Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: JamiiForums Premium Member Subscription

    Report Post
    Page 6 of 17 FirstFirst ... 4567816 ... LastLast
    Results 101 to 120 of 329
    1. #1
      Mike McKee's Avatar
      JF Founder Array
      Join Date : 10th February 2006
      Posts : 333
      Rep Power : 100000
      Likes Received
      593
      Likes Given
      759

      Default JamiiForums Premium Member Subscription

      Ndugu wana JF

      Awali ya yote, niwashukuruni nyote!

      Tumeliongelea hili jambo kwenye andiko hii, Na sasa ni utekelezaji wake.

      Lengo kubwa la kuanzisha utaratibu huu ni kuiwezesha JamiiForums kujiendesha kwa ufanisi zaidi ndani na nje ya Tanzania.

      Tunayo mikakakati tuliyoianda ya jinsi gani tunafikiri JF inatakiwa iende, na tunaahidi kuwashirikisha kwanza "Premium Members" wetu kabla haijaanza kutekelezwa.

      Hizi alama maalumu zitadumu kwa mwaka moja.

      Baada ya mazungumzo marefu ya jinsi ya kupanga hii michango tulikubaliana hivi


      Annual Membership Subscriptions

      JF Bronze Member 20,000 - 99,000

      JF Gold Member 100,000 - 249,000

      JF Platinum Member 250,000 - 490,000

      JF Tanzanite Member 500,000 - Na zaidi...





      Utaratibu wa Malipo



      M-Pesa

      Tumefanikiwa kupata utaratibu mzuri sana wa kulipia kupitia M-Pesa. Utalipia Subscription Fee kama vile unavyonunua Luku au DSTV na kutuma kwenda kwenye number 888 888


      Jinsi ya Kutuma


      1. *150#

      2. Bonyeza 4 (Pay Bill)

      3. Bonyeza 1 (Enter Business Number)

      4. Weka 888888

      5. Enter Reference No. (tumia 1234)

      6. Enter Amount (Weka kiasi unachotaka kutuma)

      7. Weka password yako na kisha utume.

      Ukishatuma, tuma PM kuja kwangu Mike McKee ukituambia receipt no. uliyoweka na jina lako unalotaka liwekewe Premium Member au tuma email kwenda [email protected] ukituambia receipt number.


      CRDB Bank

      Account Name: Jamii Media Company Limited
      Account Number: 0150413278400
      Branch: CRDB Waterfront


      Ukishaweka pesa tuma SMS kwenda number hii 0755 642 929 kutuambia jina gani umetumia wakati unaweka hela, na nikiasi gani umeweka, na kutuambia jina unalotaka liwekewe alama maalumu (premium membership).

      Sisi tutaithibitisha kwa alama maalum (icon) na kukuwekea kwa hilo jina.

      Kwa wale watakaotumia malipo kwa njia ya mtandao (online transfer) ya CRDB, wanaweza wakatutumia receipt kwenda kwenye email ya [email protected]


      WesternUnion

      Name: Mike Mushi
      Address: P.O.BOX 4203 Dar es Salaam
      Phone: 0755 642 929
      Email: [email protected]


      PayPal

      Tuma kwenda kwenye email hii [email protected]



      Maswali na Majibu


      Alama maalumu kwa mtumiaji(Verified User) ni nani?

      Verified Users ni wale wanachama wa JF wanaotumia majina yao halisi. Sisi tuna hakikisha kujua kwamba yale majina ni yao kweli na kuwawekea alama maalumu inayoonesha kweli anayeandika kwa jina hili ni yeye halisi.

      Naweza kulipia kwa kidogokidogo?

      Malipo kidogokidogo yanaruhusiwa kwa wale Platinum na Tanzanite members na zinatakiwa kukamilishwa ndani ya miezi minne.

      Nataka kuchangia ila sitaki kuwekwa kwenye makundi

      Unaweza ukachangia kwa kutumia viwango hapo juu na usiwekwe kwenye hayo makundi ila ukawekewa “alama” ya premium member inayoonekana hapo juu.

      Kuna faida gani nikiwa Bronze Member na nikiwa Tanzanite Member?

