Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Report Post
    Page 26 of 40 FirstFirst ... 16242526272836 ... LastLast
    Results 501 to 520 of 791
    1. #1
      Fred Katulanda's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st April 2011
      Location : Mwanza, Tanzania
      Posts : 197
      Rep Power : 455
      Likes Received
      200
      Likes Given
      67

      Default Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      "Ndugu zangu,

      Najaribu kutuliza mawazo ili angalau niweze kuwapa kidogo tulipofikia na tunakoelekea juu ya suala hili. Kwa kweli haivumiliki ukimwona ulimboka kwa jinsi alivyotendewa na hali aliyonayo; kwa wale wanaojua hali za kitabibu, "this is a very unstable condition that demands permanent watch 24/7".

      Kwa taarifa tulizokusanya, ulimboka na mwenzake waliitwa na Afisa mmoja (Jina linahifadhiwa) ili kuzungumza mambo (fulani) na wakiwa wanaendelea na mazungumzo bila kuwa na mwelekeo wa muafaka, jamaa akawasiliana na watu (fulani) kwa simu. Ghafla wakajitokeza "ASKARI" wakawataka yule (Afisa) na Dr (aliyeongozana na Ulimboka) waendelee na shughuli zao na kuwambia "Tunamtaka huyu". Wakatumia nguvu, wakamburuta na kumtia kwenye gari jeusi na kuondoka naye wakidai wanampeleka Polisi.

      Huku wakiwa wanamtesa, walimlazimisha mambo kadhaa (kwa sasa tusiyataje) wakaenda naye asikokujua, wakampiga sana kwa ngumi, mateke na magongo na wakati mwengine wakitumia Bunduki zao. Wakiwa wanampiga pia walikuwa wakisema kuwa amewatesa/wasumbua sana na kuwa anajifanya mjanja mbele ya (Srk) na hivyo wanamalizana naye; akapoteza fahamu...

      Wakamtupa eneo la mapori huko Tegeta hadi alipookotwa na wananchi asubuhi na kukabidhiwa mikononi mwa Wanaharakati waliompeleka Hospitali Muhimbili.

      Wakati akipokelewa MOI tayari baadhi ya wanaharakati walishafika eneo lile, kumbe kati ya walimpokea alikuwamo kijana anayesadikiwa kuwa ni "Askari". Huyu aligundulika baada ya mda mfupi akiwa amejificha chooni akiwasiliana kwa simu na watu aliokuwa akiwaambia " Hajafa. Bado anahema.... na maneno mengine yaliyoashiria kuwa waliofanya 'kazi' ile hawakukamilisha 'maagizo'. Vijana wakamfundisha adabu kwa hasira na kumkuta akiwa na Redio Call, ambayo baada ya muda mfupi Polisi FFU walifika na gari na vifaa vya vurugu wakiisaka ile Radio.


      Nashindwa kuendelea....."
      NB: Haya ni maelezo ya mwanaharakati Albanie Marcossy wa LHRC
      Quote By Mupirocin
      Katika taarifa ya habari mtu aliyekuwa akimtafuta mfululizo kwa siku tatu ni mtu wa Ikulu aitwaye kwa jina moja David na baadaye aliondoka kumfuata huyu David na baadaye akatekwa infront of him. Kwa mwenye akili anajua tu hii ni plan from somewhere
      Quote By Azimio Jipya
      Mbona hili wala sio siri tena ... Jamaa alimpigia simu wakamalize maongezi LEADERS CLUB!!! Ulimboka akaondoka na Rafiki yake mmoja! Wakati wanongea na huyo Jamaa hakueelwana ...

      Jamaa akapiga simu kwa hao wanjeshi walikuja kumburuza na kumchukua ... wakamuacha Rafiki wa ulimboka na huyo jamaa mwingine kwa kusema hatuwahitaji nyie tunamuhitaji Dr Ulimboka ....!

      Rafiki wa Ulimboka ... Akapiga simu kwa waaharakati wa Haki za Binadamu ..Hellen Kijo Bisimba at al .. na usiku huo wakaanza kumtafuta na kuripoti vituoa mbalimbali vya Polisi ...lakini Kila kituo wakidai ... hamjui huyo mtu .... labda waje asubuni .... na subuhi? Wapata habari toka kituo cha polisi tegata .... kaokotwa mtu ....blabalahhhh!!

      Source. Hellen Kijo Bisimba!!
      Lyimo, BAK, Ibambasi and 63 others like this.

