Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Report Post
    Page 40 of 40 FirstFirst ... 30383940
    Results 781 to 791 of 791
    1. #1
      Fred Katulanda's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st April 2011
      Location : Mwanza, Tanzania
      Posts : 196
      Rep Power : 455
      Likes Received
      200
      Likes Given
      67

      Default Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      "Ndugu zangu,

      Najaribu kutuliza mawazo ili angalau niweze kuwapa kidogo tulipofikia na tunakoelekea juu ya suala hili. Kwa kweli haivumiliki ukimwona ulimboka kwa jinsi alivyotendewa na hali aliyonayo; kwa wale wanaojua hali za kitabibu, "this is a very unstable condition that demands permanent watch 24/7".

      Kwa taarifa tulizokusanya, ulimboka na mwenzake waliitwa na Afisa mmoja (Jina linahifadhiwa) ili kuzungumza mambo (fulani) na wakiwa wanaendelea na mazungumzo bila kuwa na mwelekeo wa muafaka, jamaa akawasiliana na watu (fulani) kwa simu. Ghafla wakajitokeza "ASKARI" wakawataka yule (Afisa) na Dr (aliyeongozana na Ulimboka) waendelee na shughuli zao na kuwambia "Tunamtaka huyu". Wakatumia nguvu, wakamburuta na kumtia kwenye gari jeusi na kuondoka naye wakidai wanampeleka Polisi.

      Huku wakiwa wanamtesa, walimlazimisha mambo kadhaa (kwa sasa tusiyataje) wakaenda naye asikokujua, wakampiga sana kwa ngumi, mateke na magongo na wakati mwengine wakitumia Bunduki zao. Wakiwa wanampiga pia walikuwa wakisema kuwa amewatesa/wasumbua sana na kuwa anajifanya mjanja mbele ya (Srk) na hivyo wanamalizana naye; akapoteza fahamu...

      Wakamtupa eneo la mapori huko Tegeta hadi alipookotwa na wananchi asubuhi na kukabidhiwa mikononi mwa Wanaharakati waliompeleka Hospitali Muhimbili.

      Wakati akipokelewa MOI tayari baadhi ya wanaharakati walishafika eneo lile, kumbe kati ya walimpokea alikuwamo kijana anayesadikiwa kuwa ni "Askari". Huyu aligundulika baada ya mda mfupi akiwa amejificha chooni akiwasiliana kwa simu na watu aliokuwa akiwaambia " Hajafa. Bado anahema.... na maneno mengine yaliyoashiria kuwa waliofanya 'kazi' ile hawakukamilisha 'maagizo'. Vijana wakamfundisha adabu kwa hasira na kumkuta akiwa na Redio Call, ambayo baada ya muda mfupi Polisi FFU walifika na gari na vifaa vya vurugu wakiisaka ile Radio.


      Nashindwa kuendelea....."
      NB: Haya ni maelezo ya mwanaharakati Albanie Marcossy wa LHRC
      Quote By Mupirocin
      Katika taarifa ya habari mtu aliyekuwa akimtafuta mfululizo kwa siku tatu ni mtu wa Ikulu aitwaye kwa jina moja David na baadaye aliondoka kumfuata huyu David na baadaye akatekwa infront of him. Kwa mwenye akili anajua tu hii ni plan from somewhere
      Quote By Azimio Jipya
      Mbona hili wala sio siri tena ... Jamaa alimpigia simu wakamalize maongezi LEADERS CLUB!!! Ulimboka akaondoka na Rafiki yake mmoja! Wakati wanongea na huyo Jamaa hakueelwana ...

      Jamaa akapiga simu kwa hao wanjeshi walikuja kumburuza na kumchukua ... wakamuacha Rafiki wa ulimboka na huyo jamaa mwingine kwa kusema hatuwahitaji nyie tunamuhitaji Dr Ulimboka ....!

      Rafiki wa Ulimboka ... Akapiga simu kwa waaharakati wa Haki za Binadamu ..Hellen Kijo Bisimba at al .. na usiku huo wakaanza kumtafuta na kuripoti vituoa mbalimbali vya Polisi ...lakini Kila kituo wakidai ... hamjui huyo mtu .... labda waje asubuni .... na subuhi? Wapata habari toka kituo cha polisi tegata .... kaokotwa mtu ....blabalahhhh!!

