Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Udini watumika kuizamisha CHADEMA mikoa ya kusini

    Report Post
    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 41 to 60 of 65
    1. #1
      Mzito Kabwela's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th November 2009
      Location : MPUMBULI
      Posts : 7,243
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1086
      Likes Given
      7

      Default Udini watumika kuizamisha CHADEMA mikoa ya kusini

      Nipo Mkoani Mtwara kikazi kwa wiki karibu mbili sasa.
      Njia ya kuelekea Masasi mbele kidogo na ile round about yanapopaki magari ya zimamoto mbele kidogo ya njia panda ya airport kuna mhadhara unafanyika wiki ya pili sasa.

      Mashekhe hao ambao wamepita katika kila eneo ambalo chadema wamepita na kufanya mihadhara wanapita na wao kueneza chuki na ghiliba za kidini kuwa asili ya chadema ni ukristo na malengo yake ni kustawisha ukristo

      Wanakwenda mbali zaidi kwa kusema Adui wa muislam ni mkristo hivyo hakuna haja ya kukishabikia chadema.
      Ingawa hawasemi chama gani kiko neutral wala hawasemi wafuasi wao wanatakiwa wafuate chama gani lakini wanawahamasisha wahakikishe kuwa kuna haki na usawa

      Kampeni hii ambayo inafanyika katika mwavuli wa mikutano ya dini ambapo huanza kwanza kwa kuikosoa biblia kwa kutumia quran mwishowe humalizikia kwa kuiponda chadema kidini.

      Nimefanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja na nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, kwa kweli wanafanikiwa kupata wafuasi na waamini wengi. Akili za vijana wengi ambao hapo awali tulidhani zimekombolewa kwa ujio wa cdm zimerud kule kule kwenye enzi za ujima na udini
      MUNGU INUSURU TANZANIA NA DHORUBA INAYOWEZA KUTOKEA ANY TIME

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,657
      Rep Power : 717
      Likes Received
      291
      Likes Given
      36

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Mwenye kuathirika na siasa za dini ni ccm, wakumbuke Igunga watu walivopiga kura za kidini ziliwafanya wadini nyingine nao wainyime kura ccm na kuwaachia waathirika wa kubwa wa ccm waipigie kura

    4. #42
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,228
      Rep Power : 3560
      Likes Received
      3060
      Likes Given
      462

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By Mzito K
      Nipo Mkoani Mtwara kikazi kwa wiki karibu mbili sasa.
      Njia ya kuelekea Masasi mbele kidogo na ile round about yanapopaki magari ya zimamoto mbele kidogo ya njia panda ya airport kuna mhadhara unafanyika wiki ya pili sasa.

      Mashekhe hao ambao wamepita katika kila eneo ambalo chadema wamepita na kufanya mihadhara wanapita na wao kueneza chuki na ghiliba za kidini kuwa asili ya chadema ni ukristo na malengo yake ni kustawisha ukristo

      Wanakwenda mbali zaidi kwa kusema Adui wa muislam ni mkristo hivyo hakuna haja ya kukishabikia chadema.
      Ingawa hawasemi chama gani kiko neutral wala hawasemi wafuasi wao wanatakiwa wafuate chama gani lakini wanawahamasisha wahakikishe kuwa kuna haki na usawa

      Kampeni hii ambayo inafanyika katika mwavuli wa mikutano ya dini ambapo huanza kwanza kwa kuikosoa biblia kwa kutumia quran mwishowe humalizikia kwa kuiponda chadema kidini.

      Nimefanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja na nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, kwa kweli wanafanikiwa kupata wafuasi na waamini wengi. Akili za vijana wengi ambao hapo awali tulidhani zimekombolewa kwa ujio wa cdm zimerud kule kule kwenye enzi za ujima na udini
      MUNGU INUSURU TANZANIA NA DHORUBA INAYOWEZA KUTOKEA ANY TIME
      Lakini Umesema Umehudhuria huo Mkutano hao Mashehe walisema nini kwenye huo Mkutano?

      Na Vijana Waliohudhuria Walikuwa Wakirudisha Kadi za Chadema?

      Na Unajua kuwa Mtwara sio wananchi wote ni wa Dini Moja ya Kiislamu, na hao wa Dini ya kiislamu sio wote

      Wanaipenda CCM?

      Sasa sio rahisi kujua kuwa hiyo Sehemu imekombolewa hadi Uchaguzi...

