Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.
Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).
UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!
By Riwa
Jamani this is is serious; Nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa Legal and Human Rights Center wameniambia wametoka kumchukua Dr. Ulimboka kule Mabwepande amepigwa vibaya sana na ni emergency wanampeleka MOI sasa hivi.
Please tunaomba mtume habari hii kila mahali please!
Ni habari ya uhakika sana nimeomngea na Patience Mlowe wa Legal and Human Rights center.
Chanzo: Colleague ambaye yuko naye sasa!
By DOMA
Kamanda wa polisi Suleiman Kova amekaririwa akisema kwamba Dr. Ulimboka ametekwa akiwa Club na watu wasiojulikana akiwa anakunywa kinywaji na kuahidi kwamba uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo.
Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.
PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By Hydrobenga
Pole Pole Mama....Unayosema hayahalalishi vifo vya wananchi wasio na hatia..unataka tusiwahusishe madaktari kivipi ? Na wewe pia semea Nafsi yako na waliokutuma....Povu linakutoka hadi unaomba msaada kwa Mods ?Jikaze mtoto wa kike !!! Mngekuja kuwaka Kama siku ile wananchi walivyokufa kwa mgomo tungewaelewa...Huyu ulimboka ni bora kuliko wale waliopoteza roho zao katika mgomo ?..watolee povu wananchi wa kawaida pia ! sio akinya bata unakuja kutoa povu hapa JF akinya kuku unapotezea!
Dada Mgawatigo kweli unapenda kukilimbitwa! Yaani wewe huoni Watanzania wanavyo uawa kila kukicha migodini? Huoni mauji yanayofanywa na kuratibiwa na serikali ya CCM kwenye chaguzi ndogo za Igunga, Arumeru? Kisharuala kinakuwasha kwenye masaburi mpaka husikii wala huoni mauaji yanayoendelea kule nyamongo? Akili yako ya kubebewa na mabasha wanaokupumulia kisogoni inakufanya usione viwanda vilivyofisadiwa na CCM wananchi wakakosa ajiri hatimae wakafariki kwa ufukara.. Huoni wala haujasikia kuwa CCM walimua Baba wataifa ili waweze kutoroshea fedha zetu kwa mabasha wenu? Dada Mgawatigo Pls fungua macho na masiko yako acha kufikiri kwa kutumia masaburi, CCM wametusababishia ajali ngapi za barabarini kutokana na miundo mbinu mibovu? CCM inanuka damu!! Tanzania haipaswi kuwa maskini mafukara Da Mgawatigo! Ona Botswana wanavoajiri madaktari kutoka ktk kila kona ya dunia na wanawalipa vizuri kutokana na mapato ya madini yao!!! Umefirigiswaa na sasa huoni unatetea mabasha zako hata kwenye mauji ya Watanzania wazalendo!!!
Anyway...Uchunguzi wa kina ukifanyika nina uhakika 100% waliotaka kumua Dr Ulimboka watakuwa kikosi kazi cha Green Guard! Usalama wa Taifa hawawezi kamwe kufanya ujinga kama huo !!!
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
Ni bahati mbaya nimekuwa busy sijaweza kuchangia wala kupitia maoni ya wachangiaji wengine na pia kutokana na ujinga unaoendelea kujitokeza jukwaani kuona wenye mawazo tofauti kuwa wametumwa na nape nk naomba nisichangie....ila nakumbuka jumamosi iliyopita nilimuuliza mchangiaji mmoja kuwa just imagine unasafiri then yanakukuta ya kukukuta njiani halafu mgomo unaoushabikia unaendelea...fumba macho then uone hiyo picha..
At the end tulikubaliana kutokuelewana... Nachotaka kusema hapa ni kuwa bila kujali ulimboka kafanya/kafanywa nini pengine na nani bali yuko kama tunavyomuona kwenye picha...(mimi si mmojawapo wa wanaoshabikia mabaya) lakini bila huduma za madaktari (pamoja na ukweli kuwa yeye ni daktari) asilimia za kumkosa ni kubwa...je ni wangapi kuanzia kule Kintinku, Misenyi, Nguruka, Lituhi, Namanyere, Karumeli, Mbambabay Nyachabakeni, Muhoro, nk nk wanaopatwa na masahibu kama haya na wanaathirika na mgomo alouasisi yeye na hatimaye kufa kwa kukosa huduma?
Hivi maisha ya mtu yana mbadala?? serekali wanayoigomea inaathirika vipi na hili? yanini tunamalizana wenyewe kwa kudhani kuna tunayemkomoa serekalini? ...acha niwe kilaza katika hili ila bado sielewi madaktari na wanaowaunga mkono... wangetenganisha madai ya mshahara na madai ya mazingira bora ya kufanyia kazi wangeeleweka vizuri sana na tungewaunga mkono saana tu...lakini madai ya mshahara wa millioni 3 kufichwa ndani ya madai ya kuboresha huduma ...nitakuwa wa mwisho kuelewa...
