Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

    Report Post
    Page 1 of 7 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 125
    1. #1
      abdulahsaf's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st August 2010
      Posts : 860
      Rep Power : 719
      Likes Received
      123
      Likes Given
      1

      Default Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid





      WASIWASI umetandakuwa huenda kuna watuwanataka kumuuwaSheikh Farid.

      Hiyo ni kutokana na kile kilichojiri hivi karibuniambapo watu waliokuwakatika gari walifukuza gariyake na kuipiga risasi, lakinikwa bahati nzuri Sheikhalikuwa hayupo ndani yagari hiyo.

      Wakati huo huo, mwanamke mmoja aliyekuwa akishikilia bendera ya Uamsho yenye maandishi Laaila ha ilallah, ameshushiwa kipigo kikali na polisi alipokataa kuachia bendera hiyo.

      “Huyo polisi mmoja alikuwa akinilazimisha nimpe bendera, nikamwambia mimi hii siitoi hata kama utaniuwa, basi bora nife nayo mkononi mwangu hii ina Lailahaila llah… sikupi akaendelea kunipiga kwa kile kirungu cha polisi alichokuwa nacho…akanipiga tena nikaanguka chini na akanivuta bendera yangu tukawa tunanyanganyiana.” Amesema Bi Riziki akiongeana mwandishi juzi.

      Bi Riziki Omar Chande(42) ni mmoja wa wanawake kadhaa waliojitokeza na kueleza jinsi walivyopigwana kudhalilishwa na polisi.

      Riziki Omar Chande(42) mkaazi wa Mfenesini anasema kuwa baada ya kusikia kuna mhadhara Donge, yeye alitoka mapema na kwenda kupanda gari kuelekea Donge kama wenzake lakini baada ya kufika Mahonda jeshi la polisi lilisimamisha msafara na kuwataka watu wote warejee mjini.

      Hata hivyo anasema kuwa viongozi wa msafarawaliwataka wasiondoke mpaka viongozi wakuu watakapofika.

      Ilikuwa ni katika muda huo huo Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake walifika katika eneo la Mahonda na kutaka jeshi la polisi kuacha kuhatarisha amani kutokana na kitendo chaocha kuwazuiya watu waliokuwa wakielekea Donge kuhudhuria mkutano uliokuwa ufanyike katika Msikiti wa Donge.

      Hata hivyo badala ya kuwasikiliza na kujadiliana nao, polisi waliwafukuza kwa mabomu ya machozi na ndipo Masheikh haowalipoingia Msikitini.

      Taarifa kutoka eneo latukio zinafahamisha kuwa polisi waliwafuata huko huko Msikitini kuwatawanya kwa mabomu ambapo Sheikh Farid na wenzake waliruka ukuta na kukimbia kwa miguu katika pori kutoka Mahonda kuelekea njia ya Mwangapwani.

      Huku nyuma, wakidhani Sheikh Farid yupo ndani ya gari alilokuja nalo, watu wasiofahamika walilifukuza gari hilo na kulipiga risasi ambapo lilipinduka na kuharibikia vibaya.

      “Sijui kama walitaka kutuuwa au vipi, lakini bahati mimi sikuwemo katika ile gari ingawa wanadhani kwamba ile gari ni yangu, lakini niseme mimi ile gari sio yangu ila nilipewa kwa kutumia kwa ajili ya shughuli za kuendeleza hizi harakati zetu”, alisema Sheikh Farid muda mfupi baada ya kurudi katika hekaheka hizo ambapo walifanya mhadhara wao Mbuyuni baada ya kutokufanikiwa kupenya kwenda Donge.

      Akielezea juu yakilichomfika Bi Riziki anasema kuwa kwa vile alikuwa kashikilia bendera, ilikuwa rahisi kwake kufuatwa na polisi.

      “Mimi nilikuwa nimekamata bendera yangu polisi alipokuja kunichukua akanikamata mkono ananipeleka kituoni alipofika mbele kuna polisi mwenzake akawambia unampeleka kituo kama BiHarusi, mpige virungu,…yule polisi akajibu kwanini tumpige wakati amekubali kutii amri halali?”

      “Mwenzake akasema, haiwezekani hao hawana adabu lazima apigwe, yeye ndio akaanza kunipiga huku akinambia nimpe bendera yangu ya Uamsho mimi nikamwambia nipige lakini bedera yangu sikupi ndio akaendelea kunipigana kunipiga”, alisema BiRiziki.

      “Wakawa wanatuambia maneno ya ovyo kwamba tutakoma, kwa hivyo yule polisi mmoja akawa anaendelea kunipiga alipokuja polisi mwenzake akawambia unampigia nini huyo wakati yeye amekubali umpeleke kituoni ndipo waliponichukua na kunipiga tena”.

