Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

    Report Post
    Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
    Results 61 to 65 of 65
    1. #1
      greenstar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Posts : 342
      Rep Power : 503
      Likes Received
      35
      Likes Given
      104

      Default CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

      Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA;
      Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati amefumaniwa na kukatwa mkono huko SINGIDA.Wameumbuka kwa uongo uliokubuhi,nikajiridhisha kuwa hiki chama ni cha Waongo,kwani 100% ya wanaJF ambao ni CHADEMA walitumia simu na mitandao ya kijamii kusambaza uongo huu.
      Pili,Jazba ya muhuni mmoja anajiita Mchungaji,ndg.Msigwa,hafanani hatakujiita mchungaji kwa hasira alizonazo.Mahakama inafuata sheria na ushahidi zaidi kuliko hisia zako
      nakushauri ukasome biblia vizuri;YA KAISARI mpe KAISARI na YA MUNGU mpe MUNGU,siasa ni busara zinatawala na uwezo wa kujenga hoja.
      Tatu,Viongozi wenu wanafiki,hawajui kujenga hoja katika bajeti kwa kisingizio ati lazima wapinge kila kitu ndiyo maana ya upinzani....Jamani bungeni si sehemu ya kuigiza mambo ya DEBATE MOTION ni sehemu yakuishauri serikali nini kifanyike ili kuwaletea wananchi maendeleo.
      Nadhani wabunge wengi waCHADEMA wamepata ubunge kwa bahati mbaya....bado wanaweweseka pia elimu ndogo.

      Rai yangu kwa wana CCM wote,mapinduzi ya kweli yapo ndani ya CCM na sikukimbilia upinzani,tuache uoga kuchambua mapungufu ya serikali ili tuimarishe chama chetu.
      Hongera sana Mh.Mpina,Filikunjombe,Lugola,M kono ,Mwakyembe,Zambi kwa kuonyesha njia,nawengine wafuate mfano huo.Serikali imewapa uhuru wa kujadili kila kitu kwa uwazi zaidi.

    2. Study Abroad

    3. #61
      Henge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2009
      Posts : 5,440
      Rep Power : 1674
      Likes Received
      918
      Likes Given
      1673

      Default Re: CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

      kweli akili ndogo inaongoza akili kubwa!
      TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI ITAYUMBA by PINDA

    4. #62
      annalolo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 186
      Rep Power : 396
      Likes Received
      14
      Likes Given
      40

      Default Re: CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

      ngoja nipite kimya kimya kwani ban iko nyuma yangu watu wengine wachokozi. akili zako kama za Mwigullu

    5. #63
      nipeukweli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th July 2012
      Posts : 318
      Rep Power : 407
      Likes Received
      117
      Likes Given
      80

      Default Re: CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

      fikra na maneno ya mfa maji...hoja dhaifu...NONSENSE

    6. #64
      magosha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th April 2012
      Posts : 317
      Rep Power : 419
      Likes Received
      34
      Likes Given
      8

      Default Re: CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

      mkuu nenda kajipange upya maana hakuna ulicholeta hapa jamvini. see you then.

    7. #65
      BJEVI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2011
      Posts : 692
      Rep Power : 560
      Likes Received
      152
      Likes Given
      136

      Default Re: CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

      Kasi ya chadema sasa hivi ipo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. habari ndo hiyoo

    8. Miaka 50

      FemaTV & Radio
    Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...