Hakuna aliyelazimishwa kuwa daktari ila ukeshakuwa daktari una kiapo cha kutumikia wagonjwa...leo mzima kesho nani anajua UTAKUWA KAMA ULIMBOKA?? Alijua kuwa atakutana na alokutana nayo? Hasha...sitaki na wala sitaingika kwenye mjadala wa ama ameshughulikiwa na serekali, amefumaniwa amepata ajali...what ever the case lakini wapo watanzania wangapi ambao hawajiwezi (kama yeye) na sasa wanavuta pumzi za mwisho bila msaada kutokana na mgomo alouasisi?
Mbona wenzie hawakugoma kwake?? wamelipwa millioni 3? Nakaribisha matusi kama ilivyo kawaida ya JF nowadays ....kwamba lazima tuwaze yanayofanana.

Yaani inasikitisha nchi yetu hii tunakwenda wapi ndugu? Inatia uchungu sana. Kumbe ndio sababu hata leo hatujaambiwa kama amri ya mahakama wameitii au vipi kwa sababu kiongozi wao hakuwepo kuwapa taarifa.
Kumbe alikuwa hoi kwa kipigo maskini; pole sana dk umboka get well soon.
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
Sasa tukisema serikali dhaifu wengine humu mpaka povu zinawatoka.. lakini hawajiulizi posho wanasiasa/vigogo na tume mbalimbali wanazolipana licha ya mishahara minono, linapokuja swala la utatuzi wa kero ndio maswala kama haya ya kutekwa au hata kuuwawa, kwa serikali imara hiyo haiwezekani bali kwa serikali dhaifu tu.
Re: Si tetesi: Ulimboka amepatikana akiwa ameteswa..anapelekwa MOI now!
By Riwa
Jamani this is iserious nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa legal and human rights center wameniambia wametoka kumchukua Dr Ulimboka kule mwabepande amepigwa vibaya sana na ni emergency wanampeleka MOI sasa hivi please tunaomba mtume habari hii kila mahali please! Ni habari ya uhakika sana nimeomngea na Patience Mlowe wa Legal and Human Rights center. Chanzo: Colleague ambaye yuko naye sasa!
Wanampeleka MOI kufanya nini si kuna mgomo alouasisi yeye?? Hakujua na yeye ni mwili na damu?? kwani aliwahi kumuona kikwete au pinda au hessein mwinyi kwenye foleni muhimbili?? unagomea walalahoi wenzako ...hao waliorudishwa kwenye machela si ni binadamu kama yeye??
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
ongozi wa Madaktari Atekwa, Aokotwa Akiwa Hoi
Dokta Ulimboka baada ya kuokotwa
MWENYEKITI WA chama cha Madaktari, Tanzania, Dkt. Steven Ulimboka ameokotwa eneo la Mabwepande akiwa hoi baada ya kutekwa na watu asiowafahamu jana.
Kufuatia hali hiyo, Ulimboka amefikishwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili katika Wodi ya kitengo cha mifupa, Moi kwa ajili ya matibabu baada ya kujeruhiwa kwa mapanga.
Majira haya Ulimboka amepokelewa hospitalini hapo na umati wa watu kwa huzuni tele akiwa na majeraha kwenye baadhi ya viungo vyake.
Kwa mujibu wa yeye mwenyewe akiongea kwa tabu Dkt. Ulimboka amesema kuwa " nilitekwa jana majira ya saa 6 usiku, na watu watano wakiwa na bunduki na kuniuliza wenzangu, nikawajibu hawapo wakaniambia tutakuchukua wewe peke yako".
"Tulipofika eneo walilolitaka wakanivuta kwenye rami chini na kunipa kipigo kisha kuniingiza kwenye gari nyeusi ambayo haikuwa na namba" amesema Ulimboka kwa shida kwa jinsi alivyoweza kukumbuka tukio hilo.
Wakati Ulimboka anafikishwa hospitalini asubuhi hii, kuna askari alijitokeza akiwa na redio call alivamiwa na watu na kuanza kupigwa na alikuja kuokolewa na badhi ya askari waliokuwa maeneo hayo.
Kufuatia hali hiyo hadi habari hii inandikwa leo majira haya ya saa 6 mchana askari wa kutuliza fujo FFU wametanda hospitalini hapo
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
Nasubiri kauli ya serikali kesho. Wakubwa wanaweza kutoa kauli za ajabu kesho na kama kawaida wabunge wa CCM watapiga makofi na hata kushangilia. Natabiri kikao kitaongozwa na Spika mwenyewe ili amuokoe swaiba wake Pinda.
