Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ukweli kuhusu Mishahara Serikalini

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 49 of 49
    1. #1
      MpiganiaUhuru's Avatar
      Member Array
      Join Date : 31st March 2012
      Posts : 26
      Rep Power : 365
      Likes Received
      15
      Likes Given
      6

      Default Ukweli kuhusu Mishahara Serikalini

      Asalaam Wana-JF,

      Nikiwa kama Mtumishi Serikalini na ambaye ninahusika na masuala ya Mishahara ya Watumishi, nimesikitishwa na namna ambavyo baadhi ya wadau wanavyojaribu kupotosha umma kuhusu mlinganyo wa mishahara ki-sekta!

      Hivyo nachukua fursa hii kuleta ukweli kuhusu tofauti ya viwango hivyo ki-sekta/ki-kada. Angalieni kiambatanisho mtaona summary niliyoiandaa ambayo inatoa picha halisi kuhusu viwango hivyo! Viwango hivi ni kwa watumishi wanaoanza kazi (vyeo vya kuanzia).

      NB:
      Summary hii ni kwa mujibu wa waraka wa mishahara serikalini wa mwaka 2011/2012, sikuweza ku-attach waraka huo kwani una muhuri wa "Confidential".

      Thanks!

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      Nzowa Godat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2011
      Posts : 1,379
      Rep Power : 676
      Likes Received
      229
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By dada jane
      Kinachonishangaza mimi ni kuwa mwl amemfundisha mpk rais lkn anadharulika. Tanzania bwana yote yanawezekana.
      Sikiliza nikwambie MWALIMU ni daraja wanafunzi humkanyaga mgongoni ili kuvuka 'mto wa matatizo' na kwenda zao, daraja linabaki palepale kwenye mto wa matatizo. Daraja la mto ruvu halistahili kwenda dar kusafisha macho, linatakiwa tu kupitisha magari na abiria ilhali lenyewe hubakia palepale! Ndo ticheri huyo!?

    4. #42
      mangifera's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th October 2011
      Posts : 47
      Rep Power : 393
      Likes Received
      34
      Likes Given
      1

      Default Re: Ukweli kuhusu Mishahara Serikalini

      We uliyeleta hii mada naona umetumwa kama wale jamaa wa bakwata na maaskofu wa TBC ili kuharibu madai ya madaktari.
      Kama kweli wewe ni mkweli weka hapa salary scale za TRA, NHC, Hazina na kwingineko. Halafu utueleze kama hela inayowalipa hawa ni ya serikali au wanaitoa mfukoni mwako!
      Na waalimu waache uzembe wa kuchagua viongozi wanaohongwa laki mbili mbili wanasahau maslahi ya fani yao, huku tukishuhudia watoto wao wakiwa waalimu kama wao na kuridhi kudharauliwa na umaskini wa wazazi wao!!!

    5. #43
      msnajo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Posts : 665
      Rep Power : 555
      Likes Received
      75
      Likes Given
      92

      Default Re: Ukweli kuhusu Mishahara Serikalini

      Nani kakutuma utuwekee hizo data!? Nakushangaa kwa kuchagua kundi fulani la watu na kuwawekea mishahara yao hapa, na udanai eti unahusika na huo upangaji!! Mbona hukuweka sector zote kwa sababu unahusika na upangaji wa salary?? TRA, wabunge, na sector kibao hujaweka.! Aliekupa hiyo kazi na wewe pia, wote ni wadhaifu. Kama mnapanga mshahara, sector moja mnaikandamiza mtakavyo pasipo kujali, nitakuheshimu kwa lipi we goigoi??

    6. #44
      majany's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2008
      Location : IKULU
      Posts : 1,031
      Rep Power : 1694
      Likes Received
      418
      Likes Given
      821

      Default Re: Ukweli kuhusu Mishahara Serikalini

      kwani lazima uende serikalini??Kuna Hr mmoja alikuaga standard chattered bank na alikua MD doctor ya hapo MUHAS....tusikariri....kama hapalipi,chapa lapa.....Life is too short to keep on complaining.....

    7. #45
      Mujumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Location : Soweto
      Posts : 847
      Rep Power : 591
      Likes Received
      266
      Likes Given
      118

      Default Re: Ukweli kuhusu Mishahara Serikalini

      Inaniuma hata cha kusema sina

    8. Miaka 50

    9. #46
      JeanPrierre's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th February 2012
      Posts : 63
      Rep Power : 380
      Likes Received
      27
      Likes Given
      20

      Default Re: Ukweli kuhusu Mishahara Serikalini

      U r right 100%, walimu wengi siyo kwamba walipenda ila kwa sababu hawakuwa na option nyingine. Mimi ninamifano mingi tu, watu wamefail ikabidi wakimbilie ualimu.