      Riziki ambaye aliumia sehemu ya jicho baada ya kupigwa kibao na jicho lote kupiga wekundu, anasema kilichomshangaza ni kwamba kila kituo cha polisi alipokwenda alikataliwa kupewa barua ya kwenda kupata matibabu.

      “Tunafanywa kama sio raia wa nchi hii tulipokwenda kituo walikataa kutupa barua wakati wanajua hatuwezi kutibiwa kama tumeumia mpaka tupate barua ya polisi, tulipotoka Mahonda tukaja mjini tulikwenda Kituo cha Polisi Mkunazini wakakataa kutupa kibali tukenda Malindi pia wakatwambia nyinyi nendeni tu hukohuko hospitali wambieni madaktari kuwa mmepigwa na polisi …hawakutupa.”

      Bi Riziki ambaye aliumia mkono na jicho anasema hata walipokwenda hospitali walikataliwa kupewa tiba hadi watakapokwenda na barua ya polisi.

      Naye Hafsa Mohammed Mahfoudh (19) mkaazi wa Kinuni, Magogoni anasema katika zahma hizo watu wengi walikimbilia Msikitini na ndipo walipoona Polisi wakiingia Msikitini na kuwapiga wanawake na wanaume na kuwatoa nje huku wakitaka wanawake wote wavuliwe mashungi yao.

      “Walikuwa wakisema maneno mabaya mabaya huku wakituvuta mashungi yetu wakitwambia tokeni hapa Waislamu, Waislamu, Waislamu nini, wanafiki wakubwa, na kuna askari wa kike alinivuta sana shungi na kunipiga sana kwa....

      Inaendelea
      Albedo likes this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Kakke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th December 2010
      Posts : 712
      Rep Power : 571
      Likes Received
      137
      Likes Given
      0

      Default re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Jama hii ya kutaka kum (sacination) Sheh Farid itakuwa ni mipango ya Usalama wa Taifa wakishirikiana na vigogo ndani ya Serekali zote mbili ya Muungano(Bara) na ya Zanzibar kwa wale wenye kupinga Serekali ya umoja wa kitaifa na kupinga Uamsho kwa kisingizio cha kupinga Muungano.

      Hili liko wazi na lina mkono wao nazani Wazanzibar list za watu hawa tunazijuwa ninani na nani na tunazo.

      Hawa ni wale wenye kutumia mabavu na nguvu ya Dola vibaya , lakini ikiwa wanataka kuvuruga amani ya nchi na utulivu uliopo hivi sasa Zanzibar basi wajuwe chombo kikizama na wao wamo wala hawatoki.

      Hawa hawajafahamu kuwa dunia ya leo sio ile ya jana , ufanye utakavyo uachiwe tu, tutatumia nguvu yetu ya people power juu ya wamaya hawa.

      Mungu ibariki Zanzibar na viongozi wetu wote wa Uamsho.
      takashi likes this.

    4. #3
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,506
      Rep Power : 46711
      Likes Received
      16374
      Likes Given
      8453

      Default re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Ndivyo itakavyokuwa; ni lazima watokee mashahidi kwanza ili harakati zizidi kupata uhalali na kuwa more violent. Atauuawa mtu huko Zanzibar ili wana harakati wapate shujaa wa kuzunguka nyuma yake. Thats how it works!
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    5. #4
      don-oba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 746
      Rep Power : 526
      Likes Received
      257
      Likes Given
      31

      Default re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Baada ya Boko haram kuingizwa kama genge la magaidi, UAMSHO mtafwata hivi punde.

    6. #5
      masopakyindi's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2011
      Posts : 3,740
      Rep Power : 4196
      Likes Received
      1006
      Likes Given
      416

      Default

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      Ndivyo itakavyokuwa; ni lazima watokee mashahidi kwanza ili harakati zizidi kupata uhalali na kuwa more violent. Atauuawa mtu huko Zanzibar ili wana harakati wapate shujaa wa kuzunguka nyuma yake. Thats how it works!
      You dissapoint me!
      Do you really think they "missed"him?

    7. Miaka 50

    8. #6
      Honolulu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 19th January 2012
      Posts : 720
      Rep Power : 0
      Likes Received
      284
      Likes Given
      0

      Default re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Wandugu ndio maana mnaambiwa mwende shule kwanza!! Hebu tazama hata habari yenyewe ilivyokaa. Duu!!

    9. #7
      chilubi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Posts : 988
      Rep Power : 8080
      Likes Received
      195
      Likes Given
      3

      Default re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Hio picha ya izo vitobo vya bullets ni edit! Na inaonekana hasa kama editing!! Khatari kweli

    10. #8
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,228
      Rep Power : 3560
      Likes Received
      3061
      Likes Given
      462

      Default re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Ni Serikali ya Julius Nyerere? au la ?

