Hawa wakuu wa mikoa bungeni wiki nzima wanafanya nini!!, hawana kazi za kufanya!!. Haya sio matumizi mabaya ya pesa na muda kwa umma!!. Mheshimiwa wenje alilipua hili leo bungeni na alinikuna kweli wakati anawalipua.

Vua GAMBA Vaa GWANDA
Jamani CCM Futeni hiki cheo mbona hamtusikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii achen kubebana bana wanachangia nini hao wakuu wa mikoa kama sio kuleta umbea tu utawasikia mara ooo mkurugenzi wangu hafanyi kaz kabisa mara madiwan wangu wabishi upuuz mtupu
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
hivi wakuu wa mikoa dodoma wana kazi gani kwa wiki nzima na wanatumia sh ngapi.?
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
Hiyo ndio TZ bwana, Viongozi wanajiachia tu.., wanafurahia kukopa tu.
Vua GAMBA Vaa GWANDA
Follow Us Here