Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

    Report Post
    Page 3 of 7 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 125
    1. #1
      abdulahsaf's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st August 2010
      Posts : 860
      Rep Power : 719
      Likes Received
      123
      Likes Given
      1

      Default Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid





      WASIWASI umetandakuwa huenda kuna watuwanataka kumuuwaSheikh Farid.

      Hiyo ni kutokana na kile kilichojiri hivi karibuniambapo watu waliokuwakatika gari walifukuza gariyake na kuipiga risasi, lakinikwa bahati nzuri Sheikhalikuwa hayupo ndani yagari hiyo.

      Wakati huo huo, mwanamke mmoja aliyekuwa akishikilia bendera ya Uamsho yenye maandishi Laaila ha ilallah, ameshushiwa kipigo kikali na polisi alipokataa kuachia bendera hiyo.

      “Huyo polisi mmoja alikuwa akinilazimisha nimpe bendera, nikamwambia mimi hii siitoi hata kama utaniuwa, basi bora nife nayo mkononi mwangu hii ina Lailahaila llah… sikupi akaendelea kunipiga kwa kile kirungu cha polisi alichokuwa nacho…akanipiga tena nikaanguka chini na akanivuta bendera yangu tukawa tunanyanganyiana.” Amesema Bi Riziki akiongeana mwandishi juzi.

      Bi Riziki Omar Chande(42) ni mmoja wa wanawake kadhaa waliojitokeza na kueleza jinsi walivyopigwana kudhalilishwa na polisi.

      Riziki Omar Chande(42) mkaazi wa Mfenesini anasema kuwa baada ya kusikia kuna mhadhara Donge, yeye alitoka mapema na kwenda kupanda gari kuelekea Donge kama wenzake lakini baada ya kufika Mahonda jeshi la polisi lilisimamisha msafara na kuwataka watu wote warejee mjini.

      Hata hivyo anasema kuwa viongozi wa msafarawaliwataka wasiondoke mpaka viongozi wakuu watakapofika.

      Ilikuwa ni katika muda huo huo Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake walifika katika eneo la Mahonda na kutaka jeshi la polisi kuacha kuhatarisha amani kutokana na kitendo chaocha kuwazuiya watu waliokuwa wakielekea Donge kuhudhuria mkutano uliokuwa ufanyike katika Msikiti wa Donge.

      Hata hivyo badala ya kuwasikiliza na kujadiliana nao, polisi waliwafukuza kwa mabomu ya machozi na ndipo Masheikh haowalipoingia Msikitini.

      Taarifa kutoka eneo latukio zinafahamisha kuwa polisi waliwafuata huko huko Msikitini kuwatawanya kwa mabomu ambapo Sheikh Farid na wenzake waliruka ukuta na kukimbia kwa miguu katika pori kutoka Mahonda kuelekea njia ya Mwangapwani.

      Huku nyuma, wakidhani Sheikh Farid yupo ndani ya gari alilokuja nalo, watu wasiofahamika walilifukuza gari hilo na kulipiga risasi ambapo lilipinduka na kuharibikia vibaya.

      “Sijui kama walitaka kutuuwa au vipi, lakini bahati mimi sikuwemo katika ile gari ingawa wanadhani kwamba ile gari ni yangu, lakini niseme mimi ile gari sio yangu ila nilipewa kwa kutumia kwa ajili ya shughuli za kuendeleza hizi harakati zetu”, alisema Sheikh Farid muda mfupi baada ya kurudi katika hekaheka hizo ambapo walifanya mhadhara wao Mbuyuni baada ya kutokufanikiwa kupenya kwenda Donge.

      Akielezea juu yakilichomfika Bi Riziki anasema kuwa kwa vile alikuwa kashikilia bendera, ilikuwa rahisi kwake kufuatwa na polisi.

      “Mimi nilikuwa nimekamata bendera yangu polisi alipokuja kunichukua akanikamata mkono ananipeleka kituoni alipofika mbele kuna polisi mwenzake akawambia unampeleka kituo kama BiHarusi, mpige virungu,…yule polisi akajibu kwanini tumpige wakati amekubali kutii amri halali?”

