Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".
Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.
Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".
Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?
Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.
By Mkandara
Zomba Zomba mkuu wangu nini hamaki kama vile sii wa Mujini babu?.. Lini neno Dhaifu likawa tusi kama sii Utindiga?. hata weye basi..JK amekuwa mtume mara!...Nina hakika yeye mwenyewe hapo alipo anawashangaa maanake hili neno la kawaida kabisa. Mangapi mmemtukana Dr.Slaa, mzee Mtei na hata Mbowe tena tunzi za uongo juu ya viongozi wa Upinzani ili kuwachochea wao watafute jinsi ya kujitetea?. Hii ndio siasa mkubwa! Huu ulikuwa mtihani kwenu kaa mnaona JK sii dhaifu mngesema haya yote kuonyesha ungangari wake badala ya kumfukuza Mnyika bungeni.
Kama siasa hamuziwezi kaeni pembeni, Na nitarudia kusema hivi leo hii mimi najiona Dhaifu sana sikwenda hata kazini (I am weak) Je nimejitukana?.. Kinachokatazwa ni kusema UONGO kusingizia udhaifu pale ambapo hakuna lakini Mnyika kaonyesha udhaifu wa JK ambaye alitakiwa kuhakikisha Bajeti yetu inakidhi shughuli za maendeleo zaidi ya matumizi ya ndani. Udhaifu huu JK anao maanake hata EL alimsemea mbovu mbele ya CC ya chama JK akabakia kuitikia kwa kichwa tu..Mbona hamkumtoa EL nje ya kikao badala yake mkamjengea sifa za kwamba Richmond sii yake bali ya JK..
Fedha zinaliwa hovyo vipaumbele havimsaidii mwananchi iwe wewe mwana CCM au mimi hapa. Sasa iweje Mnyika anayetetea maslahi yako ndiye awe mkosa?.. Acheni nidhamu ya woga, hii vita ya vyama iwe Chadema au CCM isituingie vichwani tukakosa hata kufikiri kwamba Bungeni sisi wote tutazame maslahi yetu na sii ya chama wala Rais. Unasema rais gani kafanya mengi kuliko JK wakati unashindwa kuelewa hawa wote ni viongozi wa CCM yaani hata chama chako mwenyewe unaona nafuu ya JK kuliko waliotangulia wakati nchi yako ipo ktk kiza, hakuna maji safi, madini yanachukuliwa ovyo, mikataba feki, walioiba EPA wamerudishwa bungeni kina Meghji na kadhalika haya maswala humuhitaji Mnyika kuyaona na kuyakemea hivyo yeyote atakaye simama kwa ajili yako wewe ndiye mwokozi wako.
Jambo moja muhimu sana ulifahamu, Bajeti hii ikipita kwa sababu ya hasira zenu juu ya Mnyika ndio mjue tumeliwa!.. Tazameni malalamishi ya Mnyika na kuyaunga mkono au kuyapinga lakini sio neno DHAIFU likupumbazeni...Hii inaonyesha nidhamu ya woga mlojengwa na Nyerere yule yule mnayemtukana kila siku hapa kijiweni.
By Mkandara
Haya nambie ni muktadha gani mtu akiwa dhaifu utamwambia dhaifu?.. maana matumizi ya neno anapoitwa jembe ni jembe (call spare a spade) ukiwa na maana ya jembe haiwezi kulima?..Mathlan JK kazembea kikazi yaani kafanya kitu sii kwa maslahi ya wananchi wake, utamwambia vipi ktk uzembe huo ili yeye apate kujua kwamba uzembe kweli kazembea.
Mnaloshindwa kufahamu ni kwamba Mawaziri wote nchini wanajua Udhaifu wa JK ambao mnakataa kuukubali kwa sababu ya pamenzi yenu kwake. Na ndio maana wanaandika bajeti ya kihuni huni wakijua hawezi kuwakemea pengine hata kuipitia na kuwakanya. JK ni rais wa matokeo, yaani ana react baada ya jambo kutokea. Bajeti hii imetungwa wakijua JK hawezi kuona ubovu wake na mchezo huu umefanyika mara nyingi sana, tunakuja shtuka tayari tumesha liwa na hata baada ya hapo bado JK anasita kuchukua maamuzi magumu kuwawajibisha hadi wananchi au upinzani wapige makelele weee.
