Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.
Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).
UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!
By Riwa
Jamani this is is serious; Nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa Legal and Human Rights Center wameniambia wametoka kumchukua Dr. Ulimboka kule Mabwepande amepigwa vibaya sana na ni emergency wanampeleka MOI sasa hivi.
Please tunaomba mtume habari hii kila mahali please!
Ni habari ya uhakika sana nimeomngea na Patience Mlowe wa Legal and Human Rights center.
Chanzo: Colleague ambaye yuko naye sasa!
By DOMA
Kamanda wa polisi Suleiman Kova amekaririwa akisema kwamba Dr. Ulimboka ametekwa akiwa Club na watu wasiojulikana akiwa anakunywa kinywaji na kuahidi kwamba uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo.
Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.
PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
HYDROBENGA. ...upo upande wa waliopatwa na machungu ya kufiwa na ndugu/rafiki/jamaa kwa sakata la madaktari.....!
wasiopatwa na kadhia hiyo hawakuelewi.........!
MKUKI KWA NGURUWE.....KWA BINADAMU MCHUNGU..!
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By Barnabas Shadrack
Kwa nini hiyo siku isiwe leo au kesho? Au watanzania tunasubiri waje wazungu kutusaidia kuondoa viongozi dhaifu serikalini. Inauma sana kuona Tanzania ikibakizwa mifupa tu wakati huo nyama yote inamalizwa. Sijui wajukuu zetu watakuja wapate hata hiyo mifupa kweli.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
watanzania tumelelewa kwenye misingi ya uonga,hii imesababishwa na umasikini tulionao,na ndiyo maana watawala wetu wanahakikisha tunabaki masikini ilitushindwe kufanya maamuzi.ukilinganisha hali ya 2005 mpaka sasa,utaona watu wameanza kuhoji mambo,lakuini sasa,katika mabili0ni ya watanzania,watu wa kuhoji niwachache sana,lakini watanza watake wasitake lazima wafanye maamuzi maana mabo ni mabaya kwa kila mtu.hiyo siku inakuja.just wait u wil witness the day.
Mbona na wewe unatutisha .... sisi tukiumwa tutakuja muhimbili...mkigoma kutuhudumia tunateka mwengine ....tuna msulubisha...halafu tunaenda kutupa Mabwepande.....Hali itaendelea hivi mpaka muishe wote...kisha tunahamia katika tiba za jadi
Ni heri muanze sasa kwenda katika hizo Tiba za Jadi; nyie mnaua madakitari kisgha mnataka Dakitari aje akutibie uliona wapi uendawazimu kama huo.
Si utachomwa sindano yenye HIV ++, na watu kama nyie mnaochonga wakati watu wanatetea haki mnasitahili kuwekewa damu yenye HIV ++.
Hamuna faida duniani.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
SASA NIMEAMINI KUWA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
Haiingii akilini kwa binadaam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.
Kama sinema basi director ni mbovu.
Hii ni foul play na culprits watajulikana.
Serikali wanavyo operate ni tofauti na hivyo. Kila nnavyoifatilia hii habari nazidi kujikinahisha kuwa wasiyoitakia mema Serikali iliyopo madarakani ndio waliofanya haya.
Mtu ufanye dhambi halafu ukaitangazie dunia kuwa mimi ndio niliofanya. Mmekosea hesabu mliofanya hayo. Na nnakuhakikishieni mtajulikana leo hii, ikizidi kesho.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By NasDaz
Ina maana wewe ungekuwa ni miongoni mwa wafanya maamuzi ungefanya maamuzi ya kijinga kama hayo?!
Kuwatisha madaktari mbona jambo dogo sana mkuu wangu!! Hivi unataka kuniambia hufahamu ni kwanini madaktari walikuwa wanaenda kusaini lakini hawafanyi kazi?!
Ina maana hapo inahitaji mtu awe na digrii kufahamu kwamba pamoja na kugoma kwao lakini wanaogopa kupoteza ajira na ndio maana walikuwa wanasaini ili waonekane wamekuja kazini?!
Kuwaatisha ni rahisi tu.....ukiwatimua wale, baada ya mda wote wangerudi kufanya kazi na wala hawakuwa na sababu ya kumteka Ulimboka na kujenga picha ya kijinga kama hiyo!
Mkuu si kweli MaDr ni waoga ila wanataka kujipatia FIDIA ya bure toka kwa Pinda hapo kesho atakapojaribu kuwafukuza!
