MCHUNGAJI MSIGWA, MBUNGE IRINGA MJINI AFUNGUKA BUNGENI-UWOGA, NGONJERA, MANENO YA USWAHILI, KUJIPENDEKEZA,UNAFIKI VINAHARIBU TAIFA LETU.
AKILI YEYE MCHUNGAJI HAOMBEI UCHUMI- UCHUMI UNAKWENDA KWA PRINCIPLES SIO MAOMBI. WANAO OMBEWA NI WAZINZI, WANAO FUMANIWA NA WAKE ZA WATU NA MAPEPO-UCHUMI HAUOMBEWI NI PRINCIPLES- DAMN IT!
ASEMA CCM WAMECHOKA-NI WAO WAMETUWEKA KWENYE MATATIZO HAYA NA BADO WANA THE SAME LEVEL OF THINKING.
AMQUOTE Albert Esteen" PROBLEMS CANNOT BE SOLVED BY THE SAME LEVEL OF THINKING THAT CREATED THEM"
Re: Msigwa afunga goli la kisigino dhidi ya Mwigulu Mchemba
Du! Msigwa jana umenicha na matatizo ya mbavu kuuma kutokana na jibu lako kwa Mchemba.
Nimewahi kuandika huko nyuma kwamba Watanzania inabidi tubadilike.
Ulimwengu umetuacha mbali mno hebu fikiria eti kama kuna kongamano la wasomi duniani sisi Watanzania tutawakilishwa na watu wa aina ya Mwigulu ambao ndiyo wanaojitanabahisha kuwa ni wasomi mabingwa wa fani za uchumi.
Katika hali ya kawaida tendo la Mwigulu la Igunga lilitosha kabisa kumtoa kwenye watu makini ambao mawazo yao yanategemewa kuleta mchango fikra pevu kwa Watanzania.
Re: Msigwa afunga goli la kisigino dhidi ya Mwigulu Mchemba
haha haha haaaa mwigulu atachezea wake wa makada wa wenzake wa chama mfu!hawezi kugusa hata unywele wa mwanachama wa chama makini.amezidiwa busara na mtoto aliyezaliwa na kada wa chama makini.anachoweza mwigulu ni uzinzi tuu tena kwa wake wa chama kilichoachwa na MUNGU
Re: Msigwa afunga goli la kisigino dhidi ya Mwigulu Mchemba
Kama tunaweza pata wabunge wanaoweza kuchambua mambo kama hawa wabunge vijana wa CHADEMA au tuwape nchi kabisa mi nadhani kuna kitu kitabadilika, hoja zao zina mshiko tukiacha ushabiki wa vyama. Ukimsikiliza Msigwa na Mnyika tu waliyaongea jana utagundua ni kiasi gani wabunge wengi wanatumia makalio kujenga hoja zao bungeni
Re: Msigwa afunga goli la kisigino dhidi ya Mwigulu Mchemba
Huyu jamaa anajiona anajua sana kila kitu, mbaya zaidi anaujua ukweli lakini anaendelea kudanganya watanzania, I hate him, haitakii mema nchi yetu huyu ***** Mwigulu
Re: Msigwa afunga goli la kisigino dhidi ya Mwigulu Mchemba
jamani mi nashangaa kuona muongozo ukiombwa upinzani autoki hila kwa ccm unatoka cheki baada ya mwigulu nchemba kuongea kuna mtu alitaka mwongozo spika yule mwenyekiti alipotezea kama hakusikia halafu huyu komba me simuelewi kabisa hanaunga mkono hoja halafu anatoa mapungufu ya budget ktk jimbo lake kutopata fedha za maendeleo halafu hanaunga mkono %100 me nadhani huyu ndio wakupimwa akili
Re: Msigwa afunga goli la kisigino dhidi ya Mwigulu Mchemba
mkuu ,85%ya wabunge wa waccm hawana dira wala mwelekeo wa nchi na matatizo ya wananchi wao.Hawajui dunia inakoelekea,wanaanza kuunga mkono hoja,halafu ndipo wanaelezea matatizo ya majimboni mwao.Na kudai kuwa bajeti hii,haikugusa shida za majimboni mwao,mimi inanichanganya sana hivi hawa wabunge wa ccm wamesoma kweli kama wanavyotudanganya? Mimi siamini,ila Mungu awasaidie sana!
Re: Msigwa afunga goli la kisigino dhidi ya Mwigulu Mchemba
By WA-UKENYENGE
Katika watu wanaoongoza kuchukiwa sasa hivi Tanzania ni pamoja na huyu jamaa Mwigulu Nchemba, kalewa sifa vibaya mno anaona kununua madawati na kupeleka kwenye mashule kwa fedha zisizo ndiyo kumsaidia mwananchi, ifike mahali hii tabia ya wabunge kugawa fedha au kusema natoa fedha kutoka mfukoni kusaidia wananchi kwa shughuli za maendeleo ikome, siyo jukumu la mbunge kutoa fedha za maendeleo! something must be done with this crazy ideas. Kasoma lakini hajaelimika, bahati mbaya zaidi CCM wakampa cheo cha uweka hazina kwa hiyo anajiona yeye ndiye mwenye chama, ni zaidi ya Nape sasa hivi, hata katibu mkuu hamfikii achilia mbali kutudharau watanzania. "Mwigulu, you must control your thoughts for the sake of your leadership".
Kwani anapeleka zake si ni mehera ya CCm wanayompa kuulia watu wakati wa chaguzi ndogo wewe mtu anapewa unaccountable amount atafanya nini zaidi ya kuhonga wapiga kura nadhani wana Iramba Magharibi watataka vitu vya kuendelea sio vya mpito
Re: Msigwa afunga goli la kisigino dhidi ya Mwigulu Mchemba
By Candid Scope
Si hilo tu, bali kila anakopita wenye wake zao wako makini kutokana na tabia yake aliyoonyesha alipokuwa kwenye kampeni kule Igunga ingawa funikafunika haiachi harufu na inzi kurukia mzoga.
....Mkuu huyo Mwigulu Machemba ni fundi sana wa kuchukua wake za watu eh!? Maana kila siku anaonekana yeye ndio kijogoo...hebu mwabieni aje huku kwetu ajaribu hata kumtongoza mama muuza mchicha sokoni aone anaweza kupatiwa mume mchana jua linawaka watu tunamvesha shanga....Mnamlegezea huyo!
To get something you never had, you need to do something you never did
Follow Us Here