      Lengo la hii program ni kuwezesha JF, hapa kinachofanywa ni uchangiaji na sisi tunachofanya ni kukutunuku “badge” kutoka na ulichochangia ili kutambua na kuthamini uchangiaji wako.

      Lengo letu ni mwakani tuweze kutoa packages nzuri kwa kila package. Na sisi pia inatupa mwangaza wa kutambua ni watu kiasi gani wapo, na wenye nia ya kuchangia na kununua hizo packages zitakapoanza.

      Kwa kipindi cha mwaka mzima kuna vitu vingi vitakuwa vinaanzishwa na vingi mtakuwa mnatuambia “premium members” mnataka nini.

      Hivyo vitu watakaokuwa wa kwanza kujua na kuvitumia kabla havijaanza kuwa wazi ni hawa premium members wetu. Maana yake maoni, ushauri unaanza kutolewa na hawa kwanza.

      Kuchangia JF na kuwa premium member kunakupa nafasi wewe kuwa mmoja ya wanachama muhimu watakaoongoza mabadiliko na kuwa mmoja wa watakaoshuhudia mabadiliko hayo ya JF.

      Je Subscption fee yangu ya mwaka mzima inaanza lini?

      Subscription fee yako ya mwaka mzima inaanza pale utakapolipia. Kama utalipa July, itakwisha july mwaka kesho.

      Kwanini hakuna malipo ya TigoPesa na Airtel Money?

      Utaratibu kama tulioupata Mpesa ndio tulikuwa tunautaka kama huo TigoPesa, sasa TiGo wamesimamisha hiyo huduma mpaka mwezi wa nane. Hatuna tunachoweza kufanya ni kusubiri mpaka mwezi wa nane. Njia ya kawaida ya kuchukua line ya tigopesa na kuiweka hapa sio salama na wote tunafahamu hii, mtu anaweza kudurufu laini na akaenda kuchukua hiyo pesa.

      Airtel Money bado tupo kwenye mchakato wa kupata utaratibu mzuri, na itakapokamilika itawekwa hapa.

      Je, inamaana nisipolipia premium members sitoweza tena kuipata JF?

      Hapana, JF itaendelea kuwepo kama kawaida.

      Hamuoni kuweka hizi “levels” mtaleta matabaka ya waliokuwanacho na wasiokuwa nacho na wachangiaji watawaogopa Tanzanite au Platinum members?

      Kwanza lazima tuelewe kwamba “levels” zipo kama “incentive” ya kuwapa hao waliochangia na kiasi gani wamechangia pia kuvutia wengine wachangie. Hii ni kama harambee hivi. Na pia unaweza ukachangia na pia usitake kuwekewa hiyo “alama” ya premium member wala hizo “badge” za levels ukabaki kama kawaida.

      Na pia kama kweli utaogopa username ya mtu yenye “alama” ya tanzanite na utashindwa kuongea au kubishana kwenye mada kwasababu unaogopa labda anapesa, sasa hapo tatizo ni kwako wewe. Inakuwaje unaogopa username ya mtu na inakunyima wewe uhuru?

      Na kama kweli italeta matabaka na itaondolea watu uhuru wa kuongea, basi itakuwa haina faida na hatutasita kuitasitisha.

      Mwisho wa siku, kama wewe ni tanzanite member na hufuati sheria za JF, unapata BAN kama kawaida.


      .......

    2. FemaTV & Radio

    3. #101
      Mike McKee's Avatar
      JF Founder Array
      Join Date : 10th February 2006
      Posts : 333
      Rep Power : 100000
      Likes Received
      593
      Likes Given
      759

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Quote By Kyaiyembe
      Nilikuwa sina line ya vodacom naenda kuinunua sasa!.
      Mkuu, hata kwenye banda la Mpesa unaweza kutuma.

      Quote By Mvaa Tai
      Nime kupata sana mkuu, hata mimi niliuelewa vibaya u-premium member, siku nilipo upata na nikachemsha kitu naku-gongwa ban kama kawa ndiyo nilielewa, ndiyo maana hata sasa nategemea kuchangia kutokana na uwezo wangu na siyo kwasababu ya hizo badge
      Mvaa Tai Sheria zetu zinafuatwa hata ukiwa tanzanite member.