Kifupi JK ni beki ambaye mashambulizi yote (ya Mafisadi) yanapitia upande wake kwa sababu imeshagunduliwa udhaifu wake na Mnyika kasema ukweli ambao kwa mapenzi yenu hamtaki kuutazama ilihali tunapigwa magoli kila mpira ukipitia kwake.. Fungueni macho mkuu wangu hakuna tusi kuitwa DHAIFU hata mimi dhaifu sana tena najua siiwezi kazi anayoifanya JK.. mbali na udhaifu ktk maswala ya kiimani, kimaisha na kadhalika - Sijakamilika.
Mkuu Mkandara, you have said it all.
Hakuna la kuongeza hapo.
Bila shaka Zomba ataona point, lakini hataki kukubali UKWELI.
Last edited by Mwanaukweli; 20th June 2012 at 20:39.
Haya nambie ni muktadha gani mtu akiwa dhaifu utamwambia dhaifu?.. maana matumizi ya neno anapoitwa jembe ni jembe (call spare a spade) ukiwa na maana ya jembe haiwezi kulima?..Mathlan JK kazembea kikazi yaani kafanya kitu sii kwa maslahi ya wananchi wake, utamwambia vipi ktk uzembe huo ili yeye apate kujua kwamba uzembe kweli kazembea.
Mnaloshindwa kufahamu ni kwamba Mawaziri wote nchini wanajua Udhaifu wa JK ambao mnakataa kuukubali kwa sababu ya pamenzi yenu kwake. Na ndio maana wanaandika bajeti ya kihuni huni wakijua hawezi kuwakemea pengine hata kuipitia na kuwakanya. JK ni rais wa matokeo, yaani ana react baada ya jambo kutokea. Bajeti hii imetungwa wakijua JK hawezi kuona ubovu wake na mchezo huu umefanyika mara nyingi sana, tunakuja shtuka tayari tumesha liwa na hata baada ya hapo bado JK anasita kuchukua maamuzi magumu kuwawajibisha hadi wananchi au upinzani wapige makelele weee.
Kifupi JK ni beki ambaye mashambulizi yote (ya Mafisadi) yanapitia upande wake kwa sababu imeshagunduliwa udhaifu wake na Mnyika kasema ukweli ambao kwa mapenzi yenu hamtaki kuutazama ilihali tunapigwa magoli kila mpira ukipitia kwake.. Fungueni macho mkuu wangu hakuna tusi kuitwa DHAIFU hata mimi dhaifu sana tena najua siiwezi kazi anayoifanya JK.. mbali na udhaifu ktk maswala ya kiimani, kimaisha na kadhalika - Sijakamilika.
Tatizo kubwa lililopo ni pale ambapo mapenzi yanapotulevya hata mtoto akikosea basi hafai kukanywa na mwingine yeyote.
Nasema hivi. Mnyika anamuda mfupi sana pale bungeni na asilewe na huo ubunge na hapo alipopachezea hapachezewi hata kidogo. Kavuka mpaka wa maadili, wa heshima, wa utu, wa ubunge na hata wa uungwana tu.
Hoja iliyopo kwenye mjadala ni bajeti ya taifa, ashindwe kujadii hata hoja moja, na akurupuke na kutukana Rais, kutukana Wabunge na kutukana wana CCM wote na nyie muone kuwa ni sawa tu. Hivi hapo ni nani dhaifu?
Hivi nyinyi ndio mnawatuma wabunge wenu waende pale wakatukane badala ya kuweka hooja za kutetea maslahi yenu? Au hayo ndio maslahi yenu?
