Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

    Report Post
    Page 5 of 5 FirstFirst ... 345
    Results 81 to 98 of 98
    1. #1
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,147
      Rep Power : 12554
      Likes Received
      5726
      Likes Given
      742

      Default Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Wanabodi.

      Watanzania bado wana imani kubwa na Rais Jakaya Kikwete, kuna baadhi ya watu ambao wanaishambulia serikali ya JK kuwa kuna ufajaji wa fedha za umma, ufajaji wa fedha za umma kwa vigogo wa serikali hayakuanza leo bali tangu serikali zilizopita.

      Rais Kikwete amezipa meno na mamlaka za kisheria Takukuru na ofisi ya CAG kuwafungulia mashtaka moja kwa moja mahakamani, Rais ameweza kuvunja hata mtandao mkongwe wa viongozi kulindana na ndio maana hata wabunge sasa wanakamatwa kwa rushwa tofauti na huko nyuma.

      Baada ya uchafu wa hesabu fedha za umma kubainika, kwa mara ya kwanza Kikwete kuunda kamati ya ukaguzi inayojumuisha wataalam wa ukaguzi wa hesabu, Takukuru, Polisi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Maofisa Upelezi, Usalama wa Taifa, kwa kutumia ripoti ya CAG wanaweza kubaini wizi, kiasi kilichoibiwa kwa njia gani na wahuisika wote.. Kuna normal auditing (ukaguzi wa hesabu wa kawida) na forensic auditing (ukaguzi wa hesabu unaobaini wizi na vielelezo vya kumshtaki mahakamani mhusika) kwa miaka yote Ofisi ya CAG imekuwa ikifanya ukaguzi wa normal auditing na kugundua uchafu na serikali kukaa kimya na wizi wa fedha umma ulikithiriri sana.

      Utaratibu wa forensic auditing Wakurugenzi wengi katika halmashauri zetu wengi lazima wafikishwe mahakamani.

      Rais Kikwete kwa muda wake takribani miaka sita ameweza kuvunja rekodi ya ujenzi wa barabara kakamilisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa takriban kilomita 11,000 kwa kiwango cha lami, ikilinganishwa na kilomita takriban 6.000 tu zilizojengwa na serikali zilizomtangulia, za Mwl Julius Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa.

      JF Daima

    2. Study Abroad

    3. Nzi
      #81
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,313
      Rep Power : 21622
      Likes Received
      924
      Likes Given
      822

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By zomba

      "United Nations Foundation wametupa tuzo ijulikanayo kama “2011 Social Good Award” kwa kuendeleza midia jamii na kutumia teknolojia ya kisasa kukabili changamoto za maendeleo ikiwa ni pamoja na huduma ya afya ya kina mama. Pili,tumepewa tuzo ya the South-South News Award kutokana na mafanikio tunayoyapata katika kuboresha afya nchini na kwa kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano kwa ajili hiyo. Pia, kwa kutambua mchango tunaoutoa kwa maendeleo ya dunia. Na tatu, kutoka Soko la Mitaji la NASDAQ tumepewa tuzo kwa kutambua mchango wangu na mafanikio tunayoyapata katika kupunguza vifo vya kina mama na watoto."

      Umeshaziona hizo Tanzania hii kabla ya Kikwete, hususan hiyo ya utawala bora? Bila "nidhamu kwa watumishi wa umma" utapewa hiyo?

      Kikwete hakisii, anafanya kweli, na kwa hilo la "nidhamu kwa watumishi wa umma", si mimi nnaesema hayo, ni Mataifa yaliyoipa Serikali yake tuzo ya utawala bora. Kuna uongozi wa Rais wa kabla yake uliopata hiyo tuzo au ya Umoja wa Mataifa au japo inayofanana nayo?
      Hizo tuzo zote zimeleta manufaa gani kwa taifa, ikiwa taifa ni la tatu kwa kuombaomba duniani?!

      Hizo tuzo danganya toto tu..hawafahamu ukweli katika ground zero. Ina maana akina mama huduma zao zimeboreka zaidi?! Mbona mahospitalini wanalala zaidi ya watano katika kitanda kimoja?!? Vifo vya akina mama na watoto navyo vimepungua kweli? Kwa takwimu zipi? Zilizoandaliwa na nani?

