Leo tarehe 20 rais ametia timu Dodoma na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali waandamizi akiwemo waziri mkuu japo mpaka sasa ajenda haijajulikana lakini hii ni shku moja baada ya kuitwa dhaifu na Mbunge wa Ubungo J .J Mnyika
Leo tarehe 20 rais ametia timu Dodoma na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali waandamizi akiwemo waziri mkuu japo mpaka sasa ajenda haijajulikana lakini hii ni shku moja baada ya kuitwa dhaifu na Mbunge wa Ubungo J .J Mnyika
hajaenda Marekani kuomba mipira ya Basketball
Angekuwa anaijua Technology ya Teleconference wala asingepoteza fedha zetu kwenda Dodoma. Tatizo lake anaenda kula bata tu na udhaifu wake.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Dhaifu anataka nini Dodoma, wadau tupeni mataarifa.
Tupo hapa tulipo kwa sababu ya UDHAIFU wa Rais Kikwete, Bunge legelege na upuuzi wa CCM- J J Mnyika - Mbunge - Ubungo
ana siku 4 jk ni mgonjwa!!
I'm Naturaly Evasive..
dhaifu kwani kidogo????????
ungemuua?? hata ukimuua bado linapikuja wimbi la mabadiliko hakuna wa kuweza kuzuia! wakati wa ukoloni viongozi wa ukombozi wengi waliuawa lakini mapambano yaliendelea uhuru ukapatikana, hapo south unajua mtu anaitwa Solomon Mahlangu?? fuatilia historia yake? Gadaffi aliua wangapi yuko wapi leo? ukimtia mnyika adabu huwezi pia kuzitia fikra na maono yake adabu hayo yataishi milele hata kama yeye hayupo!JK ndiye wa kufundishwa adabu kwa kuachia taifa linaendeshwa kiholela kama mbuzi wasio na mchungaji!!
Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!
Aise hawezi kuacha ambulance make ni Dhaifu Mwili na Akili pia!!Umenikumbusha hii JK aanguka,J.kikwete fall down while giving a speech - YouTube
Ikulu ni mahari patakatifu;
Ikulu si mahari pa kukimbilia
Ikulu ni mzigo - by J.K nyerere. RIP.
Kuwaongoza watu zaidi ya 50m, tena maskini, wengi wao kipato chao chini ya sh 1000 kwa siku, mlo mmoja kwa masaa 24, matibabu ni matatizo, elimu ni ndoto. sasa usipokuwa na mikakati ya dhati kama rais wa nchi ya kusaidia kundi hili (ki uongozi) basi usistaajabu wewe ukaitwa kiongozi dhaifu.
Kuondolewa kwa muda kwa John Mnyika toka Bungeni kunaonyesha udhaifu kuanzia huyo Deputy Speaker, Wabunge wa CCM na Serikali yao ikiongozwa na J.K.
Kama huyo Deputy Speaker hajasoma magazeti na maandishi ya wananchi wakilaumu Serikali kwa udhaifu kila uchao, basi yeye ni dhaifu sana.
Kuna udhaifu mkubwa kuliko ule ulioonyeshwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali, ambapo mabilioni ya fedha za umma ziliswagwa na kuliwa na maafisa wa Serikali? Kama isingekuwa ni Zitto Kabwe kutaka hoia ya Kumfukuza Waziri Mkuu, ni lini huu ulaji ungedhibitiwa?
CHADEMA na wabunge wake wanaleta changamoto ambazo zinazolipua uozo ulio Serikalini, na hali hii kwa jumla inadhihirisha udhaifu wa Kiongozi Mkuu,yaani Rais.
yule bwana ni Dhaifu sana hana jipya.
Asante mkuu saragossa, kwa maneno mazuri maana ndio chama chenu kinavyowafundisha mjione mna haki ya kuropoka, ila nakuhakikishia "Mlevi" wa sifa atajutia kauli yake ya kumdhalilisha Rais wetu.
Follow Us Here