Re: Akishindwa kumtia adabu Mnyika, JK atakuwa dhaifu sana????
By Blessing
Who is JK afterall, he is a failure ajaribu kumdibu Mnyika ataona cha moto kwa sababu Mnyika amesema ukweli and Dunia zote imeona kwa Mnyika amesema ukweli na sio makosa
JK udhaifu wake mkubwa ni kutojitambua na KUJIPENDEKEZA KWA WAGALATIA period..
Mtoa hoja mimi sioni kwanini umefura kwa hasira, mimi sidhani kama kuna vita yoyote itakayo ibuka baina yao, inaonekana wewe ni mgeni kwenye pilitics, politics is a dirty game.Kesho utawaona wenyewe wanapiga stori na kubadilishana mawazo wakati wewe unajitia nyongo kwa hasira ambazo hazitakusaidia.
...............Walau angesema kuwa kikwete is weak wabunge wa ccm wasngelalamika ila kwasababu amesema kwa kiswahili ndipo shida lipoanzia. Wabunge wengi wa ccm hata kama utawatukana kwa lugha nyingine wao huona sio tusi ila kwa kiswahili watakuja juu maana uswahili ndo umewajaa kama alivyosema Mch. Msigwa kuwa maneno ya kwenye kahanga lakini bado naona hata kama hawakumwelewa alimaanisha nini.
Ukweli ni kuwa tuna wabunge ambao wa CCM ambao wana kiwango cha kuwa madiwani...................... .............Ehe Mungu tusaidie na hili janga!
Tatizo kubwa lililopo ni pale ambapo mapenzi yanapotulevya hata mtoto akikosea basi hafai kukanywa na mwingine yeyote.
Nasema hivi. Mnyika anamuda mfupi sana pale bungeni na asilewe na huo ubunge na hapo alipopachezea hapachezewi hata kidogo. Kavuka mpaka wa maadili, wa heshima, wa utu, wa ubunge na hata wa uungwana tu.
Hoja iliyopo kwenye mjadala ni bajeti ya taifa, ashindwe kujadii hata hoja moja, na akurupuke na kutukana Rais, kutukana Wabunge na kutukana wana CCM wote na nyie muone kuwa ni sawa tu. Hivi hapo ni nani dhaifu?
Hivi nyinyi ndio mnawatuma wabunge wenu waende pale wakatukane badala ya kuweka hooja za kutetea maslahi yenu? Au hayo ndio maslahi yenu?
Siku zote binaadamu husemwa kulingana na matendo yake,ikiwa ni mazuri basi atasemwa kwa mazuri yake vivyo hivyo ikiwa ni mabaya husemwa kwa mabaya yake.Huu ni mfano mrahisi sana Kwako kuuelewa.Hali hii ngumu ya maisha ya Watanzania ktk maeneo yote(afya/elimu)yanatokana na Serikali hii hii unayoisifia jahazi akiliongoza raisi Jakaya.Ktk taarifa ya habari ITV nimeona chama cha madaktari mkoa wa Kilimanjaro kimesema kitaungana na madaktari wenzao nchini kote kufanya mgomo ikiwa mpaka tar 26 mwezi huu madai Yao hayatakuwa yametekelezwa.Ikumbukwe mgomo Wa kwanza ulileta madhara wapo waliofariki kutokana na mgomo Wa kwanza,hapo Serikali kupitia raisi ndio akachukua hatua wakati madhara yameshatokea.
Mawaziri Wa afya wapo,raisi yupo,waziri mkuu yupo lakini utashangaa mpaka madokta wagome madhara yatokee ndio wanakurupuka kutoka huko walikokuwa.Viongozi wasifanye kazi kwa matukio yaani mpaka tatizo litokee ndipo hatua zichukuliw, hapana huo ni UDHAIFU.