    11. #9
      matumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th July 2011
      Posts : 2,338
      Rep Power : 1445
      Likes Received
      648
      Likes Given
      500

      Default re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Uhamsho wameshafulia..rip

    12. #10
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,506
      Rep Power : 46711
      Likes Received
      16374
      Likes Given
      8453

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Quote By masopakyindi
      You dissapoint me!
      Do you really think they "missed"him?
      nope...
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    13. #11
      Daudi Mchambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 6,176
      Rep Power : 1951
      Likes Received
      2994
      Likes Given
      13624

      Default

      Hayo matundu ya risasi tunadanganyana, angalia kwa makini utagundua kuwa hayo matundu yanafanana muundo na size pamoja na mchoro uliyoyazunguka,
      sheihk farid anataka kutafuta mori wa vijana kwa spinning.
      Laila ha ilah


      Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
      chama and kanyi like this.

    14. #12
      Mag3's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 31st May 2008
      Posts : 3,540
      Rep Power : 1805
      Likes Received
      2464
      Likes Given
      2502

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Quote By masopakyindi
      You dissapoint me!
      Do you really think they "missed"him?
      You disappoint me too!
      You've completely "missed" Mwanakijiji's point!
      MWEEN and Nguruvi3 like this.
      The true sign of intelligence is not knowledge but imagination.
      Education is what remains after one has forgotten what one has learned in School
      -Albert Einstein.


    15. #13
      Jungumawe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd May 2009
      Posts : 156
      Rep Power : 769
      Likes Received
      39
      Likes Given
      17

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      • Quote By chilubi
        Hio picha ya izo vitobo vya bullets ni edit! Na inaonekana hasa kama editing!! Khatari kweli
        you are right copy and paste from some where vitobo viwili vya chini vinafanana kila kitu hizo risasi za ajabu sana
      Invisible likes this.

    16. #14
      Pitz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2011
      Posts : 4,969
      Rep Power : 1410
      Likes Received
      519
      Likes Given
      48

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Wangemuua tu,kwani ana faida gani kwa taifa.

    17. #15
      MNYISANZU's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 6,311
      Rep Power : 0
      Likes Received
      592
      Likes Given
      76

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Hao ni wapinga Kristo tu, hawana lolote. Punde wataenda kuzimu.
      anin-gift likes this.

    18. #16
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,688
      Rep Power : 1913
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      676

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Serikali hawataliweza Hilo gaidi wanajichosha bure tuu
      anin-gift likes this.

    19. #17
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,198
      Rep Power : 28904
      Likes Received
      11677
      Likes Given
      4819

      Default

      Lol, nimependa hicho kidhungu cha kum-sacination. Umenikumbusha shosti wangu mzenj!

      Usalama wa taifa unarusha risasi kama mpira wa nage? Hata kama maalim hakuwepo, which can't happen manake mission haifanywi kwa kubahatisha; aliekuwepo angeipata khabari yake!
      Quote By Kakke
      Jama hii ya kutaka kum (sacination) Sheh Farid itakuwa ni mipango ya Usalama wa Taifa wakishirikiana na vigogo ndani ya Serekali zote mbili ya Muungano(Bara) na ya Zanzibar kwa wale wenye kupinga Serekali ya umoja wa kitaifa na kupinga Uamsho kwa kisingizio cha kupinga Muungano.

      Hili liko wazi na lina mkono wao nazani Wazanzibar list za watu hawa tunazijuwa ninani na nani na tunazo.

      Hawa ni wale wenye kutumia mabavu na nguvu ya Dola vibaya , lakini ikiwa wanataka kuvuruga amani ya nchi na utulivu uliopo hivi sasa Zanzibar basi wajuwe chombo kikizama na wao wamo wala hawatoki.

      Hawa hawajafahamu kuwa dunia ya leo sio ile ya jana , ufanye utakavyo uachiwe tu, tutatumia nguvu yetu ya people power juu ya wamaya hawa.

      Mungu ibariki Zanzibar na viongozi wetu wote wa Uamsho.

    20. #18
      mtemiwao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Posts : 384
      Rep Power : 518
      Likes Received
      42
      Likes Given
      2

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Tiss wakikutaka hawakosei na hawabahatishi huyo farid anatafuta sifa na wangese wenzake
      Kiduku likes this.

    21. #19
      Honolulu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 19th January 2012
      Posts : 720
      Rep Power : 0
      Likes Received
      284
      Likes Given
      0

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Angalia walikoitoa hiyo picha. Yaani huyu naye ni Sheikh kweli?

      http://img.auctiva.com/imgdata/1/4/7...46309610_o.jpg

      kama haifunguki copy yote halafu u paste kwenye google.. au gonga hapa:

      Fake Bullet Holes And Damage Stickers Make The Perfect Illusion ...
      Last edited by Honolulu; 18th October 2012 at 04:48.

    22. #20
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,688
      Rep Power : 1913
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      676

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Naona kalewa pilau huyu shehe ndio maana anaropoka kutafuta sympath kwa Wana UAMSHO wenzake

    Page 1 of 7 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...