Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Report Post
    Page 57 of 85 FirstFirst ... 47555657585967 ... LastLast
    Results 1,121 to 1,140 of 1699
    1. #1
      langei's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th November 2009
      Location : endim
      Posts : 325
      Rep Power : 548
      Likes Received
      162
      Likes Given
      64

      Default Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!

      Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.

      Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).

      UPDATE:
      Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!

      Quote By Riwa
      Jamani this is is serious; Nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa Legal and Human Rights Center wameniambia wametoka kumchukua Dr. Ulimboka kule Mabwepande amepigwa vibaya sana na ni emergency wanampeleka MOI sasa hivi.

      Please tunaomba mtume habari hii kila mahali please!

      Ni habari ya uhakika sana nimeomngea na Patience Mlowe wa Legal and Human Rights center.

      Chanzo: Colleague ambaye yuko naye sasa!
      Quote By DOMA
      Kamanda wa polisi Suleiman Kova amekaririwa akisema kwamba Dr. Ulimboka ametekwa akiwa Club na watu wasiojulikana akiwa anakunywa kinywaji na kuahidi kwamba uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo.
      Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.

      PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
      Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!

    2. Miaka 50

    3. #1121
      Mafuluto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th August 2009
      Posts : 797
      Rep Power : 2973
      Likes Received
      165
      Likes Given
      306

      Default Re: Picha ya Dr. Ulimboka alivyojeruhiwa

      Wewe ni wazi unapakuliwa na magamba ndo maana unaandika udivi kama huu !! Ungekuwa mtoto wa/au mke wa Daktari ukawa unasota wakati kuna watu wanakwiba mamimilioni kila siku au kuwaongezea posho madiwani na hao wabunge usingeandika kabisa uharo kama huu !! Siku zenu zinahesabika, zikifika basi itakuwa mara alfu ya Gadafi- tutachemsha mafuta ktk gudulia la kupikia vitumbua na kuwakandamiza mchuchumae ili minywele yote huko chini iiungue na kuyeyusha mafuta ktk masaburi huku tukiwasomea haya maandiko yenu yote.... !! Unastahili kujiita homosxl na sio homosapiens maana hao wana akili timamu !!!

      Quote By HOMOSAPIEN
      Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.
      trachomatis likes this.

    4. #1122
      Kaka Sam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Posts : 528
      Rep Power : 605
      Likes Received
      52
      Likes Given
      103

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Quote By Janjaweed
      hujui usemalo.... hii ni step ya kuweka tanzania kuwa serious na profeshens

      eti profeshens..? bora uandike lugha yetu adhimu ya kiswahili kuliko kuharibu lugha za watu... listen, there are so many ways to skin a cat.. so kama wao walichagua njia ya kutuulia ndugu zetu kuwa ndo sahihi mimi siafiki kabisaaaaaaaa... hata maandamano hawajafanya wamerukia kwenye mgomo baada ya kuona mazungumzo yamegonga mwamba,.. is this fare?

      niliwaunga mkono mwanzoni but this time big NO.
      Don't curse the darkness, light the candle.

    5. #1123
      Jakubumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2011
      Location : United states
      Posts : 1,155
      Rep Power : 715
      Likes Received
      305
      Likes Given
      125

      Default

      Hii sio haki hata kidogo, ccm wanawachukia sana watu wanaosema ukweli

    6. #1124
      cheeter's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th April 2011
      Posts : 148
      Rep Power : 439
      Likes Received
      21
      Likes Given
      14

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      yaani kweli we king'asti ****** kweli, badala ya kuangalia the whole issue been involved na wakina nani wanafanya unaanza kuongelea maswala ya kuisi isi tuu...****** sana wewe..bila shaka utakua kama ccm wenzako,ambao ni ******* tuu..........

    7. #1125
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 681
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Mimi nilichosema nasikitika kwa kutandikwa huyu Daktari. Lakini nilisikitika zaidi kwa mgomo wa Madaktari na kukaidiwa Mahakama. KAMA KUPIGWA ASHAPIGWA, hakuna kushabikia binadamu mwenzako akikutwa na mabaya.

      Ila pia, tusishabikie kuvunjwa kwa amri halali ya mahakama na uamuzi wa kuwaacha watanzania wanyonge bila ya huduma; kisa kutunishia misuli Serikali. Hao wanaogoma kumkomoa JK na Pinda; wanafikiri JK au Pinda wakiugua huenda Muhimbili???