      Quote By Jiwe Linaloishi
      Fillga kumbe upo mkuu kwema? mbona Mac hajanipa hizi habari? soon tutajumuika pamoja.
      Jiwe Linaloishi Nipo Mkuu! Nategemea kupata mchango wako soon.

      Quote By ntamaholo
      kwa hiyo wenye 1,000-5,000-10,000 haturuhusiwi kuchangia? mbona una taja madu makubwa makubwa?
      Tunaamini ada ya 20,000 kwa mwaka mzima kila moja wetu anaweza kulipia.

      Quote By Ditto
      Mike McKee asante kwa ufafanuzi na ntajipanga kuchangia.. Ila kwanini msiangalie na namna nyinigne ya kujiendesha zaidi ya kutegemea michango ya members? woga wangu huu utaratibu unaweza kusababisha baadhi ya watu kuona kuna risk dependecy especially kwa wachangiaji wakubwa.

      Kwanini msiangalie suala la kuuza shares au kujitanua kwa kutafuta source nyingine za funds zaidi ya matangazo na michango?
      Ditto

      Angalia post # 93 nimeongelea hili swala mkuu.

    4. #102
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,278
      Rep Power : 12580
      Likes Received
      5814
      Likes Given
      768

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Mkuu Mike McKee.

      Members wameitikia wito kwenye hii kitu?
      Mike McKee likes this.

    5. #103
      Mike McKee's Avatar
      JF Founder Array
      Join Date : 10th February 2006
      Posts : 333
      Rep Power : 100000
      Likes Received
      593
      Likes Given
      759

      Default

      Quote By Ritz
      Mkuu Mike McKee.

      Members wameitikia wito kwenye hii kitu?
      Mpaka mwisho wa mwezi, wengi watakuwa wamelipia tayari.

    6. #104
      Nyamizi's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 19th February 2009
      Posts : 351
      Rep Power : 592
      Likes Received
      115
      Likes Given
      646

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Mike McKee,tunaomba tu kuhakikishiwa privacy ya majina yetu halisi hasa sisi tuliotumia M-pesa kuchangia.
      Mike McKee likes this.

    7. #105
      Mark Francis's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2010
      Location : Ubungo, DSM
      Posts : 436
      Rep Power : 581
      Likes Received
      206
      Likes Given
      45

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Nataka kuwa verified member, nifanyeje?
      Mike McKee likes this.
      "Better to be hurt by the truth than comforted with a lie"

    8. Miaka 50

    9. #106
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25469
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Quote By MARQ
      Nataka kuwa verified member, nifanyeje?
      Verified Users ni wale wanachama wa JF wanaotumia majina yao halisi. Sisi tuna hakikisha kujua kwamba yale majina ni yao kweli na kuwawekea alama maalumu inayoonesha kweli anayeandika kwa jina hili ni yeye halisi.
      Mike McKee likes this.
      Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.

    10. #107
      cartura's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Location : Bongo
      Posts : 3,053
      Rep Power : 2725
      Likes Received
      747
      Likes Given
      6

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Quote By Nyamizi
      Mike McKee,tunaomba tu kuhakikishiwa privacy ya majina yetu halisi hasa sisi tuliotumia M-pesa kuchangia.
      uhuru mkubwa wa kutoa mawazo boldly hapa JF una-revolve around suala zima la privacy; ni wazi kwamba kwa utaratibu huu uliotolewa kwa wachangiaji, uhuru huu utakuwa compromised kwa kiwango kikubwa
      Last edited by cartura; 23rd June 2012 at 09:41.
      Nyamizi likes this.

    11. #108
      Mark Francis's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2010
      Location : Ubungo, DSM
      Posts : 436
      Rep Power : 581
      Likes Received
      206
      Likes Given
      45

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Quote By Manyanza
      Verified Users ni wale wanachama wa JF wanaotumia majina yao halisi. Sisi tuna hakikisha kujua kwamba yale majina ni yao kweli na kuwawekea alama maalumu inayoonesha kweli anayeandika kwa jina hili ni yeye halisi.
      Hilo nimelielewa, lakini nafanyaje kwa sababu nataka nipewe hiyo label...!!
      Mike McKee likes this.
      "Better to be hurt by the truth than comforted with a lie"

    12. #109
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25469
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Mike McKee likes this.
      Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.