    2. FemaTV & Radio

    3. mob
      #501
      mob's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th December 2009
      Posts : 594
      Rep Power : 599
      Likes Received
      103
      Likes Given
      33

      Default re: Maendeleo ya afya ya Dr. Ulimboka

      Si vizuri kuombeana mabaya alichokuwa anakipigania ulimboka ni pamoja na uwapo wa madawa na vifaa tiba katika hospitali ili kufanya madaktari kufanya kazi kwa urahisi sana.

      Kama unaelewa system ya afya hapa nchini usingekuwa unalaumu mgomo wa madaktari kila siku tunasikia madaktari au manesi wanalaumiwa kwa lugha chafu hii ni kutokana na kuwa wachache na hivyo kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wote na kuwaridhisha pili tumekuwa tunalalamika hakuna dawa hii ndio jambo lingine walikuwa nao wanalisimamia na kupinga watu kulazwa chini wakatoi serikali inazo fedha za kutosha katika kuweza kutatua matatizo haya.

      Fikiria kwa umakini utajua uwezo wa serikali kutatua tatizo upo lakini hakuna dhamira dhati ya kutatua hili tatizo,kama tumeweza kufanya uchaguzi kwa mamilioni,sherehe za mabilioni za uhuru kwa nini tushindwe kufanya maamuzi magumu katika sekta ya afya?

      By the way Bob Marley once said that How long shall they kill our prophet while we stand aside and look.

    4. #502
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,915
      Rep Power : 3094
      Likes Received
      1338
      Likes Given
      5643

      Default re: Maendeleo ya afya ya Dr. Ulimboka

      Quote By mob
      si vizuri kuombeana mabaya alichokuwa anakipigania ulimboka ni pamoja na uwapo wa madawa na vifaa tiba katika hospitali ili kufanya madaktari kufanya kazi kwa urahisi sana.kama unaelewa system ya afya hapa nchini usingekuwa unalaumu mgomo wa madaktari kila siku tunasikia madaktari au manesi wanalaumiwa kwa lugha chafu hii ni kutokana na kuwa wachache na hivyo kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wote na kuwaridhisha pili tumekuwa tunalalamika hakuna dawa hii ndio jambo lingine walikuwa nao wanalisimamia na kupinga watu kulazwa chini wakatoi serikali inazo fedha za kutosha katika kuweza kutatua matatizo haya. fikiria kwa umakini utajua uwezo wa serikali kutatua tatizo upo lakini hakuna dhamira dhati ya kutatua hili tatizo,kama tumeweza kufanya uchaguzi kwa mamilioni,sherehe za mabilioni za uhuru kwa nini tushindwe kufanya maamuzi magumu katika sekta ya afya?

      by the way Bob Marley once say that How long shall they kill our prophet while we stand aside and look.
      Madaktari hawapo katika kutetea huduma za afya wangekuwa wanatetea kuboreshwa huduma wasingekuwa wanagoma kuacha watu wafe. Wao wapo ki maslahi binafsi!

    5. #503
      Do santos's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2011
      Posts : 369
      Rep Power : 493
      Likes Received
      78
      Likes Given
      158

      Default Re: Pande mbili muhimu za kutizamwa kuhusu suala la kutekwa Dk Ulimboka

      wengi wenu mna chuki binafsi na rais,hili litawasumbua sana kiasi mna shindwa kuangalia mambo kwa umakini badala yake mnaongozwa na chuki.
      Quote By Abraham
      Of course..ikumbukwe kuwa kama "polisi njaa" wangetumika then kusingekuwa na coordination na uongozi wa polisi...Mfano alipopolekwa kituo cha polisi bunju Dr Uli hakupewa msaada wowote na kituo ilhali wakijua alikuwa amedhurika vibaya - hii inamaanisha tayari walikuwa na mwongozo kutoka juu kuwa wasihangaike kumpeleka hospitali. Pili, ukiangalia uongozi wa juu wa polisi na wizara ya mambo ya ndani inatetea huku wakijichanganya - hii inamaanisha uhusika wao hauna mashaka hata kidogo. Tatu, Polisi aliyepewa kibano pale Moi alisikika akiongea na Radiocall kuwa " Ulimboka kafikishwa MOI lakini bado yuko hai.....ikimaanisha kuna mpango uliokuwepo ambao walidhani angekuwa keshafariki hadi kufikia muda huo. kwa hiyo ni kuwa alikuwa anauarifu utawala kuwa jamaa bado hajafa. Yaani inasikitisha ila at the same time inaonesha jinsi ambavyo serikali ya tz haina akili hata kidogo na hasa baada ya JK aka (raisi mdhaifu) alipojipeleka hospitali kama kawaida yake na yale maneno yake ya kukariri" Serikali inampa pole dokta na tunamtakia kupona haraka na naomba madaktari wawe na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu" alafu huyoooo anasafiri leo nje ya nchi asikilizie soo kwa njia ya simu. Shame shame shame on the weak presida mwiba kura

