Kutoka kwa source wa uhakika , rumors kua ameparalyse miguu yote ni uongo wa kupikwa...mhusika..yu salama mwenye afya tele...kubali..kataaa...
Kutoka kwa source wa uhakika , rumors kua ameparalyse miguu yote ni uongo wa kupikwa...mhusika..yu salama mwenye afya tele...kubali..kataaa...
Usihangaike wote tunawajua waongo wazushi wachochezi.
Hii post nayo itasaidia kupunguza kasi ya kupomoroka kwa ushawishi wa CCM kwa watanzania?
Pole jaji kwa kupalalize. Tushawazoea ccm kukanusha.
kataa mwenyewe
kwahiyo?
so wat u guy?
Pole Jaji,Malipo ni hapahapa duniani
tatizo la watu wengi humu mmezoea kulishwa natango pori , na hamtaki kuamini ukweli..mnachagua kuamini kile akili zenu zinapowatuma tu..hii ni mbaya..kwa taarifa yenu ana afya tele...
kwani alisema uchaguzi ujao atakuwa msimamiz??
R i p jaji!
Kwahiyo aki paralyze ndio itamaanisha kwamba Lema ni Nabii?? mh hizi propaganda nyingine!
Mimi nina uhakika alipooza miguu na alikuwa anatibiwa MOI.....
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Kwamba amepona leoleo?
"Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki
wale madakatari wanaomtibu huko kupoza ndiyo wanaushahidi au unataka mpaka liletwe daftari la matibabu yake?
Follow Us Here