      Jamaa anapewa matuzo meni ya kudanganyika kwa sababu ni dhaifu na anadanganyika kuliko watangulizi wake. Anapewa vituzo hivyo na kuuza nchi!! Hata rais Mwinyi hasingekubali utaratibu huo.
      "You can't make a scene if you don't have little green"-------Jim Carrey

    4. #82
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By Nzi

      Faida nyingi sana kuliko unavyofikiria, miaka yote mna maji mkashindwa kuyatumia, leo tunaona miradi ya kupeleka maji Shinyanga mpaka Tabora kutoka Victoria, Jee, siyo mafanikio hayo? Leo tunaona ma highway yanajengwa Dar. Leo tunaona Daraja la Kigamboni linajengwa, leo tunaona daraja la Malagarasi limejengwa, leo tunaona pipeline mpya ya Gas inakuja Dar. Leo tunaona nyumba 50 za majaribio ya Gas inayosambazwa kwa mabomba tayari zinafanya kazi. Huna macho?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    5. #83

      Duh! Sasa chifu, mbona rais Kikwete alisema watakaorudisha pesa za EPA atawasamehe?!
      Kama ilikuwa biashara halali kulikuwa na haja gani ya rais kutoa kauli kama ile?!

      Hao aliowasamehe rais ndiyo wako wapi vile?! Jela? Mtaani? TIB?!
      Ili ni kauli ya kuwafanya warudishe, kina farijala hawakurudisha, wamechapwa mika 5, unawalisha bure na wakitoka fedha wanayo, hapo sasa, bora lipi?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    6. Nzi
      #84
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,313
      Rep Power : 21622
      Likes Received
      924
      Likes Given
      822

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By zomba
      Ili ni kauli ya kuwafanya warudishe, kina farijala hawakurudisha, wamechapwa mika 5, unawalisha bure na wakitoka fedha wanayo, hapo sasa, bora lipi?
      Huo ndiyo udhaifu wenyewe!! Yaani rais huyo huyo, mahakama yeye mwenyewe na jaji yeye mwenyewe!!
      Kama ilikuwa ni kauli ya kuwafanya warudishe, basi ni kweli waliiba, na haikuwa biashara halali kama ulivyosema awali!

      Maneno hayo ya mwisho kwenye post yako nayo yanaonyesha udhaifu wa mfumo uliopo sasa; kwani mfumo ungekuwa makini hao wezi ni wa kutaifishwa mali zao, wasibaki na kitu. Kama wakitoka jela waje waanze mwanzo kwa kupata kiptao halali.
      "You can't make a scene if you don't have little green"-------Jim Carrey

    7. #85
      mwinukai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2011
      Posts : 656
      Rep Power : 538
      Likes Received
      134
      Likes Given
      51

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By zomba
      Ritz,

      Kwa hayo hayo ndio Kikwete hapendeki. Ukitazama wengi wa wanaoleta chuki na kejeli utakuta wengi ni wale wale waliozibiwa mianya ya wizi kwa mara ya kwanza toka hii nchi ipate Uhuru katika kipindi hiki cha Kikwete.

      Baada ya muda mfupi, Kikwete anaanza kushughulikia fedha zilizowekwa nje ya nchi na hawa wizi wa mali za umma. Ni kazi ngumu sana, lakini ipo njiani inakuja, tutaona chuki zikizidi. Ukitazama kijuu juu tu hata bila ya uchunguzi wa kina utakuta wote wenye chuki ni wale wale 83%. Hao ndio "wasomi" bila kuelimika, hao ndio walioifikisha nchi ilipofika na hao ndio wezi wakubwa.

      Tunamtakia kila la heri Kikwete kwa hii kazi ngumu aifanyayo sasa, na matokeo tunayaona. Na hapo ndiyo eti "dhaifu".

      Subiri uone majibu sifuri sasa hivi.
      AMKAMATE KWANZA RIDHIWANI WE VIP? unaishi kwa kumfagilia goigoi huyu HATUDANGANYIKI

    8. Miaka 50

    9. #86
      mwinukai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2011
      Posts : 656
      Rep Power : 538
      Likes Received
      134
      Likes Given
      51

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By zomba
      Faida nyingi sana kuliko unavyofikiria, miaka yote mna maji mkashindwa kuyatumia, leo tunaona miradi ya kupeleka maji Shinyanga mpaka Tabora kutoka Victoria, Jee, siyo mafanikio hayo? Leo tunaona ma highway yanajengwa Dar. Leo tunaona Daraja la Kigamboni linajengwa, leo tunaona daraja la Malagarasi limejengwa, leo tunaona pipeline mpya ya Gas inakuja Dar. Leo tunaona nyumba 50 za majaribio ya Gas inayosambazwa kwa mabomba tayari zinafanya kazi. Huna macho?
      aliahidi mangapi na ametekeleza mangapi? fedha ngapi za Mtanzania zimepotea kwenye matumbo ya mafisadi? HATUDANGANYIKI

    10. #87
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By Nzi
      Huo ndiyo udhaifu wenyewe!! Yaani rais huyo huyo, mahakama yeye mwenyewe na jaji yeye mwenyewe!!
      Kama ilikuwa ni kauli ya kuwafanya warudishe, basi ni kweli waliiba, na haikuwa biashara halali kama ulivyosema awali!