    6. #504
      sir.JAPHET's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th May 2012
      Posts : 608
      Rep Power : 474
      Likes Received
      90
      Likes Given
      43

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      pinda na serikali yake.. Watalipwa na mungu kwa dhambi.. Yao!
      Ndahani likes this.

    7. #505
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,466
      Rep Power : 19781
      Likes Received
      4292
      Likes Given
      1229

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      Kweli kabisa hii imenistua sana! Yan walidhamiria kumuua kabisa.
      Ndahani likes this.

    8. Miaka 50

    9. #506
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,414
      Rep Power : 1033
      Likes Received
      1170
      Likes Given
      598

      Default Re: Swala la Ulimboka: Srikali kweli inahusika? Sidhani! Pinda na JK kuweni makini

      Quote By Profesa
      Mkirua, Unakumbuka Pinda katika moja wapo ya mabunge ya hivi kiaribuni alijaribu kuwajibika hasa kulinda heshima yake, ila unadhani nini kilitokea? Katika uchaguzi uliopita, wakati wanatangaza matokeo ya Uraisi unakumbuka reaction ya Raisi pale wana-CCM walipokuwa wanamshangilia kwa nderemo na vifijo (hakufurahishwa na waliwanyamazisha maramoja, akiwa amejaa na hasira). Ni hivi, hata kama ni wewe, itategemea sana inteligence system inasimamia vipi maswala ya uongozi, je iko juu yako wewe kama mtawala au uko juu yake? Na inapaswa kuwa smart katika uongozi uwe na counter-inteligence system ili kuvalidate most of the information. Kinachojiri ni kuwa hata kama watataka kuwajibika leo, bado Inteligence system inaweza ikawazuia kufanya hivyo kwa minajili ya usalama wa nchi.

      The last resort ya uwajibikaji ambayo huwa haitegemei inteligensia, ni public pressure, which has never been our tradition, and has never been enough in our country (with exception of Arusha and Mbeya which make it isolated cases due to histoy). Haijalishi Kiongozi huyo ni msafi kiasi gani ila basi tu public hairidhishwi na staili yake ya ungozi.
      Prof, hapo kwenye Red nina wasiwasi kwani kumewahi kuwepo malalamiko kuwa huyu mheshimiwa hawasikilizi kabisa hawa jamaa na wanapompelekea taarifa especially kuhusiana na baadhi ya wateule wake wapendwa ...particularly wanamtandao hachukui hatua yeyote, in addition taarifa pia zinavuja na kuwafikia wahusika.......In addition sidhani kama kuna mahali (mathalani katika katiba) panapomlazimisha kukubali na kuufuata ushauri wa mtu yeyote including hao wa usalama......

      Kwenye blue tupo pamoja na niliwahi kusema kuwa mgoma wa madaktari Tanzania ungekuwa na maana sana kama tungekuwa na hiyo kitu.....not necessarily kwa kuandamana bali kwa kuikataa (Kuaidhibu) serekali kwenye ballot box lakini je watu wetu (the normal voters) wana uelewa huu?? Wengi wao si wakishapewa pilau, fulana na vitenge wanasahau kila kitu??
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    10. #507
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      Quote By sir.JAPHET
      pinda na serikali yake.. Watalipwa na mungu kwa dhambi.. Yao!
      Mtoto wa mkulima, humble and down to earth...siku hizi hatuoni tena picha zake akiwa kwenye kigoda
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    11. #508
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,513
      Rep Power : 19750
      Likes Received
      5442
      Likes Given
      3638

      Default Re: Pande mbili muhimu za kutizamwa kuhusu suala la kutekwa Dk Ulimboka

      Quote By Do santos
      wengi wenu mna chuki binafsi na rais,hili litawasumbua sana kiasi mna shindwa kuangalia mambo kwa umakini badala yake mnaongozwa na chuki.
      Wewe mwenye Mahaba na Rais, mbona inaonekana unaongozwa na tumbo tu!?....
      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    12. #509
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      Quote By Kiraka
      Hebu fikiria, ung'olewe meno bila ganzi, ung'olewe kucha na komeo, uvunjwe taya na fuvu la kichwa.... hili haliwezi kuisha hivi ni lazima, kwa namna yoyote ile, iko siku kuna mtu atalipia..... liwalo na liwe.....
      The guys thought the job was finished...Mungu Mkubwa
      bacha likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    13. #510
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,159
      Rep Power : 24268
      Likes Received
      4670
      Likes Given
      2295

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      I know you are here to kill me. Shoot, coward, you are only going to kill a man.​by Che Guevara
      "Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."