      Source. Hellen Kijo Bisimba!!
      Lyimo, BAK, Ibambasi and 63 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #781
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,714
      Rep Power : 2263
      Likes Received
      599
      Likes Given
      783

      Default Re: Je, Taifa letu lina usalama wa Taifa au usalama wa CCM?

      Kwani we hujui kwamba usalama wa Taifa ulivunjwa 1076. Hamna, inabidi usukwe upya. Ukiona mtu anafikia kupeleka mswada wa FIU bungeni, huku tuna TAKAkuru, wakati hizi zinatakiwa kuwa udara tu ndani ya TISS ujue kuna matatizo makubwa sana. Huu ni usalama wa watawala.
      Simple life is healthier than egoism.

    4. #782
      BIG X's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2011
      Location : WHITE HOUSE
      Posts : 767
      Rep Power : 414
      Likes Received
      197
      Likes Given
      168

      Default Re: Je, Taifa letu lina usalama wa Taifa au usalama wa CCM?

      Hiyo Taasisi inanuka, inahitaji kusafishwa siku nyingi sana.
      GOOD JUDGEMENT COMES FROM EXPERIENCE, BUT EXPERIENCE COMES FROM BAD JUDGEMENT.

    5. #783
      Moshe Dayan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th February 2008
      Location : haifa-israel
      Posts : 717
      Rep Power : 719
      Likes Received
      334
      Likes Given
      35

      Default Re: Je, Taifa letu lina usalama wa Taifa au usalama wa CCM?

      bado wapo honest, proffesionals with intergrity..., na hao ndio wanasaidia kufichua ujinga mwingi wa morons wa hii nchi..., tatizo lipo kwa kundi la othman....,, unproffesional na politicaly motivated

    6. #784
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,714
      Rep Power : 2263
      Likes Received
      599
      Likes Given
      783

      Default Re: Je, Taifa letu lina usalama wa Taifa au usalama wa CCM?

      Quote By moshe dayan
      bado wapo honest, proffesionals with intergrity..., na hao ndio wanasaidia kufichua ujinga mwingi wa morons wa hii nchi..., tatizo lipo kwa kundi la othman....,, unproffesional na politicaly motivated
      Hatuzungumzii, watu, tunazungumzia system. Kana act of establishment ya TISS, baada ya hapo wanatakiwa kutengeneza stategies, structures na policies and procedures. Uzuri mmoja hawaanzii zero, kuna aina nyingi za systems, kama CIA, KGB, nakadhalika. Ni kusoma tu hizo systems na kuangalia mzuri kuyachukua na kuyaboresha. Ukiwa kiongozi dhaifu, ukipewa act, ndio mwisho wa mchezo. Huwezi kuwa na mambo endelevu, unaishia kulimboka watu. Kwa bahati mbaya kiongozi wa TISS ndi structure, ndio policy, ndio strategy. Hii ni hatari kwa usalama wa Taifa. Hata uwe na watu wazuri vipi, system ikiwa mbovu, either wataharibika au watshindwa kufanya kazi. Ni sawa na mwalimu bila syllabus.
      Simple life is healthier than egoism.

    7. #785
      Mnamzelu Miye's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 24
      Rep Power : 356
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Huo ndiyo usalama wa taifa wa nchi yetu fuatilia............

      Matukio ni mengi bali nitawasilisha machache. Tukio la kutelekezwa Dk Harrison Mwakyembe alipopata ajali mkoani Iringa, Polisi Usalama barabarani walidaiwa kususia kutoa msaada eti tu kwa kuwa amekuwa akitoa misimamo mikali kwa Serikali hususani Kamati aliyoisamamia kuchunguza Richmond. Mwakyembe huyo huyo polisi kushindwa kutoa taarifa kuhusiana na waraka uliohusishwa na mauaji yaliyoelekezwa kwake akishirikishwa na baadhi ya wanasiasa wenye misimamo chanya. Mheshimiwa Samueli Sitaa kutishiwa kugongwa na gari aina ya Hammer. Dk Slaa kuwekewa vinasa sauti chumbani kwake,. Mwandishi wa habara Jerry Murro, pamoja na Jeshi la polisi kupeleka ushahidi wa kuokoteza, lakini bado Muroro aliwagalagaza. Sued Kubenea kumwagiwa tindikali, matukio ni mengi, cha ajabu ni hawahawa Usalama na Mkuu wao wamekuwa viherehere kujikosha kwa kutembelea hospitalini. Kuweni makini hawa si Usalama, hawa ni wana Uhasama. Watanzania muanze kujilinda wenyewe, hususani kufanya mazungumzo na watu unaowatilia mashaka. Kuitikia simu ambazo una mashaka nazo hususani zenye ushawishi wa aina flani flani. Ukiwa unapitia kipindi kiugumu epuka mienendo ya usiku. Yanayotokea Somalia si kwamba wamekosa kwa Mwenyezi Mungu. Dalili ya Mvua ni Mawingu
      TUWE MAKINI.

