uli has become an "enemy of state"
      Huyo Dr Ulimboka siyo COMANDO,atakuwa ni mla rushwa (CORRUPT) sana na inavyoonekana anaweza kuwauza wenzake.Nasema hivyo kwa sababu ukiiangalia hii incidence unaona kuwa huyu Dr Ulimboka ana tamaa ya pesa na anaendesha mgomo kwa kushawishi wenzake ili anufaike binafsi.Nasema hivyo kwa sababu hebu fikiria kwa akili ya kawaida tu,wewe una ishu kubwa kama hiyo ya mgomo,halagu unaitwa na mtu usiyemjua ili mkafanye reconcilliation na wewe unaenda tena peke yako!!!!.Bila shaka ni reconcilliation kuhusu mgomo.Hapo naona kuwa anaweza kuitwa na watu asiowajua na yeye akaenda tena peke yake!!!!.Baada ya hapo anaweza kuwageuka wenzake.HAFAI KABISA ANASUMBULIWA NA TAMAA NA NJAA TU.

    15. #94
      kaeso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 551
      Rep Power : 528
      Likes Received
      91
      Likes Given
      158

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Hii nchi ilipofikia ni pabaya sana....

    16. #95
      DOUGLAS SALLU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2009
      Posts : 3,602
      Rep Power : 1290
      Likes Received
      316
      Likes Given
      921

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Nina hasira saana, natamani lile gulf stream liporomoke toka mawinguni mpaka ardhini iwe mwisho wa huyu dhaifu anayenyofoa roho za watu kama hana akili nzuri.
      NI UTAAHIRA MKUBWA SANA KUIUNGA MKONO CCM

    17. #96
      Tuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2010
      Posts : 5,079
      Rep Power : 13994
      Likes Received
      2582
      Likes Given
      2485

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By Fred Katulanda View Post
      "Ndugu zangu,
      Najaribu kutuliza mawazo ili angalau niweze kuwapa kidogo tulipofikia na tunakoelekea juu ya suala hili. Kwa kweli haivumiliki ukimwona ulimboka kwa jinsi alivyotendewa na hali aliyonayo; kwa wale wanaojua hali za kitabibu, "this is a very unstable condition that demands permanent watch 24/7".
      Kwa taarifa tulizokusanya, ulimboka na mwenzake waliitwa na Afisa mmoja (Jina linahifadhiwa) ili kuzungumza mambo (fulani) na wakiwa wanaendelea na mazungumzo bila kuwa na mwelekeo wa muafaka, jamaa akawasiliana na watu (fulani) kwa simu. Ghafla wakajitokeza "ASKARI" wakawataka yule (Afisa) na Dr (aliyeongozana na Ulimboka) waendelee na shughuli zao na kuwambia "Tunamtaka huyu". Wakatumia nguvu, wakamburuta na kumtia kwenye gari jeusi na kuondoka naye wakidai wanampeleka Polisi.

      Huku wakiwa wanamtesa, walimlazimisha mambo kadhaa (kwa sasa tusiyataje) wakaenda naye asikokujua, wakampiga sana kwa ngumi, mateke na magongo na wakati mwengine wakitumia Bunduki zao. Wakiwa wanampiga pia walikuwa wakisema kuwa amewatesa/wasumbua sana na kuwa anajifanya mjanja mbele ya (Srk) na hivyo wanamalizana naye; akapoteza fahamu...

      Wakamtupa eneo la mapori huko Tegeta hadi alipookotwa na wananchi asubuhi na kukabidhiwa mikononi mwa Wanaharakati waliompeleka Hospitali Muhimbili.

      Wakati akipokelewa MOI tayari baadhi ya wanaharakati walishafika eneo lile, kumbe kati ya walimpokea alikuwamo kijana anayesadikiwa kuwa ni "Askari". Huyu aligundulika baada ya mda mfupi akiwa amejificha chooni akiwasiliana kwa simu na watu aliokuwa akiwaambia " Hajafa. Bado anahema.... na maneno mengine yaliyoashiria kuwa waliofanya 'kazi' ile hawakukamilisha 'maagizo'. Vijana wakamfundisha adabu kwa hasira na kumkuta akiwa na RedioCall, ambayo baada ya muda mfupi Polisi FFU walifika na gari na vifaa vya vurugu wakiisaka ile Radio.


      Nashindwa kuendelea....."
      NB: Haya ni maelezo ya mwanaharakati Albanie Marcossy aliyehusika kumsaka kama nilivyoyanukuu Mabadiliko Forums.
      Mimi hapo penye red ndo panaponifanya nishangae sana juu ya hii skendo. Hata kwenye ile thread nyingine nilijikuta nashindwa kuamini kama serikali imehusika.