      “Mwenzake akasema, haiwezekani hao hawana adabu lazima apigwe, yeye ndio akaanza kunipiga huku akinambia nimpe bendera yangu ya Uamsho mimi nikamwambia nipige lakini bedera yangu sikupi ndio akaendelea kunipigana kunipiga”, alisema BiRiziki.

      “Wakawa wanatuambia maneno ya ovyo kwamba tutakoma, kwa hivyo yule polisi mmoja akawa anaendelea kunipiga alipokuja polisi mwenzake akawambia unampigia nini huyo wakati yeye amekubali umpeleke kituoni ndipo waliponichukua na kunipiga tena”.

      Riziki ambaye aliumia sehemu ya jicho baada ya kupigwa kibao na jicho lote kupiga wekundu, anasema kilichomshangaza ni kwamba kila kituo cha polisi alipokwenda alikataliwa kupewa barua ya kwenda kupata matibabu.

      “Tunafanywa kama sio raia wa nchi hii tulipokwenda kituo walikataa kutupa barua wakati wanajua hatuwezi kutibiwa kama tumeumia mpaka tupate barua ya polisi, tulipotoka Mahonda tukaja mjini tulikwenda Kituo cha Polisi Mkunazini wakakataa kutupa kibali tukenda Malindi pia wakatwambia nyinyi nendeni tu hukohuko hospitali wambieni madaktari kuwa mmepigwa na polisi …hawakutupa.”

      Bi Riziki ambaye aliumia mkono na jicho anasema hata walipokwenda hospitali walikataliwa kupewa tiba hadi watakapokwenda na barua ya polisi.

      Naye Hafsa Mohammed Mahfoudh (19) mkaazi wa Kinuni, Magogoni anasema katika zahma hizo watu wengi walikimbilia Msikitini na ndipo walipoona Polisi wakiingia Msikitini na kuwapiga wanawake na wanaume na kuwatoa nje huku wakitaka wanawake wote wavuliwe mashungi yao.

      “Walikuwa wakisema maneno mabaya mabaya huku wakituvuta mashungi yetu wakitwambia tokeni hapa Waislamu, Waislamu, Waislamu nini, wanafiki wakubwa, na kuna askari wa kike alinivuta sana shungi na kunipiga sana kwa....

      Inaendelea
      Albedo likes this.

    2. Miaka 50

    3. #41
      Shinto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2010
      Posts : 1,783
      Rep Power : 678
      Likes Received
      75
      Likes Given
      10

      Default Re: Uongo wa Sheikh Farid kutaka kuuawa huu hapa! Kweli uamsho ni hramu!!! Pole sana Sheikh!!!

      Kwa hili CHADEMA na CCM wameungana!
      dudus likes this.

    4. #42
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,523
      Rep Power : 19793
      Likes Received
      4318
      Likes Given
      1315

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Mnaogopa nini sasa? Si mnajifanya magaidi ninyi!

      Kwanza acheni kulidharirisha jeshi la polisi kwa picha feki,hakuna askari ambaye ata hamua kurusha risasi ikamkosa huyo gaidi.

      Si mnataka kupambana na serikali huku mkikimbila kanisani kuchoma makanisa! Dawa yenu ni kufungua maghala ya silaha kwa ajili ya magaidi ya uamsho.

      Uwoga ni mbaya sana,kumbe mnaogopa risasi,sasa ninyi magaidi gani? Mbona waoga sana ninyi wachoma makanisa?

      Dawa ya makundi kama uamsho,boko haram, alsha bab ni kutumia mabomu na risasi za moto.

      NB: KAMA MNAOGOPA RISASI HACHENI KUCHOMA MAKANISA:
      masopakyindi likes this.