      Mfano Mzuri ni Mikutano ya Jangwani kati ya Chadema na CCM, Wanachi wengi waliihudhuria lakini Hoja ndio

      Itakayochagua Chama Gani kutawala na sio Uwakilishi wa kukusanja watu kwa Vitisho na mbwembwe...

      Adui wa Demokrasia ni Mwanadamu Mwenyewe... wakati anachaguliwa kuliko yeye kuchagua atakacho; Sasa kama

      Mashehe wamejihusisha hii ni hatari DINI kuingilia SIASA...

      Na hao sio Waislamu wote ni kikundi cha Waislamu na nadhani hakiwakilishi fikra na nia za waislamu wote...

    5. #43
      UNIQUE's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st March 2011
      Posts : 180
      Rep Power : 449
      Likes Received
      18
      Likes Given
      0

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By nipo hapa
      chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. Wahoji matumizi ya mou yanayotolewa na serekali kwa kanisa.
      kuem
      ujinga wa watanzania ndio mtaji wa kisiasa. Watanzania tuache kuendekeza ujinga hakuna mahali popote ubaguzi ulileta faida. Hivi huo misiktini wan sera gani ya maendeleo hata kwa hao waislamu wenyewe? Waingie kazini tena washughulikie waislamu tu tuone. Bure kabisa. Watz tuache tabia ya kulalamika tu. Tutafute majibu ya kusayansi. Hata tz ingekuwa ya kikiristu tu bado ni tatizo. Hata wote tuiwa waislamu vile vile. Tattizo la watanzania ni mind set yaani mtizamo. Kwanza dini zote zinatunyonya na kutupumbaza eti mungu kasema huku wanatuibia sadaka wakati viongozi wanapiga dili zao. Hakuna cha uislamu wala ukristu. Weka mstakabali wa maisha yako mikononi mwako na wala si kwenye dini

    6. #44
      Lunyungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th August 2006
      Location : Malampaka
      Posts : 8,017
      Rep Power : 2561
      Likes Received
      785
      Likes Given
      28

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By Mzito K
      Nipo Mkoani Mtwara kikazi kwa wiki karibu mbili sasa.
      Njia ya kuelekea Masasi mbele kidogo na ile round about yanapopaki magari ya zimamoto mbele kidogo ya njia panda ya airport kuna mhadhara unafanyika wiki ya pili sasa.

      Mashekhe hao ambao wamepita katika kila eneo ambalo chadema wamepita na kufanya mihadhara wanapita na wao kueneza chuki na ghiliba za kidini kuwa asili ya chadema ni ukristo na malengo yake ni kustawisha ukristo

      Wanakwenda mbali zaidi kwa kusema Adui wa muislam ni mkristo hivyo hakuna haja ya kukishabikia chadema.
      Ingawa hawasemi chama gani kiko neutral wala hawasemi wafuasi wao wanatakiwa wafuate chama gani lakini wanawahamasisha wahakikishe kuwa kuna haki na usawa

      Kampeni hii ambayo inafanyika katika mwavuli wa mikutano ya dini ambapo huanza kwanza kwa kuikosoa biblia kwa kutumia quran mwishowe humalizikia kwa kuiponda chadema kidini.

      Nimefanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja na nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, kwa kweli wanafanikiwa kupata wafuasi na waamini wengi. Akili za vijana wengi ambao hapo awali tulidhani zimekombolewa kwa ujio wa cdm zimerud kule kule kwenye enzi za ujima na udini
      MUNGU INUSURU TANZANIA NA DHORUBA INAYOWEZA KUTOKEA ANY TIME

      Hao ni watumishi wa shetani na shetani mwenyewe ni CCM .Wacha wamtumikie watavuna wanacho kipanda .Njaa bwana mbaya sana
      Nasema : CCM tunadhani adui yetu ni Chadema hapana ni Watendaji wetu katika Serikali ya CCM tukawabane hao - Livingstone Kibajaji Lusinde 2013 25 April at 11:54am.

    7. #45
      Mzalendo JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Posts : 906
      Rep Power : 532
      Likes Received
      277
      Likes Given
      213

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By nipo hapa
      chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. WAHOJI MATUMIZI YA MOU yanayotolewa na serekali kwa kanisa.
      Kila kukicha omba Mungu akujalie uwasomeshe wanao, haya ya Mashekh ni elimu ya darasa la saba hivyo hata ufiliri hawana kabisa.

