Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

    Report Post
    Page 4 of 8 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 151
    1. #1
      Godwinnko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2012
      Location : Moshi
      Posts : 485
      Rep Power : 670
      Likes Received
      111
      Likes Given
      64

      Default Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Kufuatia tuhuma zilizo elekewa kwake juu ya matumizi shangingi la kambi ya upinzan mbowe alikua na haya yakusema:

      "Mimi nilikataa gari kwa kipindi cha miezi sita na nikawa natumia gari langu kwa shughuli zote za vikao vya bunge,lakini nataka umma uelewa kuwa kwa nafasi yangu natakiwa kulipwa posho ya madaraka sh 200000 kila mwezi,kupewa nyumba ya kuishi ikiwa samani zake.

      Ila mpaka sasa sina nyumba ya serekali,wala mlinzi,wala kulipwa fedha za mawasiliano,vyote natumia fedha zangu...kama ningetaka ningedai mambo mengi ambayo natakiwa kupata lakini kulingana na hali ya uchumi wa nchi ni lazima nitumie fedha zangu ili kunusuru uchumi" alisema.

      Source: Tanzania daima 22 june, 2012
      Oluoch, REMSA, mamajack and 1 others like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #61
      BONGOLALA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2009
      Posts : 4,905
      Rep Power : 1478
      Likes Received
      1014
      Likes Given
      128

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      JK ni rais dhaifu na CCM ni wapuuzi sana!bei ya mafuta imeshuka kwa 24% tanzania bei inapanda

    4. #62
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,690
      Rep Power : 0
      Likes Received
      542
      Likes Given
      273

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Hajajibu HOJA.

      Na hili ndio tatizo la hawa watu, hoja iliyopo sio yeye kutumia ama la, hoja ni kwa nini alikataa gari mbele ya wananchi na camera za waandishi na kisha akalichukua kinyemela?

    5. #63
      SinaChama's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st May 2012
      Posts : 37
      Rep Power : 363
      Likes Received
      13
      Likes Given
      19

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Hii inachekesha sana, eti mtu anatuhumiwa kwa kuchukua malipo yake stahili na gari lake stahili. Who cares, na sio wizi, ni matumizi halali. Sasa hao wanaotuhumu wao wameiba, wamelindana na ni wezi wananuka! Hata mfurukute mwisho wenu 2015 haturudi nyuma hatudanganyiki hapa, hizi propaganda mlizoanzisha kazi bure. Mkibahatika 2015 ni huyo Rais tu ndio atatoka Sisiemu, wabunge asilimia 70 upinzani, KUDADADEKI!

    6. #64
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,056
      Rep Power : 811
      Likes Received
      182
      Likes Given
      11

      Default

      Quote By kimboka one
      Mwizi ni mwizi tu,hawa wanasiasa si watu.
      Well said mkuu, hakuna mwanasiasa asiye mnafiki. Wayasemayo wanasiasa ni tofauti na matendo yao.
      The unseen is illustrated by the seen.

    7. #65
      tindikalikali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2011
      Posts : 3,084
      Rep Power : 1215
      Likes Received
      392
      Likes Given
      89

      Default

      Quote By mpinga shetani
      Maadam kaamua kujibu. Mbowe pia atueleze kwa nini waandishi wa gazeti lake la Tanzania Daima linalosimamiwa na mkewe hawalipwi mishahara.
      Na aseme kwa nini mkewe hivi karibuni aliwajibu wahariri wake kifedhuli kuwa "asiyetaka kazi bila malipo aache! "
      hivi umetumia kichwa kweli kufikiri?

    8. Miaka 50

    9. #66
      Shardcole's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2012
      Posts : 4,412
      Rep Power : 1288
      Likes Received
      1034
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Barnabas Shadrack
      Chezea mchaga weye tena akiwa kachanganya uchaga wake katika siasa, watanzania jiandaeni kuumia zaidi endapo huyu mchaga na kampuni lake(Chadema) watapata sehemu ya kula kivulini(serikalini) baada ya kusota juani(upinzani).
      The unseen is illustrated by the seen.
      Utakuwa umepararize mavi* ww sio bure.

    10. #67
      Shardcole's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2012
      Posts : 4,412
      Rep Power : 1288
      Likes Received
      1034
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Tume ya katiba
      Hajajibu HOJA.

      Na hili ndio tatizo la hawa watu, hoja iliyopo sio yeye kutumia ama la, hoja ni kwa nini alikataa gari mbele ya wananchi na camera za waandishi na kisha akalichukua kinyemela?
      Mihadhara alishakukoroga akili ww.