      TUSISHABIKIE UPUUZI.

      Kuna jamaa anauliza wakimpiga ndio mwisho wa Tatizo?

      Na mimi nauliza; Kugoma ndio mwisho wa Tatizo?

      Tuwe makini katika sentiments

      MAHAKAMA NI ZETU

      TUZIHESHIMU.

      Nashangaa; Mahakama ikimvua Ubunge Lema; inatukanwa, ikisema MNYIKA aendelee na UBUNGE inasifiwa. Ikisema Mgomo wa Madaktari Sio halali inapingwa, ikimtoa Mbunge wa CCM Sumbawanga kule, inaonekana imefanya kazi sawa.

      Nani wanaoenda kwe Biasness?????

      THINK TWICE
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    8. RukaaJuu Final

    9. #1126
      drgeorge's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd June 2009
      Posts : 99
      Rep Power : 524
      Likes Received
      21
      Likes Given
      4

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Sijui nicomment nini?

    10. #1127
      gimmy's's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd September 2011
      Posts : 313
      Rep Power : 514
      Likes Received
      39
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By kanyi
      Pambaf wa mwisho unataka madaktari wafanye kazi bila dhana hata kama mgonjwa atakuwa ICU ndio atapona kwa Vifaa duni?
      kama mahospitalini hakuna vifaa,huyu Ulimboka anatibiwaje?
      Maundumula likes this.

    11. #1128
      Zanta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th April 2011
      Posts : 1,300
      Rep Power : 748
      Likes Received
      430
      Likes Given
      362

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Quote By Makame
      Mimi nilichosema nasikitika kwa kutandikwa huyu Daktari. Lakini nilisikitika zaidi kwa mgomo wa Madaktari na kukaidiwa Mahakama. KAMA KUPIGWA ASHAPIGWA, hakuna kushabikia binadamu mwenzako akikutwa na mabaya.

      Ila pia, tusishabikie kuvunjwa kwa amri halali ya mahakama na uamuzi wa kuwaacha watanzania wanyonge bila ya huduma; kisa kutunishia misuli Serikali. Hao wanaogoma kumkomoa JK na Pinda; wanafikiri JK au Pinda wakiugua huenda Muhimbili???

      TUSISHABIKIE UPUUZI.

      Kuna jamaa anauliza wakimpiga ndio mwisho wa Tatizo?

      Na mimi nauliza; Kugoma ndio mwisho wa Tatizo?

      Tuwe makini katika sentiments

      MAHAKAMA NI ZETU

      TUZIHESHIMU.

      Nashangaa; Mahakama ikimvua Ubunge Lema; inatukanwa, ikisema MNYIKA aendelee na UBUNGE inasifiwa. Ikisema Mgomo wa Madaktari Sio halali inapingwa, ikimtoa Mbunge wa CCM Sumbawanga kule, inaonekana imefanya kazi sawa.

      Nani wanaoenda kwe Biasness?????

      THINK TWICE
      Watu wanapelekwa kwa hisia hisia tu
      Better to have a Good Dictatorship than Bad Democracy !!!!

    12. #1129
      Froida's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Posts : 3,754
      Rep Power : 1319
      Likes Received
      729
      Likes Given
      147

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Quote By Zungu Pule
      Tusisahau Dr. Ulimboka ana maadui wengi. Ukiacha Serikali (well, watu wachache serikalini), kuna aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya aliyefutwa kazi hivi majuzi. That woman is capable of organizing this. Greedy.
      Ni Mh Jakaya Kikwete,Mizengo Kayanda Pinda, othman usalama wa taifa shame upon them

    13. #1130
      Jakubumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2011
      Location : United states
      Posts : 1,155
      Rep Power : 715
      Likes Received
      305
      Likes Given
      125

      Default

      Quote By Kaka Sam
      eti profeshens..? bora uandike lugha yetu adhimu ya kiswahili kuliko kuharibu lugha za watu... listen, there are so many ways to skin a cat.. so kama wao walichagua njia ya kutuulia ndugu zetu kuwa ndo sahihi mimi siafiki kabisaaaaaaaa... hata maandamano hawajafanya wamerukia kwenye mgomo baada ya kuona mazungumzo yamegonga mwamba,.. is this fare?