    13. #110
      cartura's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Location : Bongo
      Posts : 3,053
      Rep Power : 2725
      Likes Received
      747
      Likes Given
      6

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      mara nyingi imetokea member mpya anapochangia mawazo hapa JF na probably akawashika pabaya baadhi ya watu, wale wanaojiona ni members wazoefu huchukua details kwenye profile yake na kumdhihaki kwamba kajiunga juzijuzi, ana post 2 etc... kuna possibility kubwa sana ya watu kuanza kutazamana kwa michango waliyolipa humu (wewe umechangia elfu 20 tu lakini unachongaaa); kwa nini hayo madaraja yenu yasingebakia kwenye records zenu tu na mka-solicit opinion za hao wachangiaji (za kuboresha JF or whatever) kwa kutumia records au reference hizo bila ku-resort kwenye kuwekeana madaraja hadharani?
      Last edited by cartura; 22nd June 2012 at 16:17.
      Mike McKee likes this.
      If You Can't Fight Them, Join Them!

    14. #111
      mansakankanmusa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2012
      Posts : 868
      Rep Power : 528
      Likes Received
      168
      Likes Given
      158

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      si wazo baya!

      niulize mimi mansakankanmusa sijajua kwa vipi nilipata usenior member, ilikuwaje nikapewa?

      pili, nionavyo mimi, hata siku ya kwanza kuingia palepale ningetoa, ila njia nyepesi,rahisi kutoa na

      kikubwa, narudia muhim ni kwamba, nisijulikane,

      asilimia humu naona wanania ya kutoa tena bila kutaka kuonekana, please

      njia gani nyepesi? next time anaglieni hata kutuonyesha maeneo ya kuclick/ kubofya

      adsense,ad whatever ili tuchangie indurect, am sure yule aliesema facebook sijui hawatoi kitu

      facebook na jf tofauti, mark wa facebook, hajahitaji hili, ni mlengo mwingine kabisa, jiulize kwa nini maskini waliochoshwa na CCM wanatoa hela ya mlo wao mmj kuchangia CDM? jibu mnalo, kiujumla mim nafaidi JF kuliko 30,000/= ninayoweza kutuma jf. bado ni ndogo tu.

      narejea kusema this is real good room to be!
      Mike McKee and shemweta like this.

    15. #112
      mansakankanmusa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2012
      Posts : 868
      Rep Power : 528
      Likes Received
      168
      Likes Given
      158

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Quote By cartura
      mara nyingi imetokea member mpya anapochangia mawazo hapa JF na probably akawashika pabaya baadhi ya watu, wale wanaojiona ni members wazoefu huchukua details kwenye profile yake na kumdhihaki kwamba kajiunga juzijuzi, ana post 2 etc... kuna possibility kubwa sana ya watu kuanza kutazama kwa michango waliyolipa humu (wewe umechangia elfu 20 tu lakini unachongaaa); kwa nini hayo madaraja yenu yasingebakia kwenye records zenu tu na mka-solicit opinion zao za kuboresha JF (kama mnavyopendekeza) kwa kutumia records au reference hizo bila ku-resort kwenye kuwekeana madaraja hadharani?
      nililiona hilo, lkn haikunistua, nilikuja baadae nikagundua pana admin wa jf wanabusara sana...nadhani hoja

      inapaswa kuwa na nguvu hilo ndilo la muhimu. vinginevyo hoja yako ikiwa dhaifu, kujifunza ni kuja hoja nzito

      @ mkuu
      Mike McKee likes this.

