Leo tarehe 20 rais ametia timu Dodoma na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali waandamizi akiwemo waziri mkuu japo mpaka sasa ajenda haijajulikana lakini hii ni shku moja baada ya kuitwa dhaifu na Mbunge wa Ubungo J .J Mnyika
Leo tarehe 20 rais ametia timu Dodoma na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali waandamizi akiwemo waziri mkuu japo mpaka sasa ajenda haijajulikana lakini hii ni shku moja baada ya kuitwa dhaifu na Mbunge wa Ubungo J .J Mnyika
Raisi wa tanzania ni dhaifu na chama cha mapinduzi ni wapuuzi pamoja na wabunge pia mawaziri wote. ndo maana walimkalisha chini kumzuia kusoma report yake ktk mkutano wa nchi za ..............., alichofuata dodoma ni ku prove udhaifu wake, aibu kwa taifa na taasisi ya urais!
mkuu wa usalama wa ccm ameambatana naye?kama ndio mnyika ondoka dodoma kimyakimya kwa usalama wako
Nai nai kila siku wajua nakuziimia!
Hana jipya huyo JK a.k.a Mdhaifu
Hahahaaa!! Kiongozi legelege, mdhaifu na mwenyekiti ya chama cha kipuuzi ametia timu dodoma! Kweli chadema kiboko!
Kweli anazidi kudhihirisha yeye ni dhaifu. Yan anatia aibu.
sio mchangiaji ktk jukwaa hili, bt kwa dharau ndogo ndogo ambazo serikali inaonyesha hasa dhidi ya madaktar na walimu....mh i xpect to see nchi ya aina ake soon....let us wait.
JK kukutana na Mbowe Mnafiki leo jioni ikulu ndogo Dodoma
Uhuru wa kweli wa Taifa utaletwa na Mapinduzi ya kweli ya Fikra ndani ya Wanachama na wapenzi wa CCM!@
Namkumbuka Nyerere aliposema....ikulu sio mahala pa kukimbilia.... Maskini JK kazi anayo!!!
kama kweli JK SIYO DHAIFU...Jenga hoja kuhusu mafanikio juu ya sekta hizi 2 tu tangu aingie madarakani.
AFYA
MIUNDOMBINU-RELI
dhaifu tu si kidogo kaenda kuwaomba wadhaifu wenzake wafunike mwanaharamu apite.aibu tupu.
Hata hilo neno mdhaifu halimtoshi kwa sababu yeye ni zaidi ya mdhaifu.
Sizani kama ana jipya lililompeleka Dodoma
" You're still my enemy tonight. But even enemies can show respect. " -Priam
Follow Us Here