Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Report Post
    Page 2 of 40 FirstFirst 123412 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 791
    1. #1
      Fred Katulanda's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st April 2011
      Location : Mwanza, Tanzania
      Posts : 197
      Rep Power : 455
      Likes Received
      200
      Likes Given
      67

      Default Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      "Ndugu zangu,

      Najaribu kutuliza mawazo ili angalau niweze kuwapa kidogo tulipofikia na tunakoelekea juu ya suala hili. Kwa kweli haivumiliki ukimwona ulimboka kwa jinsi alivyotendewa na hali aliyonayo; kwa wale wanaojua hali za kitabibu, "this is a very unstable condition that demands permanent watch 24/7".

      Kwa taarifa tulizokusanya, ulimboka na mwenzake waliitwa na Afisa mmoja (Jina linahifadhiwa) ili kuzungumza mambo (fulani) na wakiwa wanaendelea na mazungumzo bila kuwa na mwelekeo wa muafaka, jamaa akawasiliana na watu (fulani) kwa simu. Ghafla wakajitokeza "ASKARI" wakawataka yule (Afisa) na Dr (aliyeongozana na Ulimboka) waendelee na shughuli zao na kuwambia "Tunamtaka huyu". Wakatumia nguvu, wakamburuta na kumtia kwenye gari jeusi na kuondoka naye wakidai wanampeleka Polisi.

      Huku wakiwa wanamtesa, walimlazimisha mambo kadhaa (kwa sasa tusiyataje) wakaenda naye asikokujua, wakampiga sana kwa ngumi, mateke na magongo na wakati mwengine wakitumia Bunduki zao. Wakiwa wanampiga pia walikuwa wakisema kuwa amewatesa/wasumbua sana na kuwa anajifanya mjanja mbele ya (Srk) na hivyo wanamalizana naye; akapoteza fahamu...

      Wakamtupa eneo la mapori huko Tegeta hadi alipookotwa na wananchi asubuhi na kukabidhiwa mikononi mwa Wanaharakati waliompeleka Hospitali Muhimbili.

      Wakati akipokelewa MOI tayari baadhi ya wanaharakati walishafika eneo lile, kumbe kati ya walimpokea alikuwamo kijana anayesadikiwa kuwa ni "Askari". Huyu aligundulika baada ya mda mfupi akiwa amejificha chooni akiwasiliana kwa simu na watu aliokuwa akiwaambia " Hajafa. Bado anahema.... na maneno mengine yaliyoashiria kuwa waliofanya 'kazi' ile hawakukamilisha 'maagizo'. Vijana wakamfundisha adabu kwa hasira na kumkuta akiwa na Redio Call, ambayo baada ya muda mfupi Polisi FFU walifika na gari na vifaa vya vurugu wakiisaka ile Radio.


      Nashindwa kuendelea....."
      NB: Haya ni maelezo ya mwanaharakati Albanie Marcossy wa LHRC
      Quote By Mupirocin
      Katika taarifa ya habari mtu aliyekuwa akimtafuta mfululizo kwa siku tatu ni mtu wa Ikulu aitwaye kwa jina moja David na baadaye aliondoka kumfuata huyu David na baadaye akatekwa infront of him. Kwa mwenye akili anajua tu hii ni plan from somewhere
      Quote By Azimio Jipya
      Mbona hili wala sio siri tena ... Jamaa alimpigia simu wakamalize maongezi LEADERS CLUB!!! Ulimboka akaondoka na Rafiki yake mmoja! Wakati wanongea na huyo Jamaa hakueelwana ...

      Jamaa akapiga simu kwa hao wanjeshi walikuja kumburuza na kumchukua ... wakamuacha Rafiki wa ulimboka na huyo jamaa mwingine kwa kusema hatuwahitaji nyie tunamuhitaji Dr Ulimboka ....!

      Rafiki wa Ulimboka ... Akapiga simu kwa waaharakati wa Haki za Binadamu ..Hellen Kijo Bisimba at al .. na usiku huo wakaanza kumtafuta na kuripoti vituoa mbalimbali vya Polisi ...lakini Kila kituo wakidai ... hamjui huyo mtu .... labda waje asubuni .... na subuhi? Wapata habari toka kituo cha polisi tegata .... kaokotwa mtu ....blabalahhhh!!