Ila niseme hivi, serikali na CCM kwa jumla wako nyuma sana and out of touch. Labda kwa sababu wamekaa madarakani kwa muda mrefu hivyo wamesahau maisha ya uraini yakoje na watu wanafiria nini. Matokeo yake wanaendesha mambo kizamani na kimabavu mno. Kesho nasubiri kauli.
Wanampeleka MOI kufanya nini si kuna mgomo alouasisi yeye?? Hakujua na yeye ni mwili na damu?? kwani aliwahi kumuona kikwete au pinda au hessein mwinyi kwenye foleni muhimbili?? unagomea walalahoi wenzako ...hao waliorudishwa kwenye machela si ni binadamu kama yeye??
wamempeleka MOI kumtibu.......... Tena kwa taarifa yako matibabu anayopewa hata rais wako hajawahi kupewa; under specialists care for 24hrs tumepeana shifts.
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By MwanajamiiOne
Dah....................... pole sana kaka. MUNGU atakuponya tambua tu kuwa watanzania wengi tuko pamoja nawe.
Hivi watanzania tumerogwa na nani?
We acha tu MJ1...Yaani hii kitu imenikosesha raha sana. Kutaka kumuua mtu kwa kudai haki ambayo Watanzania wengi tunaona wanastahili na pia kuziboresha Hospitali zetu...Wakati mafisadi wa EPA, Rada, Kiwira n.k. wanaendelea kupeta....Nchi haina muelekeo kabisa na hawa walio madarakani hawastahili kuwepo maana kazi imewashinda sasa wanaanza kujihami kwa kuwaua Watanzania.
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By Mkirua
Ni bahati mbaya nimekuwa busy sijaweza kuchangia wala kupitia maoni ya wachangiaji wengine na pia kutokana na ujinga unaoendelea kujitokeza jukwaani kuona wenye mawazo tofauti kuwa wametumwa na nape nk naomba nisichangie....ila nakumbuka jumamosi iliyopita nilimuuliza mchangiaji mmoja kuwa just imagine unasafiri then yanakukuta ya kukukuta njiani halafu mgomo unaoushabikia unaendelea...fumba macho then uone hiyo picha..
At the end tulikubaliana kutokuelewana... Nachotaka kusema hapa ni kuwa bila kujali ulimboka kafanya/kafanywa nini pengine na nani bali yuko kama tunavyomuona kwenye picha...(mimi si mmojawapo wa wanaoshabikia mabaya) lakini bila huduma za madaktari (pamoja na ukweli kuwa yeye ni daktari) asilimia za kumkosa ni kubwa...je ni wangapi kuanzia kule Kintinku, Misenyi, Nguruka, Lituhi, Namanyere, Karumeli, Mbambabay Nyachabakeni, Muhoro, nk nk wanaopatwa na masahibu kama haya na wanaathirika na mgomo alouasisi yeye na hatimaye kufa kwa kukosa huduma?
Hivi maisha ya mtu yana mbadala?? serekali wanayoigomea inaathirika vipi na hili? yanini tunamalizana wenyewe kwa kudhani kuna tunayemkomoa serekalini? ...acha niwe kilaza katika hili ila bado sielewi madaktari na wanaowaunga mkono... wangetenganisha madai ya mshahara na madai ya mazingira bora ya kufanyia kazi wangeeleweka vizuri sana na tungewaunga mkono saana tu...lakini madai ya mshahara wa millioni 3 kufichwa ndani ya madai ya kuboresha huduma ...nitakuwa wa mwisho kuelewa...
Hakuna aliyelazimishwa kuwa daktari ila ukeshakuwa daktari una kiapo cha kutumikia wagonjwa...leo mzima kesho nani anajua UTAKUWA KAMA ULIMBOKA?? Alijua kuwa atakutana na alokutana nayo? Hasha...sitaki na wala sitaingika kwenye mjadala wa ama ameshughulikiwa na serekali, amefumaniwa amepata ajali...what ever the case lakini wapo watanzania wangapi ambao hawajiwezi (kama yeye) na sasa wanavuta pumzi za mwisho bila msaada kutokana na mgomo alouasisi?
Mbona wenzie hawakugoma kwake?? wamelipwa millioni 3? Nakaribisha matusi kama ilivyo kawaida ya JF nowadays ....kwamba lazima tuwaze yanayofanana.
THE PHYSICIAN'S OATH
I solemnly pledge myself to consecrate my life to the service of humanity;
I will give to my teachers the respect and gratitude which is their due;
I will practice my profession with conscience and dignity;
The health of my patient will be my first consideration;
I will respect the secrets which are confided in me;
I will maintain by all the means in my power, the honour and the noble traditions of the medical profession;
My colleagues will be my brothers and sisters;
I will not permit considerations of religion, nationality, race, gender, politics, socioeconomic standing, or sexual orientation to intervene between my duty and my patient;
I will maintain the utmost respect for human life; even under threat, I will not use my medical knowledge contrary to the laws of humanity;
I make these promises solemnly, freely and upon my honour.
