Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

    Report Post
    Page 4 of 7 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 135
    1. #1
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,614
      Rep Power : 46736
      Likes Received
      16712
      Likes Given
      8547

      Default JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Sehemu yake ya pili siwezi kuweka kwa sasa ili kuwaacha polisi wafanye kazi yao na tusije kuinfluence maelezo ya serikali.... Samahani kwa usumbufu wa nakala ya kwanzo ambayo ilikuwa haijahusisha sauti ya Ulimboka...

      SIKILIA UPYA:







      Last edited by Mzee Mwanakijiji; 27th June 2012 at 20:34.
      [email protected]
      The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com


    2. #61
      Mandingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd September 2011
      Posts : 972
      Rep Power : 585
      Likes Received
      195
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By wakuziba View Post
      Mbona hiyo sauti siipati! Whts up! Tuache uchochezi
      hata mimi mkuu au ni haka kamchina kangu sijui.

    3. #62
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,371
      Rep Power : 36544
      Likes Received
      7503
      Likes Given
      4604

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Quote By MATESLAA View Post
      hapa kuna mkono wa serekai
      Kwa maelezo ya Dr. Ulimboka serikali hapa haichomoki MATESLAA
      Life without problems never make a strong and good person!

    4. #63
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,371
      Rep Power : 36544
      Likes Received
      7503
      Likes Given
      4604

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Quote By MATESLAA View Post
      hapa kuna mkono wa serekai
      Kwa maelezo ya Dr. Ulimboka serikali hapa haichomoki MATESLAA
      Life without problems never make a strong and good person!

    5. #64
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,371
      Rep Power : 36544
      Likes Received
      7503
      Likes Given
      4604

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Quote By Nyani Ngabu View Post
      Wewe bana...usilete masikhara hapa...watu tuna mihasira yetu tunaweza kuimalizia kwako...oohooooo
      Haiwezekani!......daaah.....ml eta habari atakuwa anatania jamani
      Life without problems never make a strong and good person!

    6. #65
      NdasheneMbandu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Posts : 941
      Rep Power : 0
      Likes Received
      294
      Likes Given
      8

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Mzee Mwanakijiji mbona sioni kitu hapa!!! Au jina lako limeanza kuendana na mwenendo wako kwa ujumla!?


    7. #66
      NingaR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2012
      Location : C:\Windows\SysWOW64
      Posts : 2,500
      Rep Power : 862
      Likes Received
      392
      Likes Given
      79

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Kwa watumiaji wa simu ambao hamuwezi kuona link hapo juu bofyeni HAPA Ili nanyi mpate fulsa ya kusikia kile tulicho sikia.

    8. #67
      Tram Almasi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 26th February 2009
      Location : Marsabit
      Posts : 753
      Rep Power : 675
      Likes Received
      217
      Likes Given
      93

      Default

      Nope! He is alive,seen him five minutes ago!
      Mtumpole likes this.

    9. #68
      Azimio Jipya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Location : Universal Space Station
      Posts : 3,284
      Rep Power : 5419
      Likes Received
      1009
      Likes Given
      1731

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Quote By Tram Almasi View Post
      Nope! He is alive,seen him five minutes ago!
      @Tram Almasi, ... is it True isn ICU? How Bad ... Breathing with machine? ... Can speak!!!?
      Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
      "Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.


    10. #69
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,660
      Rep Power : 4023
      Likes Received
      2943
      Likes Given
      5072

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      In the end we will reap what we have sown...tumezoea kuvuna pale tusipopanda na kufanya ni mazoea sasa
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    11. #70
      jouneGwalu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Location : Studio
      Posts : 2,347
      Rep Power : 974
      Likes Received
      1320
      Likes Given
      1762

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Quote By Kimbunga View Post
      Mkuu mbona inaonekana wengine wameisikia sauti lakini wengine nikiwemo mimi sijasikia chochote. Tusaidie tupate nasi sauti hiyo
      Mkuu kama una head phone utamsikia vizuri sana, anaongea kwa shida na sauti ya chini mno hivyo ongeza sauti ya pc hadi mwisho, sauti ya Youtube mpaka mwisho na sauti ya phones mpaka mwisho naamini utamsikia vizuri sana...
      Hebu jaribu!

    12. #71
      tanira1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2011
      Posts : 660
      Rep Power : 515
      Likes Received
      114
      Likes Given
      99

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Quote By JF-MBUNGE View Post
      wakati ana post nae wamemteka kabla dr> ulimbok hajazungumza
      nimemsikia ametaja nyumba nzuri mbili na lugalo wamemn'goa meno anasikika wakuu labda device zenu au software siyo sahihi

      ''MIAKA HAMSINI(51) YA UVUMILIVU''​

    13. #72
      JingalaFalsafa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th April 2012
      Location : Africa.
      Posts : 352
      Rep Power : 432
      Likes Received
      229
      Likes Given
      89

      Default

      Quote By NingaR View Post
      Kwa watumiaji wa simu ambao hamuwezi kuona link hapo juu bofyeni HAPA Ili nanyi mpate fulsa ya kusikia kile tulicho sikia.
      Pamoja sana mkuu! Tunaotumia cmu walau tumempata MM!
      Mungu wetu anaita!