      Swali langu ni kuwa "Ulimboka alitekwa peke yake, na baada ya kuokotwa alikuwa hana fahamu na hawezi kuongea. Je, haya yaliyomtokea kayasema nani?
      Zanta likes this.

    18. #97
      jigoku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 1,505
      Rep Power : 1018
      Likes Received
      377
      Likes Given
      537

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By Dumela Mbegu View Post
      Mbona watu kibao wanakufa kwa ajili ya yeye kuhamasisha mgomo hamsemi? na una uhakika upi ni serikali ? je unajua kuna maadui angapi wake ?
      SEMA KWANZA UFISADI MNAOUFANYA WEWE NA CHAMA CHENU CHA CCM AMBAO NDIO CHANZO CHA MIGOMO YOTE ILIYOKWISHA TOKEA,INAYOTOKEA/ENDELEA NA ITAKAYO KUJA KUFANYIKA SOON.
      CHANZO CHA MATATIZO YOTE NI CCM,CHANZO CHA VIFO VYA WATU LEO WANAKUFA AMA KWA SABABU YA MGOMO AU KUKOSA HUDUMA NA MADAWA HOSPITALINI NI SABABU YA CCM,WATOTO WANAVYOKAA CHINI HUKO MASHULENI NI SABABU YA CCM,WATOTO WANAFAULU KUINGIA SEKONDARI HUKU HAWAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA NI KWA SABABU YA CCM,DHULUMA ZOTE UNAZOZIONA KAMA UNA MACHO NI SABABU YA CCM KUKUMBATIA UFISADI AMBAO MATOKEO YAKE UNMEZAA MATATIZO MENGI KARIBU KATIKA KILA SCTOR,LEO WAFUGAJI WANALIA,WAKULIMA WANALIA,WAVUVI WANALIA,USAFIRISHAJI KUPITIA MALORI(MADEREVA) WANALIA Kumbuka nao walikuwa kwenye mgomo,WALIMU WANALIA,MADAKTARI WANALIA,Kwenye sector binafsi wafanya kazi huko wanalia na wamekuwa katika migomo na msuguano mkali na waajiri wao,Usafiri wa anga wanalia,sasa leo unapohoji eti dr Ulimboka amegomesha madaktari unatia hasira sana natamani nikiuone,hujui aliesababisha mgomo,sio Ulimboka ni CCM kukumbatia ufisadi,leo kuna zaidi ya billioni 300,watu wamehifadhi nje na inasemekana zinatokana na makampuni yaliyowekeza hapa(makampuni ya nje)wakati huo huo unatuambia TZ ni masikini haiwezi kuboresha huduma za afya,na wala kuongeza mshahara wa madaktari.ukome kabisa kuropoka

    19. #98
      Daudi Mchambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 6,384
      Rep Power : 2663
      Likes Received
      3054
      Likes Given
      13989

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      "Liwalo na liwe" - By Pinda.
      "Serikalii hii ni IMPOTENT kuanzia yule wa juu hadi walioko chini" by Dr. Slaa

    20. #99
      OSOKONI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th October 2011
      Posts : 3,913
      Rep Power : 1169
      Likes Received
      1056
      Likes Given
      804

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By tanira1 View Post
      uenda kapewa adhabu kubwa hivyo wakidhani anawakilisha chadema leo bungeni kiwia kalisema la ulimboka akuna aliyeomba muongozo adhibitishe ndugai alitaka kumueleza kiwia adhibitishe akabonyezwa asiendelee kumuuliza la ulimboka ikaishia hewani cdm makao makuu mnakauli gani juu ya hili na kama chama nini kifanyike?
      sio CDM sema watanzania tuna kauli gani juu ya hili kwa nn cdm???
      Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!

    21. #100
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,699
      Rep Power : 2911
      Likes Received
      3892
      Likes Given
      12470

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By spartacus View Post
      If they wanted him DEAD, he'd be dead by now, na mngekuwa mnaongea mambo mengine kabisa.......probably, they still need him for something..........the big question is wat is it??

      and kimtazamo wangu, 1st, wat has bin done to him isnt fair, Unless, he(ulimboka) framed it....najua kwa hili, wengi mtanilaumu, but mkisoma stories nyingi kama hizi, mtaona, ulimboka hatokuwa wa kwanza, kufake something like this, but FOR GOOD REASONS..............cause, seriously, kama wangetaka afe, angekufa longtym........

      2dnly, killing one person for the benefit of two or more people, i find it reasonable................
      u must be sick

    Page 5 of 40 FirstFirst ... 3456715 ... LastLast

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...