      niliwaunga mkono mwanzoni but this time big NO.
      Wakati mwingine sio lazima kuchangia kitu, just kaa kimya. Tunasoma ili tuishi vizuri, hatusomi tuje kuteseka, madaktari wanajua mazingira ya kazi yao sioni sababu ya wewe kutokwa na mapovu namna hii

    14. #1131
      Kakalende's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2006
      Posts : 2,919
      Rep Power : 1230
      Likes Received
      384
      Likes Given
      376

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Swali langu hapa; wanaharakati wa LHRC mmefikaje huko Mabwepande? imekuwaje asiokotwe na wasamaria wema na ikiwezekana madaktari wenzie ndio wawe wa kwanza kumsaidia?

      Maundumula likes this.

    15. #1132
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,704
      Rep Power : 1916
      Likes Received
      1597
      Likes Given
      678

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Quote By gimmy's
      kama mahospitalini hakuna vifaa,huyu Ulimboka anatibiwaje?
      wamenunua kutoka Hospital binafsi

    16. #1133
      Lu-ma-ga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2010
      Posts : 1,851
      Rep Power : 814
      Likes Received
      527
      Likes Given
      8

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Quote By Kakalende
      Swali langu hapa; wanaharakati wa LHRC mmefikaje huko Mabwepande? imekuwaje asiokotwe na wasamaria wema na ikiwezekana madaktari wenzie ndio wawe wa kwanza kumsaidia?

      Walipigiwa simu na polisi usituudhi tafadhali
      Yo Yo likes this.

    17. #1134
      Jakubumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2011
      Location : United states
      Posts : 1,155
      Rep Power : 715
      Likes Received
      305
      Likes Given
      125

      Default

      Quote By MKWECHE
      iwe serikali au mtu binafsi ubabe ni lazima kurudisha hali ya kawaida mahospitalini!madaktari wemesomeshwa na hela za wananchi afu wanagoma kuwatibu!madaktari wote waliogoma washughulikiwe kwa kufutwa kazi mara moja, wakajibu kesi mahakamani!wao waigomee serikali na si kugoma kutibu wagonjwa!ukishakubali kusomeshwa na ukawa 'dokita'kutibu ni lazima
      mkweche ningekuwa president mkweche,kiongozi wa mgomo ningemchapa viboko mwenyewe!chezea kila kitu ila si uhai wa wananchi!wagoma wakati hata deni la kuwasomesha hawajalilipa!
      Mkweche nimewachoka wagomaji!hata kama dawa hakuna mahospitali ila asikosekane mtu wa kutuelekeza tukanunue dawa madukani!nala buk!
      Wewe sidhani hata elimu ulionayo inakusaidia kitu, kaa kimya.

    18. #1135
      Jethro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2009
      Posts : 1,961
      Rep Power : 923
      Likes Received
      207
      Likes Given
      0

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Ndugu wananchi, IKULU si mahali pa pango la walanguzi ikulu si mchoze Ikulu ni mzigooo!! JK amekaa 25 yrs IKULU anashanga leo hii watu wanatamani IKULU kama nini vile sijui, sasa hawa walio enda IKULU kwa kweli hawajui walitendalo kabisa.

      Watu mwakimbilia ikulu kwenda kutoa order ya kuuwa watutu raia kweliiiiiii hii ni aibu gani? wamuuua mtanznia mwenzeka kwa sababu ya tu kudai haki na amekushinda mbinu za kukudai na huwezi hata kujibu hoja na unaona ni bora umtoe roho aibu kani hiiii IKULU

    19. #1136
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 681
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Quote By Lu-ma-ga
      Walipigiwa simu na polisi usituudhi tafadhali
      Polisi wameshindwa kumpeleka majeruhi hospitali mpaka wapigie simu LHRC??????

      To this we have to get a statement from LHRC; watuambie ilikuwaje, sio reported speeches zinazoletwa hapa.

      LHRC MPO???
      Maundumula likes this.
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    20. #1137
      ellyjr8's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Posts : 56
      Rep Power : 429
      Likes Received
      47
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By zomba
      Mahakama imesema mgomo usitishwe na viongozi wa mgomo watangaze kwenye vyombo vya habari watangaze kuwa hakuna mgomo mpaka jambo hili litapomalizwa kusikilizwa na mahakama.