      Maneno hayo ya mwisho kwenye post yako nayo yanaonyesha udhaifu wa mfumo uliopo sasa; kwani mfumo ungekuwa makini hao wezi ni wa kutaifishwa mali zao, wasibaki na kitu. Kama wakitoka jela waje waanze mwanzo kwa kupata kiptao halali.
      Hujui maana ya EPA ni nini. Unazunguka Mbuyu. Ngoja nikupe darsa kidogo;

      Kuna waliojipatia fedha kwa kughushi makaratasi na kuzitia kibindoni (kina Farijala hao) na kwa sasa wanatumikia vifungo.

      Kuna waliojipatia hizo fedha bila kughushi makaratasi na kufata kanuni zote, ila tu, hawajazifanyia kazi iliyokusudiwa kwa muda unaotakiwa, na hawakuwa na muda maalum wa kumaliza hizo shughuli. Unajuwa kabisa kuwa ukiwafikisha mahakamani na hakuna muda maalum, watasema ndio wanaanza au wamesha anza hizo shughuli na au walishindwa kuanza kwa ajili hii na hii na hii na au bado hawajazimaliza wa ajili hii na hii na ile, hawa ukiwapeleka mahakamani wanakushinda na utaishia kuwalipa zaidi. Na ndio waliorudisha na wanaoendelea kurudisha hizo fedha.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    11. #88
      Bukyanagandi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th June 2009
      Location : DSM
      Posts : 1,942
      Rep Power : 919
      Likes Received
      703
      Likes Given
      1475

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By ruttashobolwa
      Sikuwai kufikiri kama ritz una uwezo wa kumtete JK.

      Kweli nime amini inabidi nichanganyikiwe kwanza ndio nikubali huo utetezi wako!

      Hivi lowasa amefikishwa mahakama gani?
      Nakuhakikishia JK akipata ushahidi wa kutosha wa kumtia muhusika hatiani hatachelea kumfikisha mahakamani, hachana na JK ana mahesabu makali sana msimuone mkimya; kama nakumbuka vizuri nilisha wambia wana JF zaidi ya miaka mitatu iliyopita kwamba JK akigundua umefanya madudu gani na akawa na uhakika kwamba abahatishi, akifikia hapo hakuna cha msalie MTUME, swahiba, relative and what have you! Utakuburuza mahakamani unceremoniously.

      Msikilizeni kwa makini anapozungumzia kitu, mambo mengi ayasemayo anaya-practice 2-letter, chukulia mfano msemo: wa "akili za kuambiwa" nani kwa mfano, alitegemea kwamba kwenye team yake kuhusu mambo ya kurekebisha katiba angeweka watu ambao walikuwa wanamshika shati na kumsema bila simile kuhusu Serikali yake na Chama tawala huku wakiwa ni wana chama cha CCM! Si hilo tu alifikia hatua yakuwakaribisha viongozi wa vyama vya upinzani kusikiliza maoni yao bila kujali wapambe wake watasema nini - hii inadhilisha kwamba JK ni truly independent minded person, anajaribu kuweka vitu kwenye mzani na kuchagua ambalo analiona linafaa kwa maslahi ya TAIFA bila ya kijali mtoa hoja anatoka chama gani! What a stark contrast baina yake na baadhi ya viongozi wenzake walio jaribu kuhoji eti "kwa nini anakubali baadhi ya maoni kutoka upinzani!" - wana mawazo ya kizamani KABISA, kwa bahati nzuri JK analijua hilo.

      Haya mambo ya kuimarisha kitengo cha CAG, kuwashukia mchwa wa almashauri uliyo kwisha ota mizizi na kuziba mianya ya wizi, watu wanasahau kwamba the brains/architect behind mafanikio hayo ni yeye, lakini cha kushangaza watu hawampi credit yoyote kuhusu hilo.
      Profesa likes this.

