Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

    Report Post
    Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast
    Results 61 to 80 of 103
    1. #1
      Ngalikivembu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Location : Geostationary Earth Orbit
      Posts : 511
      Rep Power : 10611
      Likes Received
      152
      Likes Given
      117

      Post Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Wana JF heshima,
      Nimejaribu kupitia wavuti ya bunge letu kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea bungeni.Lakini nikakutana na profile ya wabunge ambao tangu wachaguliwe bungeni hawajawahi kuuliza swali,wala hata swali la nyongeza na pia hata kutoa michango.Baadhi yao katika hao wameishia kutoa michango kidogo tu.

      Nimeamua kuwaletea wabunge hawa muone wenyewe. Katika orodha hii nimewa exclude mawaziri ambao wengi wao na niseme karibia wote hawajachangia.

      Kama unayemwona kwenye listi ni mbunge wako una maoni gani kwake?

      Wabunge wanaoongoza kukaa kimya bungeni toka 2010 walipochaguliwa
      Na Jina la Mbunge Chama Maswali aliyouliza Nyongeza ya Maswali Michango aliyotoa
      1 ABEID ALI BAHATI CCM 0 0 5
      2 ABDALLAH MARGARETH ANNA CCM 0 0 8
      3 AYOUB HASHIM JAKU CCM 1 1 0
      4 CHAMBIRI WEREMA KISYERI CCM 0 0 4
      5 HAMAD OTHMAN ASSA CUF 0 0 7
      6 HASSAN BUKHELI SHAWANA CCM 0 0 3
      7 ISHENGOMA GABRIEL CHRISTINE CCM 0 0 8
      8 KAPUYA ATHUMAN JUMA CCM 0 0 1
      9 KHAMIS ALI KHERI CCM 0 0 0
      10 KHATIB SEIF MUHAMMAD CCM 0 0 0
      11 KOMU MAULID VALERIANA CHADEMA 0 0 1
      12 EDWARD NGOYAI LOWASSA CCM 0 0 1
      13 SHIBUDA JOHN MAGALE CHADEMA 0 0 8
      14 ZAKIA MEGHJI CCM 0 0 5
      15 MUSSA HASSAN MUSSA CCM 0 0 4
      16 ABDULLA JUMA ABDULLA CCM 0 0 4
      17 SAID SULEMAN SAID CUF 0 0 4
      18 SAID KASSIM MWANAKHAMIS CCM 0 0 0
      19
      20
      SEIF IDDI ALI
      LAMECK AYIRO
      CCM
      CCM
      0
      1
      0
      0
      0
      2


      Asanteni wakuu
      Last edited by Ngalikivembu; 24th June 2012 at 16:22. Reason: Adding MP Lameck
      AN EMPTY STOMACH IS NOT A GOOD ADVISER. Albert Einstein
      POVERTY IS THE PARENT OF REVOLUTION AND CRIME. Aristotle

    2. Miaka 50

    3. #61
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,477
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      1017

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Narubongo bwana yaani unaitetea avatar yako kwa hali na mali. Si umwambie tu Invisible utambulike kama Verified User! Teh teh teh.

    4. #62
      JACADUOGO2.'s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2010
      Posts : 772
      Rep Power : 582
      Likes Received
      181
      Likes Given
      0

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Maskini Lameck Airo na wanarorya wenzangu! Kufanya kosa siyo kosa bali kurudia kosa ndo kosa. 2015, Lameck Airo na Magamba hawana chao RORYA.

    5. #63
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,171
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default

      Quote By Hute
      chadema wawili tu kati ya wote hao, nao hao ni mashushushu wa ccm....sitaki kutaja la dini, kwasababu wakristo hapo wamekuwa wanne tu kati ya 19....kichekesho.
      we naye,unaacha kuongea kwa hoja unaanza kuleta udini hapa,upuuz mtupu

    6. #64
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,159
      Rep Power : 24268
      Likes Received
      4671
      Likes Given
      2295

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Mzee wa ujira wa Mwiha ameonewa. Anaulizaga posho zitaongezwa lini

    7. #65
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,159
      Rep Power : 24268
      Likes Received
      4671
      Likes Given
      2295

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Catherine Magige - Vijana kutoka Arusha
      Namelock Sokoine - Viti maalum kutoka Arusha.

      Vyakula vya wakubwa hao, hawajawahi kuuliza wala kuchangia

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      Salary Slip's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2012
      Posts : 1,338
      Rep Power : 690
      Likes Received
      648
      Likes Given
      380

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Si kila mtu anaweza siasa.

