Attachment 56990
Attachment 56991
Attachment 56992
Jioni ya leo
Picha zaidi www.mjengwablog.com
Attachment 56990
Attachment 56991
Attachment 56992
Jioni ya leo
Picha zaidi www.mjengwablog.com
[QUOTE=Mr emmy;4090175]mwongo na tapeli tu huyo mkusanya sadaka isiyokuwa na hesabu ya matumizi[/kakusanye na wewe kama utapata unafikiri watu wanatoa tu kwa sababu wanayo ela? Wanatoa kwa sababu tumaini lao pekee ni chadema!
Jembe hilo viva Lema.Baada ya muda wataona madara ya huyu jamaa kutokuwa bungeni na sasa wamesha anza kuyaona
embu mtupatie ratiba ya huyu kamanda kwa hapa jijini wakuu, manake wengine tutapishana nae sasa
Absolutely, if s'one dare puts his hand on you --- KABURINI TUU. MWANAKWETU NDIO KAZI ---- NAKOONA KWENYE DHARUBINI YANGU KWA MBALI ---- PASUA TUKO NYUMA YAKO. LAZIMA WATANZANIA WAFUNGUKE ---- MAFISADI WANATUMALIZA NCHI YETU WAJUIE NA WASIOGOPE
PEOPLES POWER NDIO MWENDO YETU
Lemani asset ya chadema na taifa
Kumbe nyie magamba huwa mnafanya siasa kwasababu ya njaa zenu. Afadhali umeropoka maana umetusaidia kujua nia ya Chama Cha Magamba katika kufanya siasa. Tatizo ni kwamba mnafikiri kila anayefanya siasa basi ni kwasababu ya njaa. Hii inaonyesha fikra zenu zote ni juu ya tumbo na wala si uzalendo.
Follow Us Here