Kwa mtu mwenye hekima hufurahia anapokosolewa. Hii humpa nafasi ya kujirekebisha na kufanya vizuri zaidi. Mwenye kupenda sifa haoni mabaya yake hivyo hushindwa kujirekebisha na kuwa kiongozi bora zaidi. Shabani Robert katika kitabu chake cha Maisha yangu na baada ya miaka hamsini anasema ' binadamu ana uwezo wa kulifanya jambo lolote dogo au kubwa'. Somba kaamua, kwa busara yake ndogo, kulifanya jambo dogo kuwa kubwa.
Sielewi kwa sababu gani. Nadhani kwa sababu anafikiri mwenye madaraka kama ya Raisi au mwanachama wa CCM hawezi kuwa na sifa za kawaida za binadamu. Mawazo haya ya Somba ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo. Mahali ambapo wajumbe wote wa kikao chochote cha uongozi hufikiri kwa kuangalia mwelekeo wa mwenyekiti. Enzi za 'ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI. Ni vema akajua kuwa kizazi cha akina Mheshimiwa Mnyika hakijapita katika enzi hizo. Ni kizazi huru.
Huru kwa maana ya bendera na mawazo. Kujaribu kuzuia mawazo kwa vitisho vya aina ya Somba ni kuzuia upepo kwa mikono, jambo ambalo haliwezekani hata kwa miujiza. Hata Yesu hakuwa na uhakika jinsi jamii alimoishi ilivyokuwa inamuona, akawauliza wanafunzi wake 'Watu wanasemaje kuhusu mimi? Walipomjibu aliwauliza tena ' Na ninyi je mwasemaje? Wanafunzi wake walikuwa huru kujibu vyovyote wanavyomuona. Rais Jakaya Mrisho Kikwete ni kiongozi wa watanzania wote na watanzania wako huru kutoa maoni yao jinsi wanavyuona kiongozi wao.
Kitendo cha kuzuia watu wasieleze hisia zao juu ya Raisi wao ni kujaribu kumfanya Raisi ni mali ya Somba na ana hati miliki naye na mtu yeyote akitaka kumsema sharti apewe kibali na Somba. Tukifika hapo tutapotoka. Heshima hailazimishwi huja kwa kazi na matendo ya mtu au kiongozi binafsi. Kamwe kikundi cha watu au mtu mmoja mmoja hawezi kumdai Raisi heshima. Kanuni ya TANU inasema ' Heshima ya mtu itatokana na huduma yake kwa jamii' Kama Raisi ana kila kitu kinachomuwezesha kufanya yote anayotarajiwa na wananchi ayafanye na hayafanyi basi sifa ya mtu wa aina hiyo ni UDHAIFU. Kama kuna neno lingine tofauti na hilo litakuwa na lengo la kuficha ujumbe halisi.
Hii haitamsaidia Raisi kujirekebisha na kuchukua hatua stahiki. Ni sawa na mtumishi aliyemwambia Mfalme amevaa nguo za kupendeza wakati ukweli ni kuwa Mfalme alikuwa uchi. Ukitaka kumwadhibu Mnyika kwa kisingizio cha kulinda heshima ya Raisi utakuwa unamtukana Rais kwa kumfanya mali yako binafsi pia utajenga hoja kuwa pengine Rais kakutuma ufanye hayo wakati ukweli ni kuwa kwa busara ya JK hawezi kukuagiza hilo.
Kikwete kama alivyonadiwa na Rais Benjamini Mkapa, ni SUPPER DIPLOMAT. Utakumbuka alipokuwa katika ziara zake Mbeya mwaka 2006 aliwakataa watu wanaomsifia kwa unafiki. Raisi anajua fika kuna watu wakweli na wanafiki. Hata yeye kabla ya kuwa Rais aliusema ukweli aliouamini. Angalitishiwa kama unavyofanya Somba tusingempata Raisi huyu unayemuona ni LULU. Alilelewa hivyo na akavumiliwa.
Wewe anza kwa kuonesha ni lipi la maendeleo alilofanya Rais yeyote wa kabla yake, ambalo yeye hajafanya zaidi.