    5. #43
      dudus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 2,305
      Rep Power : 1008
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      522

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Quote By Honolulu
      Chuo chenyewe ni hicho cha kudanganya umma kwa picha feki za internet? Sasa Iwapo Sheikh anasema uongo namna hii tumwamini nani? Mnataka kuleta fujo zisizokuwa na maana. Iwapo umesoma Chuo hebu copy link ya hiyo picha na kisha u-google ili uone uongo wa Sheikh wako!!!!
      Mkuu inawezekana hujamwelewa Pombekali. Wale jamaa wana vyuo vyao wanahitimu wengine wakiwa under 10. Kwa mfano Dar vimejaa tele huko uswahilini; nenda Tandika, Tandale, Kijichi, kote huko vimejaa.

    6. #44
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,523
      Rep Power : 19793
      Likes Received
      4318
      Likes Given
      1315

      Default

      Quote By Honolulu
      You are right!! Click here!!

      Fake Bullet Holes And Damage Stickers Make The Perfect Illusion ...

      bikeaddicts.net/.../img.auctiva....
      30+ items – fake bullet holes and damage stickers make the perfect illusion ...
      Item:6512419 Fake Bullet Holes - Who Shot My Truck???? : For Sale at
      seller s description fake bullet holes set of 4 318x261

      weeeeeeee ni nomaaaaaaaaaaaa
      ume waumbua vibaya sana hawa magaidi, pokea like yangu.

      Yan wanataka kujifanya wa janja kweli this is home of great thinkers.

      Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii+iiiii iiiiiiiiiiiiiiiii

    7. #45
      masopakyindi's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2011
      Posts : 3,757
      Rep Power : 4199
      Likes Received
      1015
      Likes Given
      417

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Quote By Mag3
      You disappoint me too!
      You've completely "missed" Mwanakijiji's point!
      I doubt if we are in the same wave length.
      "If you don't know where you are going, any road will get you there-nowhere”


    8. #46
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,523
      Rep Power : 19793
      Likes Received
      4318
      Likes Given
      1315

      Default

      Quote By Gaijin
      Hiyo picha iliyoletwa inauhusiano upi na Uamsho?
      hiyo picha kwanza ni fake, alaf huyu si sheikh wa uamsho kwa hiyo walita kutuambia amekoswa na risasi na hawezi kukoswa na risasi bali atapigwa kama ataendelea

    9. #47
      andrewk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th April 2010
      Posts : 2,232
      Rep Power : 909
      Likes Received
      283
      Likes Given
      61

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Teh teh, Secret service wapige mirisasi yote hiyooooooo? sidhani!

    10. #48
      masopakyindi's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2011
      Posts : 3,757
      Rep Power : 4199
      Likes Received
      1015
      Likes Given
      417

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      nope...
      Thanks for understanding the bluff!
      "If you don't know where you are going, any road will get you there-nowhere”

    11. #49
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,647
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Huyu naye ni Sheik wa nini? Uamsho?
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    12. #50
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,421
      Rep Power : 1036
      Likes Received
      1174
      Likes Given
      599

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid


      ........akini niseme mimi ile gari sio yangu ila nilipewa kwa kutumia kwa ajili ya shughuli za kuendeleza hizi harakati zetu”,
      ...........


      Mimi nimeipenda zaidi hii....niliwahi kusema kuwa hawa jamaa wanachezea hela za mabwana zao huko uarabuni sasa wameanza kukiri wenyewe.....alipewa...na nani?? Kwa manufaa gani?? Tutasikia na kuona mengi.


      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    13. #51
      knaan's Avatar
      Member Array
      Join Date : 17th October 2011
      Posts : 36
      Rep Power : 391
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      zanzibar itakuwa huru INSHALLAH .makafiri hampendi taifa la kiislam zanzibar.kwani mnangangania kisiwa kidogo kama hiki.

    14. #52
      Jabulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th March 2009
      Location : Kituo cha Polisi Jamii
      Posts : 2,978
      Rep Power : 1371
      Likes Received
      827
      Likes Given
      254

      Default Re: Uongo wa Sheikh Farid kutaka kuuawa huu hapa! Kweli uamsho ni hramu!!! Pole sana Sheikh!!!

