Kiwia amemtaja live bungeni kuwa anahusika kwani siku ya tukio gari la mh. Hewa lake lilikuwepo eneo la tukio, na ameahidi kuwasilisha ushahidi na majina ya washukiwa wengine
Kiwia amemtaja live bungeni kuwa anahusika kwani siku ya tukio gari la mh. Hewa lake lilikuwepo eneo la tukio, na ameahidi kuwasilisha ushahidi na majina ya washukiwa wengine
Last edited by Gambas; 27th June 2012 at 12:42.
Mbona unaweka habari nusu nusu..
Wakati akiwa nachangia budget ya waziri mkuu alisema waliotaka kumuwa kiwia ni baadhi ya wana ccm hali iliyomtaka chief of whip akamtaka atoe ushahidi na spika ameridhia kwa kumpa siku saba kuleta ushahidi wake.
weka habari iliyokamili mkuu
Hivi hizi shahidi wanatakaga wape wanazipelega wapi?Mbona hatujawahi kusikia mwisho wake?
Face Reality As it Is, Not As it Was or As You Wish It To Be.
Baada ya polisi kushindwa kaamua kufungua...
"Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.
Kwani Kiwia kafa? Unawekaje mada wewe?
Mh.Kiwia yupo hai na yupo bungeni Dodoma.
mh! kiwia si hajafa edit hyo heading
BE RESPECTED............DEMAND RESPECT
Tunataka pia ushaidi wa Lema dhidi ya Pinda kusema uongo Bungeni utolewe wazi mbona SPIKA anaukalia?
Simile nipite...
"Look Deep into Nature and then you will Understand Everything Better" - ALBERT Einstein
Mongozo jamani! Kwani kafa?
Halafu Mwigulu akaleta upuuzi eti akasimama kuomba muongozo eti huo si ushahidi kwani hata nje ya ukumbi wa Bunge gari la Mheshimiwa Hewa lipo.......................Kiw ia akajibu kuwa kuna watu wanafanya mzaha na maisha ya watu.......disgusting!
BE RESPECTED............DEMAND RESPECT
Follow Us Here