Mnaleta matusi na ktukana lakini hoja za wazi kabisa zinawashinda. Mnyika kashindwa hoja ya bajeti akaamuwa awatukane wabunge wote, wana CCM wote na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Namwambia hvi; Kikwete asimjaribu, hamuwezi hata kidogo.
Tatizo kubwa lililopo ni pale ambapo mapenzi yanapotulevya hata mtoto akikosea basi hafai kukanywa na mwingine yeyote.
Nasema hivi. Mnyika anamuda mfupi sana pale bungeni na asilewe na huo ubunge na hapo alipopachezea hapachezewi hata kidogo. Kavuka mpaka wa maadili, wa heshima, wa utu, wa ubunge na hata wa uungwana tu.
Hoja iliyopo kwenye mjadala ni bajeti ya taifa, ashindwe kujadii hata hoja moja, na akurupuke na kutukana Rais, kutukana Wabunge na kutukana wana CCM wote na nyie muone kuwa ni sawa tu. Hivi hapo ni nani dhaifu?
Hivi nyinyi ndio mnawatuma wabunge wenu waende pale wakatukane badala ya kuweka hooja za kutetea maslahi yenu? Au hayo ndio maslahi yenu?
Mkuu nimeyaelezea haya ila naona wajumbe ni wagumu kuelewa, ila ninaamini kabisa ni uwezo mdogo wa kielimu wa kuchambua bajeti critically ndio unachangia kuropoka yasio ndani ya bajeti. Ninakuhakikishia MNYIKA atajutia kauli yake. Idadi kubwa sana wamekasirishwa na tabia aliyoionyesha bungeni jana.
Re: Akishindwa kumtia adabu Mnyika, JK atakuwa dhaifu sana????
By Topical
Akishindwa kumtia adabu hako ka bwana mdogo lenye domo chafu atakuwa rais dhaifu anayerushusu kila mjingamjinga kumpa majina ayatakayo...
Akishindwa kutambua kwamba wakristo wote hawana mpango naye (hasa wakatoliki even within kutoka ccm na chadema) na kuendelea kujipendekeza kwao hakutamsaidia kitu chochote zaidi ya kujidhalilisha; kila siku anapelekeshwa na ajenda za wakristo lakini HACHOKI kujipendekeza kwao kwa kuwateua kwenye nafasi nyeti HALAFU wanam-sabotage..atakuwa dhaifu na mtu asiyejitambua ....
Suala aliloongea Hon. J. Mnyika MP halina uhusiano wowote na Ukatoliki zaidi ya umbumbumbu wako, UDINI na ujahidina. Umelelewa ukidhani maisha smart ni kuvaa suruali isiyofika miguuni (njiwa) kufuga videvu kama kabeberu ka kiangazi na kucheza bao msikitini kwa hiyo kila kitu unaingiza dini yako.
Fikia sehemu uone ujinga wako. Issue pale ni BAJETI sio dini kapuku wewe. Wakatoliki wanahusiana nini na bajeti? Ujinga wako wa kutoelimika mlaumu aliyekulea hivyo na sio Wakatoliki. Kutwa kucha unahubiri chuki dhidi ya Wakatoliki as if kuzaliwa kwenu 23 na baba yako kiasi mkakosa malezi mbegu alipewa na wakatoliki.
Shika adabu yako, kama huna cha kuongea funga bakul, tawaza ukasswali ulale. Manake muda si mrefu tutaambiwa na hilo domo lako kuwa hata Omar Badwell kachomewa TAKUKURU na Restituta kwa kuwa Omar ni Muislamu na Restituta ni Mkatoliki. Jitu duni kuanzia ubongo hadi mavazi, shame to our country, unawaaibisha waislamu
By the time a man comes to realize that his father was right, he usually has a son who think he is wrong.
This is not about Mnyika and Kikwete show,this is about us the people of this republic,our welfare,our future,Kikwete as president failed this nation and the people,his presidency is a total failure.
Follow Us Here