    11. #68
      Original's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2012
      Posts : 325
      Rep Power : 427
      Likes Received
      66
      Likes Given
      265

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Watanzania wana matumaini makubwa sana na chadema. Wanategemea chadema itawakomboa toka kwenye mateso, manyanyaso na ufisadi wa Ccm. Hata mimi nilikuwa na mategemeo hayo, lakini bila kuficha naona wazi kwamba chadema ni hatari na ni mbaya zaidi kuliko ccm. Chadema itafanya mambo machafu na mabaya zaidi ya yale yanayofanywa na ccm. waswahili wanasema unaweza kuruka mkojo na ukakanyaga mavi, watanzania wenzangu tuwe makini sana na hawa wana siasa wetu. Wana malengo yao binafsi ambayo wanataka kuyatimiza kwa kupitia migongo yetu.
      Kumbukeni wakati jakaya anachukua madaraka, watanzania wengi walijua kwamba mwisho wa matatizo yao umefika kumbe ukweli ukawa ndiyo mwanzo wa matatizo. Sasa hivi watanzania walio wengi wanashabikia chadema, lakini mnajua chadema ni ya nani na inapata wapi nguvu ya pesa na itazilipaje pesa hizo? Hivi mnafikiri Mzee Ndesamburo anatoa helicopter zake bure kusaidia chadema?. kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa ni kosa. Tuwe makini sana ndugi zangu watanzania.

    12. #69
      Pendael laizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 945
      Rep Power : 561
      Likes Received
      90
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By mpinga shetani
      Maadam kaamua kujibu. Mbowe pia atueleze kwa nini waandishi wa gazeti lake la Tanzania Daima linalosimamiwa na mkewe hawalipwi mishahara.
      Na aseme kwa nini mkewe hivi karibuni aliwajibu wahariri wake kifedhuli kuwa "asiyetaka kazi bila malipo aache! "
      Acha uongo hakuna ambaye halipwi hapo.

    13. #70
      Pendael laizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 945
      Rep Power : 561
      Likes Received
      90
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By mgongo wa paka
      siku zote nasema mbowe ni mnafiki na mlafi pia fisadi we halafu unatuhadaa watanzania mbowe mwizi mkubwa kwani ukisema ukweli utachinjwa?
      wewe ndio mwizi,fisadi,na kavue gamba kwanza ndio uje hapa manake unaongea uwongo na kamwe hutabadilisha mawazo ya watanzani kuuwangusha utawala wa mkoloni mweusi ccm.

    14. #71
      Pendael laizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 945
      Rep Power : 561
      Likes Received
      90
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By Original
      Watanzania wana matumaini makubwa sana na chadema. Wanategemea chadema itawakomboa toka kwenye mateso, manyanyaso na ufisadi wa Ccm. Hata mimi nilikuwa na mategemeo hayo, lakini bila kuficha naona wazi kwamba chadema ni hatari na ni mbaya zaidi kuliko ccm. Chadema itafanya mambo machafu na mabaya zaidi ya yale yanayofanywa na ccm. waswahili wanasema unaweza kuruka mkojo na ukakanyaga mavi, watanzania wenzangu tuwe makini sana na hawa wana siasa wetu. Wana malengo yao binafsi ambayo wanataka kuyatimiza kwa kupitia migongo yetu.
      Kumbukeni wakati jakaya anachukua madaraka, watanzania wengi walijua kwamba mwisho wa matatizo yao umefika kumbe ukweli ukawa ndiyo mwanzo wa matatizo. Sasa hivi watanzania walio wengi wanashabikia chadema, lakini mnajua chadema ni ya nani na inapata wapi nguvu ya pesa na itazilipaje pesa hizo? Hivi mnafikiri Mzee Ndesamburo anatoa helicopter zake bure kusaidia chadema?. kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa ni kosa. Tuwe makini sana ndugi zangu watanzania.
      wewe ni mnafki tu..kwa hiyo unataka tuichague ccm?si ungekuja tu direct fisadi wewe au unafkiri unaweza cheza na akili zetu gamba wewe?HAKUNA ZAIDI YA CHADEMA HAPA TZ MIMI SIJAHONGWA WALA SINA MASLAI BINAFSI ILA NINA UCHUNGU KWA JINSI INAVYOLIWA NA CCM {MKOLONI MWEUSI} KWANI MBOWE KUCHUKUWA HILO GARI NI UFSADI?