      Mwacheni akafundwe adabu huyo mzandik na muuaji wa wagonjwa wetu na watoto zetu wanaoumwa mahospitalini. Na sasa itabidi apewe adabu aseme ni nani wako nyuma yake wakimshindilia kuwa mkaidi.

      Tutawajuwa na kila mmoja atachukuliwa hatua na kupewa adhabu kali sana na kama sheria hazina adhabu kali, basi tutatunga sheria ya "dharura" yenye adhabu kali sana iwe fundisho kwake na kwa wengine.
      hakuna post wala comment yeyote yenye umaana katika historia toka uje JF, tunajua ulikuwa product ya school dropout, so si matatizo yako.. ukikua utaacha.

    21. #1138
      kifuniboy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 182
      Rep Power : 467
      Likes Received
      12
      Likes Given
      170

      Default Re: Dr. Ulimboka hoi bin taabani

      Pamoja na masikitiko yangu makubwa kwa lilchotokea kwa Dr Ulimboka ningepanda kabla sijachangia vema nijue chanzo gani kilichowafikisha hawa ndg zangu LHRC mabwepande. Kwa sasa niseme tuu -- kama serikali kwa kutumia usalama wa taifa au wengineo ndiyo inayohusika basi conclusively haistahili hat kidogo kuendelea kuwepo madarakani.

      Hali kama haina tofauti na iliyowahi kutokea kwa akina Thom Mboya na Ouko huku kenya miaka kadhaa iliyopita. Hawa kama watu wengi mnavyoweza kukukmbua ni watu walioweza kusimamia haki hadharani bila kuogoap lolote na wakiwa wakamata madaraka makubwa ndani ya serikali ya Kenya. Hali kama hii ikachwa ikakomaa katika nchi yetu hata ufisadi ambao umekuwa ukuitisa nchi hii utokomaa kwa kiwango ambacho hatutaweza kuhimili amani tena.

      Yaliyowahi kutokea kwa Kubeneye, Mwakyembe na Njama za kumtegeshea madawa Abdiel Mengi na sasa Daktari wetu kiongozi Ulimboka tukikaa kimya yataendela bila kukoma na wale ambao walitarajiwa wawe mfano wa kulinda amani ndio wanaotumika kuangamiza amani kwa maslahi yao.

      Nitakoposikia kutoka kwa LHRC nitachangia yaliyoko moyoni.

      TUSHIKAMANE MPAKA KIELEWEKE

    22. #1139
      Hydrobenga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th June 2012
      Posts : 621
      Rep Power : 430
      Likes Received
      55
      Likes Given
      44

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Quote By Jakubumba
      Wakati mwingine sio lazima kuchangia kitu, just kaa kimya. Tunasoma ili tuishi vizuri, hatusomi tuje kuteseka, madaktari wanajua mazingira ya kazi yao sioni sababu ya wewe kutokwa na mapovu namna hii
      Subiri siku mamako akufie mikononi mwako pale mpokezi muhimbili huku Ulimboka na wenzake wako pembeni wanakuchekea chekea etu wamegoma ndio utajua watu wanazungumza nini pia utasema kile kipigo hakikumtosha..

    23. #1140
      Zungu Pule's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2008
      Posts : 406
      Rep Power : 799
      Likes Received
      32
      Likes Given
      36

      Default re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

      Quote By Kaka Sam
      eti profeshens..? bora uandike lugha yetu adhimu ya kiswahili kuliko kuharibu lugha za watu... listen, there are so many ways to skin a cat.. so kama wao walichagua njia ya kutuulia ndugu zetu kuwa ndo sahihi mimi siafiki kabisaaaaaaaa... hata maandamano hawajafanya wamerukia kwenye mgomo baada ya kuona mazungumzo yamegonga mwamba,.. is this fare?

      niliwaunga mkono mwanzoni but this time big NO.

      No. This is not FARE. This is FAIR.
      "Every decent man is ashamed of the government he lives under" H.L. Mencken [1880 - 1956]

    Page 57 of 85 FirstFirst ... 47555657585967 ... LastLast

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...