    16. #113
      Mike McKee's Avatar
      JF Founder Array
      Join Date : 10th February 2006
      Posts : 333
      Rep Power : 100000
      Likes Received
      593
      Likes Given
      759

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Quote By MARQ
      Nataka kuwa verified member, nifanyeje?
      Wasiliana na sisi na tutakutumia maelezo ya jinsi ya kuwa verified

      Quote By cartura
      uhuru mkubwa wa kutoa mawazo bodly hapa JF una-revolve around suala zima la privacy; ni wazi kwamba kwa utaratibu huu uliotolewa kwa wachangiaji, uhuru huu utakuwa compromised kwa kiwango kikubwa
      cartura, Kuna njia nyingi sana tumeweka hapo juu za kuchangia. Unaweza hata kuchangia na still usiseme jina lako wala kutoka jina lako kuwa premium member na sisi tutapata mchango wako bila kujua chochote kuhusu wewe.

      Leo hii ukienda CRDB ukadeposit pesa kwenye hiyo account, na kwenye jina la anayedeposite ukaandika jina lolote sithani kama watakuuliza kitambulisho chako na kujua wewe ni nani. Ila mwisho wa siku unaweza ukatuandikia sisi email hata kwa email ambayo utaitumia mara moja na kusema kwamba deposite ya kiasi fulani iliyowekwa CRDB kwa jina hili ni ya kwangu. Hapo sisi hatutakujua.

      Quote By cartura
      mara nyingi imetokea member mpya anapochangia mawazo hapa JF na probably akawashika pabaya baadhi ya watu, wale wanaojiona ni members wazoefu huchukua details kwenye profile yake na kumdhihaki kwamba kajiunga juzijuzi, ana post 2 etc... kuna possibility kubwa sana ya watu kuanza kutazamana kwa michango waliyolipa humu (wewe umechangia elfu 20 tu lakini unachongaaa); kwa nini hayo madaraja yenu yasingebakia kwenye records zenu tu na mka-solicit opinion za hao wachangiaji (za kuboresha JF or whatever) kwa kutumia records au reference hizo bila ku-resort kwenye kuwekeana madaraja hadharani?
      cartura, Mtu anaweza kuchangia 20,000 na asiwekwe hiyo bronze member akawekewa icon ya premium member. Uchaguzi ni wako. Au unaweza usiwekewe kabisa. Isitoshe ukiwa umechangia, You feel proud that your are making JF alive. Madaraja yapo tuu kwa wale wanaotoa na kutaka kujulikana. Hii ni ku encourage watu kuchangia.

      Quote By mansakankanmusa
      si wazo baya!

      niulize mimi mansakankanmusa sijajua kwa vipi nilipata usenior member, ilikuwaje nikapewa?

      pili, nionavyo mimi, hata siku ya kwanza kuingia palepale ningetoa, ila njia nyepesi,rahisi kutoa na

      kikubwa, narudia muhim ni kwamba, nisijulikane,

      asilimia humu naona wanania ya kutoa tena bila kutaka kuonekana, please

      njia gani nyepesi? next time anaglieni hata kutuonyesha maeneo ya kuclick/ kubofya

      adsense,ad whatever ili tuchangie indurect, am sure yule aliesema facebook sijui hawatoi kitu

      facebook na jf tofauti, mark wa facebook, hajahitaji hili, ni mlengo mwingine kabisa, jiulize kwa nini maskini waliochoshwa na CCM wanatoa hela ya mlo wao mmj kuchangia CDM? jibu mnalo, kiujumla mim nafaidi JF kuliko 30,000/= ninayoweza kutuma jf. bado ni ndogo tu.

      narejea kusema this is real good room to be!
      mansakankanmusa Ndio maana tukaweka njia zote za kuchangia bila matatizo. Mfano Mpesa unaweza kuchangia kiasi chochote unachotaka bila usumbufu. Pia CRDB una deposite bila matatizo yeyote.

      Nimeelezea hapo juu kwamba ni ngumu unapofananisha facebook na JF. Wote tupo mazingira tofauti. Marekani unapokuwa na idea nzuri na watu wanaona future yako kuna watu wanaitwa Venture Capitalist au Angel Investors. Hawa watu wanatoa pesa zao ili wewe uendeleze idea yako na pale itakapoanza kuleta faida wao ndio wanafaidika na pale itakapokwama basi hasara inakwenda kwa wote.