    14. #73
      Inanambo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2011
      Posts : 638
      Rep Power : 531
      Likes Received
      99
      Likes Given
      20

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Neno la mungu linasema ukipiga mchungaji utatawanya kondoo je kwa hili inawezekana kondoo hawa kutawanyika?

    15. #74
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,371
      Rep Power : 36544
      Likes Received
      7503
      Likes Given
      4604

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Tunamwombea apone upesi......serikali ya JK haimtaki ila familia yake pamoja na wapenda mabadiliko bado tuna/wana muhitaji sana!
      Life without problems never make a strong and good person!

    16. #75
      Sun Tzu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd March 2010
      Posts : 75
      Rep Power : 597
      Likes Received
      20
      Likes Given
      10

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Wabongo bwana,

      Kila kitu siasa! huyu jamaa kachukuwa kipigo pointers zote zinaenda kwenye siasa. Je kama anadaiwa, kachukuwa mke au girlfriend wa mtu? Je haiwezekani wale ambao ndugu zao walikufa kwenye mgomo aliouchochea kwanza wakaamua kuchukuwa sheria mikononi na kulipiza kisasa! Je kwanini tunakimbilia kutoa hukumu kabla polisi na sheria kufanya kazi yake. hii nchi ina kazi kweli kweli. Hivi ni watu wangapi walikufa wakati wa migomi ya madaktari? Nauliza tu!
      Last edited by Sun Tzu; 28th June 2012 at 09:55.
      KISUKALI, Sangiwa and Maundumula like this.
      "In time of war, when truth is so precious, it must be protected by a bodyguard of lies." Winston Churchill

    17. BAK is offline
      BAK
      #76
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,827
      Rep Power : 45014
      Likes Received
      8683
      Likes Given
      8666

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Quote By Nyani Ngabu View Post
      Hasira zinazidi kunipanda. Kumanina zao.

      Yaani mimi nimekosa raha kabisa, hili linaweza kumtokea yeyote yule kisa kudai haki ambayo anaona anastahili au kukosoa utendaji wa hii Serikali ya wauaji.. Wanataka kuua mtu kwa kudai haki za madaktari tu!!! Hii Serikali haistahili kuendelea kuwepo madarakani.

      Waungwana huyu mwenzetu na familia yake wanahitaji msaada wa kuweza kumuuguza. Naomba kutoa wazo ili uanzishwe mchango wa kumsaidia Dr Ulimboka.
      sweke34 and Gwaje like this.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    18. #77
      Prisoner 46664's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th December 2010
      Posts : 1,185
      Rep Power : 668
      Likes Received
      626
      Likes Given
      1611

      Default

      Quote By JF-MBUNGE View Post
      wakati ana post nae wamemteka kabla dr> ulimbok hajazungumza
      Ha ha ha..asee nna huzuni sana leo lakini umenichekesha.

    19. #78
      Liganga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th July 2007
      Posts : 127
      Rep Power : 636
      Likes Received
      45
      Likes Given
      0

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Hiko wapi intelijensia ya Saidi Mwema??

      Au ilibaki Arusha??
      Bora daraja kuliko kivuko.

    20. #79
      Liganga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th July 2007
      Posts : 127
      Rep Power : 636
      Likes Received
      45
      Likes Given
      0

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Kwa nini hii intelijensia ya jeshi la polisi

      huwa inafanyakazi kunapoitishwa maandamano tu??

      Nakumbuka zamani hapo jijini Dar, ilikuwa ni desturi kwa askari polisi kufika eneo la tukio punde

      majambazi yanapokuwa yameiba na kupotea. Hata utoe taarifa mapema vipi, daima wao walichelewa

      lakini baadae mchezo ulibumbuluka kuwa kulikuwa nakaushirikiano fulani baina ya pande hizi mbili

      na kunakipindi silaha moja iliotumika katika tukio ilikuwa ni ya kutoka kwenye majeshi yetu
      Bora daraja kuliko kivuko.

    21. #80
      mhalisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 613
      Rep Power : 613
      Likes Received
      151
      Likes Given
      137

      Default Re: JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

      Quote By Endeleaaa View Post
      Jamani kwanza nimpe pole Dr Ulimboka kwa Zahama ilompata.

      Mimi natamani zaidi kusikia kutoka kwa huyo Dr wa pili ambae hakuchukuliwa na hao watekaji. MMK kama unaweza kumpata huyo Dr wa pili tukajua huo mkutano wao kabla ya Dr Ulimboka kutekwa ulikuwa unazungumzia nini na nini kilitokea baada ya Dr kutekwa maana huyo doctor aliachwa na huyo mtengeneza plan ya utekaji na kwanini huyo Doctor alieachwa hakufuatilia Polisi kujua mwenzie amepekwa wapi hadi asubuhi?

      Sijaona hata media Moja ikimuhoji huyo Doctor wa Pili alieachwa. Au nae kapotea?

      hili ni la muhimu sana.

    Page 4 of 7 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...