      Quote By Honolulu
      Kwa nini Sheikh anasema uongo na kudhamiria kuleta machafuko?
      Jesus said:
      "44 You are of your father the devil, and your will is to do your father's desires. He was a murderer from the beginning, and has nothing to do with the truth, because there is no truth in him. When he lies, he speaks out of his own character, for he is a liar and the father of lies. "

      John 8:44
      dudus likes this.
      Kamanda wa Polisi Jamii - Kanda Maalumu

    15. #53
      Mandingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd September 2011
      Posts : 927
      Rep Power : 573
      Likes Received
      186
      Likes Given
      52

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Duh yaani hawa kweli vilaza!
      Hata ku edit tu watudanganye vizuri wameshindwa!
      Hamna kitu kabisa apa!

    16. #54
      dudus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 2,305
      Rep Power : 1008
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      522

      Default Re: Uongo wa Sheikh Farid kutaka kuuawa huu hapa! Kweli uamsho ni hramu!!! Pole sana Sheikh!!!

      Quote By Free World
      Kwa hili CHADEMA na CCM wameungana!

      Definitely. Nchi iko vitani na magaidi hivyo ni wajibu wa wananchi kuungana, hata ikibidi na Shetani 'mwema', dhidi ya adui wa taifa. Hili sio suala la itikadi wala mtamzamo bali "tumeingiliwa".

    17. #55
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,421
      Rep Power : 1036
      Likes Received
      1174
      Likes Given
      599

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Quote By knaan
      zanzibar itakuwa huru INSHALLAH .makafiri hampendi taifa la kiislam zanzibar.kwani mnangangania kisiwa kidogo kama hiki.
      Hapo ndo kamaliza kujibu hoja....shule bana!....
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    18. #56
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,523
      Rep Power : 19793
      Likes Received
      4318
      Likes Given
      1315

      Default Re: Uongo wa Sheikh Farid kutaka kuuawa huu hapa! Kweli uamsho ni hramu!!! Pole sana Sheikh!!!

      Yana huu uongo wa kitoto kabisa, sasa wameumbuka uamsho!

      Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhh

    19. #57
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,321
      Rep Power : 12955
      Likes Received
      4591
      Likes Given
      2500

      Default Re: Uongo wa Sheikh Farid kutaka kuuawa huu hapa! Kweli uamsho ni hramu!!! Pole sana Sheikh!!!

      Quote By Honolulu

      Kwa nini Sheikh anasema uongo na kudhamiria kuleta machafuko?

      Kaleta uongo wapi?

      Alisema wapi kuwa picha hiyo ni ya gari yake?

      Kama kuna uzembe na uongo ni wa mwandika makala, maana yeye ndiye aliyeweka picha bila ya kutoa maelezo yahusikayo

      Tanabahi:
      Kwa kazi yoyote ya kiuandishi unayowasilisha vielelezo, inatakiwa kwa sheria na kanuni za uandishi kuweka maelezo yanayohusu vielelezo hivyo [chini ya kielelezo], pamoja na chanzo cha vielelezo hivyo

      Kwenye taarifa/makala tuliyoletewa hakuna maelezo wala chanzo cha vielelezo hivyo
      zomba and Maundumula like this.

    20. #58
      dudus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 2,305
      Rep Power : 1008
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      522

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Wapi Ritz, Rejao, et al? Hutakaa uwaone kwenye uga huu.

    21. #59
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,421
      Rep Power : 1036
      Likes Received
      1174
      Likes Given
      599

      Default Re: Uongo wa Sheikh Farid kutaka kuuawa huu hapa! Kweli uamsho ni hramu!!! Pole sana Sheikh!!!

      Quote By Free World
      Kwa hili CHADEMA na CCM wameungana!
      Vita dhidi ya ugaidi haina chama wala itikadi...utaifa mbele...utaifa kwanza.......Leta hoja.
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    22. #60
      Qixima mQiqa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th May 2012
      Posts : 155
      Rep Power : 385
      Likes Received
      15
      Likes Given
      1

      Default Re: Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

      Huyu shekhe ni tapeli na anataka umaarufu. Ana kitu gani mpaka atake kuuliwa? Aache unafiki

    Page 3 of 7 FirstFirst 12345 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...