Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar

    Report Post
    Results 1 to 6 of 6
    1. #1
      abdulahsaf's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st August 2010
      Posts : 860
      Rep Power : 723
      Likes Received
      123
      Likes Given
      1

      Default Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar

      Waziri wa katiba na sheria Zanzibar Abubakar Khamis Bakar amesema jukumu la kuliondoa jina la serikali ya Mapinduzi na kuliweka Jamhuri ya watu waZanzibarlinaweza kufanyika kupitia kwa wananchi.
      Waziri Bakar ametoa ufafunzi huo katika baraza la wawakilishi wakati akijibu suala la mwakilishi wa mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu alietaka kujua chombo kilichofuta jina la Jamhuri ya watu waZanzibarna kuliweka jina la serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
      Waziri huyo amesema jina la Jamhuri lilikuwa likitumika katika sheria ya katiba yaZanzibarnamba 5, ya mwaka 1964, lakini baada ya kufanyika muungano waTanganyikanaZanzibarApril 26 1964 na kundwa Jamhuri ya MuunganoTanzaniajinahilolilifu tika kutokana na sheria za katiba zilizotumika.
      Hata hivyo amesema kwa vile jina la Jamhuri ya watu wa Zanzibar halikufutwa kisheria ni rahisi kulirejesha tena pale endapo wazanzibari watataka kulirejesha


    2. #2
      wagaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 600
      Rep Power : 484
      Likes Received
      123
      Likes Given
      92

      Default Re: Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar

      Wanahisi Watanganyika mnawakoloni Wazanzibar. Wapeni uhuru wao wafanye watavyo.
      Huyo Jussa ana hamu kweli waarabu ndugu zake warudi hapo tena.
      "Tanzania ni ya watanzania, na watanzania wenyewe ndo sisi"

    3. #3
      mzaire's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th April 2012
      Posts : 200
      Rep Power : 403
      Likes Received
      40
      Likes Given
      4

      Default Re: Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar

      Quote By wagaba View Post
      Wanahisi Watanganyika mnawakoloni Wazanzibar. Wapeni uhuru wao wafanye watavyo.
      Huyo Jussa ana hamu kweli waarabu ndugu zake warudi hapo tena.


      Toa hoja madhubuti uctuwekeee uharo wa bata hapa, alah!!!!!! Weee kilaza sana.

      Wazanzibari waislam wacha wawapende waarab kwani Mtume wetu Muhammad (swalla-llahu-alayhi-wasallam) alikuwa Muarabu, wacha ujinga wako mpumbavu wee!!

      Zanzibari Kwanza muungano baadae.

    4. #4
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,614
      Rep Power : 46736
      Likes Received
      16712
      Likes Given
      8547

      Default Re: Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar

      counter-revolution!!!
      [email protected]
      The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

    5. FJM is offline
      FJM
      #5
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,213
      Rep Power : 2580
      Likes Received
      5344
      Likes Given
      4607

      Default Re: Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar

      Let Zanzibar go.
      takashi likes this.


    6. #6
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,699
      Rep Power : 2911
      Likes Received
      3891
      Likes Given
      12466

      Default Re: Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar

      Quote By mzaire View Post
      Toa hoja madhubuti uctuwekeee uharo wa bata hapa, alah!!!!!! Weee kilaza sana.

      Wazanzibari waislam wacha wawapende waarab kwani Mtume wetu Muhammad (swalla-llahu-alayhi-wasallam) alikuwa Muarabu, wacha ujinga wako mpumbavu wee!!

      Zanzibari Kwanza muungano baadae.
      Mimi nilidhani Muhammad alikuwa Myahudi, no?

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...