    12. #89
      Profesa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : Anywhere in Africa
      Posts : 510
      Rep Power : 750
      Likes Received
      219
      Likes Given
      322

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By Bukyanagandi

      Robot na Invisible: I think this description here deserve to be sticky: Well spoken na anachozungumzia, nina hakika ni kitu ambacho hakuna atakaepinga. Why people look on the weak side of this great man and forsake his strong part? TYes I cna be critical of things Ima not happy, but if the opinion is well spoken and it is the obvious truth, therre is no way I can argue against, otherwise I will be a fool and stupid, so is anyone who will be agains this fact mentioned here.

      Bukyanagandi hebu rusha thread mpya au Invisible inakuwaje hapa. Nimependa sana haya maelezo. We need to collect more facts to rescue our coutnry, cause we cant be against ourselves always. We kneow that it is very same people who prooagate against the Presidents that they have a personal interest of the nation's interest. That is why I am arguing against negative politicism, and politis of enermity. This wont take us anywhere.

      We must change and start thinking constructively, as I can see in many of the Great Thinkers in here. Mr. President JK please start working close wiht the media, use your inteligence system to ensure that the good messages adn efforts and potrayed in the media and work hard to win against those who have hijacked the media to be against every good deed done by the government.

      We shall spare the challenges for the contructive disucssions, our contry is never an exceptional to the currnet challenges, which means what are we doing me and you? Thank you Bukyanagandi for pushing my thinking to the positive edge.

    13. #90
      Bongolander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Location : Tandale
      Posts : 4,032
      Rep Power : 1416
      Likes Received
      609
      Likes Given
      44

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By zomba
      Wewe una macho au huna? hivi ingekuwa hakuna maendeleo ya IT sasa hivi tungekuwa hapa JF?

      Halafu umesahau kuhusu kitu inaitwa "mkonga wa Taifa"? Hili la IT usiseme kijana, tuko mbali sana na tulipokuwa miaka 7 nyuma.
      Mkuu hicho ndio wazee wetu wa CCM wanasema. Can you real call that maendeleo ya IT? Kimisngi kupiga hatua 100 ni maendeleo, lakini hata kupiga hatua 1 ni maendeleo. Hatua 1 inaweza kuwa ni kusukumbwa na upepo, lakini 100 zinatokana na juhudi. Hakuna anyebisha kuwa Tanzania inapiga hatua, lakini ukweli ni kwamba tunaweza kupiga hatua zaidi ya hapa.

    14. #91
      Bongolander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Location : Tandale
      Posts : 4,032
      Rep Power : 1416
      Likes Received
      609
      Likes Given
      44

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By zomba
      Kwa nini usiwaulize waliotoa tuzo kwa Serikali ya Tanzania ya awamu hii kuwa ni watawala bora, walitumia vigezo vipi?

      Kwa upande wangu, ungejuwa jinsi Serikali ilivyokuwa inatenda kazi kabla ya Kikwete, kuanzia wakati wa Nyerere mpaka Mkapa, ungejuwa utawala bora ni nini.

      Nakuuliza hivi, umeshawahi kukimbizana na gari ya kugawa chakula madukani bila kujuwa leo kutakuwa na unga, au mchele au sukari na au ukakaa foleni kuanzia saa 9 za usiku bila kujuwa leo utapata nini dukani? Ungeyawahi hayo, ungejuwa utawala bora ni nini.
      Mkuu Mkapa ana mabaya yake lakini huwezi kumuweka kwenye calaiber moja na JK, ni sawa na kuwaweka pamoja TYSON ma Matumla. Vitu kuwa adimu na vitu kupatikana kwa wingi, hakuna uhusianoi hata kidogo nanuatwala bora, na hilo labda apewe credit Mzee Mwiying na sio JK, by the way hilo lingekuwepo tu bila kujali rais angekuwa nani ni wimbi la dunia na msahrti ya IMF.

    15. #92
      Bongolander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Location : Tandale
      Posts : 4,032
      Rep Power : 1416
      Likes Received
      609
      Likes Given
      44