    10. bdo
      #67
      bdo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2006
      Posts : 892
      Rep Power : 886
      Likes Received
      140
      Likes Given
      73

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      sina wasiwasi kama orodha hio ni wabunge wa viti maalum! ila kama ni wabunge wa kuchaguliwa ninamhurumia sana Mbunge wa Babati na huyu wa Rorya, maana wameyaweka majimbo yao rehani(mnadani)

    11. #68
      Duble Chris's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2011
      Posts : 2,340
      Rep Power : 872
      Likes Received
      382
      Likes Given
      304

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      kitufe cha " thanks for a useful post hakipo"

      naomba tutafutie wale best 25 wa kuchangia

      asante
      Ngalikivembu likes this.
      frustration is given by expectationdivide by
      outcome
      ie
      frustration = expectation/outcome


    12. #69
      Inkoskaz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Location : URT
      Posts : 4,405
      Rep Power : 7350
      Likes Received
      1063
      Likes Given
      1095

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Orodha hii ingependeza kama ingeonyesha majimbo na kada wanazowakilisha bungeni
      Thinking is the hardest work there is,which is probably the reason why so few engage in it!!

    13. #70
      mjomba wa kale's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th January 2012
      Posts : 82
      Rep Power : 386
      Likes Received
      9
      Likes Given
      1

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Muongezee na Azizi Abood

    14. #71
      MANGUNGO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Posts : 1,146
      Rep Power : 620
      Likes Received
      251
      Likes Given
      14

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Muongeze Lowasa

    15. #72
      Shembago's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th August 2011
      Posts : 294
      Rep Power : 450
      Likes Received
      41
      Likes Given
      26

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      How about adulaaziz Abood-morogoro mjini,hasikiki sana huyu,huwa bubu!!!

    16. #73
      brazilian's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th February 2012
      Posts : 609
      Rep Power : 1358
      Likes Received
      101
      Likes Given
      5

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Quote By Uswe
      Getrude Lwakatare amewahi kuchangia kitu chochote?

      Umesahau jina lake la kati Getrude PANGALILE Lwakatale

    17. #74
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,010
      Rep Power : 7210
      Likes Received
      2768
      Likes Given
      12

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Katika mada ulioanzisha wabunge MaBUBU!
      Hao ulio waorodhesha takriban wengi wao wana nafuu, walau baadhi ya nyakati twawaona wakichangia!
      Hao wote ni 9 !
      10 Mh Mohammed Dewji (Singida mjini)
      huyo ndiyo mwenyekiti wa mabubu.

    18. #75
      mizambwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2008
      Posts : 1,438
      Rep Power : 974
      Likes Received
      367
      Likes Given
      1807

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Quote By Ngalikivembu
      .Ningewaleta wale ungemwona Wasira hana swali bali michango michache sana. you are joking.Be serious man/woman











      Wakati wao wakisinzia angalia Wananchi wao wanavyoishi;-








      Angalia na shule za Watoto wa wananchi wao:-










      Angalia na huduma za afya kwa wananchi wao"-





      Angalia na vyombo vya Dola vinavyotenda kwa wananchi wao:-



      Je tutafika...... TAFAKARI Kisha CHUKUA HATUA.....



      MIZAMBWA
      INANIUMA SANA!!!
      Attached Thumbnails  
      Ngalikivembu likes this.
      SASA NIMEAMINI KUWA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015

    19. #76
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,306
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      1182
      Likes Given
      1557

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Quote By Ngalikivembu
      Sidhani kama wamefika kiwango nilichoonyesha hapa.Nimepitia wabunge 340 waliopo kwenye orodha ya wavuti hawa ndio wenye michango kiduchu achilia mbali mawaziri.Ningewaleta wale ungemwona Wasira hana swali bali michango michache sana. you are joking.Be serious man/woman
      Nadhani Profesa kulikoyola alistahili kuwapo kwenye list yako mkuu.

    20. #77
      NANKY's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th September 2011
      Posts : 63
      Rep Power : 400
      Likes Received
      14
      Likes Given
      0

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      mmemsahau Abdul mteketa(kilombero), sara msafiri (v/maalum), getrude lwakatare (v/maalum-kilombero)

    21. #78
      Bidders's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 21
      Rep Power : 354
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Mbona mmemsahau Mohamed Dewij Sijawahi Kumsikia

    22. #79
      Majala Kimolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2007
      Posts : 316
      Rep Power : 666
      Likes Received
      26
      Likes Given
      31

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Kiufupi bado wanasoma mazingira, uploading..................... ......!

    23. #80
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,924
      Rep Power : 24139
      Likes Received
      4646
      Likes Given
      2631

      Default Re: Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

      Hawa MUAMSHO ni kiboko......ten years of muteness isn't a joke!!!

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te


    Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...