    14. #511
      Kiraka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st February 2010
      Location : ILOGANZALA
      Posts : 1,352
      Rep Power : 743
      Likes Received
      258
      Likes Given
      438

      Default Re: Pande mbili muhimu za kutizamwa kuhusu suala la kutekwa Dk Ulimboka

      Quote By Jumakidogo
      Mazingira na mpango wa tukio haukutekelezwa kitaalamu kwa kiwango cha wale wenye kazi hiyo unaofikiria wewe. Lazima tutizame pande zote kwani mpango na njama yenyewe haikufanywa kitaalamu. Tunakumbuka wengi waliokufa katika mazingira tata mfano Kolimba, Katabalo nk. Inaonekana waliofanya tukio hili hawana uzoefu unaomaanisha wewe.
      Haukufanywa kitaalamu kwa sababu hakufa? Hivi wewe unakuwa kama hujui hayo majeshi yetu yana watu wa aina gani... mijitu mijinga jinga iliyofeli shule ndio mingi iko huko... unategemea nini kutoka kwa wavuta bangi, majizi na majambazi yaliyovimbiwa... eti wanaunda jopo la wataalamu kufanya upelelezi... wanachotaka kufanya ni kupotezea tu ushahidi... hakuna kushirikiana nao....inatia hasira sana!!!
      Form is temporary, Class is permanent...

    15. #512
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,915
      Rep Power : 3094
      Likes Received
      1338
      Likes Given
      5643

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      Madaktari waache Politics wakafanye kazi zao. Tulipokuwa tunasoma kila mtu alichagua njia yake ya maisha kwa sababu mbali mbali sitaki kuamini kwamba motivation yao ilikuwa ni mapesa tu!

    16. #513
      Madela Wa- Madilu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th March 2007
      Location : NORTH WEST USA
      Posts : 2,524
      Rep Power : 2441
      Likes Received
      278
      Likes Given
      286

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      Malipo ni hapa hapa Duniani.
      Siku inakuja

      Quote By sir.JAPHET
      pinda na serikali yake.. Watalipwa na mungu kwa dhambi.. Yao!
      MYPEOPLE PERISH FOR LACK OF KNOWLEDGE. HOSEA 4:6

    17. #514
      Nakapanya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd May 2012
      Location : DOWNTOWN
      Posts : 466
      Rep Power : 4173
      Likes Received
      102
      Likes Given
      146

      Default

      Quote By spartacus
      If they wanted him DEAD, he'd be dead by now, na mngekuwa mnaongea mambo mengine kabisa.......probably, they still need him for something..........the big question is wat is it??

      and kimtazamo wangu, 1st, wat has bin done to him isnt fair, Unless, he(ulimboka) framed it....najua kwa hili, wengi mtanilaumu, but mkisoma stories nyingi kama hizi, mtaona, ulimboka hatokuwa wa kwanza, kufake something like this, but FOR GOOD REASONS..............cause, seriously, kama wangetaka afe, angekufa longtym........

      2dnly, killing one person for the benefit of two or more people, i find it reasonable................
      i can see nothing in ur brain that a plain white paper

    18. #515
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,725
      Rep Power : 2266
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      Madakatari, hawa watu ni wabaya mithili ya swatwain. Sijui muwafanye nini, yaani. Komaeni madaktari, watu wenye akili wako nanyi. Pamoja na machungu tunayoyapata, lakini hii serikali ya CCM ina kibri sana.
      Simple life is healthier than egoism.

