Wana JF heshima,
Nimejaribu kupitia wavuti ya bunge letu kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea bungeni.Lakini nikakutana na profile ya wabunge ambao tangu wachaguliwe bungeni hawajawahi kuuliza swali,wala hata swali la nyongeza na pia hata kutoa michango.Baadhi yao katika hao wameishia kutoa michango kidogo tu.
Nimeamua kuwaletea wabunge hawa muone wenyewe. Katika orodha hii nimewa exclude mawaziri ambao wengi wao na niseme karibia wote hawajachangia.
Kama unayemwona kwenye listi ni mbunge wako una maoni gani kwake?
Wabunge wanaoongoza kukaa kimya bungeni toka 2010 walipochaguliwa
Na Jina la Mbunge Chama Maswali aliyouliza Nyongeza ya Maswali Michango aliyotoa 1 ABEID ALI BAHATI CCM 0 0 5 2 ABDALLAH MARGARETH ANNA CCM 0 0 8 3 AYOUB HASHIM JAKU CCM 1 1 0 4 CHAMBIRI WEREMA KISYERI CCM 0 0 4 5 HAMAD OTHMAN ASSA CUF 0 0 7 6 HASSAN BUKHELI SHAWANA CCM 0 0 3 7 ISHENGOMA GABRIEL CHRISTINE CCM 0 0 8 8 KAPUYA ATHUMAN JUMA CCM 0 0 1 9 KHAMIS ALI KHERI CCM 0 0 0 10 KHATIB SEIF MUHAMMAD CCM 0 0 0 11 KOMU MAULID VALERIANA CHADEMA 0 0 1 12 EDWARD NGOYAI LOWASSA CCM 0 0 1 13 SHIBUDA JOHN MAGALE CHADEMA 0 0 8 14 ZAKIA MEGHJI CCM 0 0 5 15 MUSSA HASSAN MUSSA CCM 0 0 4 16 ABDULLA JUMA ABDULLA CCM 0 0 4 17 SAID SULEMAN SAID CUF 0 0 4 18 SAID KASSIM MWANAKHAMIS CCM 0 0 0 19
20SEIF IDDI ALI
LAMECK AYIROCCM
CCM0
10
00
2
Asanteni wakuu

Reply With Quote




Follow Us Here