Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

    View Poll Results: Unapenda Muundo Gani wa Muungano

    Voters
    207. You may not vote on this poll
    • Serikali Tatu

      74 35.75%
    • Serikali Mbili

      2 0.97%
    • Serikali Moja

      41 19.81%
    • Sitaki Muungano

      93 44.93%
    Multiple Choice Poll.
    Report Post
    Page 2 of 9 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 173
    1. #1
      Fredrick Sanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2011
      Location : Kijitonyama
      Posts : 2,982
      Rep Power : 2590
      Likes Received
      637
      Likes Given
      776

      Question Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Ndugu waTanganyika wenzangu, tumeshapigwa changa la macho. Hivi mnajua tume ya katiba iliyoundwa imeshaondoa uwezekano wa Serikali ya Tanganyika Kurudi.

      Kwa kuwa hiyo tume ya katiba, haina mamlaka ya kutengeneza rasimu ya katiba ya Tanganyika, na wanafikiri watu wanakubali serikali mbili.

      Kwa sababu hiyo tayari tume hiyo, kwetu sisi watanganyika, imefanya kitu kinaitwa pridjudice (yaani uamuzi kabla ya kupata maoni kuhusu aina ya muungano), na hi si haki, si haki kabisa.

      Je kama ilivyo sasa, katika dodoso zangu, kwamba wananchi wengi wakapenda Mungano wa dola tatu. Nani ataandika rasimu ya katiba ya Dola la Tanganyika?

      Nani atapitia katiba ya Dola la Zanzibar kurekebisha mswala ya muungano. Pamoja na Mhe Jaji Warioba kuruhusu, mjadala kwa uwazi, kuna haja ya kurejea Mswada wa kuunda tume ya katiba na kuweka hatua mbalimbali za utendaji.

      Mapendekezo:

      1. Aina ya muungano

      a. Mjadala
      b. Kura ya maoni
      c. Ma/Bunge la/ya katiba (Subject to discussion)
      2. Rasimu ya katiba

      a. Mjadala
      b. Rasimu ya katiba
      c. Ma/Bunge la/ya katiba
      d. Kura ya/za maoni (katika vipengele mbalimbali)
      e. Uchaguzi
      f. Urekebishaji wa sera kuendana na katiba

      Sasa hakuna haja ya kuelewana vibaya hapa. Suala ni kuwa watu tunaokwenda kitaalam. Hii ni kuchokonoa wa JF na Tume ya katiba kujitathmini.

      Tusije tukatumia fedha na muda mwingi, halafu mwisho tukaambulia patupu. Ikitokea hivyo itakuwa aibu kwa Raisi, Serikali, Bunge hata sisi wananchi hatuta kuwa ubavu wa kuzungumza hata na wakenya tu. Katika hili tuachane na unafiki wa kuunga hoja asilimia mia moja halafu kuikosoa hoja hiyohiyo kama vile mtu ana nafsi mbili.


      Tume inajibatilisha kwa hizi predjudice
      .


      Nawakilisha, mkiniangusha, shauri yenu. Kabla ya kupiga kura hakikisha umelog in.


      Kumbe Zito naye ana mawazo mbadala, soma hapa
      http://www.mwanabidii.com/showthread...oja-Mbili-Zote

      I declare my interest: Napenda serikali tatu ili tuweze kupanua muungano na nchi nyingine.
      Last edited by Fredrick Sanga; 5th July 2012 at 18:44.
      We shall overcome, righteousness shall always prevail.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Fredrick Sanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2011
      Location : Kijitonyama
      Posts : 2,982
      Rep Power : 2590
      Likes Received
      637
      Likes Given
      776

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Quote By Taso
      Hapana!

      Mapendekezo:

      1. Muungano uwepo au usiwepo?

      Aina ya Muungano maana yake nini, unajuaje tunataka Muungano?
      Mathematically aina ya muungano inaweza kuwa
      0 = Hakuna muungano
      1 = Serikali moja
      2 = Serikali mbili
      3 = Serikali tatu

      Sasa wewe naona uko kwenye 0, sijui umeelewa?
      We shall overcome, righteousness shall always prevail.