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By Profesa
      Bongolander, Mnadanganywa na media za nje za Marekani n.k. , umesoma historia au ni hisia zako tu zinakutuma kuwa ni rahisi tu kurukia maendeleo? Natamani tukupe Uraisi mtu kama wewe uone watakachokufanya. Shida mnalalamika tuuu wa-=Tanzania lini mtakuwa na constructive ideas even if you are not happy? Semeni basi tunye nini solutions kwa nchi hii, mnabana kusema kwa faida ya nani? basi kama mna ideas na hamsemi mtakuwa walewale wanaotaka kufaidika binafsi na si kwa Taifa hili. Wengi mnataka kufanyiwa tuambieni mnafanya nini nyinyi wenyewe. Natamani 2015 ifike, na natamani Mungu atuweke hai wengi wenu, hakika hili ninalosema litathibitika, sio rahisi kutawala.
      Constructive ideas zipo nyingi tu, lakini utekelezaji wake unatokana na ability ya anayepewa ideas hizo. Kulalamika ni jadi ya mtu hasa pale unapoona mabo yanaenda ovyo. Unajua mtu ukitaka uongozi ujue ugumu wa kazi yenyewe, na uwe na uwezo wa kudeliver. Uongozi si sehemu ya kujitafutia ujiko. Watanzania wengi tulimpigia kura JK kwa kujua kuwa ana uwezo wa kufanya kazi anayoomba, lakini tumeona ni tofauti na anayoeleza. Kati ya ahadi alizotoa hakuna hata moja iliyotekelezwa kwa namna inayofaa, hatujapiga hatua yoyote ya maana toka awamu ya Mkapa iondoke, naona awamu ya JK, simlaumu JK as a person nalaumu timu nzima.
      Profesa likes this.

    16. #93
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By Bongolander
      Mkuu Mkapa ana mabaya yake lakini huwezi kumuweka kwenye calaiber moja na JK, ni sawa na kuwaweka pamoja TYSON ma Matumla. Vitu kuwa adimu na vitu kupatikana kwa wingi, hakuna uhusianoi hata kidogo nanuatwala bora, na hilo labda apewe credit Mzee Mwiying na sio JK, by the way hilo lingekuwepo tu bila kujali rais angekuwa nani ni wimbi la dunia na msahrti ya IMF.
      EPA, KIWIRA, RADAR, BOT, UMEME, KUGAWANA NYUMBA ZA SERIKALI, hujui madudu ya nani yote hayo? Na hujui yameshughulikiwa na yanashughulikiwa na nani?
      Profesa likes this.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    17. #94
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 4,966
      Rep Power : 0
      Likes Received
      223
      Likes Given
      1

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua matofali yaliyotengenezwa kwa mashine ya Hydrafoam kwaajili ya ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari ya Mboga,wilayani Bagamoyo.

      Mashine hiyo yenye thamani ya Shilingi Milioni Sabini 70m/- imetolewa na Rais Kikwete kama msaada kwa vijana waliounda ushirika ili kuboresha maisha yao kwa kufanya miradi mbalimbali ya ujenzi na uzalishaji.
      (picha na Freddy Maro)

    18. #95
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 4,966
      Rep Power : 0
      Likes Received
      223
      Likes Given
      1

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      wakati walalamikaji wakiendelea kulalamika, JK: Akagua Mradi Wa Ufyatuaji Matofali, Na Ujenzi Wa Shule Ya Sekondari Mboga.

    19. #96
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 4,966
      Rep Power : 0
      Likes Received
      223
      Likes Given
      1

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      kikwete ndio rais pekee alisaidia kukuza utawala wa kidemokrasia hapa tanzania.

    20. #97
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 4,966
      Rep Power : 0
      Likes Received
      223
      Likes Given
      1

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      tangu tupate uhuru hatukuwa na utawala unaozingatia misingi ya haki,ushirikishwaji na uwajibikaji kama huu wa kikwete.huu ni ukweli mchungu kwa watu wenye chuki na husuda

    21. #98
      Bongolander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Location : Tandale
      Posts : 4,032
      Rep Power : 1416
      Likes Received
      609
      Likes Given
      44

      Default Re: Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

      Quote By zomba
      EPA, KIWIRA, RADAR, BOT, UMEME, KUGAWANA NYUMBA ZA SERIKALI, hujui madudu ya nani yote hayo? Na hujui yameshughulikiwa na yanashughulikiwa na nani?
      Mkuu hakuna anayesema kuwa Mkapa ni Mungu, kuna watu hapa JF wanataka huyu jamaa akamatwe na kushitakiwa kwa makosa mengi tu, lakini there is no doubt kwamba yeye aliweza kutoa leadership na ku lead, hayo mafamba yote ya Mkapa yalifanyika kutokana na Mkapa kutuzila watanzania. Tulimpigia kura JK kwa matumini kuwa angekuwa better kuliko Ben, na sio ovyo kuliko Ben. Hatuwezi kuthibitisha uziri wa JK kwa kipimo cha ubaya wa Ben.

    22. FemaTV & Radio
    Page 5 of 5 FirstFirst ... 345

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...