Wana JF,
Kwa taarifa nilizozipata na kuzithibitisha ni kuwa yule Jaji Gabriel Rwakabarila aliyetoa hukumu ya Lema amepooza miguu.
Wana JF,
Kwa taarifa nilizozipata na kuzithibitisha ni kuwa yule Jaji Gabriel Rwakabarila aliyetoa hukumu ya Lema amepooza miguu.
Malipo ni hapa hapa! Jamaa alifunga siku 7 sasa matokeo yanaonekana! Asipotubu miguu itakatwa hiyo!
Kwa hiyo mnamaanisha nini, inaweza kutokea na isihusiane na kesi ya Lema!
Safi sana!
Si vema kulipiza baya kwa baya. Ninamwombea Mungu ampe ahueni apone haraka na aje kuujua ukweli wa dhambi aliyotutendea Watanzania na kuitubu.
Huku Magamba wakiendelea kusambaratishwa; Chadema Rahaaa!!!!! Si Rahaa!!!! WOTE: RAHAAAA!!!!!!!!!!
Akome. Alidhani yeye na dhaifu wake ndo mwisho wa mambo yote, yupo Mungu mtetezi wa wanyonge.
Namuombea kwa Mungu apone, ili aone siku lema atakayorudi Bungeni. Halafu ndio RIP ifuate kesho yake.
We shall overcome, righteousness shall always prevail.
Mungu amnusuru apone haraka
nakumbuka wimbo wa Peace Mulu wa Kenye aliye imba " ombea adui yako aishi miaka mingi ili unapofaniwa ajionee mwenyewe"
frustration is given by expectationdivide by
outcome
ie frustration = expectation/outcome
Crashwise unataka kusema CDM wana nguvu za giza au ni maombi kwa Mungu? Nasema hivi kwa sababu kuna taarifa zilikuja hapa kwamba kuna watu walikuwa wakigawa sanda huko Nachingwea ili kupambana na M4C na baada ya muda eti wote wawili wakafa kwa kufuatana. Sasa na wewe leo unakuja na hili la kupooza! Duh mbona kazi ipo
CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.
This is funny coincidence. Get well soon and gone to do your job with faithfulness.
"Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"
malipo hapa hapa kunako dunia
CCM. - CHAMA CHA MACHUMA ULETE
jamanii tujifunze kutenda mema hapa duniani namshukuru sana lema kwa kufunga siku zote akiomba Mungu atende haki lakini itabaki kuwa Mwacheni Mungu aitwe Mungu
baada maombi tulishuhudia watu wakijivua magamba kwa kasi ya ajabu..sasa tufunge kwa ajiri ya dhaifu.
Jaji gabriel rwakabarila huyu huyu nliekutana nae jana akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kikazi au kuna mwingne?acheni uzushi
Wale wabunge waliotoa hoja ya kumsimamisha ZITTO bungeni nini kiliwapata? Mfano MZIHILI. Chezea wanasiasa! Wanasali sana
Biblia inasema Mpende adui yako na umuombee.
Tunamwombe apone haraka ili apate muda wa kutubu dhambi zake kabla Mungu hajaondoa uhai wake.
NI MUNGU ALIYEWEZA KUSIKIA KILIO CHA WANA WA ISRAEL NA AKAMSIMAMISHA MUSA AWE KIONGOZI WAO KUWATOA KATIKA NCHI YA UTUMWA HUKO MISRI, NAAMINI NI MUNGU YULEYULE AMBAYE ALISIKIA KILIO CHA WANA-ARUSHA NA KUMCHAGUA LEMA AWE KIONGOZI WAO KUWAONDOA KATIKA UTUMWA WA CCM!
BADO NI MUNGU YULEYULE ANAYE ENDELEA KUWATETEA WANA ARUSHA. HUYU HAKIMU ATAKUWA KAMA FARAO NA HAKIKA MUNGU ATAMWONYESHA MAAJABU ILI AJUE KUWA DHAMBI YA KUDHULUMU UBUNGE WA LEMA NI KUDHULUMU HAKI ZA WATU WA ARUSHA!
Let him get a lesson!
mkuu kimbunga, wao wana pesa, Sisi tuna Mungu..
malipo ni hapa hapa duniani..
apumzike kwa amani tu
Follow Us Here