    8. FemaTV & Radio

    9. #786
      malingumua's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 8th February 2013
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

      HelloWe are together in building our nation.

    10. #787
      Watanzania's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th July 2009
      Posts : 730
      Rep Power : 648
      Likes Received
      34
      Likes Given
      4

      Default Re: A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

      Hawa wanaopanga kuua wengine wanaishi kama wao hawatakufa vile. Nao siku yao itafika watakufa tu, hakuna anayeishi milele bali mwenyezi Mungu pekee.

    11. #788
      chipa GM's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st January 2012
      Posts : 29
      Rep Power : 375
      Likes Received
      9
      Likes Given
      3

      Default Re: A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

      BalAa kwel

    12. #789
      MotoYaMbongo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2008
      Posts : 1,286
      Rep Power : 837
      Likes Received
      145
      Likes Given
      0

      Default Re: A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

      Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wowote katika haya yanayofanywa na CCM ,Bali tunaelekeza macho yetu juu kwa Yehova na kuyalaani haya ipo siku mungu atajibu maombi yetu, Hata Idd Amin alianza hivi kama wanayoyafanya CCM LEO, sasa yuko wapi? Tutapata mkombozi tu muda si mrefu

    13. #790
      Chibolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th October 2012
      Posts : 714
      Rep Power : 474
      Likes Received
      198
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mnamzelu Miye
      Matukio ni mengi bali
      nitawasilisha machache. Tukio la kutelekezwa Dk Harrison Mwakyembe
      alipopata ajali mkoani Iringa, Polisi Usalama barabarani walidaiwa
      kususia kutoa msaada eti tu kwa kuwa amekuwa akitoa misimamo mikali kwa
      Serikali hususani Kamati aliyoisamamia kuchunguza Richmond. Mwakyembe
      huyo huyo polisi kushindwa kutoa taarifa kuhusiana na waraka
      uliohusishwa na mauaji yaliyoelekezwa kwake akishirikishwa na baadhi ya
      wanasiasa wenye misimamo chanya. Mheshimiwa Samueli Sitaa kutishiwa
      kugongwa na gari aina ya Hammer. Dk Slaa kuwekewa vinasa sauti chumbani
      kwake,. Mwandishi wa habara Jerry Murro, pamoja na Jeshi la polisi
      kupeleka ushahidi wa kuokoteza, lakini bado Muroro aliwagalagaza. Sued
      Kubenea kumwagiwa tindikali, matukio ni mengi, cha ajabu ni hawahawa
      Usalama na Mkuu wao wamekuwa viherehere kujikosha kwa kutembelea
      hospitalini. Kuweni makini hawa si Usalama, hawa ni wana Uhasama.
      Watanzania muanze kujilinda wenyewe, hususani kufanya mazungumzo na watu
      unaowatilia mashaka. Kuitikia simu ambazo una mashaka nazo hususani
      zenye ushawishi wa aina flani flani. Ukiwa unapitia kipindi kiugumu
      epuka mienendo ya usiku. Yanayotokea Somalia si kwamba wamekosa kwa
      Mwenyezi Mungu. Dalili ya Mvua ni Mawingu
      TUWE MAKINI.
      kweli kabisa mkuu mimi nimekuelewa na ushauri wako nitaufanyia kazi!

    14. #791
      gost's Avatar
      Member Array
      Join Date : 31st December 2012
      Posts : 41
      Rep Power : 328
      Likes Received
      10
      Likes Given
      1

      Default

      Usalama nipachafu sana na mambo sasa hayaendeki hadi kikwete amelijua hilo baada ya jaribio la kumteka na sasa kaondoa walinzi wake wote na kaajiri wa zambia . Chukua kama unataka napia unaweza acha

    15. Study Abroad
    Page 40 of 40 FirstFirst ... 30383940

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...