    8. Miaka 50

    9. #46
      Mngendalyasota's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd January 2011
      Posts : 138
      Rep Power : 449
      Likes Received
      40
      Likes Given
      0

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By wajinawangu
      ngoja tuone cdm watajibu nini!
      Hebu tuone serikali itajibu nini mihadhara ya dini kuhubiri siasa!

    10. #47
      Godlisten Masawe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2011
      Location : Hapa Hapa
      Posts : 607
      Rep Power : 518
      Likes Received
      220
      Likes Given
      2877

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By Tuko
      Kiongozi dhaifu hutumia mbinu dhaifu kuwahadaa watu dhaifu kwa kutetea udhaifu kwa hoja dhaifu...
      hii nimeipenda kamanda Tuko
      [[MUFC]]

    11. #48
      broken ages's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd March 2012
      Posts : 95
      Rep Power : 380
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Tukitaka tuendelee kuishi na amani tuliyo nayo na bila kujiingiza katika vita vya kidini tunapaswa kuheshimiana na kuondokana na namna yeyote ikiwa ni pamoja na kupiga marukufu kwa wafuasi wa dini moja kukashifu dini ya upande mwingine lakini pia hawa wasimamizi wa vyombo vyetu vya dola wanashindwa kuufahamu wjibu wao wa kazi wanaacha hadi mambo yawe mabaya ndipo waanze kupambana na waharibifu ama wavunjaji wa sheria, nasema hivyo kwa sababu kama ni swala la ibada kuwepo na sehemu maalum za kufanyia ibada kama nyumba ambazo zimejengwa kwa ajili ya kuendeshea ibada ikiwa hivyo itatuondolea balaa la kujengeana na chuki naa mwishowe migongano isiyokuwa na maana kwa sababu ukiendesha ibada yako msikitini atakusikiliza mwisilamu pekee ambaye atakuwa ameingia msikitini na vivyo hivyo kwa mkiristo pia.vinginevyo wafanye ku control kama wanavyofanya ktk mikutano ama mikusanyiko ya kisiasa kwa vibali maalumu

    12. #49
      Nzenzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th August 2011
      Posts : 826
      Rep Power : 559
      Likes Received
      155
      Likes Given
      38

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Ndio zao. NYINYIEM washawafanya mabwege hao Mashekhe!

    13. #50
      mfumo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 129
      Rep Power : 404
      Likes Received
      23
      Likes Given
      159

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By Manyanza
      kama yanayo fanyika ni kweli hao Waislamu ni watu wa kuzimu, huwezi ukawa unaichukia imani ya mwenzako bila sababu tena kwa chuki na jaziba, hao ni watu wa kuzimu, mbona leo hii duniani kuna Magaidi,Machangudoa,Majambazi na watu wenye kila aina ya uovu wanaishi na wanapumua kama hao Masheikh njaa? Hapa hua inatufundisha ya kwamba Mungu wetu ni mstahimilivu,mpore na hana ubaguzi. Sasa hao chuki na ukiristo halafu baadae wanaenda swala tano si upuuzi huo?
      mpore! ha ha ...

    14. #51
      Mawaiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th December 2011
      Posts : 328
      Rep Power : 441
      Likes Received
      136
      Likes Given
      25

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Hakuna haja ya kupanik kuhusu kinachoendelea hapa Mtwara. Muda mfupi tu uliopita nilikuwa nimekaa karibu na msikiti mmoja uliopo eneo la Kiyangu, ni takriban mita 300 toka baa ya Villa Park iliyopo hapa Mtwara. Nilichosikia kikiongelewa katika mawaidha ya swala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo hakitofautiani na hiki kilicho ongelewa na mtoa mada hii. Lakini kitu kikubwa nilichojifunza hapa ni kwamba CDM ilishavunja nguvu ya CUF wakati wa kampeni yake ya M4C iliyofanyika mikoa ya kusini. Kinachofanyika sasa hivi ni mchakato wa CUF kurejesha nguvu kwa kupitia mihadhara ya kiislamu na misikiti. Comment yangu kubwa katika hili ni kwamba tutulie wana CDM, tathmini niliyoifanya so far ni kwamba hapa Mtwara mjini jimbo ni letu. Tuongeze nguvu katika kutumia vyuo vilivyopo huku kusini ili kuhakikisha tunapata wapiga kura wa kutosha. Wafuasi wa CUF wengi wao ni waislamu ambao majority of them hana elimu ya kuweza kuchambua points za msingi zilizotolewa na makamanda, hivyo the best and altenative way ni ku-deal na watu waliokwenda shule, ambao kwa sasa idadi yao inaongezeka kwa kasi kubwa mkoani hapa.