      Source. Hellen Kijo Bisimba!!
      Lyimo, BAK, Ibambasi and 63 others like this.
      Reply With Quote

    2. Miaka 50

    3. #21
      Azimio Jipya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Location : Universal Space Station
      Posts : 3,282
      Rep Power : 5415
      Likes Received
      1006
      Likes Given
      1731

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      To make your story total and complete add this!!1. Afsa aliyekuwa naongea naye alimchukua alimuita kando akiwa hapo LEADERS CLUB! Na Ma Dr wenzake usiku huo.2. Baada ya kutoonekana wenzake hapo Leders Club waliwasilina na Watu wa haki za binadamu na kuwajulisha.3. Ma Dr wenzake this time wakina na Hellen Kijo Bisimba ... (manomuona hapo kwenye picha za DR ulimboka)... waliondoka na kwenda kuripoti kwenye vituo kadhaa vya polisi.4. Polisi wote walisema hawana taaarifa ya mtu kama huyo na walishauriwa kurejea subuhi .5. Asubuhi wakapata taarifa toka kituo cha polisi cha Tegeta kuwa ameletwa na wanchi waliomuokota njiani...6. Source ... Hellen Kijo Bisimba ...Mwanaharakati ...!!!
      BAK, Papizo, Msongoru and 9 others like this.
      Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
      "Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.


    4. #22
      RUV ACTVIST.'s Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 177
      Rep Power : 406
      Likes Received
      28
      Likes Given
      10

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      serikali inatufundisha sasa wanachi tutumie nguvu, Serikali ni wauwaji, wameshauwa wengi na wanaendelea. Ni wakati wa kuchukua hatua.

    5. #23
      Hodarism's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 89
      Rep Power : 377
      Likes Received
      13
      Likes Given
      3

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      kauli tata ya "liwalo na liwe" imeanza kufanya kazi kabla
      Bantugbro, Fblukuwi and measkron like this.

    6. MTK
      #24
      MTK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th April 2012
      Posts : 935
      Rep Power : 4497
      Likes Received
      303
      Likes Given
      331

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Hivi kama kumuua dr. Ulimboka ni ufumbuzi wa kudumu wa tatizo lililopo kwa nini wasiwakamate madaktari wote nchini wawapeleke gas chamber wawaue kama Adolf Hitler alivyowafanyia wayahudi?! damu ya Ulimboka iliyovuja itakuwa chachu ya mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Ewe Mwenyezi Mungu inusuru Tanzania yetu isibadilike na kuwa "A man eat man society" kama nchi fulani hapa afrika mashariki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!
      measkron and Lenja like this.

    7. #25
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3052
      Likes Given
      4137

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Quote By english learner
      my beloved country tanzania. Why haifu is destructing you? Where is peace said you are an island of?
      hafifu
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    8. RukaaJuu Final

    9. 911
      #26
      911's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 22nd August 2008
      Posts : 494
      Rep Power : 646
      Likes Received
      51
      Likes Given
      304

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Before the victory is won, even some will have to face physical death. But if physical death is the price that some must pay, to free their children from a permanent psychological death,then nothing shall be more redemptive. We shall over come.
      sweke34 and MVUMBUZI like this.

    10. #27
      Lyimo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 1,800
      Rep Power : 1527
      Likes Received
      796
      Likes Given
      451

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Ninamfahamu vizuri Albanie Marcossy. Ni mtu makini kwenye kufatilia mambo bila woga, bila shaka tutapata taarifa ya uhakika iliyofanyiwa uchunguzi pia.
      "Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"

    11. #28
      Froida's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Posts : 3,744
      Rep Power : 1317
      Likes Received
      720
      Likes Given
      147

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Mama Heleni Kidjo bisimba mungu akujalie Kwa ujasiri ulionao kama Njelekela na Mwafongo aliadhibiwa kwa kuwa na watoto madawa ya kulevya wanaweza kukataa kutoa gari lakini wewe ukaweza kumsaidia tunakupongeza sana wewe ni Mwanamke jasiri wa Mfano nchii hii

    12. #29
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,271
      Rep Power : 892
      Likes Received
      777
      Likes Given
      1472

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Hii hatari sana maana nchi yetu ni ya amani lakini kuna matukio huwa yanatokea ukiyaangalia yanatia kichefuchefu, hii yote ni kutokana na nchi yetu bado watu wake wengi si waumini wa kutofautiana hoja ndio maana hata katika maisha yetu ya kwaida huwa mtu akiwa mbishi sana kwenye jamii huwa anachukuliwa kama adui badala ya kumkusanyia vielelezo ili aache kubisha vivyo hivyo kwenye serikali yetu nako ni yaleyale mtu anafanya kosa ambalo linaleta madhara kwa taifa akiambiwa wakati na yeye anajua amefanya kosa anawaona wale waliogundua uovu kama ni maadui. Kiukweli tumeshuhudia mashaidi wa kesi mbalimbali wanakufa katika mazingira ya utata wakati kesi zipo katika hatua ngumu na huwezi sema wameuliwa kwa kuwa hakuna ushahidi. Hii ni sawa na Kubenea alivyomwagiwa tindikali kutokana na kusema ukweli
      Red Giant likes this.