      Quote By mtufulani
      udogo wa mishahara ya kada nyingine usitumike kupuuza madai ya msingi ya watu wa AFYA.kilio chao sio udogo wa mishahara ya kada nyingine, wameongelea yao. Katika madai yao hawajasema mishahara ya walimu au maafisa ugani ni mikubwa. Wanachodai hela wanayolipwa haiwatoshi/hailingani na kazi pamoja na hatari wanazokutana nazo.hizo taaluma nyingine nao kama wanaona wanalipwa kiduchu watoe madai yao.ila sio sawa kabisa kusema degree ualimu wanalipwa hivi na diploma afya wanalipwa vile, kwa hiyo sio haki kwao kudai nyongeza.kuna ukweli mmoja ambao najua wengi hawatopenda kuubali.WATU WENGI KAMA SIO WOTE WANAOSOMA AU WALIOSOMEA KADA ZA AFYA WALIPENDA/NI NDOTO ZAO KUSOMA TAAALUMA HIZO TANGU WAKIWA WATOTO,SIO LAST OPTION,HAWAENDI HUKO KWA KUKOSA MBADALA,KITU AMBACHO NI TOFAUTI KABISA NA UALIMU NYAKATI HIZI,WATU WANASOMA KWA SABABU HAWANA JINSI,NDIO YENYE QUALIFICATION CRITERIA ZA CHINI,hawana mpango na taalum hiyo,kwa hiyo hata mapambano ya kuboreshewa hali zao wanayafanya kwa usanii,ili madocto wanafanya kweli.

    10. #47
      Magu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Posts : 131
      Rep Power : 428
      Likes Received
      42
      Likes Given
      6

      Default

      Quote By Sir oby
      hapa utaona wahasibu, maafisa maendeleo/ustawi, watu wa ardhi, engeners, HRO n.k hawajatajwa cjajua nao hal ikoje.
      Mleta mada hii hajafafanua kitu kimoja au watu hawajamuelewa ktk hili,

      Ukisoma vizuri maelezo hayo ya waraka utaona kuwa Afya ndo wanaongoza kwa mshahara, wakifuatiwa na Elimu na mwisho ni kilimo na mifugo.

      Idara ya Kilimo na mifugo viwango vyao vinafanana na utawala ambao umewataja ambao ni uhasibu, maendeleo ya jamii, utumishi na utawala, hapa umaongelea afisa utumishi, watendaji, masjala pia utawala unagusa maliasili, ardhi, misitu, nyuki,mipango.

      Hoja ya ya msingi nadhani kujadiliwa ni kwa nini serklali inawagawa watu wake ktk makindi? Au ndo tunarudi katika ukoloni wa kuwagawa watu ili uwatawale?(divide and rule)

      Kugawa watumishi kisekta na ukoloni wa kuwafanya kila kundi lijione bora kuliko lingine, hivyo kuongezwa mshahara hutegemea bargaining power ya sekta hiyo. Utaona ndo mana kundi la utawala liko chini kwa mana mgomo wao hauna immediate effect kwa serikali na huduma zinazotolewa, lakini afya na elimu wanayo, na ndo mana wana bargaining base and power, hivyo serikali inawaogopa na madhara ya migomo yao.

      Ushauri wangu kwa serikali hii, ichukulie watumishi wote ni sawa na base ya kuongeza mishahara ni cost of life and not othetwise. What a doctor eats is what an accountant also eats. Don't creat classes that one day you will in trouble to close thier gapes.

      Thnx

    11. #48
      Sungurampole's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 17th November 2007
      Posts : 704
      Rep Power : 728
      Likes Received
      121
      Likes Given
      555

      Default Re: Ukweli kuhusu Mishahara Serikalini

      Quote By nkyalomkonza
      Mkuu hapo umeongea jambo la msingi. Kwa nini mishahara ya serikali hata kwa kada moja haifanani?
      Kufanana ni only partly the issue the bigger issue ni kwamba hawa waajiriwa hawategemei hizi tarakimu - the really pay is elsewhere not here. tusipofika mahali tukawa tayari kuyadiscuss hayo bado tutabaki kulumbana tu leo ni education, kesho health next polisi and on.
      There is a higher court than courts of justice and that is court of conscience.

      It supersedes all other courts.
      Mohandas Gandhi

    12. #49
      mamkubwa's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 24th June 2012
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Ukweli kuhusu Mishahara Serikalini

      wizi mtupu.ndo maana watu wanaiba.rushwa hoyeeee!!!!!!

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...