    15. #52
      yaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th June 2011
      Posts : 676
      Rep Power : 535
      Likes Received
      210
      Likes Given
      67

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By nipo hapa
      chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. WAHOJI MATUMIZI YA MOU yanayotolewa na serekali kwa kanisa.
      Mkuu, yaonekana unaijua vizuri sana hiyo MoU.
      Hebu tafadhali tujuze tusioielewa, nini maana yake?
      Inafanyaje kazi?
      Inamfaidisha nani hasa?
      Ina athari gani kwa uislam na kwa waamini wengine wasiokuwa waislam?
      Kwa nini waislam wamezuiwa kuwa na hiyo MoU na serikali?

    16. #53
      mshikachuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2010
      Posts : 2,346
      Rep Power : 898
      Likes Received
      429
      Likes Given
      2283

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By MgungaMiba
      Unapoulaani Uislam kwa sababu kuna kikundi cha waislam wanapinga CDM, inaonesha una mapungufu katika uwezo wako wa kufikiri, au umetumwa na Magamba ili uthibitishe kuwa CDM Ina chuki na Waislam. CDM inahitaji support ya dini zote kuu mbili hapa nchini ili kushika dola, kwa taarifa yako CDM ina Makamanda wengi Waislam walioko mstari wa mbele wanaipigania CDM iungwe mkono na Waislam wenzao wote, Wakati kuna Wakristo wa CCM wanashiriki kupanga mipango ya kuiangamiza CDM usiku na mchana, hata kule Arumeru kuna Maaskofu walitumia nguvu zao zote kuhakikisha CDM inashindwa, Je, kwa standard yako ya kufikiri una maana Ukristo au Wakristo wote Walaaniwe kwenda kuzimu kwa sababu wameipinga CDM? Nijuavyo, na ndivyo ilivyo, CDM ni chama cha Watanzania wote, bila kujali Rangi, Kabila wala dini ya mtu, watu kama nyie wenye kudhsrau dini za wenzenu, ni bora msiwe kwenye chama chochote cha kisiasa, mbakie makanisani na misikini, mnaharibu ulingo wa Siasa!
      Duuh! wewe ni bonge la great thinker! salute mkuu!....yaani you made my day.

    17. #54
      SHEMGUNGA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th January 2012
      Posts : 332
      Rep Power : 437
      Likes Received
      21
      Likes Given
      0

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      siasa ni mchezo mtamu sana yaan ni kama gemu ukifulia huku unatafuta njia mbadala!

    18. #55
      Join Date : 2nd December 2010
      Posts : 2,346
      Rep Power : 898
      Likes Received
      429
      Likes Given
      2283

      Default Re: Udini watumika kuizamisha chadema mikoa ya kusini

      Quote By Mawaiba
      Hakuna haja ya kupanik kuhusu kinachoendelea hapa Mtwara. Muda mfupi tu uliopita nilikuwa nimekaa karibu na msikiti mmoja uliopo eneo la Kiyangu, ni takriban mita 300 toka baa ya Villa Park iliyopo hapa Mtwara. Nilichosikia kikiongelewa katika mawaidha ya swala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo hakitofautiani na hiki kilicho ongelewa na mtoa mada hii. Lakini kitu kikubwa nilichojifunza hapa ni kwamba CDM ilishavunja nguvu ya CUF wakati wa kampeni yake ya M4C iliyofanyika mikoa ya kusini. Kinachofanyika sasa hivi ni mchakato wa CUF kurejesha nguvu kwa kupitia mihadhara ya kiislamu na misikiti. Comment yangu kubwa katika hili ni kwamba tutulie wana CDM, tathmini niliyoifanya so far ni kwamba hapa Mtwara mjini jimbo ni letu. Tuongeze nguvu katika kutumia vyuo vilivyopo huku kusini ili kuhakikisha tunapata wapiga kura wa kutosha. Wafuasi wa CUF wengi wao ni waislamu ambao majority of them hana elimu ya kuweza kuchambua points za msingi zilizotolewa na makamanda, hivyo the best and altenative way ni ku-deal na watu waliokwenda shule, ambao kwa sasa idadi yao inaongezeka kwa kasi kubwa mkoani hapa.
      Mkuu, nakubaliana na hoja yako kwani kipindikile CDM wanaendesha M4C huko Mtwara na Lindi ulituletea habari bila chenga na ninaamini wewe kweli ni mkazi wa Mtwara. So hata wewe jitahidi kuwahamsha watu kuhusiana na propaganda
      hizi za kidini....waambie CDM inahitaji watu wa dini zote kwa mustakabali wa nchi yetu!