    19. #516
      Rasib's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Posts : 322
      Rep Power : 421
      Likes Received
      32
      Likes Given
      7

      Default

      Quote By Gwaje
      Sote tunajua kilichofanyika kwa Dr ulimboka naamini walijiliziha amekufa maana wasingemuacha akiwa hai, kwakuwa Mungu kawaumbua tunaomba mlioko karibu naye mtujuze anahali gani. Pia mkiona inafaa wekeni namba ya M-pesa tumchangie akatibiwe mahali salama zaidi
      good idea mkuu

    20. #517
      gmosha48's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Posts : 805
      Rep Power : 597
      Likes Received
      245
      Likes Given
      474

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      Quote By Maundumula
      Madaktari waache Politics wakafanye kazi zao. Tulipokuwa tunasoma kila mtu alichagua njia yake ya maisha kwa sababu mbali mbali sitaki kuamini kwamba motivation yao ilikuwa ni mapesa tu!
      Naomba Mungu akupe uzima, ili siku ya ukombozi itakapowadia upokee sawasawa na stahili yako!
      lutamyo likes this.
      Ngo'ng'o

    21. #518
      KakaJambazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2009
      Posts : 4,279
      Rep Power : 2734
      Likes Received
      1077
      Likes Given
      935

      Default Re: dk,Ulimboka, amevunjwa.. Taya.. Amevunjwa mikono! Ameng'olewa meno..! AMeng'olewa kucha!

      Mara nyingi sindano hutumika kukamilisha mission za namna hii. Ivi haiwezekani dr akawa amemiminiwa virus au chemical flan hasa baada ya majeraha kuwa exposed?

    22. #519
      Jumakidogo's Avatar
      R I P Array
      Join Date : 16th July 2009
      Location : DOM & DAR
      Posts : 1,868
      Rep Power : 1176
      Likes Received
      390
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By tpmazembe
      acha uhuni, kwa hiyo hata wali polisi walioingia msikitini mwembechai inawezekana hawakupata ruhusa serikalini ni watu tu walikuwa wanawatumia?
      uamsho walivyopigwa mabomu mpaka msikitini utakubaliana nami kuwa yawezekana na mtu mwenye pesa kawaagiza tu?
      Ebo! Sasa hapa muhuni kati ya mimi na wewe ni nani? Mbona unaleta mifano mfu? Inaonekana una udini sana umekukolea, mtu akifanya fujo, mwizi akiiba halafu akakimbilia msikitini, polisi ni wajibu wake kumkamata. Yaani wewe ufanye fujo halafu utegemee msikiti kujificha? Uamsho achome kanisa halafu akimbilie msikitini polisi wamwache tu?

    23. #520
      Mzalendo JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Posts : 902
      Rep Power : 530
      Likes Received
      276
      Likes Given
      213

      Default Re: Pande mbili muhimu za kutizamwa kuhusu suala la kutekwa Dk Ulimboka

      Ukikaa chini ya kivuli kitakachokuwezesha kupata hewa na kutuliza akili yako kisha kileta picha ya tukio zima la Dr Ulimboka, pia unganisha sentensi na matamshi ya Pinda ni wazi huu mpango ulikuwepo tangu mgomo ule wa kwanza na alijua jambo hili.

      Jana wakati wa tukio hili pale Muhimbili kijana mmoja alipokea radio call na mazungumzo ni kua Dr Ulimboka hakufa so alikua akitoa taarifa kwa aliekua amemuagiza. Definately njama hii nim ya Viongozi wa serikali na ndo maana Usalama wa Taifa wanahusika moja kwamoja.

      Kisha jiulize ni sahihi kumuua kijana anetetea wananchi kwa kuitaka serikali inunue vifaa vya kututibi? Kutokana na habari zilizopo ni kwamba tangu mgomo wa kwanza madaktari waliwezeshwa kwa kutumia 9Bil kwa miezi mitatu tu, leo bujeti imetenga 17Bil kwa mwaka mzima! Kama umesoma hesabu za kujumlisha na kutoa utagundua mapungufu achilia Hospitali kubwa kama Muhimbili kukosa vifaa vya vipimo hata Oxygen machine?.......

      Usalama wa Taifa nina mashska na utaalam wenu hasa katika karne hii ya dunia kama kijiji (utandawazi), mnatumia mbinu za enzi za Nyerere? Kwa mimi Dr Mboka ilibidi apewe ulinzi toka kwenu kwa kua position aliyokuwepo basi jambo lolote baya mnahusika moja kwa moja. Na ndivyo ilivyotokea.......

      Haya mi naondoka naona kivuli kimeniacha na maji ya kupunguzia hasira yameisha, sina nauli sina mwamvuli ngoja nijongee njia juani ndo serikali ipendavyo.

      MGOMO NAUNGA MKONO.......

    Page 26 of 40 FirstFirst ... 16242526272836 ... LastLast

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...