Hiyo ya kusaini ni kumpoteza maboya Pinda kesho kuwa akiwafukuza atakuwa hana Uthibitisho wowote wa kugoma kwa maDr hivyo wote watakaofukuzwa wanaenda mahakamani kutengua uamuzi huo na kudai fidia kwa usumbufu!!
Acha kuchezea Madr wana akili ajabu washaona mbele!
Naona kuna watu wanahusisha utekaji na utesaji aliofanyiwa DR Ulimboka na chama cha Mapinduzi, nashindwa kuelewa kinahusika vipi.hili ni swala la kisiasa kweli?
Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la utekaji nyara na kujeruhi lililompata kiongozi mgomo wa Madaktari Steven Ulimboka anayedaiwa kutekwa na watu watano wakati akipata kinwaji katika klabu ya Leaders Kiondoni jijini Dar es salaam.
Kamanda Kova amesema Ulimboka aliokotwa na msamaria mwema ambaye hakutaka kumtaja jina lake kiusalama na kutoharibu upelelezi kuwa msamaria mwema huyo alimuokota Ulimboka katika msitu wa Mabwepande na kutoa taarifa kituo cha polisi cha Bunju, ambapo polisi aliyekuwa zamu alichukua maelezo yake na baadae Steven Ulimboka kuletwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.
Kamanda Kova amesema jeshi la Polisi Kanda Maalum limeunda jopo maalum kwa ajili ya uchunguzi na upelelezi wa tukio hilo la utekaji nyara, kwani ni tukio la kwanza kutoke nchini, ameongeza kwamba wahusika wote watakaobainika kuhusika na tukio hilo wachukuliwa hatua za kisheria na sheria itafuata mkondo wake ili kukomesha matukio mengine kama hayo
Waandishi wa habari waimsikiliza kamanda Suleiman Kova katika kituo kikuu cha polisi Kati jijini Dar es salaam leo mchana.
Dk Steven Ulimboka akiwa amejeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana baada ya kutekwa na kupigwa vibaya usiku wa kuamkia leo na kuokotwa huko Mabwepande.
Ni heri muanze sasa kwenda katika hizo Tiba za Jadi; nyie mnaua madakitari kisgha mnataka Dakitari aje akutibie uliona wapi uendawazimu kama huo.
Si utachomwa sindano yenye HIV ++, na watu kama nyie mnaochonga wakati watu wanatetea haki mnasitahili kuwekewa damu yenye HIV ++.
Hamuna faida duniani.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Usiwe punguani wewe, kaa ufikiri japo kidogo:
Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By mzurimie
Kweli inasikitisha hiki kitendo walichomfanyia.
Kwa kusema kutotumia majina ndio mtu huwezi julikana hiyo sio kweli, admin wa JF au niseme forum yoyote wana access ya juu kwa mtu anaye jiregister katika forums.
wanaweza mengi, kujua IP address uliyojiungia, wapi unalog in toka, kulink username yako na e-mail (wengi hutumia majina), ni kuwa ukijiunga u basi umewapa ruhusu ya kukujua weye. wengi ukigoogle e-mail zao utakuta majina etc, au hata kwenye facebook kama wapo public utapata kuona profile zao etc. hii kitu inatumika na wengi hata kwenye maofisi kumjua mtu etc
hata mtu uwe Musoma utume ujumbe unajifanya upo Mbeya wakitaka angalia wanajua ukweli.
Cha umuhimu ni kuamini kuwa hawa admin na owners wa forum hawata angukia kupokea pesa za kuongwa ili kutoa data za watu. wanaweza block ip address ya mtu, kwa hiyo mtu inajulikana ni hadi wapi wanaweza fika.
Ndio maana ni muhimu sana owners wa forums kutoa access kwenye sensitive data kwa watu wanaowaamini, humu kuna mods I guess sidhani kama wanawajua wote kiundani as na ma spy wanaweza kuwa wamo. kitu cha michango ya pesa nyingi isifanye wakadhani kuwa hao ndio watakatifu.
mtu anaweza kutumia pesa kupata anachotaka hata kama itawachukua miezi, miaka bali wajilinde na mambo or maisha yao.
ukitaka leta nyaraka na unajua utakuwa huru bila kufatwa au kuwa na wasi basi ni...
kutumia connection ya internet isilink na home kwako, kazini au unapokuwepo mara nyingi, zile za kununua kwa mwezi, fungua e-mail account tofauti, ingia kwenye forum ujisajili thne rusha mambo.
tabu humu wengi wana fikira ndogo wakiona mtu kajiunga siku hiyo au siku chache zimepita wanadhani mambo yanayoletwa ni mchezo hawajui ujanja wa kutumia mitandao.
haya I hope wenye mambo watarusha wakitaka kusaidia nchi yetu.