    19. #56
      Join Date : 13th December 2008
      Location : Arusha at my farm.
      Posts : 133
      Rep Power : 6081
      Likes Received
      202
      Likes Given
      104

      Default Re: Udini watumika kuizamisha CHADEMA mikoa ya kusini

      Quote By Mzito K
      Nipo Mkoani Mtwara kikazi kwa wiki karibu mbili sasa.
      Njia ya kuelekea Masasi mbele kidogo na ile round about yanapopaki magari ya zimamoto mbele kidogo ya njia panda ya airport kuna mhadhara unafanyika wiki ya pili sasa.

      Mashekhe hao ambao wamepita katika kila eneo ambalo chadema wamepita na kufanya mihadhara wanapita na wao kueneza chuki na ghiliba za kidini kuwa asili ya chadema ni ukristo na malengo yake ni kustawisha ukristo

      Wanakwenda mbali zaidi kwa kusema Adui wa muislam ni mkristo hivyo hakuna haja ya kukishabikia chadema.
      Ingawa hawasemi chama gani kiko neutral wala hawasemi wafuasi wao wanatakiwa wafuate chama gani lakini wanawahamasisha wahakikishe kuwa kuna haki na usawa

      Kampeni hii ambayo inafanyika katika mwavuli wa mikutano ya dini ambapo huanza kwanza kwa kuikosoa biblia kwa kutumia quran mwishowe humalizikia kwa kuiponda chadema kidini.

      Nimefanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja na nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, kwa kweli wanafanikiwa kupata wafuasi na waamini wengi. Akili za vijana wengi ambao hapo awali tulidhani zimekombolewa kwa ujio wa cdm zimerud kule kule kwenye enzi za ujima na udini
      MUNGU INUSURU TANZANIA NA DHORUBA INAYOWEZA KUTOKEA ANY TIME
      CHADEMA wawapeleke Makamu Mwenyeti Taifa, Mhe. Said Arfi, Mbunge wa Mpanda Kati, Naibu Katibu Mkuu, Mhe. Zitto Zubeir Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini,labda pamoja na Mhe. Mhonga Saidi Mbunge wa Viti Maalum wakathibitishe uzushi wa hawa watu.

    20. #57
      Bornvilla's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th February 2011
      Posts : 634
      Rep Power : 0
      Likes Received
      141
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Edwin Mtei
      CHADEMA wawapeleke Makamu Mwenyeti Taifa, Mhe. Said Arfi, Mbunge wa Mpanda Kati, Naibu Katibu Mkuu, Mhe. Zitto Zubeir Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini,labda pamoja na Mhe. Mhonga Saidi Mbunge wa Viti Maalum wakathibitishe uzushi wa hawa watu.
      Mzee Mtei! Nakuheshimu sana! Lakini hebu naomba unijibu hili.Asilimia ya waislam ni ngapi katika uongozi wa CHADEMA, Kwanini Zitto Kabwe alizuiwa kugombea uenyekiti,nikwanini Zitto aliposema atagombea urais mlimnanga ikiwa ni pamoja nawewe mwenyewe?

      Ni kwanini katika uchaguzi mkuu mlimweka mgombea mwenza mwislam darasa la saba,ni kwanini tume ya katiba walipoteuliwa wewe kama mwasisi wa CHADEMA ulisema tume hiyo imejaa waislam?

      Je,ni kwanini Waislam wasiamini CHADEMA ni chama cha kanisa? Ni kwanini CHADEMA kinashirikiana bega kwa bega na chama cha Kikristo cha Christian Democratic Uniun? Je, wewe kama mwasisi unahoja gani ya kutushawishi Waislam kuwa CHADEMA sio Christian Democratic Movement?

    21. #58
      maingu z's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 136
      Rep Power : 387
      Likes Received
      20
      Likes Given
      101

      Default Re: Udini watumika kuizamisha CHADEMA mikoa ya kusini

      hawa watu walishazoea makundi tangu kinara wao alipoanza mchakato wa kuingia ikulu alitumia makundi na hayo makundi ndo yanayomtesa sasa anataka kutugawa watanzania wanachi Msikubali, Huyu ndo zake nawaonya hao wanaotumiwa huyu jamaa nai hatari sana kama kweli ni waislamu wangejiuliza huyo kinara wao alivyo mfanya Salim Ahmed Salimu mpaka leo hana hamu sasa itakuwa ni vichekesho kukubali kutumika ama kweli njaa mbaya. lakini ndo mbinu wanayotumia pamoja na ujinga au kukosa elimu.

