Hawa ni baadhi ya wabunge wetu wa ccm wanaotuwakilisha katika bunge la bajeti linaloendelea.
Hawa ni baadhi ya wabunge wetu wa ccm wanaotuwakilisha katika bunge la bajeti linaloendelea.
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
malale husababishwa na mbun'go.
Aliamua kulala baada ya kuona mbunge wenu anaongea upumbavu
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
Mtu alale kwenye mduara, hafu asubuhi mjengoni unategemea nini!!!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
[QUOTE=Mungi;4125086]Kwani alishatajwa mkuu? hahaaaaaaaa!!!!![
/QUOTE]
anajua atatajwa kesi ikianza kusikilizwa
Unafiki mtupu hata ndani ya bunge ni unafiki mtupu. Utasikia naunga mkono hoja halafu malalamiko kibao sielewi. Wabunge wa CCM wanachekesha sana maelezo yao yanakinzana na hitimisho hivi wanamdanganya nani?

Hivi aliwezaje kula tunda na yule kinda? Ndiyo maana ni lazima alale mchana maana makinda na nguvu zao hili zee na limwili hilo hakuna kitu labda kama anasaidiwa na V.I.A.G.R.A. Hivi ni nani anaweza kunikumbusha kama huyu tingatinga ameshawahi kuchangia hoja bungeni? Kweli nchi hii, ndiyo wanaopitisha bajeti na sheria za nchi hii, je si ndiyo maana ni bajeti DHAIFU!!
"Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"
Ha ha ha ha ha ha nmecheka mbavu sina!!! Kwa hiyo hapo alipo kauchapa usingizi tumuiteje? Yaani anaogopa akili za geneus wa CDM? Hajuia hawa wabunge wa CDM wanafikiria beyond their normal IQ? Hawakwenda Dodoma kulaza Obesity, bali wanaenda kuchangia namna ya kuboresha uchumi altimately maisha ya mwanadamu wa kitanzania, nje ya mafisadi ambao wengi 67.9% wanaishi chini ya 1.25 USD per day!!! Hapo ni nani anahitaji kuhudhuria clinic ya milembe!!!??
"Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"
nadhani ngumi zikianza mjengoni komba atatandikwa mpaka kufa kwa presha ya ngumi moja tu. upinzania kuna makamanda wengi vijana huku mdee kule sugu pale zitto hapa silinde tena huyu aliwai kumwambia mizengo kwamba yuko fit hata wakisema wapimane ubavu atamshinda!
Follow Us Here