JIBU LAKO LIPO KWENYE BULLET ILIYOBOLD KWA WEKUNDU.
Ni bahati mbaya nimekuwa busy sijaweza kuchangia wala kupitia maoni ya wachangiaji wengine na pia kutokana na ujinga unaoendelea kujitokeza jukwaani kuona wenye mawazo tofauti kuwa wametumwa na nape nk naomba nisichangie....ila nakumbuka jumamosi iliyopita nilimuuliza mchangiaji mmoja kuwa just imagine unasafiri then yanakukuta ya kukukuta njiani halafu mgomo unaoushabikia unaendelea...fumba macho then uone hiyo picha..
At the end tulikubaliana kutokuelewana... Nachotaka kusema hapa ni kuwa bila kujali ulimboka kafanya/kafanywa nini pengine na nani bali yuko kama tunavyomuona kwenye picha...(mimi si mmojawapo wa wanaoshabikia mabaya) lakini bila huduma za madaktari (pamoja na ukweli kuwa yeye ni daktari) asilimia za kumkosa ni kubwa...je ni wangapi kuanzia kule Kintinku, Misenyi, Nguruka, Lituhi, Namanyere, Karumeli, Mbambabay Nyachabakeni, Muhoro, nk nk wanaopatwa na masahibu kama haya na wanaathirika na mgomo alouasisi yeye na hatimaye kufa kwa kukosa huduma?
Hivi maisha ya mtu yana mbadala?? serekali wanayoigomea inaathirika vipi na hili? yanini tunamalizana wenyewe kwa kudhani kuna tunayemkomoa serekalini? ...acha niwe kilaza katika hili ila bado sielewi madaktari na wanaowaunga mkono... wangetenganisha madai ya mshahara na madai ya mazingira bora ya kufanyia kazi wangeeleweka vizuri sana na tungewaunga mkono saana tu...lakini madai ya mshahara wa millioni 3 kufichwa ndani ya madai ya kuboresha huduma ...nitakuwa wa mwisho kuelewa...
Hakuna aliyelazimishwa kuwa daktari ila ukeshakuwa daktari una kiapo cha kutumikia wagonjwa...leo mzima kesho nani anajua UTAKUWA KAMA ULIMBOKA?? Alijua kuwa atakutana na alokutana nayo? Hasha...sitaki na wala sitaingika kwenye mjadala wa ama ameshughulikiwa na serekali, amefumaniwa amepata ajali...what ever the case lakini wapo watanzania wangapi ambao hawajiwezi (kama yeye) na sasa wanavuta pumzi za mwisho bila msaada kutokana na mgomo alouasisi?
Mbona wenzie hawakugoma kwake?? wamelipwa millioni 3? Nakaribisha matusi kama ilivyo kawaida ya JF nowadays ....kwamba lazima tuwaze yanayofanana.
Mkubwa mimi niko pampja na wewe.Tatizo la hawa madaktari wanadhani na kujiona wao ni muhimu kuliko watumishi wengine.Halafu madai sio realistic,mshahara wa 3 million??!!!Watu wanataabika na pengine kufa wao wakishuhudia lkn wakiendelea na mgomo.Halafu hiyo Dr Ulimboka anaenda na rafiki yake kwenye issue kubwa kama hiyo tena inayohusu nchi nzima!Kwani hiyo kamati ya madaktari ni ULIMBOKA NA RAFIKI YAKE TU?Huyu
ni corrupt na hafai maana inaonekana anaweza kununuliwa na kuwasaliti wenzake.Hiyo kuitwa ili WAKAYAMALIZR yeye alijua anaitiwa dili ili akatengeneze pesa.Badala yake ndio yamempata hayo.Sishabikii itekaji na unyanyasaji aliofanyiwa Dr Ulimboka,lakini SI MTU MAKINI.

Re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By Ng'wanambula

Hilo nalo neno.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By Fblukuwi
Kugoma ni akili za kipumbavu?
Nadhani mwenye akili za upumba%u ni wewe kwani umeridhika na UDHAIFU wa Serikali yako!!
Mkuu sasa Ujanja/Werevu wakugoma ni nini/ni upi? Naona Ugomaji ndio Udhaifu wa Kwanza na Mwisho! Hebu tuamini na tukubali japo kwa masaa tu kuwa Serekali ni DHAIFU sasa Inawashindaje/Inatushindaje kuiondoa??
Follow Us Here