Jamaa yupo fit vibaya kajariwa kuongea kwa hekima na busara kuliko wabunge wote wa ssm
Najisikia fahari sana, nilichangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa huyu mheshimiwa mbunge. Nilisafiri kutoka Dar kwenda kupiga kura kwa maana nilijiandikisha Iringa lkn kipindi uchaguzi unakaribia nilikuwa nililazimika kukatisha shughuli zangu ili kura yangu isiharibike. Pili nilishiriki kuhamasisha vijana kubaki kulinda kura nikitumia uzoefu wangu tulivyolinda kura za Wilfred Lwakatale mwaka 2000. Vijana walihamasika kweli, nakumbuka kijana about 38 years alisema yuko tayari kupigwa na polisi hadi kufa kwa maana ana ukimwi muda mrefu na CCm wamekula hela waathirika. Alisema hivyo kuonyesha kuwa hakuwa tayari kuona matokeo yanachakachuliwa, si unajua CCM bila kuwatia presha matokeo huwa yanabadilishwa. Mchungaji Msigwa hanifahamu na wala sitaki anijue ila popote ninapokuwa mimi huwa niko tayari kujitoa kuhakikisha anapatikaina mtu ambaye ni sahihi. Nikiwa naangalia anvyochangia najivunia kura yangu na muda wangu wa kulinda kura.
WEWE Kama sio MAGAMBA sijui! Muda aliopewa pale wa DK 15 kuelezea yote hayo hautoshi..Maana Wana magamba wana VIROJA laki 9 na nusu...Alichofanya pale ni Summary tu! ww hujui soma Nyakati wala hujui fanya interpretation, Uwezo wako utakuwa Mdogosana kama wana Magamba ndio maana huja muelewa....! Pole sana, ww unafanya tafsiri za Mwili na sio za kiakili na kiroho!
Remember what is unbecoming to do is also unbecoming to speak of.
Daaaa! Hongereni sana wana IRINGA.Haya maneno huenda yakatuokoa na laana ya wajukuu zetu miaka ijayo, walau watajua kulikuwa na wenye uchungu zamani.Kama Mungu alivyosema' nionyesheni walau mtu mmoja tu mwema hapa mji wa sodoma,nami sitauangamiza mji' Hakika tunae Mh Msigwa wa kumwonyesha ili kuepuka laana ya wajukuu zetu.Nimeumizwa sana na maneno yake
Daaaaa!!!CDM wakimbizeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeee haoooooo!huyo ni mmoja tu mbunge wa iringa mjini hata yule mwakalebela angechemsha si mchezo,. Komba,lusinde na wewe mwigulu mpoo???mmemsikia huyo mchungaji???kawashika pabaya.
Duuuh aise na lazima watahama tuu ---- THUMB UP CDM HUREEEY --- it is an open Dialogue and they have to compete. Wako tuu kupiga mabenchi hawa WAFISADI na kutetewa na BI KIROBOTO Anna Makinda. Tunawasubiri tuu ukweli niwauma they have no more fairy story to tell the Tanzanians, Tumesoma na ATUDANGANYIKE ------PEOPLES POWER SONGENI MBELE NEVER TURNING BACK IS OUR MOTO.
well done mbunge
Ni kweli kabisa ana muda mchache kabisa. Sasa kama una dakika 15 tu kwa nini uzitumie kutueleza vijembe vya mtu kalala na mke wa mwingine?
Kama una dakika 15 kwa nini usiende moja kwa moja kwenye pointi badala ya kuzitumia kueleza habari za Waraka wa Pili wa Paulo, Mtume kwa Wathesalonike? Well kama unataka theology za uchumi kwenye biblia basi Yesu Kristo alisema ndege hawafanyi kazi na wako poa tu, chakula chetu ni neno la Mungu, sio mkate! Sasa Yesu na Paulo nani mkuu?
Kwa nini uzitumie dakika 15 zako kulichekesha bunge kwa kusema 42% ya watoto wa Tanzania wamedumaa akili? Sasa Waziri wa Fedha afanye nini kuwawahi akili zingali changa, ajenge chekecheka za Kata?
Una dakika 15 then hit the point, sio kutuambia nimeongea na Professa, wanasema serikali haitaki ushauri wake, ushauri gani? Toa specifics!
da nilikua naiepaepa kuisikia hii, heko mchungaji
Remember what is unbecoming to do is also unbecoming to speak of.
"wote tumemuelewa," wote wewe na nani? Jiongelee mwenyewe! We mgeni hapa, au? Huna wherewithal ya kujibu hoja yangu zaidi ya kusema mimi ni magamba, whatever the heck that means? Mimi ni independent observer, kama umezoea straitjacket fanaticism ya kwamba lazima uwe aidha CCM au CHADEMA then huwezi ku process ninayoyasema, I get beyond CCM and CHADEMA.
Remember what is unbecoming to do is also unbecoming to speak of.
The ballot is stronger than the bullet - Abraham Lincoln
Jamaa alipigili msumari! Very nice Presentation, Nikipata muda nitaiwekea Subtitle za Kiingereza, Na sehemu alizo Ongea Kiingereza nitaweka Kiswahili,Ili hata siku mzungu akiiona hii video ajue Huku kuna watu wanaelewa things sema System ndio mbovu,Ujue nje ya TZA watu wanafikiria sisi ni mbumbumbu kwa haya yanayofanywa na CCM!So wajiona vitu kama hivi watujua kuwa tupo fit ila System ndio MBOVU.
Remember what is unbecoming to do is also unbecoming to speak of.
Follow Us Here