    4. #22
      Fredrick Sanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2011
      Location : Kijitonyama
      Posts : 2,982
      Rep Power : 2590
      Likes Received
      637
      Likes Given
      776

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Quote By dfreym
      Hawa wazenji wanatuzingua sana. Bora tubaki na tanganyika yetu wao waende. Huenda wakawa bora zaidi, nasi tukajifunza kwao ili tupate maendeleo.
      Lakini usipige kura ya hasira, piga kura kama great thinker. Unajua unaweza kuudhiwa ili, katika hasira, utende kosa. Waulize mawakili watakwambia kuhusu mbinu chokonozi.
      dfreym likes this.
      We shall overcome, righteousness shall always prevail.

    5. #23
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Quote By chilisosi
      Yaani bado wapo tuu? Aaargh, wataondoka lini hawa wapemba, mie kuna duka nalitamani pale kariakoo
      Sasa naona unaanza kuzungumzia kero za kuuvunja muungano, Masikini mke wangu mpemba, wa kiarabu kiafrika. Usiniambie mambo ya kuvunja Muungano, mi nataka serikali tatu. Haya mambo serikali mbili naona tuko pamoja, ni mambo ya kulazimisha tu. Sijui Ritz na Rejao wanasemaje hapa.
      Chilisosi and Fredrick Sanga like this.
      Simple life is healthier than egoism.

    6. #24
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Khaaa, yaheee mpaka sasa hapa tulipo wana JF wengi hawpendi muungano. Siaminia macho yangu kabisa.
      Simple life is healthier than egoism.

    7. #25
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Jamani, jamani serikali tatu zinatufaa zaidi, halafu, rwanda, burundi, uganda na kenye wataingia kwenye muungano. Tunaweza tukaanza na vitu vichache sana. tena tunatakiwa kupendekeza wenyewe.
      Fredrick Sanga and Chindi1058 like this.
      Simple life is healthier than egoism.

    8. Miaka 50

    9. #26
      Fredrick Sanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2011
      Location : Kijitonyama
      Posts : 2,982
      Rep Power : 2590
      Likes Received
      637
      Likes Given
      776

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Ingekuwa random sampling imefanyika, basi mpaka sasa tungesema watu wengi hawaupendi muungano, lakini sina uhakika na sample, na nafikiri inabidi iwe stratified sample with proper presentation. Ila nafikiri Mhe Jaji Warioba na tume yake wanaanza kupata kamwanga kwa mbaliiiii. Mod unaweza kumyumia Mhe Jaji matokeo ya awali?
      We shall overcome, righteousness shall always prevail.

    10. #27
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Quote By dfreym
      Hawa wazenji wanatuzingua sana. Bora tubaki na tanganyika yetu wao waende. Huenda wakawa bora zaidi, nasi tukajifunza kwao ili tupate maendeleo.
      Hivi kwanini hakuna hata myu mmoja anayetake serikali mbili? na tume imeundwa katika msingi wa serikali mbili?
      dfreym likes this.
      Simple life is healthier than egoism.

    11. #28
      dfreym's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th October 2010
      Posts : 279
      Rep Power : 594
      Likes Received
      49
      Likes Given
      164

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      communist ccm, ni dhaifu, na baba yao ni dhaifu.... they can stand taking hard decision...
      If money doesn’t grow on trees then why banks have branches?

    12. #29
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default

      Quote By dfreym
      communist ccm, ni dhaifu, na baba yao ni dhaifu.... they can stand taking hard decision...
      Mbungr wanga aliniambia hivyo. Sasa nachanganya na za kwngu nione.

    13. #30
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Hapa hamna kuiba kira.

    14. #31
      Fredrick Sanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2011
      Location : Kijitonyama
      Posts : 2,982
      Rep Power : 2590
      Likes Received
      637
      Likes Given
      776

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Roho inauma. Kumbe wengi hawpendi miungano. Nimekoma kuanzisha uzi. Duhhh
      Last edited by Fredrick Sanga; 25th June 2012 at 12:32.

    15. #32
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default

      Quote By Taso
      Hapana!

      Mapendekezo:

      1. Muungano uwepo au usiwepo?

      Aina ya Muungano maana yake nini, unajuaje tunataka Muungano?
      Naona mzee unatisha. Mpaka sasa wengi wanakukubali. Lakini wa serikali tatu wanakuja juu. Mfumo wa ccm unakataliwa.
      Taso likes this.