    22. #59
      Kilasara's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 21st December 2008
      Posts : 538
      Rep Power : 638
      Likes Received
      89
      Likes Given
      137

      Default Re: Udini watumika kuizamisha CHADEMA mikoa ya kusini

      Quote By Bornvilla
      Mzee Mtei! Nakuheshimu sana! Lakini hebu naomba unijibu hili.Asilimia ya waislam ni ngapi katika uongozi wa CHADEMA, Kwanini Zitto Kabwe alizuiwa kugombea uenyekiti,nikwanini Zitto aliposema atagombea urais mlimnanga ikiwa ni pamoja nawewe mwenyewe?

      Ni kwanini katika uchaguzi mkuu mlimweka mgombea mwenza mwislam darasa la saba,ni kwanini tume ya katiba walipoteuliwa wewe kama mwasisi wa CHADEMA ulisema tume hiyo imejaa waislam?

      Je,ni kwanini Waislam wasiamini CHADEMA ni chama cha kanisa? Ni kwanini CHADEMA kinashirikiana bega kwa bega na chama cha Kikristo cha Christian Democratic Uniun? Je, wewe kama mwasisi unahoja gani ya kutushawishi Waislam kuwa CHADEMA sio Christian Democratic Movement?
      Mzee Mtei don't bother to answer this baseless diatribe. Only ensure the party you participated in founding continues with its HOLY mission of mobilizing and educating Wananchi to know their rights so that come October 2015, the mafisadi will get out. VUA GAMBA, VAA GWANDA!!!!!!!!!!!!!!!

      Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke.
      Last edited by Kilasara; 22nd June 2012 at 21:57.

    23. #60
      punainen-red's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Posts : 1,737
      Rep Power : 853
      Likes Received
      390
      Likes Given
      19

      Default

      Quote By MgungaMiba
      Unapoulaani Uislam kwa sababu kuna kikundi cha waislam wanapinga CDM, inaonesha una mapungufu katika uwezo wako wa kufikiri, au umetumwa na Magamba ili uthibitishe kuwa CDM Ina chuki na Waislam. CDM inahitaji support ya dini zote kuu mbili hapa nchini ili kushika dola, kwa taarifa yako CDM ina Makamanda wengi Waislam walioko mstari wa mbele wanaipigania CDM iungwe mkono na Waislam wenzao wote, Wakati kuna Wakristo wa CCM wanashiriki kupanga mipango ya kuiangamiza CDM usiku na mchana, hata kule Arumeru kuna Maaskofu walitumia nguvu zao zote kuhakikisha CDM inashindwa, Je, kwa standard yako ya kufikiri una maana Ukristo au Wakristo wote Walaaniwe kwenda kuzimu kwa sababu wameipinga CDM? Nijuavyo, na ndivyo ilivyo, CDM ni chama cha Watanzania wote, bila kujali Rangi, Kabila wala dini ya mtu, watu kama nyie wenye kudhsrau dini za wenzenu, ni bora msiwe kwenye chama chochote cha kisiasa, mbakie makanisani na misikini, mnaharibu ulingo wa Siasa!
      Mheshimiwa, umemsoma vizuri uliyemjibu hapo? Mbona ameanza kwa kuandika 'kama.... ni kweli.... hao Waislamu.....' Hapo ameulaani uislamu au 'hao waislamu' wanaofanya hivyo tena akianza kwa tahadhari kuwa 'kama ni kweli?!' Kuna mahali hapo unahoji kuwa '...kwa standard yako ya kufikiri una maana Ukristo au wakristo WOTE walaaniwe kwenda kuzimu...!' Sasa ndugu ni wapi huyo uliyemjibu alipoandika kuwa Uislamu au waislamu WOTE walaaniwe kwenda kuzimu??? Kwa nini ni rahisi hivyo kugeuza maneno hiyo inatokana na nini??? Hivi huoni ajabu kuwa pamoja na mifano ya Maaskofu uliowataja wa Arumeru kuipinga cdm bado hata watu ktk jukwaa hili ambao wangetegemewa wawe na uelewa mkubwa lkn bado manaendeleza huo uongo sawa na unaoenezwa huko kusini?!

    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...