      Kwa hali yetu ya Tanzania makampuni yanaogopa kutangaza hapa na kama yakitangazwa yanataka kwa masharti kwamba wasiandikwe huku vibaya wala viongozi wao wasisemwe. Sasa hichi sio kitu tunachotaka sisi kitokee ndio maana tunaomba wanachama wetu wachangie.
      Support JamiiForums and Become a JF Premium Member -----> Click here for details

    17. #114
      cartura's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Location : Bongo
      Posts : 3,053
      Rep Power : 2725
      Likes Received
      747
      Likes Given
      6

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      wapo members ambao tayari walikuwa na title ya 'premium member' humu (i guess ilikuwa hata kabla ya huu utaratibu mpya); ni vigezo vipi mlikuwa mnatumia kutoa hiyo title? in case hawatachangia chochote katika utaratibu wenuhuu mpya, hiyo title ya 'premium member' itaondolewa?
      Mzee Mwafrika and Mike McKee like this.
      If You Can't Fight Them, Join Them!

    18. #115
      GTesha's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 199
      Rep Power : 389
      Likes Received
      41
      Likes Given
      9

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Du! makubwa haya wacha nikaange vitumbua vyangu alafu na mimi nichangiemo
      Mike McKee likes this.

    19. #116
      MwanaHaki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2006
      Posts : 1,413
      Rep Power : 1003
      Likes Received
      156
      Likes Given
      91

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Sioni gharama ya kuwa Premium Member.
      Mike McKee likes this.
      Speaking Openly, without fear!

    20. #117
      Mzee Mwafrika's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th September 2007
      Posts : 128
      Rep Power : 621
      Likes Received
      9
      Likes Given
      17

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Quote By cartura
      wapo members ambao tayari walikuwa na title ya 'premium member' humu (i guess ilikuwa hata kabla ya huu utaratibu mpya); ni vigezo vipi mlikuwa mnatumia kutoa hiyo title? in case hawatachangia chochote katika utaratibu wenuhuu mpya, hiyo title ya 'premium member' itaondolewa?
      dah...mimi nilikuwa premium member enzi hizo jamiiforums majalala hawana hata matangazo naona sasa jamaa washanipiga ban...nimeshushwa mpaka senior member....kweli mkono mtupu haulambwi....ila sikuona faida yoyote ya kuwa premium member zaidi ya hiyo title....labda tusubiri
      Last edited by Mzee Mwafrika; 22nd June 2012 at 20:16.
      Mike McKee likes this.

    21. RC.
      #118
      RC.'s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2012
      Posts : 348
      Rep Power : 421
      Likes Received
      30
      Likes Given
      16

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Wakuu mimi nashauri kuwa mchukue maoni kwa wote kisha mkae na hao GOLD,PREMIUM,TANZANITE members ili mpate mawazo ya wote na kuyachambua,Hii itasaidia kuondoa Ubwanyenye na matabaka hapa JF.yangu ni hayo GOD Bless you!
      Mike McKee likes this.

    22. #119
      Chimunguru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 7,795
      Rep Power : 2149
      Likes Received
      1222
      Likes Given
      545

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      duH NDO MAANA pREMIUM MEMBER YANGU IMEKWENDA NA MAJI KHAAAAAA
      Mzee Mwafrika and Mike McKee like this.

    23. #120
      Ukwaju's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Dodoma
      Posts : 3,437
      Rep Power : 1123
      Likes Received
      635
      Likes Given
      826

      Default Re: JamiiForums Premium Member Subscription

      Quote By Precise pangolin
      Mkuu ni muhimu kuchangia siyo tung'ang'anie kufanya michango ya kwenye harusi tu
      Kwa kweli wachangie ili hata wale wageni wenye mada muhimu tuweze kuwapata angalau siku mojamoja huwezi kuwabagua eti JF pREMIUM WAINGIE JUKWAA FULANI TU HAPO TUTAKOSA MENGI ILA NAO WACHANGIE HATA KIDOGO KWANI HUMU KUNA ELIMU MBALIMBALI
      mbona harusi mnachangia?
      Mike McKee likes this.
      Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum

    Page 6 of 17 FirstFirst ... 4567816 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...