    16. #33
      Taso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th June 2010
      Posts : 1,175
      Rep Power : 796
      Likes Received
      308
      Likes Given
      121

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Quote By Fredrick Sanga
      Mathematically aina ya muungano inaweza kuwa
      0 = Hakuna muungano
      1 = Serikali moja
      2 = Serikali mbili
      3 = Serikali tatu

      Sasa wewe naona uko kwenye 0, sijui umeelewa?
      La hasha. Ukitaka hesabu basi kimahesabu ukisema let zero be hakuna Muungano basi 1 ina maanisha kuna Muungano, period.

      Kabla ya kutuambia tuchague aina ya Muungano, ni lazima tuwe kwanza tumekubaliana tunataka huo Muungano? Baadhi yetu hatutaki Muungano, na kwa Zanzibar the overwhelming majority hawataki Muungano, na hilo Warioba lazima aliseme kwenye ripoti yake.

      Manake mule kwenye Tume ya Warioba Kikwete kajipindua hakufanya background check kawateua wakina Awadhi ambao ndio ma lawyer wa UAMSHO, I mean, the official lawyer who frames the legal arguments against Muungano kwenye mihadhara ya UAMSHO ni Awadhi Saidi halafu yumo kwenye Tume ya Warioba.

      Hawezi hata kidogo kukubali Tume ya Warioba isiripoti kwamba Zanzibar hawataki Muungano, kwenye Tume humo milango itafungwa ndani kwa ndani halafu hatoki mtu mpaka wanyooshe maelezo au linazuka bonge la stalemate, ripoti haitoki, government shutdown, referendum kwanza!...kudadadadadeki ... tumechoka na tunauvunja huu Muungano mwaka huu....hahahahhahaa!
      Muungano hatuutaki likes this.

    17. #34
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      We weka zero tuje. Mbona mpaka sasa inaonekana. Wengi hawataki. Ila wko wanaota aina fulani.

    18. #35
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Serikali mbili zimegoma. Duhh

    19. #36
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Sasa tunafanuajr?

    20. #37
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,690
      Rep Power : 0
      Likes Received
      542
      Likes Given
      273

      Default Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      Mkuu sanga, naona ka-desktop kangu hakanipi option ya ya kubofya, kura yangu ni Sitati muungano.

      Ila nimeshangaa sana kuna watu wanataka serikali moja? anyway ndio mawazo yao hayo! yaani znz ifutike?
      Fredrick Sanga likes this.

    21. #38
      Muungano hatuutaki's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Location : zanzibar
      Posts : 15
      Rep Power : 454
      Likes Received
      0
      Likes Given
      4

      Post Re: Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

      mimi nikiwa kama mzanzibar, sitaki wala sipendi kusukia, msimamo wetu ni uleule wa kuvunja muungana ili tupate kurejesha jamhuri ya watu wa zanzibar, pamajo na its full sovereignity, yenye kujiamuliwa maamuzu yake mwenyewe, pamoja na rais wake anayetambulika nje na ndani ya nchi.

    22. #39
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default

      Quote By Muungano hatuutaki
      mimi nikiwa kama mzanzibar, sitaki wala sipendi kusukia, msimamo wetu ni uleule wa kuvunja muungana ili tupate kurejesha jamhuri ya watu wa zanzibar, pamajo na its full sovereignity, yenye kujiamuliwa maamuzu yake mwenyewe, pamoja na rais wake anayetambulika nje na ndani ya nchi.
      Sawa yekhee mimi nakbali ati. Kwani muungano si makubaliano
      Muungano hatuutaki likes this.

    23. #40
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,729
      Rep Power : 2267
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default

      Quote By Tume ya katiba
      Mkuu sanga, naona ka-desktop kangu hakanipi option ya ya kubofya, kura yangu ni Sitati muungano.

      Ila nimeshangaa sana kuna watu wanataka serikali moja? anyway ndio mawazo yao hayo! yaani znz ifutike?
      Hao wanataka Zanzibari iwe wilaya. Hii ni kazi kwelikweli. Eaache na wao waonekana.

    Page 2 of 9 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...