Sehemu yake ya pili siwezi kuweka kwa sasa ili kuwaacha polisi wafanye kazi yao na tusije kuinfluence maelezo ya serikali.... Samahani kwa usumbufu wa nakala ya kwanzo ambayo ilikuwa haijahusisha sauti ya Ulimboka...
SIKILIA UPYA:
Sehemu yake ya pili siwezi kuweka kwa sasa ili kuwaacha polisi wafanye kazi yao na tusije kuinfluence maelezo ya serikali.... Samahani kwa usumbufu wa nakala ya kwanzo ambayo ilikuwa haijahusisha sauti ya Ulimboka...
SIKILIA UPYA:
Last edited by Mzee Mwanakijiji; 27th June 2012 at 20:34.
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
inatia hasira sana comrade...njia zilizotumika ni za ajabu na kishenzi kabisa kumuumiza dr ulimboka....
I'm Naturaly Evasive..
Dr ulimboka amekuwa alama ya uovu wa ccm sikumoja ataandikwa kuwa ndio moja ya sababu kuu za waovu hao kuondoka madarakani tunapaswa kujua when you fight an eveil system it will alaways fight back hii ni vita na haitakosa majeruhi ila mwishoni tutaushinda uovu huu
mbona hamuna kitu?
Mzee unazeeka vibaya!
Mbona sioni maneno
hayo maneno (ya dr.) mbona sijayasikia?
CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...
REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha
Sijaona kitu mzee mwenzangu
Sasa wewe mwanakijiji mbona haya ni mawazo yako? Yaani wewe unaiita exclusive halafu unatoa hisia zako? Hayo maneno yako si ungeyaandika tu hapa JF, na ungeeleweka?
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
Mzee sauti ya Dr Ulimboka haipo au ndivyo hivyo tusubiri?? Inasikitisha sana na inatleta uchungu mkubwa sana. Inabidi wananchi sasa tumjue nani adui yetu namba moja. Hatuwezi kuwalipa mishahara halafu watuteke, watupige, watutupe porini ili tufe. Madai ya madaktari kwa kiwango kikubwa ni ya msingi sana na yanajali afya zetu na za hao wanaowafanyia unyama.
Kama nchi na wananchi tuseme basi imetosha, kama ni haki wapeni haki yao! matumizi ya nguvu za kiusalama, polisi, Jeshi, wahuni au vibaka kutishia ili Madoc warejee kazini haziwezi kututibu sie akina yakhe.
Nilijitoa mhanga kwa watu wangu; watoeni watawala wadhalimu na mafisadi kwa ustawi wa nchi yetu.
Cjackia maneno toka kwa dokta mkuu matokeo yake nimesikia simulizi toka kwako.
Bado sijaona kitu hapo,,,,,,,,,
GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!
Ninapenda ijulikane kuwa usalama wa ma dr. Ipo hatarin na usalama wa uliimboka upo hatarini zaidi kwa hao maadui watapenda kuuficha ukweli
Aiseee Mwanakijiji hebu rekebisha bana....halafu unasound kama una hasira....
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Polisi wanawajua wahusika
Mwisho wa Ubaya Aibu.
Mbona sioni kitu?
Do Something......
Nimezinguka ile mbaya baada ya kukuta empty pot
Follow Us Here