Akiongea na clouds FM Membe anawapaka CDM akianzia na Slaa hatimae G. Lema
Akiongea na clouds FM Membe anawapaka CDM akianzia na Slaa hatimae G. Lema
CCM inatoa pilau kwa wote, hata wa upinzani njaa ikizidi wanapewa wali.
Kauli ya kuifagilia CHADEMA inamsumbua na anajitahidi kuifuta haifutiki
Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te
Mimi ni mwana CCM ila naona kama kuna maelezo yamepindishwa na Mh. Membe, anapodai eti ilikuwa ni chakula cha kawaida wala haikupangwa lakini uwepo wa vyombo vya habari unaonesha hili lilikuwa ni tukio la kupangwa.
Kwa hiyo anataka alipwe hicho chakula chake ama?
Nadhani si busara kumsema mtu kwa chakula ulichomkaribisha mwenyewe yale ni mavi tu,
yanayotupwa chooni.
membe yuko clouds FM anahojiwa na Gerald hando, anasema hakuwaalika Godless lema na wengine kwake ila alipokuwa mezani mlinzi alimwambia vijana wa chadema wako nje akawakaribisha, wakaingia na walikuwa na njaa kwelikweli wakala
Pili anasema watanzania wanajua kamwe hawezi kuifagilia chadema na hata Clouds wanajua kwanini hawezi mmmh?
kauli hizo zenye rangi nyekungu ndo zinanipa dukuduku, ile story ilikuwa ni propoganda ama kweli?
kasema kama kuna mkanda waliurekodi na wautoe ...atajiudhuru hata sasa!
Nimestaki kidogo ngoja niendelee kumsikiliza nakuja kuleta uptodate
Never say more than is necessary.
Na huyo Lema apunguze kujipendekeza kwa viongozi kila siku majumbani kwao, mara Oysterbay kwa JK mara Mtama kwa Membe.
Uwoga ni ugonjwa mbaya sana.
Kweli anaogopa kupigwa chini kula za maoni,sasa ameona ajitetee!
Hivi kweli mtu mzima unaweza kuongea maneno kama hayo.
Membe unajaribu kujiosha ndugu
jaribu kuwa wazi
ukweli ni uhuru
Hivi kuifagilia Chadema dhambi !!! Mbona uyu anazungumza kama ajielewi! Janaume zima uwakaribishe watu kwako wale au waonje leo uwatangaze eti walikula na kunywa cse walikua na njaa!!
Haoni hata aibu anavyo jitetea kama mtoto kisa kaambiwa anajiunga chadema, kwani angesema hapana na kunyamaza angenyongwa.
C aliwah kukanusha kuwa siku hyo Chadema walipofka kwake ye hakuwepo Tanzania? Au kuna Membe wawili?
Mh Membe Mungu atakulipia kwa msaada wako wa Chakula...njaa aina adabu.
Last edited by Ritz; 26th June 2012 at 10:02.
Hivi kuwa na njaa ni dhambi? Mbona kila siku yeye anakwenda lunch kwa hiyo ana tatitizo au kwa sababu hajazoea kutoa bali kujilimbikizia ndo maana ina muuma kumpa mtanzania mwenzake chakula? What is chakula bana? Njaa anayotaka kuisema Membe ni ile hali ya kupigika kitu ambacho hataweza kuwaaminisha waTZ kwamba CDM walikuwa wamepigika akawa sevu
kama kweli membe kasema jamaa walikuwa na njaa ndio maana aliwapa chakula, hilo ni jambo la fedheha kubwa sana..huwezi msema mtu yoyote kwa staili hiyo..siasa ni mbaya sana..utu kwanza..ina maana hao jamaa huwaga hawali chakula mpaka membe awape??
Follow Us Here