Hawa akinamama wakiteseka ni sawa! Hawana sababu ya kulalamika! Wakati wa kura ndio waliosema Kikwete analipa! Waendelee kupata shida hadi watakapopata mang'amuzi hapo 2015. CCM oye!!!!!!!
Maisha yataendelea kuwa Kitendawili hadi tuwavue CCM magamba!
Hivi kipindi cha kampeni ni kina nani wanapokea kanga, vitambaa, tshirt na kukata viono mikutanoni?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
haya ni badhi tu ya mateso wanayo yapata wananchi kwenye sekta ya afya pekee bado elimu , maji , kilimo etc
2015 naona ni mbali sana
frustration is given by expectationdivide by
outcome
ie frustration = expectation/outcome
Kama wazazi wamerundikana hivi je hivyo vichanga huko nursery vimebanana vipi?!!
CCM hoi. Hoi
Wana ccm umewakamata kinyama,najuwa wanafungua kwa kasi ya kutisha kisha wanakutana na kitanzi chao.KIDUMU CHAMA DHAIFU,ZIDUMU FIKRA ZA M/KITI HATA KAMA NIPOTOFU
Kweli CCM numeral uno. Mateso kwa kwenda mbele.
Na hao mama zetu wanaamini kabisa kuwa hayo ndo maisha na hayawezi kubadilika. Wanaamini kuwa mateso hayataisha hadi wanapoenda kaburini.
"Tanzania ni ya watanzania, na watanzania wenyewe ndo sisi"
tuombeni tu tume ibadilishwe la sivyo kushindishwa kuko palepale
kama niwewe ubora wa chama uko wapi hapo?
tuingie ndani ya gari imara yenye number T 2015 WITH A GOOD DRIVER known as dr slaa
tuwaombee makamanda kwani kelele zao ndiyo inatupeleka kwenye ukombozi wa kweli na maisha bora yenye matumaini na kinyume chake kitakuwa ni CHADEMA CHAMA BORA NA SI CCM TENA
Mhm jaman
hiyo inaitwa mishikaki waambieni trafiki wanaotusumbua na piki piki mitaani na huu nao ni mshikaki unaatrisha usalama
''MIAKA HAMSINI(51) YA UVUMILIVU''
Follow Us Here