    13. #30
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,481
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Yan haya ni mauaji kbisa na tunahitaji tamko la serikali kwa hili.

      Kumbe ndio maana ya msemo wa liwalo na liwe.

    14. #31
      Saharavoice's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 30th August 2007
      Posts : 2,142
      Rep Power : 1028
      Likes Received
      379
      Likes Given
      478

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Too sad,
      Tumuombee apone haraka ili tuujue ukweli. ni nafasi nyingine tena Watanzania tumepewa na Mungu ili tuikomboe nchi toka wa wadhalimu CCM.

      Kwa asilimia kubwa mazingira yanaonyesha serikali imehusika moja kwa moja na tukio hili, ngoja tusubiri statements zao, maana wamezoea kupindisha ukweli wakidhani bado tuko mwaka 47.
      A conclusion is the place where you got tired of thinking



    15. #32
      akelu kungisi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 111
      Rep Power : 382
      Likes Received
      19
      Likes Given
      3

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Huu ndo mwisho wa serikali ya kiuaji ya CCM! Watanzania wenzangu tuungane kuichukia MUNGU ataiondoa kwa udhalimu wake!

    16. #33
      idawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 4,614
      Rep Power : 3336
      Likes Received
      1228
      Likes Given
      466

      Default

      Quote By Azimio Jipya
      To make your story total and complete add this!!1. Afsa aliyekuwa naongea naye alimchukua alimuita kando akiwa hapo LEADERS CLUB! Na Ma Dr wenzake usiku huo.2. Baada ya kutoonekana wenzake hapo Leders Club waliwasilina na Watu wa haki za binadamu na kuwajulisha.3. Ma Dr wenzake this time wakina na Hellen Kijo Bisimba ... (manomuona hapo kwenye picha za DR ulimboka)... waliondoka na kwenda kuripoti kwenye vituo kadhaa vya polisi.4. Polisi wote walisema hawana taaarifa ya mtu kama huyo na walishauriwa kurejea subuhi .5. Asubuhi wakapata taarifa toka kituo cha polisi cha Tegeta kuwa ameletwa na wanchi waliomuokota njiani...6. Source ... Hellen Kijo Bisimba ...Mwanaharakati ...!!!
      kumbe jamaa alichukuliwa mapema tena akiwa na madokta wenzake na huyo afisa anafahamika changanya na askari kukamatwa akiwasiliana na wakubwa wake= jibu ni serikali 100%
      nsanu likes this.

    17. #34
      Manyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Posts : 1,727
      Rep Power : 722
      Likes Received
      291
      Likes Given
      263

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Dah, this is so bad! Kwa kweli kwa hali hii imefikia pabaya. Serikali lazima itoe tamko!

    18. AZI
      #35
      AZI's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 15th July 2011
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      2

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Dunia iendako sasa

    19. #36
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Inahuzunisha,,,any way mchakato wa maisha una stages nyiiing na event nyiing,,,,namuombea apone,kama kuna anayefurahia hili si binadam LIWALO NA LIWE
      Geofrey Mazanda likes this.

    20. #37
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,973
      Rep Power : 3703
      Likes Received
      3579
      Likes Given
      5769

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Sijui ni lini hii serikali itaondoka madarakani
      Communist likes this.
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    21. #38
      Ndallo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2010
      Location : LaRusa
      Posts : 4,135
      Rep Power : 6365
      Likes Received
      1486
      Likes Given
      417

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Yaani kumbe nia na madhumuni ya hilo linalojiita jeshi la polisi ilikua ni kumtoa uhai Dr. Ulimboka??? So sad
      '' Mtu ni Utu sio Kitu''

    22. #39
      Puppy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2011
      Posts : 1,482
      Rep Power : 682
      Likes Received
      360
      Likes Given
      53

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      Auuuuuuuuwi Dhaifu wameanza kazi, ila haina noma iko siku. Ni mbaya kuweka kisasi moyoni lakin kama ilivyo "Liwalo Na Liwe" siku kikinuka tutakutana tu

    23. #40
      SILENT WHISPER's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2009
      Posts : 2,048
      Rep Power : 917
      Likes Received
      572
      Likes Given
      159

      Default re: Kilichomtokea Dk. Ulimboka ni hiki hapa...

      nawashauri MADKARI WOTE WAGOME MILELE KUWATIBU MAASKARI WOTE..!
      POLITICIAN, ONE WHO SHAKES YOUR HAND BEFORE ELECTION AND YOUR CONFIDENCE LATER

    Page 2 of 40 FirstFirst 123412 ... LastLast

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...