Kufuatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!
Wana Jf nimepata habari mbaya kuwa wahudumu wa vyumba vya maiti hospitali zote za Dar wametangaza mgomo wa kutopokea wala kuhudumia maiti yoyote hata kama mtu kafia hapohapo hospitali husika mpaka Dr Ulimboka atakapo kuwa amepona na kueleza yaliyo msibu.
Hivi nchi hii tunaelekea wapi?
Kama vile hamna kinachoendelea, nasikia JK yuko bussy na mipango ya safari yake ya Canada.
Nadhani kwa mgomo huo sasa maiti zitapangwa jangwani kwani huo ndo uwanja mpana.
Re: Kufatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!
"If you succumb to the temptation of using violence in the struggle, unborn generations will be the recipients of a long and desolate night of bitterness, and your chief legacy to the future will be an endless reign of meaningless chaos."
Martin Luther King, Jr.
Re: Kufatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!
Ntakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa aliyotendewa Ulimboka yametendwa na serikali/polisi. Naomba Mungu amlaani sasa hivi na amuondoe duniani, yeyote aliyepanga na kutekeleza uovu huu dhidi ya Dr Ulimboka.
Re: Kufatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!
By Tuko

Sencerery for me it does't implemt since suffering just started from ****** regem and will end within the same regem when ****** handles power to people's power!!!
Re: Kufatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!
By Froida
JK ni Laana ya nchi hii kama EMMA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ijifunze kutokana na yanayotokea Tanzania kwa sasa, watu wenye akili zao wamempima mtu wamegundua hana uwezo wa kuwa kiongozi wa nchi wamemkataa lakini wao wanaamua tu kumtangaza tu, haya Jk anawaonyesha uwezo wake kwa matokeo tuu. Maisha yanazidi kuwa magumu kwa watumishi wa umma na sector binafsi. Ilihali amewahi kudanganya kwamba atafanya maisha bora kwa kila Mtanzania
Re: Kufatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!
By Tuko
Nimeomba. Sijawahi kumuombea mtu mabaya hata adui zangu, but with this... Mungu atuondolee mtu/watu hawa...
Mungu nayemjua mie angependelea kuona hawa watu wanatubu dhambi zao zote na kuanza kuishi kwa mujibu wa maelekezo yake ili wasipotee. Ninaamini kabisa kabisa kwamba maombi yako yamewekwa kapuni.
Nadhani hawa watu wako ndani ya uwezo wetu, tujadili namna ya kuwashughulikia bila kusababisha madhara zaidi.
Follow Us Here