    15. #72
      Pendael laizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 945
      Rep Power : 561
      Likes Received
      90
      Likes Given
      5

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Mafsadi pamoja wanatafutaga jinsi yakumchafua kiongozi yeyote wa chadema lakini wanakosa. Sasa hoja haina Mashiko maana hata kama alikataa akaja kuona anapata shida kutuwakilisha sisi wananchi na akalichukuwa sasa hapo je kuna tatizo?wakati huo huo mafsadi wanaiba pesa ambazo ni kodi za wananchi na hakuna mashtaka zaidi kuambiwa ajiuzuru.

    16. #73
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,177
      Rep Power : 810
      Likes Received
      251
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By georgeallen
      Mchagga akatae gari, "fesa"(200K), "numba", mlinzi? Labda mbowe siyo mchagga
      Mkuu mbowe ni mmachame sio mchagga, kwa kukusaidia wachagga ni kutoka vunjo tu hao wengine wote ni kabila tofauti

    17. #74
      Thesi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th August 2010
      Posts : 730
      Rep Power : 4677
      Likes Received
      187
      Likes Given
      323

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Quote By Kimbunga
      Duh alikataa landcruiser gx standard akapewa V8 akatwaa! Vipi Zitto naye amerudi na kuchukua posho au? Kama bado Zitto anaendelea na msimamo wake basi huo ndio msimamo thabiti na siyo msimamo wa nataka sitaki.
      Read between the line. Huyu mkubwa alikataa gari kwa miezi sita. Je, serikali walikuwa tayari kubadilisha hilo gari? Alilichukua kwa vile serikali waligoma kubadilisha au kwa kuwa aliitamani tu?
      Mimi nafikiri kama serikali walikataa kubadilisha gari, na hili linawezekana kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ccm wangehofia hii kutumika dhidi yao kisiasa, kama hii ndiyo sababu hakuna haja ya kumlaumu Mbowe.
      Ni vizuri ndugu Mbowe ukatueleza kilichokusuma kuchukua gari hilo.

    18. #75
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,348
      Rep Power : 7769
      Likes Received
      1546
      Likes Given
      1799

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Hajajibu swali la kulirudia gari.

    19. #76
      Original's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2012
      Posts : 325
      Rep Power : 427
      Likes Received
      66
      Likes Given
      265

      Default

      Quote By Pendael laizer
      wewe ni mnafki tu..kwa hiyo unataka tuichague ccm?si ungekuja tu direct fisadi wewe au unafkiri unaweza cheza na akili zetu gamba wewe?HAKUNA ZAIDI YA CHADEMA HAPA TZ MIMI SIJAHONGWA WALA SINA MASLAI BINAFSI ILA NINA UCHUNGU KWA JINSI INAVYOLIWA NA CCM {MKOLONI MWEUSI} KWANI MBOWE KUCHUKUWA HILO GARI NI UFSADI?
      Tatizo lako ni kwamba huoni na wala husikii kuhusu chadema. Lakini utakuja kumbuka maneno yangu. Hivi unajua chadema ilianzishwaje?. Unamjua mwenye chadema?. Unajua kilicho nyuma ya pazia la chadema?. Hao viongozi wa chadema mapema kabisa wameanza kuonesha kutokuwa na msimamo na pia hawana mshikamano. Kwenye hili suala la posho viongozi wenu ni ndumila kuwili. Wanazikataa posho hadharani lakini wanazichukua kimya kimya. Huu ni unafiki na ni hatari. Ccm wanaeleweka wazi kwamba wao posho wanachukua na tena bila kificho.

    20. #77
      MKWECHE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th April 2011
      Location : IGANGIDUNGU-IRINGA
      Posts : 300
      Rep Power : 492
      Likes Received
      52
      Likes Given
      0

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Quote By Godwinnko
      Kufuatia tuhuma zilizo elekewa kwake juu ya matumizi shangingi la kambi ya upinzan mbowe alikua na haya yakusema:

      "Mimi nilikataa gari kwa kipindi cha miezi sita na nikawa natumia gari langu kwa shughuli zote za vikao vya bunge,lakini nataka umma uelewa kuwa kwa nafasi yangu natakiwa kulipwa posho ya madaraka sh 200000 kila mwezi,kupewa nyumba ya kuishi ikiwa samani zake.

      Ila mpaka sasa sina nyumba ya serekali,wala mlinzi,wala kulipwa fedha za mawasiliano,vyote natumia fedha zangu...kama ningetaka ningedai mambo mengi ambayo natakiwa kupata lakini kulingana na hali ya uchumi wa nchi ni lazima nitumie fedha zangu ili kunusuru uchumi" alisema.

