Habari zenu wanajf
safari za kila mara za rais kikwete zimekuwa ndo chanzo kikubwa cha deni letu la taifa kwani kila akienda nje anakuwa beneti na bakuli la kuombea misaada na akifika kule anaanza kuelezea tanzania kama vile nchi isiyokuwa na chochote wakati anaowaelezea utajiri wao wameupata huku kwenye nchi zetu za kiafrica. cha ajabu mtu anayeenda kuomba msaada amekaa 'bussines class' kwenye ndege wakati balozi anayetumwa kuleta huo msaada 'anakaa economy class'

Reply With Quote

Follow Us Here