Hapo kwenye red sio lazima wajue coz wengi humu tunatumia Fake IPs ndugu yangu.
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
Wapendwa:
Mbona yaelekea tayari Tunaitia Serekali Hatiani kwa Maafa yaliyompata huyu DAKTARI??Inawezekana pia Madaktari wakapanga huo Mchezo kutafuta Huruma za Wananchi. Hao ni wasomi na kwa bahati mbaya wamekata Tamaa ya maisha. (Aibu Madaktari wetu wako Desperate wanaweza kufanya chochote/kwa maslahi yao)
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By majata
wazo lako kama lakwangu, nahisi kama idd amin amerudi tanzania kwani mauaji yanayohusiana na siasa yanaongezeka huku sirikali ikichukua hatua za taratibu na ambazo moja kwa moja zinaonyesha kuwa inahusika na mauji haya. Watu wote ambao wamekuwa msitari wa mbele kupinga namna serikali ya ccm inavyoendeshwa moja kwa moja au kuipinga ccm wamekuwa hatarini.
huu utawala wetu hauna tofauti na IDD AMIN, au tunaweza kusema ni heri ya IDD AMIN; au Wakoloni walitesa wazazi wetu lakini tumepata uhuru kumbe mambo ni yaleyale.
NI HERI KUTAWALIWA na MKOLONI KULIKO MWAFRIKA MWEUSI.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
SASA NIMEAMINI KUWA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015
Wewe unajiita Wewe BABA? Siwezi kukujibu kwa lugha ya Jazba wala hasira; assignment gani hiyo?
Mimi nimeuliza hapa; Polisi ikipata mtu kajeruhiwa au kufariki wanatakiwa wachukue hatua gani? Wanatakiwa Kupiga SIMU LHRC?
Let us be realistic.
Na pia kama huna mchango, tafadhali usiweke matapishi Jukwaani.
Assignment inafanywa JF?
You need mental treatment
Andrew Kapaya@facebook
"Daa! jamaa kachakazwa ile mbaya! Ila kilichonichanganya ni tukio la AFISA USALAMA aliyefika,baadae akaingia msalani akapiga simu kuwa jamaa hajafa,.Da ma dr wakamshtukia,duuuh,pale MOI pamechimbika kachezea na bastola yake ilikuwa haijajulikana ilipo.Ila ma dr wamefula kwa hasira sijui itakuwaje? 2MUOMBEE Dr.S.O"
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By KISUKALI
Wapendwa:
Mbona yaelekea tayari Tunaitia Serekali Hatiani kwa Maafa yaliyompata huyu DAKTARI??Inawezekana pia Madaktari wakapanga huo Mchezo kutafuta Huruma za Wananchi. Hao ni wasomi na kwa bahati mbaya wamekata Tamaa ya maisha. (Aibu Madaktari wetu wako Desperate wanaweza kufanya chochote/kwa maslahi yao)
Hakuna DR. mwenye akili ya kipumbavu ya kufanya hivi. Hilo ondoa katika mawazo yako na usiwapumbaze na wengine kwa hizo Siasa zisizokuwa na msingi.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
SASA NIMEAMINI KUWA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015
re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...
By Mr. Zero
Kuwa daktari inabidi uwe kipanga vilevile .................. siyo swala la number vyuo!!! Usha on mtandaoni wanatoa degree za medicine kama BBA, MBA n.k. I am not a medical doctor but why is going on here is seriously disturbing!!
Kaka hiyo ilikuwa zamani enzi zile Muhimbili ndiyo chuo pekee cha udaktari!!Siku hizi three ya mwisho unapiga MEDICINE vyuo vya private safi kabisa!Very soon tutaungana mtaani na bahasha za kaki!!
Kamanda wa polisi suleman Kova anekaririwa akisema kwamba Dr ulimboka ametekwa akiwa Club na watu wasiojulikana akiwa anakunywa kinywaji na kuahidi kwamba uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo.
Follow Us Here