      Source: Tanzania daima 22 june, 2012
      Mbowe kumbe Mnafiki!Mbona gari alilikataa kwa mbwembwe ili Wanachi Tumwone Mzalendo!Ilipolichukua tena,Ajijua anachemsha akaenda kimya kimya!
      Wanasiasa wetu ni Waroho wa vitu vidogo vidogo tu!Hawa chadema wanajidai wanapinga vitu ili waonekane ila kiuhalisia wanahamu ya kuvipata!SIPENDI TENA Wanasiasa wala chama chochote!Mie Mkweche ni Mgombea Binafsi!

    21. #78
      Insurgent's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2007
      Posts : 589
      Rep Power : 726
      Likes Received
      10
      Likes Given
      2

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Huyu DJ ni msanii mwingine. Kama ulikataa gari mwanzo na kwa mbwembwe ili upate umaarufu wa kitoto kwa wananchi mbona ulipolichukua hujachukua kwa mbwembwe hizo hizo.
      Hawa viongozi wa CHADEMA ni wasanii, wameweza kupiga wananchi mchanga wa macho kwa kutumia midomo yao na vimisemo vya kuvuta watu.
      Tukiwapa nchi tutalia.
      Any man who reads too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking - Einstein

    22. #79
      Insurgent's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2007
      Posts : 589
      Rep Power : 726
      Likes Received
      10
      Likes Given
      2

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Kichwa cha kudanganya wananchi: Mbowe Ajibu Tuhuma...
      WTF?!!!!
      Kichwa kinachofaa: Mbowe achemsha na kubwabwaja baada ya kudanganya Umma
      Any man who reads too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking - Einstein

    23. #80
      Ndusty's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2009
      Posts : 108
      Rep Power : 590
      Likes Received
      17
      Likes Given
      102

      Default Re: Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

      Quote By Godwinnko
      Kufuatia tuhuma zilizo elekewa kwake juu ya matumizi shangingi la kambi ya upinzan mbowe alikua na haya yakusema:

      "Mimi nilikataa gari kwa kipindi cha miezi sita na nikawa natumia gari langu kwa shughuli zote za vikao vya bunge,lakini nataka umma uelewa kuwa kwa nafasi yangu natakiwa kulipwa posho ya madaraka sh 200000 kila mwezi,kupewa nyumba ya kuishi ikiwa samani zake.

      Ila mpaka sasa sina nyumba ya serekali,wala mlinzi,wala kulipwa fedha za mawasiliano,vyote natumia fedha zangu...kama ningetaka ningedai mambo mengi ambayo natakiwa kupata lakini kulingana na hali ya uchumi wa nchi ni lazima nitumie fedha zangu ili kunusuru uchumi" alisema.

      Source: Tanzania daima 22 june, 2012
      Hutakiwi kuwa genius ili kufigure out mantiki ya Mh Mbowe ya kuamua kulichukua gari la KUB.alitoa hoja na akawa mfano kwa yeye mwenyewe kulirudisha gari serekalini.akakaa miezi sita akiwa anatumia usafiri wake mwenyewe.point yake ni kwamba alitaka kuwaonyesha serekali kwamba inawezekana kwa kiongozi kuishi bila magari ya kifahari ya serekali.

      Kwamba inchi itumie pesa kwenye kuletea watu maendeleo na sio kununulia viongozi gari za gharama.sasa kuamua kulichukua tena gari sio kosa. Ile gari ilishanunuliwa kitambo tu. Kama Mbowe asipoitumia still itatumiwa na mtu mwingine hivyo isingebadilisha chochote. Kama baada ya Mbowe kuisusa serekali ingeiuza then hizo pesa zisaidie wananchi ingekuwa inamake sense au kama hiyo gari ya KUB ilikuwa ordered rasmi kwa ajili ya Mbowe then Mbowe akakubali inunuliwe then tungesema ni mnafiki. Alitoa hoja na kuonyesha anachotetea ni kitu kinachowezekana kwa yeye kuwa mfano.

      Ujumbe wake ukafika kwa wahusika basi. Hatuna sababu ya kumchafua mtu kwa kusapoti maneno ya vibaraka wanaojaribu kupunguza kasi ya CHADEMA kwa kumtafutia mbowe kashifa za kijinga. Baada ya kukosa issue ya maana ya kumchafua wanaleta mpaka issue nonsense. Wananchi tuwe watu wa kutathmini mambo tunayosoma kwenye magazeti kabla hatujapost comments zetu.

    Page 4 of 8 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...